“MWALIMU NYERERE ATASHANGAA SANA AKIYAKUTA HAYA”-LUSINDE

  Рет қаралды 52,011

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 74
@jeniphermaiko3886
@jeniphermaiko3886 4 жыл бұрын
Lusinde unajua kwanyoosha wapinzani wewe ni jembeeeeeeeeee
@festokillingo8912
@festokillingo8912 5 жыл бұрын
Shikamoo lusinde ,ukija mwanza , ofisi yao ya mkoa utacheka, kamua
@danielphares3089
@danielphares3089 5 жыл бұрын
Point bro yani kiukweli leo umezungumza points zamaana kweli kweli big up broo wape vidonge vyao
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 4 жыл бұрын
mashine ya kazi
@biancamass8921
@biancamass8921 4 жыл бұрын
Zumbe Shauri kibiko yao
@drgeofreymdede3952
@drgeofreymdede3952 5 жыл бұрын
You have made my day
@asiakanu6747
@asiakanu6747 4 жыл бұрын
Awa wapizani walikula kiapo cha ubishi kitu wanakiona kabisa kuwa rangi hii ni nyeupe wenyewe wnasema hapan hi ni nyekundu
@ezekielmachome5963
@ezekielmachome5963 Жыл бұрын
Jamaa Yuko vizuri Sana Sana.
@ismailhanya2327
@ismailhanya2327 5 жыл бұрын
Waambie hao💪💪👍👍
@kulwaswetu4457
@kulwaswetu4457 5 жыл бұрын
Jamanilusinde aongezewe ulinzi nimtunuhumusana anaisaidianchi kwanzanimkweli hapendi unafki
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 5 жыл бұрын
HAO WABUNGE WENGINE WA VITI MAALUMU NI CHAKULA CHA MBOWE!!!!!
@abdulnindi1392
@abdulnindi1392 5 жыл бұрын
daa kibajaji maneno yako kuna watu wamehama chadema uku mbeya leo uweziamini abali ndoiyo ccm oyeeeeeee
@kelvinchidabwa2538
@kelvinchidabwa2538 3 жыл бұрын
Safisana Mh RUSINDE Nawakpata ayo TV nikiwa mozambiki Mapito kazi mzuli jimbo la MVumbi
@ashurakaswa3796
@ashurakaswa3796 5 жыл бұрын
Aaahaaa brother umepiga pande zote NNE mpaka awaoni pakutokea
@abdallahmagera9160
@abdallahmagera9160 5 жыл бұрын
Brother mwisho hiyo
@mamahustru
@mamahustru 5 жыл бұрын
Hili lijamaa liko vizuri sana japo hata darasa la 7 halikufika 🤣🤣🤣🤣
@juliusmsangi6849
@juliusmsangi6849 4 жыл бұрын
Uelewa wako ni kidogo sana humwelewi mwalimu! Mwalimu Nyerere hawezi kushangazwa na maghorofa yeye ataangalia kiwango cha elimu walichonacho wananchi, maisha ya wananchi yakoje! Huduma za maji zikoje! Demokrasia ndani ya nchi ikoje! Atashangaa kuona Chama alichokianzisha miaka 55 iliyopita bado ndicho kinaongoza serikali! Atashangaa kusikia karne ya 21 bado kuna watu wanafikiri maendeleo ni maghorofa! Watu wetu huangamia kwa kukosa maarifa! Maisha bora kwa wananchi ni kuwa na uhakika wa Chakula, afya,elimu bora, huduma safi za maji, makazi bora, uhuru wa kufanya watakayo bila kuvunja sheria! Atashangaa sana mji umejaa maghorofa mengi yasiyo na wapangaji, atashangaa kuona aliacha ombaomba mmoja tu aliyekuwa anaitwa Matonya lakini kwa sasa kuna maelfu ya ombaomba mitaani Wazee mpaka watoto! Atashangaa kuna watu bado wanaishi kwenye matembe wakati maghorofa yako mengi mijini hayana wapangaji! Acha mipasho isiyokuwa na maana kwa nchi! Toa hoja za kuisaidia serikali! Hao unaowapasha leo ndio walikufanya uwepo hapo ulipo! Ulivyokuwa upande wao ilikuwa unaongea mambo ya maana sana kuisaidia nchi ila tangu uingie huko uliko unaongea mipasho tu! Mwalimu Nyerere alishawahi kusema elimu nzuri inaweza kutolewa hata chini ya mti cha muhimu kuwa na waalimu waziri na wanafunzi waliotayari kufundishwa! Badilika utoe hoja za maana bungeni kama wafanyavyo akina Nape, Bashe n.k!
