🔴

  Рет қаралды 26,861

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 510
@globaltv_online
@globaltv_online 15 күн бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@bibiejuma5094
@bibiejuma5094 15 күн бұрын
Mbona group la global limeandikiwa limefutwa
@mwanaakidaomar4663
@mwanaakidaomar4663 15 күн бұрын
​@@bibiejuma5094hata kwangu imeandka hvyohvyo
@SaumuSarai-g5k
@SaumuSarai-g5k 15 күн бұрын
Mbona hajibu Alivyo ulizwa uyoo
@ArRahman-ih1pi
@ArRahman-ih1pi 15 күн бұрын
Hana lolote muongo t uyoo hadija kalipwa uyooo na Warabu​@@SaumuSarai-g5k
@Tedy-v3r
@Tedy-v3r 14 күн бұрын
Mbona group halipo
@HappyNgigo
@HappyNgigo 2 күн бұрын
Jaman inauma sana aisee 😢😢😢 poleni sana familia na kwa team strong wote MUNGU atufanyie wepesi tumalize salama na kurud nyumban 😢😢😢😢
@makkawi4294
@makkawi4294 15 күн бұрын
Pole kwa team strong wote na family 🥹🥹🥹
@HajiMwadin-t9l
@HajiMwadin-t9l 11 күн бұрын
Asant tushapow
@Songeagirl1
@Songeagirl1 15 күн бұрын
Khadija khadija😢 haya basi sauwah🙌🙌 Mungu ampe kauri thabiti dada mwana
@Jesca-yn4cf
@Jesca-yn4cf 15 күн бұрын
Jamani ukweli anaujua marehem na waliokuwa wanaish naye mengine tumwachie Allah 😭😭 inauma sana
@Husnasalim-f2g
@Husnasalim-f2g 15 күн бұрын
Kabisa ikitokea tafalan wasichan uongea tofaut km nakuongopea pita mitandaon
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 15 күн бұрын
Alafu Bado wapo Oman kama Oman ni pabaya siwarudi makwao watuache tunao uona uzuri wawaaarabu​@@Husnasalim-f2g
@salmaabdallah9598
@salmaabdallah9598 15 күн бұрын
Innalilahi wainnailai rajiun.mungu ailaze roho yake mahala pema 👏
@LatifaLatifa-d1w
@LatifaLatifa-d1w 15 күн бұрын
Amen
@obadiambilinyi27
@obadiambilinyi27 12 күн бұрын
Kumbe Oman mashimo ya maji taka hayafunikwi??
@TausiEme
@TausiEme 15 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉mimi nakupenda sana dada uendelee kusimamia haswa tulioko nje na wasiokuwa nje
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 15 күн бұрын
Zari tunajivunia uwepo wako.❤❤❤❤
@husnahassan2514
@husnahassan2514 15 күн бұрын
Mwana mwana duh umeniuma allh akupe kaul thabit naamin watt wako allh atawasimamia😢😢😢
@aaminaasljbgbvf745
@aaminaasljbgbvf745 15 күн бұрын
Ni mwanavua yupi mbona sijamjuwa mwenzenu😭😭😭😭😭
@JahedaSalmin
@JahedaSalmin 15 күн бұрын
Jamani nimeumia sana mungu amlaze mahala pema peponi 😢😢
@HajiMwadin-t9l
@HajiMwadin-t9l 11 күн бұрын
Amin
@DxbYae
@DxbYae 15 күн бұрын
Kila hatua dua wapambanaji wote tupo kwenye maombi juu ya ndugu yetu ....na haki hitendekee wallah 😢😢inauma sn kifochake kinauma sn
@MariammgateBagamoyo
@MariammgateBagamoyo 15 күн бұрын
Kabisaa 😭😭
@LailatAbdullah-w9d
