🔴LIVE: KIMENUKA NDOA YA MANARA & ZAYLISSA / MANARA AFUMANIWA?? / LOKOLE ANATOA ZANDAANI

  Рет қаралды 46,470

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 104
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 2 ай бұрын
Mm niko kwenye page ya juma 24/7 hajawah kutukana huyu baba ila haj anataka kusifiwa tu muda wote na akigombana na mtu bas anataka watu wote wagombane nae
@Watema23
@Watema23 2 ай бұрын
Tooth whitening...Ni garama sana hapa Marekani kwa kufanya dental cleaning. Mimi binafsi nafanya dental cleaning hapo Dar kila mara nikitembelea Tanzania.
@AdmiringBonsaiTree-nc1lv
@AdmiringBonsaiTree-nc1lv 2 ай бұрын
Sawa
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 ай бұрын
Kaka zetu wameuliwa huko Temeke wengine hata hawahusiki kwenye panya road lkn wamewafata ndani wakiwa wamelala inakuwaje hao wasiuliwe ikiwa ushahidi unaonekana
@Rizikijumamkonge
@Rizikijumamkonge Ай бұрын
Hiv hii nyimbo yaitwaje
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 ай бұрын
Duuuuuu hajji manara sindano imemuingia aswaaaa ukweli unauma jamn😂😂
@husnaabdullah3009
@husnaabdullah3009 2 ай бұрын
Ila jmn kukaa na manara ni kipaji yn anakisiran kama ana mimba changa yn huyo zay anavumilia Sana 😢
@EricaBizuru-jp9by
@EricaBizuru-jp9by 2 ай бұрын
Hapo kwenye mimba😂😂😂😂 Alooh..
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 ай бұрын
Wee dida una domo kwenye mambo ya hovyo kwenye ishu za maana unaogopa
@germasanguya5671
@germasanguya5671 2 ай бұрын
Ila Dida😅 Eti niwachambe police kwa kweli wakuache😂😂😂
@HassinaAlharthi
@HassinaAlharthi Ай бұрын
Kweli tofauti za menu Tz na nchi za nje siyo sawa kabisa.
@SabrinaMwakapeje-u3v
@SabrinaMwakapeje-u3v 2 ай бұрын
Ni ukweli tupu Jumalokole Hana kosa
@JoyceJoshua-e3l
@JoyceJoshua-e3l 2 ай бұрын
X ,
@JokhaVenance
@JokhaVenance 2 ай бұрын
Mnazingua story aianzi mbwembwe nyingii
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 2 ай бұрын
Daaaah!!ndege 16!!zinarukia anga gani?mbona hata ulaya hazifiki??ndege 16 it's not a joke!!
@FaudhiaMchunga
@FaudhiaMchunga 2 ай бұрын
Ila juma minamkubali bana
@HassinaAlharthi
@HassinaAlharthi Ай бұрын
Inahusu nini ndowa za watu wa Tanzania inawahusu nini dida kua mbali ya so kuhusu...
@jokhaali5893
@jokhaali5893 2 ай бұрын
Bw. Manara ana mdomo kweli kweli
@abdulnasuma9729
@abdulnasuma9729 2 ай бұрын
Waleteni mamazenu sasa mkomeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂bugaaaaaaaaaaaa
@zuwenaally2734
@zuwenaally2734 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 yani nimecheka da dida I love u Allah amnusuru samira
@EricaBizuru-jp9by
@EricaBizuru-jp9by 2 ай бұрын
Sema li dida linani-furahishaga linavo mshushua babu Iddy😂😂😂
@KhadijaSadiki-n3t
@KhadijaSadiki-n3t 2 ай бұрын
Kujiuza nakubali.mimi mtu mzima kuingizwa huo mdude huko nyuma siwezi.lkn binti mdogo kama mwanangu anaonekana mzoefu😢😢.ila why wamemzalilisha kumchukua video .wapo wa2 wanafanyiwa matukio hayo wanakaa kimya ,lkn hawa wamemdhaliilisha
@Anethrobarth
@Anethrobarth 2 ай бұрын
Wee manar koma nyooooo Tena tuachie juma wetu mnafkii
@cdeleo9336
@cdeleo9336 2 ай бұрын
Kutengeneza meno marekani ni bei acheni ubishi. Google basi msije kudhalilika
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 ай бұрын
Na awadhi aliewapiga viongozi wa chadema mbona hajachukuliwa hatua?
