LIVE: LUSINDE AWASHUKIA NAPE NA KINANA, LUGOLA MKAMATE UMHOJI

  Рет қаралды 197,673

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 646
@petercley6230
@petercley6230 5 жыл бұрын
Lusinde, ukituliza kichwa huwa unaongea vizuri sana. Tatizo kuna wakati huwa unalewa sifa. Kwa hili umeongea kiutu uzima 👏👏
@rosemarymsulwa203
@rosemarymsulwa203 5 жыл бұрын
Sana
@fanuelkasunzu5582
@fanuelkasunzu5582 5 жыл бұрын
Lusinde tuko pamoja
@janethjustin5256
@janethjustin5256 5 жыл бұрын
Lusinge unaakili kuliko watu wanaojiita wasomi kweli wanalalamikia masirahi binafsi. Sisi watanzania nikiwemo mimi Magufuli ndio kiongozi wetu na Rais wetu tunampenda 😚😚😚😚Mungu ampe nguvu zaidi Rais Magufuli tunamuombea kwakweli anajitahidi na watanzania tunaona Mungu akubariki Magufuli wanakupiga vita niwalaji
@patrickmbughi1833
@patrickmbughi1833 5 жыл бұрын
Hahaha!! Lusinde ni msomi na ana masters ya uchumi, sema napenda kujiita darasa LA saba tu!!
@tannumella4242
@tannumella4242 5 жыл бұрын
Mh.LUSINDE 🙌🙌nakusalimia mkuu
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 5 жыл бұрын
Rais Magufuli wewe ni mwanaume! Nchi ilishindikana hii! Umeinyoosha, km pesa tunapata tuliyostahili c njia vinginevyo.Wale mlioolewa na wasukuma, hongereni, wasukuma ni wachapakazi na wapenda maendeleo na ni wakweli.
@piushappyness226
@piushappyness226 5 жыл бұрын
nitamchagua tena jpm 2020hadi kieleweke
@idrisahussein3869
@idrisahussein3869 5 жыл бұрын
Una uhakika gani kama utafika?.
@piushappyness226
@piushappyness226 5 жыл бұрын
Idrisa Hussein nitafika kwa uwezo wa Mungu
@musarichard2934
@musarichard2934 5 жыл бұрын
Pole ndg
@MsAggie5
@MsAggie5 5 жыл бұрын
Idrisa Hussein utafika tu na utamchagua Magufuli. Binadamu lazima uwe na mawazo ya kesho ukijiwekea mawazo negative na Mungu anakupa hayo hayo! Mimi nitampigia hadi kampeni Magufuli lazima apite kwa kishindo
@mussasualehe7146
@mussasualehe7146 5 жыл бұрын
Jamaa katoa siri ya wizi wa kura. Kumbe ndo hivyo?
@tanzanianaturalt.n4846
@tanzanianaturalt.n4846 5 жыл бұрын
Magufuli Kura yangu umepata baba chapa kazi wazalendo typo nyuma taking.
@hasanharife8227
@hasanharife8227 5 жыл бұрын
Yani leo naamini baba hakiwa msafi na watoto watakua safi hongera lusinde.
@severinifulgensi2686
@severinifulgensi2686 5 жыл бұрын
Umeonae nipe 5
@malcomg1004
@malcomg1004 5 жыл бұрын
Lusinde umepga utosini.mlinga yuko wap nae aje afanye finishing hahahah.hua nawaelewaga sana hawa jamaa
@kaisarimkuu3685
@kaisarimkuu3685 5 жыл бұрын
Leo nimekubaliana na Lusinde. Na ameenda hatua moja mbele kwa kuweka wazi tabia za wizi wa kura. Hongera sana mheshimiwa.