@rogermomodesty3568
@rogermomodesty3568 4 жыл бұрын
@@juliusmsangi6849 huna hakili we kafie mbele, chadema chama mashoga mnapangisha wabunge huo ni ujinga uliopitiliza
@ngangamalugu6543
@ngangamalugu6543 4 жыл бұрын
Ww msangi demokrasia gan akati chadema haina demokrasia inaonekana ww ni wa kaskazin
@jephutabukwimba3814
@jephutabukwimba3814 4 жыл бұрын
Brother you're a real politician
@hawakassimu6120
@hawakassimu6120 5 жыл бұрын
Ha ha ha kiboko ya wapinzani umesahau tu kuwaambia kuwa wabunge wa viti maalum ktk chama chao ni watu wa kaskazini wanyooshe bro
@thieryniyonkuru1067
@thieryniyonkuru1067 4 жыл бұрын
Jamaa huu naruhusu Mkapa ampe shahada katika chuo cha Dodoma
@leonardmrope9528
@leonardmrope9528 5 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😀😀😀😀uyu jamaa ninoma aisee
@ashurakaswa3796
@ashurakaswa3796 5 жыл бұрын
Dili limeharibika turudi aaahaaa
@geofreymgeni2668
@geofreymgeni2668 5 жыл бұрын
Mboweee achia na wenzako watawale kidogo
@stevenmsaaada.msaada.389
@stevenmsaaada.msaada.389 5 жыл бұрын
Lusinde wenoma.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Waambie lusinde wapinzani
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 5 жыл бұрын
Lusinde unajua bwana...maana hawa jamaa hakuna kitu ambacho alianzia wao ila hakikuwepo CCM.
@festokillingo8912
@festokillingo8912 5 жыл бұрын
Kiboko yao , wapi mlinga jembe lingine
@masagapaul5039
@masagapaul5039 5 жыл бұрын
Kidonge chao
@gottacheckintorehab7697
@gottacheckintorehab7697 5 жыл бұрын
Ukweli mchungu.. Upinzani hakuna. Wanongea mambo wasio yasimamia
@gottacheckintorehab7697
@gottacheckintorehab7697 5 жыл бұрын
Watu kweny comment hawataki kukubali ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣 huyu Jamaa ndo anajua kuwanyoosha wapinzani wa Tz. Wapinzani Tz ni mabogus tu hawana maono hata kidgo.... Lusinde ndo type yao bogus +bogus =MABOGUS.
@janethkilonzi4260
@janethkilonzi4260 4 жыл бұрын
Tunakubali bhana wee
@lubashajosephkakemajohn1377
@lubashajosephkakemajohn1377 5 жыл бұрын
Wachome wachome
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 5 жыл бұрын
LUSINDE, WAPE VIDONGE HAO CHAMA CHA DEMOKRASIA YA MAENDELEO YA MAFISADI NA MASHOGA TANZANIA CHINI YA SHOGA WAO LISSU TINDIKALI HUKO BELGIUM!!!!!
@patrickboniphace1493
@patrickboniphace1493 4 жыл бұрын
Ukweli ingekuwa niuwezo Rusinde alitakiwa apewe muda wa dakika 45 kila akisimama Bungeni ilieawape makavu waelewe
@waliwilson6804
@waliwilson6804 4 жыл бұрын
Nakubal lusinde naelewa unachokifanya
@josephmwaruanda6379
@josephmwaruanda6379 4 жыл бұрын
Mhh Leo nimekuelewa
@checkchannel3876
@checkchannel3876 3 жыл бұрын
Hiki kichwa mwisho wa matatizo!
@renatusmatungwa6800
@renatusmatungwa6800 4 жыл бұрын
Huyu jamaa huwa hasomeki ana mineno ya shombo
@aguumoppao15
@aguumoppao15 4 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👊
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Hizo kelele za chura za wapinzani hazimzuii ngombe kunywa maji
@renatusmatungwa6800
@renatusmatungwa6800 4 жыл бұрын
Huyu alitakiwa awe comedy na mineno yake😁
@lamerocklamerock
@lamerocklamerock 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@fatboykells2380
@fatboykells2380 5 жыл бұрын
😂😂😂
@petermasele5692
@petermasele5692 5 жыл бұрын
Hoja yako ni nn sasa ( siasa au uwakilishi wanajimbo)
@ngangamalugu6543
@ngangamalugu6543 4 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣
@ipyanajerry6784
@ipyanajerry6784 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@felisilohay9868
@felisilohay9868 5 жыл бұрын
Mwalimu atashangaa kuona bado tunatumia katiba ya mwaka 1977.Zaidi kilichofanyika ni kubadilisha vipengele tu.
