JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@ednalugano29064 сағат бұрын
Mwenye majibu yote ni marehemu. Mungu awape faraja mke, watoto na wazazi.
@rukiyamohammed294557 минут бұрын
Sote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea 😢poleni sana familia kwa kumpoteza kipenzi chenu😢 mungu akawape subra na uvumilivu ktk kipindi hichi kigumu 😢
@remmymmewa3075 сағат бұрын
Polen familia, Nimependa maelezo
@SesiliaNjalaСағат бұрын
Msemaji wa ovyo kabisa na meno yake. Hana hata machungu walai
@paulabelleghe4516 сағат бұрын
Roho imeniuma kuondokewa na mume anaepambania familia,Rest well mkaka mzuri nimelia sana
@LettyLussi5 сағат бұрын
Pole
@Views-mf8ir4 сағат бұрын
Mkuu wa wilaya kaja kuongelea familia ya Ulomi ..!?!? Iko namna .. Iko spinning inafanyika apo kwa nguvu kubwa mno
@mgaxtv95744 сағат бұрын
Ni kweli kabisa
@pendokomba8322Сағат бұрын
Sanaa alafu anakuwa mkali kwenye maswal mengine anayoulizwa...Na ni maswala ya msingi tu
@Leodimk-n5c4 сағат бұрын
Yaani mlipoenda hamkutambua leo mmeitwa mkautambua 😅😅😅 hii nchi ngumu sana hii na yaelekea tutazidi kupotea sana aiee
@cheiknamouna20584 сағат бұрын
Jaman huyu mtu anawajibu jeuri,kibabe kasahau waandishi ndiyo walisambaza habari hadi maiti ikatambulika Kwani familia imekosa msemaji 😭
@nuhhumwakanyamale47712 сағат бұрын
Mshamba mmoja tu
@nurualphonce3008Сағат бұрын
Yaani kwa kweli majibu yake ni yakijuaji sana ata kama anapoint anapoteza maana halisi kwa jinsi anavyoongea ata na waandishi,anasema ni ndugu mbona kama hana majonzi au ni mm naona hivo
@Zaynab-ny6gr7 сағат бұрын
Kuna utata sema family ishawekwa sawa nasi tukubali
@hassanlikwenangu84717 сағат бұрын
Huna maana kabisa kichwa maji machafu ya chooni
@BabuDikwela7 сағат бұрын
Utata gani
@khadijaa8157 сағат бұрын
Majibu yanatia shaka
@Leodimk-n5c4 сағат бұрын
Hebu tuambieni hiyo ajali ilitokeaje km kweli mlishuhudia
@arafahhh557425 минут бұрын
Unapoulizwa swali jibu kama ulivoulizwa mkuu wa wilaya
@ramadhanrashidmthailand95537 сағат бұрын
Aise kumbe anaeongelea msiba nimkuu wa wilaya 🤔🤔,
@petrolconrad42506 сағат бұрын
😂aisee kumbe nilichokisia ni kweli
@shahamemalenga48383 сағат бұрын
Mkuu wa wilaya si mtu tu kama ww ana ndugu jamaa na marafiki
@petrolconrad42503 сағат бұрын
@@ramadhanrashidmthailand9553 yes huyo ni dc wa ubungo
@hadijahamza-l9z3 сағат бұрын
huyu naye kasema watu wamempeleka hospital dokta kasema polisi
@petrolconrad42502 сағат бұрын
@@hadijahamza-l9z kwa kuwa familia imekubaliana na kilichotokea tuipe pole tu
@FestoMunishi4 сағат бұрын
Point kuu ni kwamba mtu alipotea tangu tar 11 alafu taarifa zikasambaaa na watu kwenda mahosipotal awejeee taarifa ijeeee kuwa juli uko mwananyamala wakati tayari walipitaaa watu kuulizia wakaambiwa hayupoo cz mwaandishi kakuulizaaaa hilo swali ukalikwepa au ninyi unajua kilichomuuua
@tagomshana40324 сағат бұрын
Mbona yuko ivi kapataje huu ukuu huyu?
@Leodimk-n5c4 сағат бұрын
Yani ma nyie familia mnatuaminisha kuwa ni ajali 😮😮??
@tagomshana40324 сағат бұрын
Kwani siujibu tu kistaarabi jsmaniiii
@rukiyamohammed294558 минут бұрын
Muandishi kumbuka hao ni wafiwa wanaomboleza wanauchungu , why so many questions ??
@AsiaAa-w5m5 сағат бұрын
Yaan huyu hata maneno yake hayana huzuni yaan ankubaliana tu na kila hali
@shadymbuki872 сағат бұрын
We unataka unachokiwaza ndo uambiwe..trash
@ZainabuHarida-e4k7 сағат бұрын
Poleni sana wana familia
@NhungaWanyamaСағат бұрын
Sioni cha maana hapa
@christinestephen88285 сағат бұрын
Poleni sana. Msemaji wa familia ni ,,,,,, lazima anyooshe maelekezo.