@ashamwandu3781
@ashamwandu3781 5 жыл бұрын
Makufuli chapa kazi tu hao nyau achana nao.nyuma unawatanzani nyuma milioni tharasini wqnakupenda peke yako.wao elfu kumi hawafiki wasikuchoshe .baba angu.kidumu
@upendolaizer7334
@upendolaizer7334 5 жыл бұрын
Maguful juu maguful ni jembe kiongozi bora miaka mingi
@ntibanahum8113
@ntibanahum8113 5 жыл бұрын
Hi
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 5 жыл бұрын
muheshimiwa rais duwa zetu tunazokuombea zimaanza kuwazuru akina nape na kinana majizi wakubwa ushauri wangu kwa rais haya majizi kama yatendeleya kukusumbuwa 2025 waachie lichama lao tuanzishe chama cha wanyonge ule miaka kumi mingine jumla iwe 20
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 5 жыл бұрын
safi sana lusinde namshauli msiba andeleye kumwagia mafuta ya taa kwenye mashimo majoka yenye sumu yaendeleye kutoka tuyajuwe majizi ya nchi hii yaliyojificha kwenye ccm
@kassimali2273
@kassimali2273 2 жыл бұрын
Kila zamaa na wa2 wake saivi zamaa zimerudi hahahhhahaah
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 2 жыл бұрын
Amini kwamba.
@mgallason...5686
@mgallason...5686 5 жыл бұрын
hatari sana. Magufuli stand up! Kanyaga tusonge. Top ranking ya kusema ya CCM tunahitaji kauli ya chama.
@maddoxzakai2479
@maddoxzakai2479 3 жыл бұрын
I realize I'm kinda randomly asking but does anyone know of a good place to watch new series online?
@tylercaden9267
@tylercaden9267 3 жыл бұрын
@Maddox Zakai flixportal
@maddoxzakai2479
@maddoxzakai2479 3 жыл бұрын
@Tyler Caden thanks, I went there and it seems to work :) I appreciate it!
@tylercaden9267
@tylercaden9267 3 жыл бұрын
@Maddox Zakai no problem xD
@saidbabu9198
@saidbabu9198 4 жыл бұрын
Mweshimiwa Lusinde. Kama hawatakuulewa basi naniwalewale waizi.(mafisadi)(wabinafsi). Mungu awajalie muuendelelee.kumsimamia, Rais wetu
@peteralfonce5848
@peteralfonce5848 5 жыл бұрын
JAMANI TUFANYE HUU NDIO UCHAGUZI.MIMI NAMCHAGUA MAGUFULI JE WEWE UNAMCHAGUA NANI?NAOMBA TUPIGE KULA MATOKEO YATAJIONYESHA HAPA HAPA .ANAPAMBANA NA CHADEMA
@monicapaul8480
@monicapaul8480 5 жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri sana Lusinde namuomba Mungu azidi kumlinda Rais Magufuli
@fortunatuswangubo6013
@fortunatuswangubo6013 5 жыл бұрын
Lusinde kwa maneno yako hata mimi nakuunga mkono watu hao wanasitahili adhabu
@maliselialphonce7593
@maliselialphonce7593 5 жыл бұрын
mm
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 жыл бұрын
Lusinde Mungu akubariki sana kwa hayo unayo ongea. Hii Inchi ninajua ndivyo wengi wana CCM. Angalia sana uwe mbali nao tunakuitaji huko mbele. Udalali umerudi si unaona wamerudi. Wataua kila kitu na tumeanza kuumia watu wachini tunashida.
@ndebilemathias7115
@ndebilemathias7115 5 жыл бұрын
Anco mangu chapa kaziiiiii , majority we are in together with you
@bokerarahaa6533
@bokerarahaa6533 5 жыл бұрын
Asante lusinde. Nmekuelewa npo na Mh jpm
@kylngelas1554
@kylngelas1554 5 жыл бұрын
Mzee wanafk wote kanyaga,majizi kanyaga,wachafua chama kanyaga,wasiojielewa kanyaga..........watanzania tupo nyuma yako
@immanchinuno6105
@immanchinuno6105 5 жыл бұрын
Mh
@kylngelas1554
@kylngelas1554 5 жыл бұрын
@@immanchinuno6105 nn Imma
@shafiimpilika2858
@shafiimpilika2858 5 жыл бұрын
kama umesikia dawa inawaingia wazee gonga like iwaingie vzr.