@Rymaas1TV
@Rymaas1TV 2 ай бұрын
Inje kungarisha meno ni 100$ Dollar 100 waace wongo wa Tz wakiwa inje wanatumia uwongo sana uku Egypt ni 100$ Na Ndio Bei inje kote ni 100$. Kudafisha tu bila kungarisha ni bei ndogo sanaa hata dollar 50 hazifiki
@EricaBizuru-jp9by
@EricaBizuru-jp9by 2 ай бұрын
Juma hapo haukuteleza ulijiangusha kabisa kwamba akae nje 😂😂😂😂😂
@supradav1489
@supradav1489 2 ай бұрын
Za ndaniiii nimesikia juma unamtaja daimond na Alyaa eeh mkatutoa kwenye reli nimewasikia😂😂😂😂😂😂😂
@susans4490
@susans4490 2 ай бұрын
Unaweza kulipa kidogo kidogo so inaweza kuwa bei hio ila hajalipa yote
@zuwenaally2734
@zuwenaally2734 2 ай бұрын
😂😂😂😂 da dida ndo muoga ivyo @dida
@skeeteranderson375
@skeeteranderson375 2 ай бұрын
Dida nae na mdomo woote na kelele zoote kwenye upumbavu ila hili la msingi la ukatili kakaa kimyaa ,moto wa karatasi, wememwaachia Juma tu
@nafisamnondwa5998
@nafisamnondwa5998 2 ай бұрын
juma 😂 procedure ya kusafisha meno inaitwa prophylaxis dental cleaning
@Richforever66
@Richforever66 Ай бұрын
Dida mmmh oooo ndioooo ahaaa mmmm kaoga
@Shaaban-oe9pn
@Shaaban-oe9pn 2 ай бұрын
Dida, na Juma lokole leo mmepatikana kwa BUGATI
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 ай бұрын
Weeee manara endelea kupiga domo kwenye mpira ndio kunafaaa huyu zay mswahili muache acheze singeli kashamis uswazi kamis aswaaaa miez 8 hapo kama yupo kifungon
@mamymamiza2924
@mamymamiza2924 2 ай бұрын
Acheni uoga nyie ndio mnatakiwa mtupiganie mbona kina kitenge wanaupigamwingi😢
@Nuru9568
@Nuru9568 2 ай бұрын
Haji Manara apendagi kuambiwa ukweli siku zote ukwel unauma
@jamilasaid3575
@jamilasaid3575 2 ай бұрын
Ukimwambia yuwakublock😂😂
@Nuru9568
@Nuru9568 2 ай бұрын
@@jamilasaid3575 ndo zake yule yan anataka asifiwe tu🤣
@jamilasaid3575
@jamilasaid3575 2 ай бұрын
Mimi aliblock 😂😂Mwaya kwa kumwambia ukweli​@@Nuru9568
@RajabuHayyan
@RajabuHayyan 2 ай бұрын
​@@Nuru9568atafia vinenan
@ashuramanya9282
@ashuramanya9282 2 ай бұрын
😂😂😂nihatari ndo kibaya ca kila kitu mitandaoni.​@@Nuru9568
@ramadhaniddy5976
@ramadhaniddy5976 2 ай бұрын
Juma Lokole wacha vibweka
@RashfaSalum
@RashfaSalum 2 ай бұрын
Hii taarabu inaitwaje jamani
@johanjoha5262
@johanjoha5262 2 ай бұрын
Mkishaga wakoseya Adamu Wati mkiona wamekasika ndo mnajisemesa ilikuwa nimitani,iyo mitandao imewafanya mkaa kosaadabu mna laana ya MUNGU
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s 2 ай бұрын
Hv dida hyo kucha ambayo huwa hambandiki ni ya nn🤷‍♀️😅😅🙌
@ZainabSaid-i4k
@ZainabSaid-i4k 2 ай бұрын
Yakupakia misk😂😂😂😂
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s 2 ай бұрын
@@ZainabSaid-i4k 🤣🤣naijua hyo
@umfahad2609
@umfahad2609 2 ай бұрын
Lkn uongo mbaya. Juma amepata kigugumizi leo.😂😂😂
@ABDULKITINDI
@ABDULKITINDI 2 ай бұрын
Idrisa
@zuwenaally2734
@zuwenaally2734 2 ай бұрын
😀😀😀😀😀dida muoga
@KhadijaSadiki-n3t
@KhadijaSadiki-n3t 2 ай бұрын
Manara ana gubu na Yale mambo ya kike yakudhila
@RamlaJuma-ct9jb
@RamlaJuma-ct9jb 2 ай бұрын
Dida nimecheka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zuwenaally2734
@zuwenaally2734 2 ай бұрын
😂dida kageukiwa
@Ummysauda
@Ummysauda 2 ай бұрын
Alifuta ndio
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 2 ай бұрын
Niachie kakaangu haji❤❤ Mtakufa na umbea😢 Haji na zaylisa watazikana
@alsam4881
@alsam4881 2 ай бұрын
Dida ameshakuwa mtu mzima sana hadi mashavu yameshuka ila anapenda sana udogo, na ndiyo maana miwani ya jua haimtoki kwasababu anaficha makunyanzi ya machoni.
@nadianyamuraka
@nadianyamuraka 2 ай бұрын
😂😂😂
@RahmaSleyim
@RahmaSleyim 2 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣jumaa shikamooo 🙌
@RegKibria
@RegKibria 2 ай бұрын
Jamani
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 2 ай бұрын
Waache waachane kwani inatuhusu nini au wao itakuwa wa kwanza kuachana?! Tuliyajua hayo km yatatokea Manara bado hajafika anapostahili kafanya haraka !
@erikamartin2655
@erikamartin2655 2 ай бұрын
JAMANI NI TEETH WHITENING !!!