@scholamodestus93865 сағат бұрын
Yani unajibu vibaya kama umelogwa kha
@pendokomba8322Сағат бұрын
Yaan....
@elianyigu55002 сағат бұрын
Majibu hayapo sawa simu yake iko wapi mwananyamara kafikaje toka tr 11 jamani mbona mnazingua. Taharifa hiyo haiko sawa hee mkuu wawilaya tena uuuuwiiiiii?
@khadejakhadeja97136 сағат бұрын
Huyuu..Hassani mmmmmmh hana hata point anaongea kama mlevi😂😂
@hassanlikwenangu84717 сағат бұрын
Usihangaike kuwaelimisha waandishi wanaotaka majibu wanayoyataka,achana nao tena waepuke kama ukoma
@samehewaliokukoseya26057 сағат бұрын
Mungu 2 jo anakuwa ukweli wakifo chanduguyetu uyu😢😭😭
@joreenmassawe88016 сағат бұрын
Amina😊
@Nite-zd8il7 сағат бұрын
Jamaa analinda tumbo/kazi yake. Sijui kwanini family wamemfanya kama family speaker
@simonmasunga73986 сағат бұрын
Sijamwelewa kabisa
@SmilingCityMap-xb9md4 сағат бұрын
Mngengenyamaza mjipe mda ninyi wenyewe ndio mtoe taalifa kwenye vyombo vya habali naona mnajibu jeuli sana wakati chanzo cha tahaluki ni ninyi wenyewe sasa mnajibu jeuli majibu hatuyaelewi hapo kosa la vyombo vya habali ni nini?
@pendokomba8322Сағат бұрын
Yan uyu jamaa ni jeul kwelkwel mkali mkali mi sijawah kumuelewa
@johnsinyinza74502 сағат бұрын
Kwanini polisi watu watu wakipata ajari na kufariki polisi wanashidwa kutowa taarifa. Haraka kuliko kuwachia ndugu. Wewe upo serikarini upade wako wewe hatukuelewi.
@salminmaylaСағат бұрын
Wakati mwingine unavumilia maongezi yaishe ili upate faida usikhofu kumaliza bando lako ili utambuwe dinia inakoelekea.
@khadejakhadeja97135 сағат бұрын
Mbona kauri.ya Hassani na mwandishi.haziendani mwandishi yupo sasahihi. Lakini Hassani anaropoka hanapointi
@Salmasaidi-h5p4 сағат бұрын
Kuongea mbele za watu ni kipaji ndug
@fatmaomar57837 сағат бұрын
Jee alikuwa hana simu jee simu yake ikowapi. Siri yote kwa kwa simu
@LydiaIsangi6 сағат бұрын
Lzm kasachiwa tu mapema sana,wale wanaondokaga na Kila kitu,na hao ndio waliharibu Kila kitu
@jessicamwasandube9446 сағат бұрын
Hapa tumepigwa case ya nyani tumbili asimame kama mwanafamilia,hii inaonyesha family wameshinikuzwa kukubari ndo maana wanashindwa kuongea,haya all in all marehem amefariki
@shadymbuki872 сағат бұрын
Umepigwa wewe na nani?
@umsulaiman74682 сағат бұрын
Wamemuuwa hao walimpeleka ndio walie muuwa eti ajali kha ujinga jamani watanzania mnakufa tu mjinga wewe unoulizwa maswali huna maana mjinga unajipendekeza sana kibaraka mkubwa
@JonathanTembo-f6jСағат бұрын
Huyu si mkuu wa wilaya huyu
@salummsangi46457 сағат бұрын
Mwandishi wa habari uwezo wake mdogo sana
@shabanipanya10336 сағат бұрын
Kwa nini kuna tuzo za wasanii na kusiwe tuzo ya mwanahabari bora ili uchaguliwe wewe unapatia sana
@nuhhumwakanyamale47712 сағат бұрын
Baba grobal wapo vizur kwenye hizi Kaz hawajawahi kuifanya poapoa, Pongez kwao
@georgesanga66732 сағат бұрын
Apumzike Kwa amani olomi
@Zubaiba52 минут бұрын
Jibu kistarabu kk
@Leodimk-n5c3 сағат бұрын
Msemaji mwenyewe kumbe mwana si-hasa tena serengeti boy 😅😅😅Na watu km hawa siku ingine ni.kuwatimua aisee ili wapate akili na kuogopa kudanganya
@DominicusPius6 сағат бұрын
😢😢😢
@cheiknamouna20585 сағат бұрын
Kwa niaba yake basi mkewe akabidhiwe hiyo mizigo huko bandarini
@nuhhumwakanyamale47712 сағат бұрын
Eti ndug Anajua maana ya ndg huyu au anadhani yy ndiy ataishi milele?.
