MY REPLY SHOW W/ GIGY MONEY EP01 | GIGY MONEY AJIBU MASWALI YOTE MAGUMU YA FANS WAKE | MY REPLY SHOW

  Рет қаралды 143,980

Studio Space

Studio Space

Күн бұрын

Welcome to My Reply ! Where Celebrities and Public Figures Answer 30 Tricky Questions From Their Fans. Expect Honest Answers, Surprises, and Real Moments!
This show is proudly produced by Studio Space Media by Mike Rentals.
Follow, Subscribe & Connect with Us:
/ myreplyshow
/ studiospacemedia
/ myreplyshow
/ @studiospacemedia
x.com/studiosp...
For Business inquiries email us at!
hello@studiospacemedia.com

Пікірлер
@studiospacemedia
@studiospacemedia 15 күн бұрын
Thank You For Watching! Like, Comment, Share, And Subscribe For More Amazing Content.
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 3 ай бұрын
Kiukweli kama kuna mtu anamchukia gig akapimwe akili kabisa mm binafsi nampenda❤❤❤❤
@AsmaAsma-og6ul
@AsmaAsma-og6ul 2 ай бұрын
Kabisa
@fmcgfood-fc1oh
@fmcgfood-fc1oh 3 ай бұрын
Binafs nampenda sana gigy anaongea point sana sema cos ni mcharuko ndio mnamuona anaropoka but she talking point every day ❤
@glorymanga3650
@glorymanga3650 2 ай бұрын
Yani gigy nakupenda sana, mtu hachoki kukusikilizaa❤
@DominPallangyo
@DominPallangyo 2 ай бұрын
Yan nilivyofungua hii video nilisema naangalia tyu kidogo nitoe ila kila ilivyokuwa inaenda mbele nikanogewa mpaka nikakuta nimeimaliza yote 😂😂😂❤
@SuzanneRiziki-zc4qk
@SuzanneRiziki-zc4qk 2 ай бұрын
😂😂😂😂wengi
@GeorgeFaustine-ee5fn
@GeorgeFaustine-ee5fn 2 ай бұрын
Hahaha 🤣🤣 kama me
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 Ай бұрын
Nami pia
@paulshibhiti9584
@paulshibhiti9584 2 ай бұрын
Wajibu wa elimi ya mtoto ni wako mzazi gigy safiii sana nimekuelewa
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 2 ай бұрын
Nampendaga the way she speek gigy
@DonayiAnita
@DonayiAnita 2 ай бұрын
Majibu yako mazuri unayatendea haki❤❤❤❤❤❤❤❤
@HenriquesAliguene
@HenriquesAliguene 2 ай бұрын
Kiukweli nampenda sana uyu dada.❤❤❤
@azizahamisi3712
@azizahamisi3712 3 ай бұрын
Nakupenda gigy nakupenda sanaaa
@cynthiashayo2844
@cynthiashayo2844 2 ай бұрын
Big up kwako dada gigy nakupenda sana..... Mungu akupe maisha marefu
@UwimanaLiah
@UwimanaLiah 3 ай бұрын
Yaani uyu mdada napenda jibuzake balaaa😂😂❤
@MerryThomas-k5i
@MerryThomas-k5i 2 ай бұрын
Apo kwenye marafiki nimeipenda sana
@malichanda3146
@malichanda3146 3 ай бұрын
Hakuna mdada nampenda kama gig ❤❤❤❤❤
@SafiMmunga-i7v
@SafiMmunga-i7v 3 ай бұрын
😂😂😂wallah Nakupenda bure
@AsmaAsma-og6ul
@AsmaAsma-og6ul 2 ай бұрын
Unaongea point san dada ❤❤❤❤
@MoiminiIssa
@MoiminiIssa 2 ай бұрын
Napenda anavyo ongea ukweli 😂❤❤❤
@rehemabakari4150
@rehemabakari4150 3 ай бұрын
Hongera napenda confidence yako
@cathe-wr7gb
@cathe-wr7gb 3 ай бұрын
I come from tiktok wenye d mbili wameelewa gonga like hapo🔥🔥😂
@chingalawatv4577
@chingalawatv4577 2 ай бұрын
Me too😂😂
@EstherJohn-w9p
@EstherJohn-w9p 2 ай бұрын
Anajibu maswali bila konakona safi❤