@modestmzumbwe588
@modestmzumbwe588 5 жыл бұрын
Mimi nikupongeze mheshimiwa lusinde kwa kusema ukweli, Rais magufuli sisi watanzania tuna imani kubwa naye ,huyo nape na kinana mimi cjui ni wadudu gan au akina nani katika hii nchi yetu ambao hawawezi kujua mambo mazuri yanayofanywa na serikali ya Mh. jpm,
@marcelinokayombo3575
@marcelinokayombo3575 5 жыл бұрын
TEAM JPM oyeeeeeeeeeeee!!
@subirajohn728
@subirajohn728 5 жыл бұрын
Marcelino Kayombo oyeeèeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@thaimourakhamis1348
@thaimourakhamis1348 5 жыл бұрын
Hoyeeee
@ashaathuman2209
@ashaathuman2209 5 жыл бұрын
Lusinde umeukosha moyowangu mpemoyo raisi wangu
@jameaseyohana6667
@jameaseyohana6667 5 жыл бұрын
Tukiwa wakweli na wawazi na hata kwa mambo mengine mengi hakika taifa litasonga mbele...KWANINI TUBEMBELEZANE? one among the transparent speeches.
@ednaexaudi6361
@ednaexaudi6361 5 жыл бұрын
Ukirudi Utamkuna Membe panapomuwasha! CCM Full Mipasho.
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 5 жыл бұрын
EDNA EXAUDI 🤣🤣🤣
@ahmedseleman9706
@ahmedseleman9706 5 жыл бұрын
baba piga kaz nakukubali Mh.Rais Dr.JPM Mungu akubariki sana pia akutie nguvu ktk shughuli zako za kujenga taifa
@kwaitodance1114
@kwaitodance1114 5 жыл бұрын
Mh rais anafanya kazi nzuri Sana ila hakupaswa kua ccm
@janeypheremmanuel9844
@janeypheremmanuel9844 5 жыл бұрын
chadema m4c ni kweli mwaya
@seryarurera3338
@seryarurera3338 5 жыл бұрын
Kabsa angehamia upande wa pili kungenoga
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 5 жыл бұрын
Wamechokoza moto Lusinde wape madongoooo haooo
@yussufallyyussuf9296
@yussufallyyussuf9296 5 жыл бұрын
Yajayo yanafurahisha mnatakiwa mjiongeze kuna ile sentence ya lissu wakimaliza kutushughulikia sisi wataanza na nyinyi na hapatakua na wakuwasemea kwani watakua wameshazibwa midomo wote kumbe hata wenyewe mnaibiana kura leo mnatueleza ukweli thanks lusinde ubarikiwe
@willsonmashaka6732
@willsonmashaka6732 5 жыл бұрын
Musiba kawashika pabaya, wanauliza, wapi kinga yake ilipo...! Kumbe musiba anajua madudu ya watu.
@user-dg8qe9rf9h
@user-dg8qe9rf9h 5 жыл бұрын
Musiba kama jinalake 😀😀😀😀pole yao
@petersamson3725
@petersamson3725 5 жыл бұрын
Willson Mashaka
@abdulatifmoxamed8047
@abdulatifmoxamed8047 5 жыл бұрын
I can call you great Lusinde keep it up I am great fan of you
@PH-hg2vn
@PH-hg2vn 5 жыл бұрын
Lusinde ameongea vizuri sana big up sana
@josephharri9015
@josephharri9015 5 жыл бұрын
Kura yng kwa Magu 2020 mapema asubuhi.
@suratfrank6282
@suratfrank6282 5 жыл бұрын
Wahojiwe na wafungwe wamemdhalilisha Rais na sisi wananchi tuliomchagua kifupi wametuvuruga kisaikolojia imeniumiza sana sana je sisi wananchi wanyonge tungemtukana nape kinana na makamba siwangetufunga kwa vyeo vyao# nashukuru mh lusinde umefikisha maumivu yetu kwe jamiii √ tunampenda raisi wetu na viongozi waliochaguliwa nae wote ,waziri mkuu, makamu wa raisi, na waaminifu wote
@shabankiwesi6727
@shabankiwesi6727 5 жыл бұрын
Lusinde wape, pia mlinga vp piga naww japo vesi moja tu nawakubali sana majembe yetu ccm.