@shadymbuki872 сағат бұрын
Wewe utaishi milele?
@tagomshana40324 сағат бұрын
Mbona msemaji kama asotaka kuhokiwa kwani watu wakikuamulia mabaya wanaangalia ni mtu wansmna gani jamani uyu vp?
@AllyDaudiNgoyeji7 сағат бұрын
Kama kweli alipata ajali,Je sehemu ya tukio hakuna Uongozi wa Mtaa ambao ndio wangekuwa wakwanza kutoa taarifa polisi? Je,hakuna CCTV camera maeneo hayo? Kwa mujibu wa kauli iliyotolewa na Mke wa marehemu,nikwamba alizungukia vituo vyote wa afya&vituo vya polisi nk,lakini hakuweza kupata taarifa yoyote kuhusu mahala mume wake alikokuwa. Sasa iweje taarifa za mume wake zitolewe baada ya siku zote hizo? Kama kweli Maiti ilikuwepo huko Mwananyamala,mbona mkewe hakuweza kuiona au kuambiwa na wahusika wahospitalini hapo? Kifo chake kina utata! Huyu msemaji wa okoo anadoji maswali!
@kanankirannko61746 сағат бұрын
Kwa kutambua mwili sio rahisi manake unaenda bila mategemeo ya kupata marehemu
@MwanahalimakisuluKisulu6 сағат бұрын
Mke wa marehem hakuitaja hospital ya mwananyamala jaman binadam tushukuru tu ndugu zetu wakishakufa ni kushukuru Mungu sabb yeye ndiye anapanga kifo chetu😢
@rahabnkya82764 сағат бұрын
DC Ubungo! Mh HASSAN, : AJALI AJALI AJALI..MMMMHMM RIP , MAMA MFIWA POOLE SANA NA WATOTO NA NDUGUS.
@Leodimk-n5c3 сағат бұрын
Baaaasi nilikuwa sijaelewa hakuna msemaji wa familia hapo
@AlHamra-k4u2 сағат бұрын
Vp marehemu anakovu lolote juu ya ajali na pikipik je umesagika??
@FestoMunishi4 сағат бұрын
Point
@AbubakhaliKazi4 сағат бұрын
Wewe mkuu wa wilaya umesema kuwa siyo msemaji wa jeshi la police mbona unasemea jeshi la police usalama barabaran
@PrinceHendry-hp8vv3 сағат бұрын
Maajabu na ndo mwenyekiti wa ulinzi na usalama wilaya
@Leodimk-n5c3 сағат бұрын
Huyu kaongeza utata tuu. Ajali yenyewe hata haielezwi hata ikitokeaje 😮😮😮😮
@chayomgonja313121 минут бұрын
Anaongelea juu juu wakati anajua kulikuwa na mkangaiko.. ni ajali ya aina gan?
@AminaTanzania3 сағат бұрын
Wlmurisema taree 11 murifika hospitari hamukumtabua jana ndoo mkamtambua mwiri umevimba acheni upumbavu wa kutufanya watoto sisi
@Leodimk-n5c4 сағат бұрын
Mmmmh hamna kitu hapo hawa nao washalishwa matanga pori 😊😊😊
@mariamsaidi16814 сағат бұрын
Dah inauma sana
@Vitusseleman6 сағат бұрын
Poleni sana
@kaaakwakutuliaa51794 сағат бұрын
alihudumiwa vipi bila pf 3 ,hawa kenge wanataka kutuchezea
@shadymbuki872 сағат бұрын
Kukuchezea wewe na nani? mumeo?