@LailatAbdullah-w9d 15 күн бұрын
Mungu awabaliki sana grobo
@FatumaJuma-b2g
@FatumaJuma-b2g 15 күн бұрын
Kulluthumu kanyoooka Allah dhiilisha ili 🤲
@hijab8058
@hijab8058 9 күн бұрын
Allah ampe Qauli thabiti sote njia moja Allah ndie ajuae pekeewanadam wazushi
@AshaRajabuSheshe
@AshaRajabuSheshe 14 күн бұрын
Dah inasikitisha sana.mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema pepon
@JosephinaSaidi-u3l
@JosephinaSaidi-u3l 9 күн бұрын
Mwenyezi mungu ailaze roho yake mahari pema peponi 🙏
@FatmsAli-q9p
@FatmsAli-q9p 12 күн бұрын
Poleni sana wafiwa wote Allah awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu
@ArRahman-ih1pi
@ArRahman-ih1pi 15 күн бұрын
Mungu yupo na haki ya mtu haipoteii,
@KhadegaK-g5e
@KhadegaK-g5e 14 күн бұрын
Mungu akupenguvu dar zari uzidi kutupambania😢 wote tulioko nnchi zannje😢😢😢
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 15 күн бұрын
Khadija mungu anakuona ila Allah ndo anajua hili
@ShakilaShila-w9n
@ShakilaShila-w9n 8 күн бұрын
Inalilah wainalilah rajighun mungu ailaze roho yake mahali pema peponii
@نجاةالعبري
@نجاةالعبري 15 күн бұрын
Inalilah wainalilah rajiuun pumzk kwa aman team strong mwenzetu 😭😭! Mwaka kwa team strong tume uwanza vibaya hak ya mungu
@RedmiA3-g8w
@RedmiA3-g8w 15 күн бұрын
Da zari tunajivinia uwepo wako ❤❤❤
@ashrapherzain_mnyika4574
@ashrapherzain_mnyika4574 15 күн бұрын
imeniuma sana Kwa hili tyukio sisi tunaemjuwa km rfk yetu, daaaaah Mwana umeondoka mapema sana😢😢💔💔💔🖤
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 15 күн бұрын
YAANI NAUMIA SANA😢
@Ashurarajabu-z4i
@Ashurarajabu-z4i 15 күн бұрын
Sana yan😢😢 nikiona watoto wake jamani​@@ZainabLol-wx7xf
@MaryamHAMISI-ei9fq
@MaryamHAMISI-ei9fq 15 күн бұрын
Inalilah waililah rajiuni soteniwa Allah 🙏😢 Allah ampumzishe kwaamani tumeumia sana wapambanaji
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 15 күн бұрын
Innalilah waina ilayh rajiun polen sana kwa familia
@aminaabood2898
@aminaabood2898 14 күн бұрын
Mungu Ampe kauli thabit.amsamehe mjaa wa mhamad
@FatmaMusaifa
@FatmaMusaifa 15 күн бұрын
Inalillah waina ilahirajiuna 😭😭😭 inauma sana Allah atusimamie ss tuliokua mbali nafamilia ila dah
@HajiMwadin-t9l
@HajiMwadin-t9l 11 күн бұрын
Amin
@PiliBakari-y9k
@PiliBakari-y9k 12 күн бұрын
r i p 😭😭😭 mungu ailaze roh yak maali pema peponi amiin🙏
@HajiMwadin-t9l
@HajiMwadin-t9l 11 күн бұрын
Amin
@NeemaSebastian-u6g
@NeemaSebastian-u6g 4 күн бұрын
Mungu ni mtoa haki walahi nyie tumwachie mungu na pia sisi wapambanaji tumswalie mtumie walahi
@halemasuliman-js8ug
@halemasuliman-js8ug 13 күн бұрын
Allah amsameh makosa yake mpambanaji mwenzetuu
@HajiMwadin-t9l