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 5 жыл бұрын
Lusinde kaongea kisomi sana tena sana, big up endeleeni kumtetea Rais
@jimsonndingwi8588
@jimsonndingwi8588 5 жыл бұрын
Mimi nampenda magufuli peke yake ccm sitaki hata kuiona kwa sababu hao wanao ongea serikali zilizopita walikwepo hawakuwa na lolote, na hata magu akiondoka hao wanao ongea wanabadilisha maneno.
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 5 жыл бұрын
uelewe yakua utendaji mzuri wawa dogo unatokana nautendaji mzuri wa viongozi wa juu kama raisi mawazili sasa kama wakubwa wanafanya ndivyo sivyo wadogo wataanzia wapi?
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 5 жыл бұрын
tunajua fila kunawalitokosea kwakuogopa macho yawatu kunawalitokosea kwamakusudi yao kwasasa waliyokosea kusudi ndio wale wanaomkaidi magufuli mbaka wanatumbuliwa bado wanamkaidi hawatakikujua makosa yao kunawaliokosea kwakuogopa uwingi wamacho yawatu ndio wale wanaomsikiliza Raisi wetu nakuona kweli yalikua makosa
@dachjunior4766
@dachjunior4766 5 жыл бұрын
KICHAA ANARUSHA MAWE TUJIANDAE KUONA WATU WANAGUGUMIA KASEMAAAA AKIRUDI ATAKUJA KUMKUNA FULANI UPELE I'M WAITING 4 THE IMPENDING EPISODES
@mpondaahamida2146
@mpondaahamida2146 5 жыл бұрын
Mia mia rais wetu wewe siyo mwanasiasa ila ni mchapa kazi. Kulithibitisha hilo tunaona ndani kunachimbika nje kunawaka moto. 2020 njia nyeupeeee kwa Magufuli.
@sk-wj9or
@sk-wj9or 5 жыл бұрын
Point ya kumtukana au kumkebehi Rais nimekisikia na nilithani peke yangu. Ilinishtua sana. Uko sawa kabisa Lusinde wanatakiwa wahojiwe kisheria.
@jumajaffary9698
@jumajaffary9698 5 жыл бұрын
Alieiba ashtakiwe, Lakini Ushamba sio Tusi kwa kamusi ya kiswahili
@muhubiriproduction69
@muhubiriproduction69 5 жыл бұрын
vyuma vimegeukana huko!! hahahahhaaaa, na badooooo
@fortunatuswangubo6013
@fortunatuswangubo6013 5 жыл бұрын
Mwambie sumaye mstafu alitoka lakini ccm haikuyumba itakuwaje hao
@lizzymaundo951
@lizzymaundo951 5 жыл бұрын
I swear Mh Rais wetu Magufuli ni chagua letu kutoka kwa Mungu...Mungu amlinde popote alipo na kazi zake zinaonekana duniani na mbinguni...tunakupenda na tunakuombea kila saa...tunakupenda sana
@sixsule9721
@sixsule9721 5 жыл бұрын
Lusinde yuko vizuri sana. Maadui wa JPM ni wale waliotaka kuiuza nchi kwa wazungu. Mwaka 2012 bungeni kama mnakumbuka waziri wa madini William Ngeleja alichangisha fedha kwa ajili ya kupitisha sheria kulinda maslahi ya wawekeaji. Katibu mwenezi wa ccm alikuwa nape, kinana, makamba, wakiwa viongozi waandamizi wa chama walikuwa ndio mashabiki wa move hiyo. Leo JPM amewakamata wamegeuka kusema anatumia watu kuwachafua. Dhambi yao itawala sana hadi mifupa yao.
