Ubarikiwe sana, hivi ccm wananini .matapeli hawa, tumechoka nao sana, watuache chadema nasisi tuchukue uingozi tubadilishe nchi, ccm wauwaji
@KisakaMvungi2 ай бұрын
Nakuombea mungu akulinde nchi yetu iko pabaya sana
@EdgarMwakyoma-c1q2 ай бұрын
❤❤❤❤ fact bro God 🙏 bless you
@FestorMghwayАй бұрын
Hatar sana
@isackphilipo98702 ай бұрын
Ubarikiwe sana Mheshimiwa Lema kwa uzalendo wako
@CharlesMulaki-j8h2 ай бұрын
Kaka lema Mimi nakukubali sana mpaka machozi yananitoka tunawatu viongozi hawatujali kabisa waambie
@jedidahbintidaudi82412 ай бұрын
Waziri wa ulinzi na usalama yuko wapi? kwann yy wadhifa wake unasomaje kwani?
@latifuelias50892 ай бұрын
Sauti
@Thevineyard98892 ай бұрын
Sauti na midomo + vitendo vya mzungumzaji (Godbless Lema) havioani kabisa. Rekebisheni video yenu
@CharlesMulaki-j8h2 ай бұрын
Maaskofu bubu mashehe bubu jamani jamani
@Iddi-xw7vw2 ай бұрын
Majaji Tunawaogopa
@SubiranTimo2 ай бұрын
Makamanda
@melichmahingule28962 ай бұрын
Tanzani nyie wapinzani subiriniYesu arudi, hamwezi kuitoa ccm kwa kupiga kura, uzuri nikwamba Yesu amekaribia kurudi, mtawala wa amani na wa milele
@reginas18322 ай бұрын
Too many words. Take action chura kasema hasikii kelele. N
@Thevineyard98892 ай бұрын
Ni kundi gani sasa hili ambalo linalotumia jina la "Jeshi la polisi" kuteka, kutesa na kisha kuwaua watu? Na kwanini Jeshi la polisi halishituki kuchafuliwa na kundi hili la ujambazi na uhalifu na kufanya kazi yake kuwatafuta majambazi na wahalifu hawa? Je, tuamini kuwa polisi nao ni washiriki wa ujambazi na uhalifu huu? Kwanini hawashituki? Kwanini hawafanyi kazi yao?
@reginas18322 ай бұрын
Wanafanya kazi ya shetani.
@jedidahbintidaudi82412 ай бұрын
sijui nani atawastua Police. usingizi gani huu wanalala mpaka hata gazette na mitandao wanapiga kelele kupitia amplifier na bado hawawezi amka. nani kawatwanga usingizi huu jmni au?