@HajiMwadin-t9l 11 күн бұрын
Amin
@OmanOman-v2g
@OmanOman-v2g 15 күн бұрын
Mungu akueke dar zari nakupenda mnoo❤❤❤❤
@HusnaSalum-p1q
@HusnaSalum-p1q 14 күн бұрын
Hii mijitu ina roho mbaya sana mwarabu anaweza kufanya tukio na serikali yao inawasikiliza sana we dada unaye bwabwaja Mungu anakuona wengine wanabambikiwa kesi na wapo jela
@Bettyhaule
@Bettyhaule 12 күн бұрын
Uyu Khadija anaitetea omani kisa kaolewa omani😢😢😢
@Zuwenamchuzi
@Zuwenamchuzi 14 күн бұрын
Kunastofahm hapo ila tumuschie mungu warabu wanamambo mengi sana😢😢
@nuruddin5074
@nuruddin5074 13 күн бұрын
INNA LILAH WAINNA ILAYH RAJIUN
@ZwainhOman
@ZwainhOman 15 күн бұрын
Khadija atujakuelewa sio kijijini km mnavyo zania awa wote ni walewale😢😢😢😢😢😢
@halimamsafiri288
@halimamsafiri288 15 күн бұрын
Kaaagizwa na Hao Hao 😢😢😢
@SalehomariIbrahim
@SalehomariIbrahim 15 күн бұрын
Kanunuliwa uui
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 15 күн бұрын
​@@halimamsafiri288mpuuzi tu huyo ndg yake alijifanya anaujua umalaya mpk kupata mimba alitegemea Kwa baba ake au mama ake hapa si atulie kama tulivyo tulia wenzake
@Niabebewamor413
@Niabebewamor413 15 күн бұрын
Kumbe hata wewe hujamuelewa kaongea Pumba tu mxuuuuuuuuuuuuu
@MonicaMkombwe
@MonicaMkombwe 14 күн бұрын
@Niabebewamor413 yaani mihemuko ya kipuuzi tu
@NasraIbrahimu-n1y
@NasraIbrahimu-n1y 13 күн бұрын
Inalilah wainailah rajirun marehemu ndio anaejua ukweli tuna paswa tumuombea dua
@KhadijaDaniel-zr6ll
@KhadijaDaniel-zr6ll 14 күн бұрын
Khadija mungu anakuonaa wallah
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 15 күн бұрын
Hilo xhimo mimi sikubaliani nalo 😢😢 kama kweli alitumbukia ilitakiwa kije kijiko kuchimbua maana warabu wakijenga eneo hapachimbiki Bila chewe. Wamemuua kabisa
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 15 күн бұрын
Hakika sijawahi kuona chemba kubwa hivo huku Allah atusimamie hakika tuko Kwa kutafuta rizki
@sofiajumaa4538
@sofiajumaa4538 15 күн бұрын
Sahihi waarabu. Hawakai na lishimo hivyo wanaliangalia maana watoto wao hawasikii waongo hao 😢😢
@AhmedNasser-hj6df
@AhmedNasser-hj6df 15 күн бұрын
Jamani yapo mashimo ya Karo yazamani kuna watu wengine hawajayafukia .. mm kwangu nililifukia baada ya kutokea ajali kama hii kabla .. tuache fitna jamani
@zidadumbepo1486
@zidadumbepo1486 15 күн бұрын
Huyu mdada Chawa tena mtz anasaliti ndugu zake
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg 15 күн бұрын
@@B.M-ix4rzwarabu hawachimbi choo kirefu km ss tz choo chao futi 5 tena pana km upama wachumba
@Jenifajerad
@Jenifajerad 15 күн бұрын
Ambaaa atujamuelewa huyu adija tujuane eti tz wana chimba olelaaa