@mtanisignwriters1721
@mtanisignwriters1721 5 жыл бұрын
Wema ni akiba pia vilevile ubaya ni akiba, na cheo ni baba chapa kazi hila nasi tukumbuke tozo za matangazo ziko juu Sana makampuni wateja hawafanyi kwa kuogopa gharama kubwa za matangazo hayo.mm ni mmoja wa watoa huduma hiyo ktk vwnda na nje ya vwanda.tusaidie
@kassimali2273
@kassimali2273 2 жыл бұрын
Saivi je dhambi inawala kina nani
@lizzymaundo951
@lizzymaundo951 5 жыл бұрын
Mwanzo ndege moja tena imepasuka kioo na walikuwa viongozi wakubwa....Je Leo kuna ndege 8 ndani ya miaka minne jaman Mungu amlinde rais wetu mpendwa.Rais John Pombe Magufuli....positive development... Like for Magufuli
@SAM_163
@SAM_163 5 жыл бұрын
SIJAWAHI KUJUTIA KURA YANGU KWA RAIS WANGU Dr. JOHN POMBE MAGUFULI. MUNGU MBARIKI RAIS WETU MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿❤
@altonkanjolonga2380
@altonkanjolonga2380 5 жыл бұрын
Wakati mzee wetu Kikwete anastaafu uenyekiti wa chama chetu pendwa alisema haya,namnukuu" SISI KAMA CHAMA NI VEMA TUKAFANYA KITU KWA AJILI YA MH. KINANA KWA UTUMISHI WAKE MKUU NDANI YA CHAMA CHETU.' Mwisho wa kunukuu.Mh.Kinana sio wa kupuuzwa,Mh.Nape pia siyo wa kumpuuza,Mh.Makamba Januari na Baba yake nao sio wa kuwapuuza,wanayo alama ndani ya Chama chetu pendwa.Nadhani Busara ni kutatua migogoro ndani ya chama na sio kwa Waandishi wa habari haisaidii kukijenga chama,inazidi kukipasua Chama chetu.
@aguumoppao15
@aguumoppao15 5 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏safi sn lusinde wambie wamwache mzee afanye kazi
@athumanomary1171
@athumanomary1171 5 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU endelea kuriongoza vyema taifa letu
@mulangilakabwarebenson5128
@mulangilakabwarebenson5128 5 жыл бұрын
MILAD AYO ACHA SAUTI IWE HURU, MAMBO YA KUKATA SAUTI SI FAIR. MILAD AYO BIG UP.
@hamedsuleiman9280
@hamedsuleiman9280 5 жыл бұрын
Piga kazi jpm kaza buti hao wote wasipokupenda ss wananchi wako tunakupenda tuko nyuma yako
@designdesign4426
@designdesign4426 5 жыл бұрын
Safisana tukipata watu kama kina musiba 10 itapendeza zaidi ili iyakabekooo majizi yalofikili hii nchi ilikuayao nafamiliazao pekee.
@denishamka8657
@denishamka8657 5 жыл бұрын
Mh lusinde Nakukubali sana
@allyomari680
@allyomari680 5 жыл бұрын
mtoto umleavyo ndio akuavyo hata ww hayo ndio matunda ya CCM kwani tunawajua ww lusinde nimtu wamatusi makonda nimtu wa matusi nape nimtu wamatusi hapi nimtu wamatusi gambo nimtu wamatusi na wote hao niwatoto wa CCM inaamaana hoko mnakojinasibisha mnaenda kupikwa mwapikwa kutukana viongo
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 2 жыл бұрын
Hii maneno ni mazuri hata wao wameyakubari
@piushappyness226
@piushappyness226 5 жыл бұрын
jpm tenaaaaaaaaaaaaaa 2020hadi2025
@kwaitodance1114
@kwaitodance1114 5 жыл бұрын
NARUDIA TENA PRESIDENT MAGIFULI IS SUPER VERY SUPER, A GENIOUS ONE, ANAFANYA KAZI KUBWA SANA SANA SANA ILA SHIDA TU CHAMA ALICHONACHO NDO SHIDA, CCM IMEOZA IMEOZA IMEOZA, MTU MMOJA AMBAE ALIKUA STABLE VIPINDI VYOTE MAGUFULI HAJAWAHI KUSUA SUA WALA KUTETEMEKA,
@mtanisignwriters1721
@mtanisignwriters1721 5 жыл бұрын
Lusinde safiiiii
@omarinjiwa3945
@omarinjiwa3945 5 жыл бұрын
Safi sana lusinde uko sahihi kabisa magu tunamuelewa sana hao wanaopiga kelele walikua wapigaji tu acha rais wetu achape kz
@damaswatanda3899
@damaswatanda3899 5 жыл бұрын
NIKWELI LUSINDE MWAMBIE MUSIBA AENDELEE KUWAKUNA WANAFIKI
@salmawage7259
@salmawage7259 2 жыл бұрын
Yani mungu akulinde Lusinde RIP Magufuli TZ nchi yetu wote
@dignakanje4508
@dignakanje4508 2 жыл бұрын
Apumzike kwaamani baba yetu magufuli.Jembe mwamba uliokuwa hautikisiki.Uliwajali wanyonge kbisa.Mungu akupe pumziko laamani.Lusinde endelea kuwa mwadilifu kaka Mungu atakuvusha kila htua.