@ramadhanishabani8074 сағат бұрын
Polisi ni polisi hata awe ndugu yako, wana viapo vya serikali hao
@Leodimk-n5c4 сағат бұрын
Huyu mjomba anatafuta urithi wa mali mwangalieni sana
@EstherElias-u8o7 сағат бұрын
We daisa wewe unajua ulipigwa au umepata ajali
@onesmomwakasege52157 сағат бұрын
Family ishazumgumza kwaiyo weñgine inabidi muamini ivyo kama family inavyo àmini
@khadejakhadeja97135 сағат бұрын
Hayaa sasa Umeshikwa na uwongo wako. Jamani HASSANI pia achunguzwe anaropoka tuu kama mlevi
@FatmaHamad-g6s6 сағат бұрын
Nibora kujiepusha na maneno tu Olomi kashatangulia hilo ndo lakuzingatia angalau mwili umepatikana
@bernadetamushi7 сағат бұрын
Semeni ukweli
@Zaynab-ny6gr7 сағат бұрын
Hakuna namna ni kukubali tuu
@Leodimk-n5c4 сағат бұрын
Wote tumeshafanywa mazuzu uaani
@rashidmaulid73125 сағат бұрын
Poleni
@AminaTanzania3 сағат бұрын
Yani nyie viongozi mpaka tuwamarize nyie ndoo mnashika adabu ya kusema ukweri
@JonathanTembo-f6jСағат бұрын
Huyu sio mwana familia katumwa huyu
@LinnaJohn30 минут бұрын
Una mwanasheria wewe shauli yako kilichopo ni kukikubali tu kaenda basi tumuachie mungu tu ndie anajua hili mtaongea mengi lkn leo angehamka angesema nn kilimkuta basi mtakosana na watu bule embu tumuachieni muhumba yy ndie mtoa ukumu inawezakuwa ajali kweri jmn
@morisgonzalo4 сағат бұрын
Dah huyu mtangazaji saut kama ya kapten G
@AgnessJohn-v8p7 сағат бұрын
Hiiii family nayo mambo kweri
@husnamadai70527 сағат бұрын
Mashuhuda wa ajali mbona hawasemi chochote
@HamisAlly-g6m4 сағат бұрын
Waandishi ndio chanzo Cha Taharuki
@AlfredinaEdwine4 сағат бұрын
R.i.p
@yukundapeter82006 сағат бұрын
Acha kujigonga kwa family,kwani hamna ndugu?
@ZubedaSaid-kn9dp5 сағат бұрын
Ni msiba lakini nimecheka Eti ndugu jamaa na marehemu kama mnavyowaona
@sauda45054 сағат бұрын
😂😂😂
@nuhhumwakanyamale47712 сағат бұрын
Hta mm ningekuepo hapo ningeonyesha huzuni uwazidi hao vibaraka
@furaha71546 сағат бұрын
BORA UNGENYAMAZA TU MAANA HAUJUI HATA KUELEWA MASWALI,HUAJUI KUJIBU UNACHOULIZWA,UMELISHWA MANENO,MAANA SI LAZIMA KUJUA KILA KITU,ILA KAMA HAUJUI SEMA HAUJUI
@juliethkatabwa53067 сағат бұрын
Mungu awatie nguvu
@IfadatAlly6 сағат бұрын
Huyu anaeitwa kiongozi ana sifa sana hana mana pesa mbili
@umsulaiman74682 сағат бұрын
Ujinga mkubwa wewe ndio msemaji wa family mjinga sana Hana uchungu na alie kufa huna maana kibaraka mkubwa kauliwa tu hao walio mpeleka spital ndo walio muuwa mjinga mkubwa
@brendashao366 сағат бұрын
Bwana mungu akawe faraja kwenu
@ramadhanrashidmthailand95537 сағат бұрын
Huyu nindugu au na mishkaki tu! Kwanini asizungumze ndugu au mke!
@hanifamziray2775 сағат бұрын
Jamani huruma sn pole mke
@BeatriceMbonde-s8t5 сағат бұрын
daah, huyo jamaaa nilisoma naye chuo aiseee
@HalimaKassim-yz3we7 сағат бұрын
Jamani
@mabondolawrence18126 сағат бұрын
Siyo presha ya mitandao ya kijamii
@humphreymkony89155 сағат бұрын
Acha kujibu dry wakati wewe sio ndugu
@FatumaJuma-b2g3 сағат бұрын
Mbona anatabasamu 👀 mh
@pendokomba8322Сағат бұрын
Linakeraa kwelikweli
@abdulkarimabdallah95367 сағат бұрын
Sf sana tabu yanjaa moja kati maswali nilikua najiuliza sana ambayo nimuhim mno
@omarimamboleo26346 сағат бұрын
Acheni kulazimisha mambo
@abeidsanga73616 сағат бұрын
Bado ni hatuelewi kizungumkuti
@denisimaliyaweni91837 сағат бұрын
Wewe ni rafiki cyo mwana familia tuache
@HaznaLuhanjo7 сағат бұрын
Poleni wana ulomi
@KayongoOba-ht2rf3 сағат бұрын
kaka ujaguswa ww
@namsifubwana21527 сағат бұрын
😭😭😭😭
@husnamadai70527 сағат бұрын
Kwani umeambiwa utambulushe waliopo?
@AminaTanzania3 сағат бұрын
Ww ropokatuu
@abdulkarimabdallah95367 сағат бұрын
Pia nina mashaka nahii familia hasa kuhusu huyo hassan
@hassanlikwenangu84717 сағат бұрын
Muombe Mungu ukienda chooni usiwe unakunya akili ukaacha mavi