@Maryam-s6e
@Maryam-s6e 2 ай бұрын
Juma hapo umepigaje kwan manara et katoka kwenye Adhabu
@silverman6930
@silverman6930 2 ай бұрын
Manara you need to sue these idiots … 😡😡😡
@jokhaali5893
@jokhaali5893 2 ай бұрын
Treatment ya meno, kama ni ORTHODONTICS ni gharama sana nchi zote sio rahisi
@khadijaamur6032
@khadijaamur6032 2 ай бұрын
Ila mm nampenda wajina wangu Bi Khadija 😂😂😂.
@Nuru8700
@Nuru8700 2 ай бұрын
Nilikuwa naisubiri hii habari nipate uhakika
@evelyneurassa5996
@evelyneurassa5996 2 ай бұрын
Jua la asubuhiii inaitwa morning glory😅😅😅😅😅idriss
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 2 ай бұрын
Sunrise 🌅 🌄 🌅 Jua la asubuhi.
@MADAMMACKTV
@MADAMMACKTV 2 ай бұрын
Nishida
@RegKibria
@RegKibria 2 ай бұрын
Dida unaogopa 😂😂😂
@MariamSimbe-fo1ce
@MariamSimbe-fo1ce 2 ай бұрын
Juma akiongeag lazima liwe kwel mtajua badae tu
@ashuramanya9282
@ashuramanya9282 2 ай бұрын
😂😂😂😂mnajuwaga kunipa maraha kweli nyiye.
@nyanziratatou5404
@nyanziratatou5404 2 ай бұрын
Kusafisha meno huku zikiwa pesa nyingi ni $2000
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 ай бұрын
Acheni uoga tafuteni kazi nyingine kama mnaogopa kutoa habari kwa uhuru
@StevenGiven
@StevenGiven 2 ай бұрын
😂😂😂
@nayarichard5318
@nayarichard5318 2 ай бұрын
Zai nae hapo anakazi
@umaima1178
@umaima1178 2 ай бұрын
Ila hamisa una mzungumzia juma
@umfahad2609
@umfahad2609 2 ай бұрын
Juma leo anasutwa…🤣🤣🤣🤣🤣
@ibrahimkhatib760
@ibrahimkhatib760 2 ай бұрын
to brush teeth
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 2 ай бұрын
Waukaya tanga kunani oooyeeee
@FeyEdward
@FeyEdward 2 ай бұрын
Ila nyie mmeshindikanaaa wambeaa wakubwaa😂😂😂😂
@AbduAbdu-s7i
@AbduAbdu-s7i 2 ай бұрын
Anajifanya victim
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 ай бұрын
Dah kokoye karudi nimemkosa leo😂😂
@maryamtan682
@maryamtan682 2 ай бұрын
Alikua wapi?
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 ай бұрын
@@maryamtan682 China
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 2 ай бұрын
😂😂😂😂 Ila nyie mashamsham wambea wallah nimecheka mwanzo mbka mwisho 😂 mie hapo kwneye magazet babu iddy mie hoi
@sharifaal-masroori2238
@sharifaal-masroori2238 2 ай бұрын
Teeth cleaning
@msindimalugendo8252
@msindimalugendo8252 2 ай бұрын
toothpaste
@JoanaMohamed-w5y
@JoanaMohamed-w5y 2 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 nyie mnalaana daa ao vijana wapewe adhabu yakifo
@MnyamaniTatu
@MnyamaniTatu 2 ай бұрын
Tulujiatu ishuyauyobinti itaishia ivo
@aishatest4451
@aishatest4451 2 ай бұрын
dida haaaaa😅😅😅,
@aishaally6602
@aishaally6602 2 ай бұрын
Juma uwe unatumia akili kila jambo la mtu wewe kimbelembele tizama yako
@ummysalumu4852
@ummysalumu4852 2 ай бұрын
Juma we ni mshamba kwa cecy anavoonekana sasaivi ni rahisi kupata bwana nakumlioia iyo pesa mara moja alafu huwezifananisha ubora wa mambo wa Africa na ulaya ata ivo plastic surgery bei ya turkey na na marekani sio sawa
@rechomwaigaga2476
@rechomwaigaga2476 2 ай бұрын
😂😂😂😂 nyieeee
@dinahkimario3361
@dinahkimario3361 2 ай бұрын
Mnachekesha nyie😂😂😂😂
@shamsaali982
@shamsaali982 2 ай бұрын
Dental cleaning 😂
@Fofo-z6t
@Fofo-z6t 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@tinershayo6191
@tinershayo6191 2 ай бұрын
Kqmq 😂😂😂
@skeeteranderson375
@skeeteranderson375 2 ай бұрын
Mbn Iddris anakuwa mnafki atetea jeshi la police
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 2 ай бұрын
😂😂😂😂
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 9 МЛН
Try Not To Laugh 😅 the Best of BoxtoxTv 👌
00:18
boxtoxtv
Рет қаралды 3,7 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 152 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 27 МЛН
UKIMCHUKUWA MUME WANGU UTACHAGUA MAMBO MAWILI ''LULU WHITE''
37:21
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 9 МЛН