@AsmaAsma-og6ul
@AsmaAsma-og6ul 2 ай бұрын
Dad gigy nakupend san dad angu jaman unanifraish mungu akupe maish maref
@hyner-bae7648
@hyner-bae7648 3 ай бұрын
😂😂😂😂hapo kwa mama mkwe 👐🏽
@PeterDaniel-q4w
@PeterDaniel-q4w 2 ай бұрын
Dhhh dada nikikuga nakuchukia lakini hapana uko very very nice
@mlugekarol2688
@mlugekarol2688 Ай бұрын
Nilikuwa sijui kama una upeo wa akili kiasi hicho. Nimependa sana haya majibu. Very genius
@WittyErnext-xy2tj
@WittyErnext-xy2tj 2 ай бұрын
Ila nakukubali Sana gigy money
@janetm8177
@janetm8177 3 ай бұрын
I love this girl hana Siri, atakwambia yalivyo❤ 😂😂😂
@khadijajuma6271
@khadijajuma6271 3 ай бұрын
Ilaaa gigy 😂😂😂🙌🙌🙌 kwa ex hapo 😂😂😂😂
@JaneMdimi
@JaneMdimi Ай бұрын
Komwe ,,na pale penye ugomvi umetishaaaaaa ❤❤❤❤
@chalachala4251
@chalachala4251 3 ай бұрын
Gigi nakupenda bureeee❤❤❤❤
@elizabethprosper6031
@elizabethprosper6031 2 ай бұрын
Gigy mtu hatar❤❤❤❤
@Jihanjihad-t2r
@Jihanjihad-t2r 3 ай бұрын
Anaa Akili sana unajibu maswali vizuri mno
@Mpoki-n2l
@Mpoki-n2l 3 ай бұрын
Mimi na mpenda sababu anajitambua kusemwa vibaya nikawaida kwambinadamu ko yeye kwanza awazi yupo bize❤
@JoyceshidaYohana
@JoyceshidaYohana 2 ай бұрын
Waambie dad gigy wapone wape ukwel wao
@Morry-nx7tp
@Morry-nx7tp 2 ай бұрын
Oyaaaaa kila nachoskilizaaaaaa nakumbuka umetoka mbeyaaaaa.... oya watu wa mbeyaa unyama sanaaaa
@mayce_oh
@mayce_oh 3 ай бұрын
I love her, she’s so real
@starlily07
@starlily07 3 ай бұрын
So real 😂😂
@SurprisedDumplings-pt1bb
@SurprisedDumplings-pt1bb 2 ай бұрын
Safi nimeipenda sana❤❤❤❤
@LeylatHemed-bb9di
@LeylatHemed-bb9di 3 ай бұрын
Gigy umejua kunichekesha😂🎉
@lucymori5090
@lucymori5090 3 ай бұрын
Gigy gigy gigy 😅😅😅😅nakupenda buree❤😂😅
@StellaJackson-uu8zs
@StellaJackson-uu8zs 2 ай бұрын
Nakukubali sana sister Ggy unaongea ukwelii
@ramaizungu8587
@ramaizungu8587 2 ай бұрын
Huyu sister namkubali yupo real yaani katoka swahilination.@+254
@PendoPatrick-eo5ej
@PendoPatrick-eo5ej Ай бұрын
Nacho kupendea wewe huwa ni muwazi sana gigy😂
@captainkuchi3912
@captainkuchi3912 3 ай бұрын
Nakupenda wewe Gig. Unaongea. Ukweli❤❤❤
@rosenamilia4140
@rosenamilia4140 3 ай бұрын
Giggy umenifurahisha sana pale uliposema unaweka hata sehemu za siri.Ukichungulia tu hivi unakiona😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉
@zainabtumba1186
@zainabtumba1186 2 ай бұрын
😂😂🇹🇿/🇺🇲 💯FACTS TRUE Spoken correct truthful by LOVELY Gigg Mapesaa!!! Yaani Napenda interview zako Sis. Yaani kwenye kupendaa Majibaba ya Ovyooo "father careless" wasiofahamu umuhimu wa kuzaa na kuleaaa na kutunza Mahusianooo na ustarabu wa familia zaidi Ahhh, utaishiaaa tu single Mother's. Na maana ya single Mather ni Baba kuto kuhusikana na uwepo wake ki ukamilifu Ndani ya malezi ya Mtoto kwa namna moja au nyengine. Dahh yaani kajibu Pambeee kapembuaaa ukweli ...Wanawake wenzaguu mnaochipukia lizingatie ilo kuzaa na Mi Baba OVYOO Kizaa kineneeee. Wee Achaa tuuu.