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 15 күн бұрын
Khadija ni mshenzi kashakuwa na maroho kama ya kwao
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 15 күн бұрын
Kweli
@AhmedMohamed-so7db
@AhmedMohamed-so7db 14 күн бұрын
Hata mm cmuelewi kbs kwanza maelezo yake hayaja nyooka kbs kwani ni nani
@khdj-x3w
@khdj-x3w 10 күн бұрын
😢😢😢😢 anaharibu jina la khadija mjinga kabisa huyu
@Zuuh107
@Zuuh107 14 күн бұрын
Jaman polen sana wana family
@MwajumaMhuza
@MwajumaMhuza 15 күн бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kuwalinda dada zetu wote ambao mnapambana nje ya TZ😢😢
@RehemaMbuguni-j7y
@RehemaMbuguni-j7y 13 күн бұрын
Ivi uyu adija anapajua apo alopokufa marihemu jaman au anaongeatuu jaman 😢mm mwenzenu uyu adija sjamuelewa kabsa😢😢😢
@sofiajumaa4538
@sofiajumaa4538 14 күн бұрын
Huyoo anajiita hadijaa msimuhoji tena jamani anatuumiza vichwa vyetu sie tunataka mwenzetu arudi tz 😭😭
@TawosiTawosi
@TawosiTawosi 14 күн бұрын
Subhanallah 😭 😭 😭 eemungu jamani duuh allah ampe kauli thabiti
@subbralssasubeerlssa7104
@subbralssasubeerlssa7104 12 күн бұрын
Inalilah wainah raajiun alalh msamehe makosa yake alalh tufanyi wepes nasi turioko huku turudi sarama lnshaallh
@HajiMwadin-t9l
@HajiMwadin-t9l 11 күн бұрын
Amin
@KuruthumYusuph-u9b
@KuruthumYusuph-u9b 14 күн бұрын
Jamani poleni sana wanafamilia
@AisharajabuMwaliko
@AisharajabuMwaliko 14 күн бұрын
Mungu hampe kauli dhabiti
@HajiMwadin-t9l
@HajiMwadin-t9l 11 күн бұрын
Amin
@Leylah-x1t
@Leylah-x1t 9 күн бұрын
Madam Khadija yupo sahihi kabisa
@FatmaIddi-r3u
@FatmaIddi-r3u 15 күн бұрын
Mwenyenzi mungu amuweke.mahali pema
@Bettyhaule
@Bettyhaule 12 күн бұрын
Yani nasikiliza hii mbaka nalia uyu dada mbona anaitetea omani kisa yeye kaolewa omani🥺🥺🥺🥺🥺🥺🙌🙌🙌
@AishamohamedKishybeby
@AishamohamedKishybeby 7 күн бұрын
Pia wewe umeona😥😥ana watetea Kisa katolewa bongo kaolewa Kwa waarabu ndio awaona wazuriii
@hamisaally968
@hamisaally968 15 күн бұрын
Swala kama ili unatakiwa usiwe upande wowote kama wewe khadija maana vyote uweza kutokea ukimuangalia uyo dada na mwili huo MashaaAllah wa kuingia kwenye shimo na wakamtoa wenyewe bila msaada wa waokoajiii
@TausiEme
@TausiEme 15 күн бұрын
@@hamisaally968 mwambie huyo maan haelewekii
@FatumaMamlo-st8pj
@FatumaMamlo-st8pj 15 күн бұрын
Mdada muongo huyu yachimbwe kabisa wakati anazikwa mwanao au fyoko liongo hili dada
@نجاةالعبري
@نجاةالعبري 15 күн бұрын
Mungu mwenyew ndo ana jua hak ya mungu la mfilipinno atuja lisahau lime kuja lingine mungu atu simamie waja wake turud kwt salama 😭😭
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 15 күн бұрын
Jamani nchi inaua watu kwanin mnaenda hiyo ndio nauliza kwani si nchi zpo tele