@kassimali2273
@kassimali2273 2 жыл бұрын
Hahahahhahahahahhhhahah naisikiliza mwaka 06/04/2022 sura yake iko wapi huyu wenye nchi wamerudi ulingoni
@eliapendakisanga55
@eliapendakisanga55 5 жыл бұрын
Hongera mkuu lusinde
@mamahustru
@mamahustru 5 жыл бұрын
Jamani mbona Musiba mwenyewe amekuwa kimya hivi? Millard unashindwa kumtafuta Musiba amwage Ugali maana mboga ishamwagwa.
@EK-kp2np
@EK-kp2np 5 жыл бұрын
Fumua fumua🎶🎵💃🏻💃🏻, fumua baba fumua 🎶🎵🕺🏻🕺🏻
@salehmdemu5722
@salehmdemu5722 5 жыл бұрын
Leo umeongea vizuri sana Mh lusinde... Ila kuna wakati mwingine Sijui huwa unakuwaje?
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 жыл бұрын
Ila watanzania tungekuwa waelewa tungefika mbali sana Mimi naona tuchague viongozi wachapakazi siyo wapiga porojo magu hoye Ila baadhi ya wabunge wa awe upinzan awe ccm hawafai kuwa viongozi mfano ni mbunge siha
@hashimuhehwa3780
@hashimuhehwa3780 5 жыл бұрын
Hahaaa unammiss Kikwete teh uwiii mweee MKIWAMALIZA WAPINZANI MTAKULANA WENYEWE tayari mmeanza kumalizana
@nyellasuwedisanga6929
@nyellasuwedisanga6929 2 жыл бұрын
Waliwambia mkimaliza kiwashughulikia wapinzani mtasghulikiana nyinyi wenyewe. hiyo ni out come
@othmanhaji1832
@othmanhaji1832 5 жыл бұрын
Nimeipenda hii
@enockyonah2470
@enockyonah2470 5 жыл бұрын
Othman Haji Nimependa ukimya wa Rais Jpm kuwapuza na kawaona wamekosa Hekima katika umri wao.Waliosoma masomo magumu huwa wanataka Matokeo sio propaganda. Kura yangu sikukosea
@jeromeruhele3059
@jeromeruhele3059 5 жыл бұрын
Chapa kazi baba najisikia raha na faraja kwa rais tuliyenaye tunaenda vizuri sana
@MajiTakaMaji
@MajiTakaMaji 5 жыл бұрын
Kwakweli inatakiwa wahojiwe haraka waeleze nni lengo lao
@yudamfinanga2246
@yudamfinanga2246 5 жыл бұрын
Mkitoka kuwasumbua upinzani mtaanza kumalizana wenyewe alisikika mlevi mmoja akisema 😂😂😂😂
@jumaabeleu3720
@jumaabeleu3720 5 жыл бұрын
Nimecheka mpaka machozi yamenitoka,Lusinde nimekupenda bureee,🤣🤣
@madukurumwanileles7909
@madukurumwanileles7909 5 жыл бұрын
Kwa sababu kaka Lusinde hao watu walizoea kujimilikisha Mali za chama na Serikali sasa hawana pakutokea Ndo maana wanalalamika tu,watuachie chama chetu na si chama chao kama walivyozoea,chama kimerudi Kwa wananchi,komaeni jamani.