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 5 жыл бұрын
Ninaowaonea huruma ni wananchi wanaomchagua huyu mbululazi
@ibnually7428
@ibnually7428 5 жыл бұрын
Hatutaki story za maiti ashangae kwan yy km nan? Hapa hawezi akashangaa lakin huko aliko ndo kunakomshangaza saiv Allah alimtawalisha akafanya utumbo wake akaondoka na ww maliza utumbo wako uondoke
@alastojakande6206
@alastojakande6206 5 жыл бұрын
tatz akil huna kijna
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 5 жыл бұрын
WAPE VIDONGE VYAO MH LUSINDE
@ibnually7428
@ibnually7428 5 жыл бұрын
@@alastojakande6206 Akili gan unayotaka ww au nimesema ukweli kuhusu baba yako wa taifa
@alastojakande6206
@alastojakande6206 5 жыл бұрын
@@ibnually7428 as binadamu uwez mkosoa mtu alie kufa kijna mkosoe ambaye yupo now and just sema on ur point of view dont be sure coz hata wewe aupo sawa ndugu yangu but sorry kwa kukutoa akili
@geofreymgeni2668
@geofreymgeni2668 5 жыл бұрын
Men you can't judge alive kufa wewe
@zamoyoniselestine4567
@zamoyoniselestine4567 5 жыл бұрын
Hivi wanaomchagua huyu mbunge wanajisikiaje, hata mtoto hawezi mwelewa
@tonykisogole6710
@tonykisogole6710 5 жыл бұрын
Wewe mwenyewe hueleweki
@geofreymgeni2668
@geofreymgeni2668 5 жыл бұрын
We jamaa huelewki cheki miwani ulivyo kuwa mikubwa kuliko pua
@luganomwambulukutu5311
@luganomwambulukutu5311 5 жыл бұрын
Ukweli unauma
@yasinshaban4933
@yasinshaban4933 4 жыл бұрын
Mbona anaeleweka vzr tu, labda kwa mtu mwenye matatizo ya akili ndo hatamuelewa anachosema.
@redmondmulilo174
@redmondmulilo174 5 жыл бұрын
I'll uyu muimba tarabu ni shida sana inamana hana house y'all msingi Tani to kaziyake nikunyoka na chadema tu hafai kabisa Kuwait mbunge pumbavu zako kibajaji
@gottacheckintorehab7697
@gottacheckintorehab7697 5 жыл бұрын
Kama kina zito kabwe wanavo nyooka na CCM
@yasinshaban4933
@yasinshaban4933 4 жыл бұрын
Nmemfuatilia huyu jamaa vzr, nmegundua hasemi tu isipokuwa kafanya reserch..!!! Big up kamanda Lusinde
@ndakimasanja6353
@ndakimasanja6353 4 жыл бұрын
Hatari sana
@jameslaiser6276
@jameslaiser6276 5 жыл бұрын
Huyu Lusinde ni Pimbi.....Wanaocheka ni wale Wajinga ambao Akili zao ni zile zinazofikiria kwa Matako badala ya Vichwa....Sasa hapo anachambua Hoja za Upinzani au anatoa Mipasho.....Huyu ni Mbunge unadhani Wanaompigia Kura (Wananchi) kumchagua watakua na Akili za namna gani?
@depaolo3461
@depaolo3461 5 жыл бұрын
Jimboni kwake kuna maendeleo ndo maana wanamchagua
@erickchimbuvu2796
@erickchimbuvu2796 5 жыл бұрын
Njanja tu inakusumbua una lolote,
@depaolo3461
@depaolo3461 5 жыл бұрын
@@erickchimbuvu2796 😂 😂 😂 wabongo bhana
@clementlushino5763
@clementlushino5763 5 жыл бұрын
Huyu bunge ni mc kushirehesha shughuli ndio ilikuwa kazi yake, hospital, umeme, maji, shule viwanda, bara2 si vitu vya kujadili leo miaka 50 ya uhuru, tugekuwa tunaogelea kutibu, kilimo uvuvi ufugaji wa kisasa hakuna dawa viongozi wa kiumwa India matibabu ziro, leo baada ya kuogelea maendeleo kuogelea upinzani ulishi man.
@lugumijr1180
@lugumijr1180 4 жыл бұрын
Haahhhh mkuuu ata mm nakushangaaa,badala ya kujadili alichosema Lusinde kuhusu kupangishwa chama wabunge wa viti mahalum upinzani ww unatukana.
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 703 М.
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 49 МЛН
LIVE: LUSINDE AWASHUKIA NAPE NA KINANA, LUGOLA MKAMATE UMHOJI
29:23
TIMBWILI LA LUSINDE KWA WAPINZANI BUNGENI
7:44
Mwananchi Digital
Рет қаралды 61 М.
Style aliyoitumia Makongoro Nyerere kuomba kura za ubunge
12:53
Millard Ayo
Рет қаралды 480 М.
CHECHE ZA MBUNGE LIVINGSTONE LUSINDE BUNGENI LEO
4:55
Millard Ayo
Рет қаралды 23 М.