@TausiEme
@TausiEme 15 күн бұрын
@@RitbayRitbay wewe upo nchi gani mbona sikuelewii mwenzangu
@MwajumaRashid-d3q
@MwajumaRashid-d3q 11 күн бұрын
Mtihani kweli
@NanaNima-jy5pi
@NanaNima-jy5pi 14 күн бұрын
Mwanaaaa Mwanaaa😭😭😭😭Tumekuwa wote Iraq sleymania ee Mungu wangu mm siamini Mwana 😭😭😭😭
@Halimamurushid
@Halimamurushid 15 күн бұрын
Ukisiki machawa wa waarab n uyu khadija
@HappyNgigo
@HappyNgigo 2 күн бұрын
Amenikwaza sana huyu Khadija sio chawa tuu ni kungun kabisa ambae hana usingiz
@HappyNgigo
@HappyNgigo 2 күн бұрын
Mjinga mmoja huyu
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 15 күн бұрын
Khadija unasema kweli kabisa ispokuwa watanzania tuko wabishi
@FelitharMihambo
@FelitharMihambo 14 күн бұрын
Pole Sana kwa wafiwa 😢😢
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 15 күн бұрын
Tatizo mnapenda kukandamiza nyinyi kwanyinyi
@faudhiaticha
@faudhiaticha 14 күн бұрын
Inaalillah wainaailaih Raj ghuun
@Mtitisur
@Mtitisur 15 күн бұрын
We khadija mungu anakuona acha kutetea Waarabu
@OmanNuzwa-c3e
@OmanNuzwa-c3e 15 күн бұрын
Sima wana zao
@OmanNuzwa-c3e
@OmanNuzwa-c3e 15 күн бұрын
Wanawakataa ndugu zao
@TausiEme
@TausiEme 15 күн бұрын
@@Mtitisur haswa bila hay et magrop wanapataga stor
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 15 күн бұрын
Anaongea ovyo tu😢
@Mtitisur
@Mtitisur 15 күн бұрын
@@ZainabLol-wx7xf kaniuzi kisa yeye katoka kwenye ukadama kaolewa na hao waarabu anajifanya amesahau madhila ya hawa watu 😏😏
@AminaLibisa
@AminaLibisa 15 күн бұрын
Uyu mdada amesha tekwa na waarabu kweli utumwa ukiendekeza unakua chizi😢😢
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 15 күн бұрын
Na wewe naomba utuletee uhakika unaoujua. Ikiwa huyu mama unasema anadanganya haya weww sema ukweli.
@AminaLibisa
@AminaLibisa 14 күн бұрын
Na wewe ndo wale wale huna jipya
@AminaLibisa
@AminaLibisa 14 күн бұрын
Mmesha kuwa watumwa😏😏😏
@RukiaSalum-n4m
@RukiaSalum-n4m 9 күн бұрын
Acha tu kipenzi mimi Nilikuwa oman nimeona mention. Nimewasaidia wa dada wa kazi.
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 15 күн бұрын
Mm nilikuwa nisha acha kusikiliza vipindi vya Zarina toka nione ana watetea hao warabu. Walienda Oman kupewa rushwa na warabu kurudi wakawa wana wasafia
@Maryam-n7u8q
@Maryam-n7u8q 15 күн бұрын
Hadija katumwa huyo maana maelezo hayaeleweki
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 15 күн бұрын
MWENYEZI MUNGU anamwona
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 15 күн бұрын
Kma hujasoma skul kweli kufahamu ngumu
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 15 күн бұрын
Tueleze wewe yanayoeleweka.