@stephenruhuro2030
@stephenruhuro2030 5 жыл бұрын
Da viongozi wa ccm kuweni makini kwa maneno yenu,leo mnajivua nguo azarani,ebu tulieni tafuteni njia sahihi ya kutatua huu mgogoro,tusijitoe ufahamu,kujua kuongea sana akutufanyi tuonekane wema sana,mambo ya chumbani yabaki chumbani.
@salmamasuod1472
@salmamasuod1472 5 жыл бұрын
Mtatoa sana siri zenu hiyo ni thambi yakubaguana na sehemu nyingi hamshindi kiharali ata kura za urais nyingi mliiba ndo mana nape aliita bao la mkono.
@ymohammed963
@ymohammed963 Ай бұрын
Lusinde uko vizuri
@edwinasubisye1266
@edwinasubisye1266 5 жыл бұрын
Lusinde unapaswa upewe katibu mwenezi wa CCM serious naamini baraka za Mungu zitashuka hakika unafaa kwa nafasi ya uenezi wa CCM, Wakati ukifika hio nafasi yako
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
ongea leo tena hivi tuone kama wewe unasimamia unachoamini.... Lusinde wewe ni bendera hufuata upepo... .siasa hizi bhana...heri ya Imani katika dini...tangu nemekuwa Mwanadini Mwislamu na Msabato nguruwe ni haramu
@zumamarande3242
@zumamarande3242 5 жыл бұрын
Nakumbuka usemi wa tundu lisu mkimaliza kutula Sisi mtaanza kulana wenyeweeee
@nemochristopher2317
@nemochristopher2317 5 жыл бұрын
Hahahaha...Wanapanic nini sasa.Anasema atamkuna Membe yeye mkeo?
@collincarlos7433
@collincarlos7433 5 жыл бұрын
Panua akil wew CCM hawalani
@nemochristopher2317
@nemochristopher2317 5 жыл бұрын
@@collincarlos7433 usipanic
@mashmashmkeyenge9210
@mashmashmkeyenge9210 5 жыл бұрын
LUSINDE WEWE SIO MNAFIKI NAKUKUBALI SANA SANA .
@raymondkaswaga8334
@raymondkaswaga8334 5 жыл бұрын
Sijui maana ya ushamba lakini kama Nape na Kinana wamefanya hivyo kweli wanakosea...wangetoka chama wakafanya hilo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Sana waambie waandishi musiba kiboko ya wanafiki wa ccm duniani haupo ahela haupo
@mussabujiku142
@mussabujiku142 Жыл бұрын
MAMBO HAYO YENYE UKWERI LUSINDE MUNGU AKULINDE KIJANA
@josephmchila6467
@josephmchila6467 2 жыл бұрын
Lusinde hukusoma alama za nyakati, nape na kinana mabosi wako sasa, unasemaje, eeeeeh
@kassimali2273
@kassimali2273 2 жыл бұрын
Umeona eeeee ndo naangalia saivi hii nchii ina wenyewe na wenyewe washarudi
@godfreybigeyo9105
@godfreybigeyo9105 5 жыл бұрын
Nachukua nafasi kukupongeza na kuwapongeza wabunge
@wilbertrobert8549
@wilbertrobert8549 5 жыл бұрын
Tangu kujitokeza kwa baadhi ya wabunge wa CCM na kuchangia katika waraka wa kinana na makamba....kumekuwa na sintofahamu sana Hawa wabunge na baadhi ya makada walipaswa kunyamaza na kusubiri baraza likae na Mh. Polepole atoe taarifa rasmi Inaonekana ni kama fujo...uhasama na visasi Akiba ya maneno ni nzuri sana!
@emmanuelmujungu2734
@emmanuelmujungu2734 5 жыл бұрын
Ni kweli.