@ZulfaJevejeve
@ZulfaJevejeve 2 ай бұрын
kwelii kabsa dada gigy,kuhusu marafiki cio watu kabsa
@getylnaviangodfrey3602
@getylnaviangodfrey3602 2 ай бұрын
Ila gigi nyie 🙌🏽🙌🏽🙌🏽she is soo Funny 🤣😂😂😂🤣
@RachealAndy1
@RachealAndy1 3 ай бұрын
M nakupenda sana kipenzi
@abdultandala6576
@abdultandala6576 3 ай бұрын
Gigy una akili saana MY WANGU😅😅😅😅😅😅😅
@RahelMsendo-y7w
@RahelMsendo-y7w 2 ай бұрын
Cast nzur lkn ruhusuni kudownload please
@ELIZABETHSOPHIA-g7h
@ELIZABETHSOPHIA-g7h 3 ай бұрын
...from tiktok🥳🥳penda gigy sanaa❤❤
@Salahsabikwasabikwa
@Salahsabikwasabikwa 2 ай бұрын
Nakupenda buree😂😂😂😂
@queenandchill91
@queenandchill91 2 ай бұрын
Yaani Gigy ,,😂😂😂❤❤
@jescamushi3142
@jescamushi3142 10 күн бұрын
😅😅Et mimi nikitoka club nikifika nyumban nikitapika udeki wewe😂 nyieeee🙌
@StephanoCharles-d3v
@StephanoCharles-d3v 2 ай бұрын
Hapo kwenye marafiki uko sawa hata mm siwez kuwa na rafiki
@salmanassoro-u8p
@salmanassoro-u8p Ай бұрын
Nampenda sana huyu dada ni muwaz sana hana nidhamu ya uwoga penye upendo anaonesha upendo ila ukimtibua utajua ujui.
@TinahDaud
@TinahDaud 3 ай бұрын
,🤣🤣🤣🤣🤣 boda boda...love you gigy
@christinadevic9432
@christinadevic9432 2 ай бұрын
Yaani ningekuwa mama mkwe wa gigy ningefurahi Sana huyu ni kucheka huko ndani tu maana ni drama queen 👑👑👑 mwee
@LindaSalumu-yw9hq
@LindaSalumu-yw9hq 2 ай бұрын
Nilichogundua huyu dada anapendwa
@MariamRashidi-n7u
@MariamRashidi-n7u Ай бұрын
Nimependa kwenye ulisema hauwezi kumruhuru mwa nako kuchora tatu 🎉🎉🎉🎉
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Ай бұрын
Ila gigy penda sana my love 💕
@EmmyNacli
@EmmyNacli Ай бұрын
❤❤❤tukowengi
@ZaynaAdam
@ZaynaAdam 3 ай бұрын
Me nampenda huyu dada
@RosecharlesMollel
@RosecharlesMollel 2 ай бұрын
Kwenye neno kwa x nimecheka kisenge 😅😂😂
@NdikumaaAisha
@NdikumaaAisha 3 ай бұрын
Ananipaga Raha sana gigy❤
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 3 ай бұрын
Me too ❤❤
@isayachingwile6694
@isayachingwile6694 3 ай бұрын
ila gigy😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@irakozeshakiru1131
@irakozeshakiru1131 3 ай бұрын
😂😂😂😂mamy nagupenda bureee ❤❤❤❤
@RandB_Channel
@RandB_Channel 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 du huyu mdada nikiboko
@Jerry_Mushala
@Jerry_Mushala 2 ай бұрын
Very nice show, I like it. big up Mike!