@Hawa-qc9fo
@Hawa-qc9fo 15 күн бұрын
Wamemuua bana swali je wamemuokoaje mbona hamna dalili ya matatope wala mjimaji pembeni 😢😢😢
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 15 күн бұрын
Ulienda ukaona hamna dalili
@SaumuSarai-g5k
@SaumuSarai-g5k 15 күн бұрын
Huyo hadjA n seleimn wote shahi mal gahawa pumbavu zao😢
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 15 күн бұрын
Mie nitachangia pesa za Uchunguzi😢
@ZingatiazingatiaStunda
@ZingatiazingatiaStunda 13 күн бұрын
Mama samia rudisha watu wote waliopo oman matukio yanatokea
@AishaRamadhan-r1u
@AishaRamadhan-r1u 15 күн бұрын
Kweli hata hapa ninapo fanya kazi kunakisima usipo angalia vizuri mana unatumbulia nikweli vinakuwa nyuma ya nyumba
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 15 күн бұрын
Watu hawajui wnaajua ni kusema uwarabu mbaya tu
@HusnaSoud-d9f
@HusnaSoud-d9f 15 күн бұрын
Subhan wallah
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 15 күн бұрын
انا لله وانا اليه راجعون الله يرحمها ويغفرلها ويغفر لها ويسكنها فسيح جناته يارب العالمين🤲🤲، basi ni vile vile wameogopa kupita polisi sababu ni hicho kisa sio shimo la maji machafu
@fatmamohammed8346
@fatmamohammed8346 15 күн бұрын
siyo kwa ubaya ila hili tukio lingetokea kwa waarabu kadama angekuwa matatani lkn kwa sababu ni jadama nfo katendewa na serikali yetu haitetei kadama mara nyingi anatetewa tajiri mungu baba simama na hili haki itendeke inauma sana mwenzetu hatujui kiukweli kilichomkuta😢😢😢
@wardamohamood
@wardamohamood 12 күн бұрын
Una ata point ovyoo
@rahmahussein-m9o
@rahmahussein-m9o 14 күн бұрын
Innahlillah wainalilaah rajoon..Tumuombee mwenzetu ampunguzie athabu ya kabur pili tusiwahukumu Maboss zake Oman ina sheria kali na.sheria zake haiangalii wew ni boss au mfanyakaz haki. zipo jaman sheria zao ni.kali sio.kama waTz wanavyozania Kifo tumeumbiwa binadamu jaman tusikufuru kazi ya Allah
@MariamHakim-n3x
@MariamHakim-n3x 9 күн бұрын
lisemwali lipo nakama halipo laja😢 Allah karim
@OmaniSico-i8f
@OmaniSico-i8f 15 күн бұрын
Asante sana dada dida Kwa maneno mazuri Maana kuwa wajinga walisema kuwa eti anamiba Ya boss wake
@ZainabuAhmad-u1k
@ZainabuAhmad-u1k 14 күн бұрын
Wewe hadij ulimuon boss wakat anaenda mbiooooo
@hamoudsaid635
@hamoudsaid635 12 күн бұрын
Vigeu Geu Hawa Mungu Anawaona Kumbukeni Hakuna Atakaye Ishi Milele Punguzeni Njaaa Kaeni Makwenu Huko Mnafanya Ufuska Tu
@HajiMwadin-t9l
@HajiMwadin-t9l 11 күн бұрын
Inalilah waina ilah rajun
@sofitanzanian955
@sofitanzanian955 15 күн бұрын
Sasa utetezi upo wapi mnaegemea upandewawarabu
@ChausikuAli
@ChausikuAli 15 күн бұрын
Inalilahi wainalilah rajighuun mola ampe khauli thabiti ndugu yetu mbele yake nyuma yetu ukweli wote anajua mwenyezimungu
@aishajuma5079
@aishajuma5079 15 күн бұрын
Haya apate kesi yakuchimba kisima bila kufata sheria 😢😢imetuuma yani hatuelewi kiukweli ajali ya kawaida gani na mnasema ni ajali ya kudumbukia ila uyu bibie anatetea ugali wake 😢😢😢😢
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 15 күн бұрын
Ndoa yake na mwarabu kapangwa
@نجاةالعبري
@نجاةالعبري 15 күн бұрын
Ni kwl kabisa
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 15 күн бұрын
Hakika hawa ndo wanaotuangamiza Kwa kujipendekeza
@AishaAmin-b2k
@AishaAmin-b2k 15 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 wallah kaniuzi wallah sana aya wapate kesi ya kusimba kisima sisi tunateseka na kunyanya sika amuulize mfanyakazi ajue ukweli halisi hawa ni washenzi naishi oman muda ishi kwakuwa c kwako umeolewa wewe au tulia kama ulivyo
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 15 күн бұрын
Jamani mm huyu namuona kaongea kweli mtupu kwasababu familia upande wa jamaa zng ishawafika mwanamke alikufa wakashikwa na polisi wote kwenye nyumba wakaja kupima wakachukua na simu yke alijitupa sababu mwanaume wke kaoa kwa pesa zke alikua anamtumia hii nchi ina sheria zke polis ilichukua mpk watoto wiki nzm inapeleleza stor zikaja wafanya kazi kauliwa kauliwa Oman wanaua wanaua huku wanapeleleza mpk vifundo vya mkono.