@zakayodenis229
@zakayodenis229 5 жыл бұрын
sasa watz tunaanza kujitambua kidogokidogo tutafka soon
@sadikidaudi1223
@sadikidaudi1223 5 жыл бұрын
Lusindeeeeeeeeeeeeeeeeee nakuamini saana pambana kwa ajili ya Rais wetu wasitutoe kwenye njia.
@fortunatuswangubo6013
@fortunatuswangubo6013 5 жыл бұрын
JOSEPH usijidanganye kuwa huu utakuwa mwisho wa ccm huo ni mwanzo 2020 ccm itashinda kwa asilimia90%
@janethjustin5256
@janethjustin5256 5 жыл бұрын
Na huu ndo kwanzaaa ccm ndo imeanza walisema 2015 ndo mwisho na hali ilikuwa mbaya tuliwachoka ccm lakini kwa Magufuli natamani akae hata miaka mingine 10 he deserve kwakweli Mungu ambariki
@osiepsendvictorminyory301
@osiepsendvictorminyory301 5 жыл бұрын
Kameze dawa hutakuwa unaumwa
@kolokochomwakyagi5113
@kolokochomwakyagi5113 5 жыл бұрын
kibajaji noma kwa kujibu
@mashauriitambe9880
@mashauriitambe9880 5 жыл бұрын
UNCLE MAGUFULI KANYAGA KANYAGA KANYAGA
@sikudhanimachaku7836
@sikudhanimachaku7836 4 жыл бұрын
Yan apa kwa lusinde utatapata majibu yaina zote,, utakoma wewee,,next level.
@benswai8099
@benswai8099 2 жыл бұрын
Naomba Kinana kiongozi wetu shughulika na huyu jamaa kimya kimya
@yusuphmpando9900
@yusuphmpando9900 Жыл бұрын
Duh bro kazi unayo sasaiv
@princenzagamba6004
@princenzagamba6004 5 жыл бұрын
Nakukubali sana Livingston Lusinde upo poa sana###@
@rosemarysheyzjzbsherman3430
@rosemarysheyzjzbsherman3430 5 жыл бұрын
Kumbe nyie ni wezi wa kura kuanzia ndan!
@bockernyarusahi3655
@bockernyarusahi3655 5 жыл бұрын
Rosemarysheyzjzbs Herman hawa ni wezi sugu mkuu
@gilberthndakidemi7358
@gilberthndakidemi7358 5 жыл бұрын
Baba lusinde kanyaga wahuni hao
@tafaqurtvtz7669
@tafaqurtvtz7669 3 жыл бұрын
Kaka lusinde wewe ni chuma mimi napenda wakweli kama wewe hongera sana.
@katarinawilliam9960
@katarinawilliam9960 5 жыл бұрын
May my Good Lord confuse my enemies 😂😂😂😂😂😂
Riggy G Ananyolewa Bila Maji!! - Eugene Wamalwa
43:17
Radio Maisha
Рет қаралды 2,5 М.
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 12 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН
Ukweli wa Nape Nnauye kuhusu kutenguliwa uwaziri
20:21
Millard Ayo
Рет қаралды 55 М.
“MWALIMU NYERERE ATASHANGAA SANA AKIYAKUTA HAYA”-LUSINDE
9:17
Lusinde awashukia bungeni wanaomtusi Rais Samia mitandaoni
10:17
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3,8 М.
LIVE: RAIS MAGUFULI "MKE WANGU AMENIKATAA AMEGOMA KUSIMAMA"
23:15
Millard Ayo
Рет қаралды 196 М.
LUSINDE: "NAPE na KINANA WAITWE WAHOJIWE, Namshangaa Lugola"
31:52
Global TV Online
Рет қаралды 40 М.
LUSINDE AKIHUTUBIA KIBANDA MAITI ZANZIBARI
16:18
Bunge TV
Рет қаралды 30 М.
Amazing Parenting Hacks! 👶✨ #ParentingTips #LifeHacks
00:18
Snack Chat
Рет қаралды 12 МЛН