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂mie napenda kumsikiliza gigy 😂😂😂😂
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 chukua Gigy maua yako
@SakinaOmar-rz8zo
@SakinaOmar-rz8zo 2 ай бұрын
Love uuuuuuuuuu mama Mayra
@EsterGilbert-p6t
@EsterGilbert-p6t 2 ай бұрын
Nisameheni si nimeulizwa😅😅😅
@finah791
@finah791 3 ай бұрын
Nimecheka sana😂
@johanjoha5262
@johanjoha5262 2 ай бұрын
Yani Gygy 📷 Na maswali umebizoweya kbs
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂tunakupenda
@ZulfatHamisi
@ZulfatHamisi 2 ай бұрын
Nakupnda san
@Aisha-y9s6r
@Aisha-y9s6r Ай бұрын
Love u Gigi from burundi
@ancyfridaanold6403
@ancyfridaanold6403 3 ай бұрын
Kiumriii na mzikiii haviendaniii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@chany9950
@chany9950 3 ай бұрын
Gigy mbona nakupenda mno🤣😘😘
@Linah-nt5nk
@Linah-nt5nk 3 ай бұрын
Waaàh nimetoka mbali munipeee majii kwanza nimetoka tìktok 😂😂 nimetafuta hii video kalibu nikufie jiani😂
@sandant12
@sandant12 2 ай бұрын
😂😂😂
@faustarchrispin3077
@faustarchrispin3077 2 ай бұрын
😂😂😂
@sachymassy
@sachymassy 2 ай бұрын
😂😂
@LeahYona-zn5sn
@LeahYona-zn5sn Ай бұрын
😂😂😂😂pole
@annymassawe1311
@annymassawe1311 2 ай бұрын
Etii mwili umejaaa hennesy
@muhayarugaonlinetv
@muhayarugaonlinetv 3 ай бұрын
Ah I content ni noma bigup dada gigy
@hashimhamis-bj1kf
@hashimhamis-bj1kf 2 ай бұрын
Nyie kila kitu in america daaahhh
@HappinessSolomon-t5z
@HappinessSolomon-t5z 3 ай бұрын
Nakupendag san❤
@RoseKavishe-b1w
@RoseKavishe-b1w 2 ай бұрын
Gigy is so really
@ShabanYasin-r7g
@ShabanYasin-r7g Ай бұрын
Hongela dada nakupenda Sanaa ❤❤❤❤❤
@SteaveChotter
@SteaveChotter 2 ай бұрын
Baba ake hupo kwenye redio hoi hoii
@Gody360
@Gody360 Ай бұрын
Sawa Dada
@mumspencernleah8037
@mumspencernleah8037 3 ай бұрын
Gigy kama Gigy 😂😂😂😂❤❤❤❤nakupenda bure
@PrincessHaytham
@PrincessHaytham Ай бұрын
Me nampenda huyu dada jamaniii
@aluneanthony3468
@aluneanthony3468 Ай бұрын
Gigy anaongea ukweli😂😂😂
@Onepiecefamily-v1c
@Onepiecefamily-v1c 3 ай бұрын
Ila gigy umenishinda akili😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 3 ай бұрын
Mnataka wote mkae duka la nguo mabati abebe nani😂😂😂😂😂😂
@AdmiringBamboo-pf5sd
@AdmiringBamboo-pf5sd Ай бұрын
😂😂😂 Ila gigy🙌🏽
@doryierees1548
@doryierees1548 3 ай бұрын
😂😂😂😂 I love u gigy
@AnnamichaelVictor
@AnnamichaelVictor 2 ай бұрын
Mmh gigy 🎉❤
@JofreyMasangula-z6q
@JofreyMasangula-z6q 10 күн бұрын
Dahh 😂😂😂😂😂😂😂 Nampendaga Gigy hpo tuu
@Caelumkids
@Caelumkids 2 ай бұрын
Airplane is planing ...Nakubali Queen 😂😂😂
@Boog_Apparel
@Boog_Apparel 2 ай бұрын
😂😂😂
@TumainiSawee
@TumainiSawee Ай бұрын
Nakupenda sana gg❤❤❤
@bahatiapollo4892
@bahatiapollo4892 3 ай бұрын
Cardi B wa bongo🎉🎉😂😂🎉
@restutaeliezery1719
@restutaeliezery1719 3 ай бұрын
Huboekiii aiseee😂😂😂
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
MCH.OBED KATUNZI AMJIBU MCH MOSES MAGEMBE
56:21
SHUHUDA ZA KWELI
Рет қаралды 555