@Shadia544
@Shadia544 15 күн бұрын
😢😢😢 Jamaniii poleni sana familiya ya mwanamvua jamaniii 😢😢😢😢
@aminamacha5594
@aminamacha5594 15 күн бұрын
Tunaomba Embassy isimamie Hilo swala wachunguze mwili wake kabla hajasafirishwa 😢😢ni heri tugome asizikwe ili tupate ukweli jaman inauma 😢😢😢
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 15 күн бұрын
Ukipata ukweli ndio atafufuka
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg 15 күн бұрын
Tunawasiwasi na khadija kupewa pesatu nawarabu aseme uongo khadija popote ulipo tutakutafuta tukunjinje mwezi waramadhani inshallah hatutaki uongo team shaghala wote
@ArRahman-ih1pi
@ArRahman-ih1pi 15 күн бұрын
😂😂Wallah nacheka km mazuri achinjwe kweli😂
@khdj-x3w
@khdj-x3w 15 күн бұрын
kabisa tumtafute tumchinje hafai kwa jamii hyu amesha kuwa mwarabu
@AzizaIssa-o9o
@AzizaIssa-o9o 14 күн бұрын
Hadija acha hzo n kama umepatiwa pesa ili useme urongo hvyo mungu atakulaan pamoja na familia yako
@ZainabuAhmad-u1k
@ZainabuAhmad-u1k 14 күн бұрын
Mbn haelewek mara hawakubaliwi mara anaruhusiwaaaaaa
@ArRahman-ih1pi
@ArRahman-ih1pi 14 күн бұрын
@ZainabuAhmad-u1k ee wango to hw warabu wanaweza kufanya Jambo lolote na badaee wakajifanya km siyo walofanya tukio! washenzi t Hawa,
@SHAZIMINA55
@SHAZIMINA55 15 күн бұрын
Sikilizeni 😢😢😢 munguu atujaliye turudi makwetu tu salama sasa izovidio ziwapi maana warabu kikitokea kitu vidio zinasamba mfano yule wasaudia sasa zikowapi sasa icho kipicha watu watamini vip kwaiyo ubalozi hilijambo sijuw ata nisemaje😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 yarabi
@AishaOmary-c7r
@AishaOmary-c7r 8 күн бұрын
Mbona bladi ndipo nilipo mimi na sijasikia kama anakaa hapa bladi na maboss wangu wangenambia huyu dada kafia bladi 😢
@Oppo-t3s2x
@Oppo-t3s2x 15 күн бұрын
Dada mwana Allah akupe kaul thabit na akusamehe makaosa yako ndoto zako zimezima kama mshumaa habibty naumia sana kwa ajili ya wakina WAZIRI wako. My inaumaa sanaa mungu awape subra wazazi wako 😢😢
@NechLove
@NechLove 15 күн бұрын
@@Oppo-t3s2x Mungu yupo pamoja nea hivi ni mtu wa wapi
@SamSang-h4g
@SamSang-h4g 15 күн бұрын
Allah akufanyie wepes kweny safar yak dad angu mbele yak nyum yetu wot tup nje tunapamban allah atufanyie wepes
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 15 күн бұрын
​@@NechLoveni mzaliwa wa tanga
@neemamdami7466
@neemamdami7466 15 күн бұрын
Habari yako eti ni Mwakizaro sehemu gani? Nami nipo Tanga nataka kuhudhuria
@FaridahMchome
@FaridahMchome 15 күн бұрын
Innalillah wainnailayh rajiun
@SalmaSaid-v3d
@SalmaSaid-v3d 15 күн бұрын
Yule khadija kaongea nibhivyo kabisa si alikuwa anyamaze TU mbwa weupe kashafanya kafara ila Sasa adija ukejielezea Hadi umekera 😢
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 15 күн бұрын
Kinatetea ndoa umbwa jeusi
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 15 күн бұрын
Huyo dada kauliwa kauliwa mungu atamuadhibu aliyefanya hivyo
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 15 күн бұрын
Nenda kashtaki police
@JacmineKinyangaliko
@JacmineKinyangaliko 14 күн бұрын
Bhana khajaanguka kweny chemba hpn Hy ni maneno tuh sis wote tupo Oman tunajua mabos walivyo
@farajaSelubebe
@farajaSelubebe 15 күн бұрын
Watanzania wenyewe wakiolewa Oman loho zawo zinabadilika zinakuwa kama wa Oman tu😢
@ZainabuAhmad-u1k
@ZainabuAhmad-u1k 14 күн бұрын
Kabisaaaa
@MariamSelemani-y6w
@MariamSelemani-y6w 14 күн бұрын
Huyo hadija mbona maelezo yake yapo tofaut anaeleza sehem za onan tuuuu😢😢
@Niabebewamor413
@Niabebewamor413 15 күн бұрын
Da zari hivi kwanini umempa chance huyo khadija ya kuongea kaongea upumbavu tu au kwasababu sio ndugu yake hivi icho kishimo cha kuingia mtu kama mwanamvua kweli daaaa Ila sisi wa Tanzania hatupendani looooooo mungu akupe kaur thabit dada mwanamvua haki Damu yako haitaenda bule mamy mungu atalipa 🙏🙏🙏🥺🥺🥺🥺😭
@Aisha-d8c4h
@Aisha-d8c4h 15 күн бұрын
Ingekuwa ndio mwanamvua amemuuwa madam wake zinguwa picha na video kibao😭😭😭😭😭😭
@FatumaJuma-b2g
@FatumaJuma-b2g 15 күн бұрын
Kabisaaaa
@NeemaJanga
@NeemaJanga 15 күн бұрын
Kweli kabisa Mungu atusaidie tu
@MiriamKhalid-z6o
@MiriamKhalid-z6o 15 күн бұрын
We acha tuu umeonae video za yule kadama wa ufilipino?
@RitbayRitbay
@RitbayRitbay 15 күн бұрын
​@@FatumaJuma-b2gnyie Oman zao natokea kesi ngap mnaona mapicha nikosa kubwa kuoneka wapiga picha
@TausiEme
@TausiEme 15 күн бұрын
@@Aisha-d8c4hkumshukuru Mungu kwa kila jambo hatuna jinsi wallah
@SharifaSelemani-ix4xs
@SharifaSelemani-ix4xs 14 күн бұрын
😢😢😢
@mwanakhamisimwinyimatano1185
@mwanakhamisimwinyimatano1185 14 күн бұрын
Inna lilah waina ilah rajiuun
@TatoIssa-w3q
@TatoIssa-w3q 13 күн бұрын
Dada.unasema.kweli.lazima.uchunguzwe.tena
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
I Sent a Subscriber to Disneyland
0:27
MrBeast
Рет қаралды 104 МЛН
Когда Трамп договорится с Путиным?
29:35
BBC News - Русская служба
Рет қаралды 42 М.