🔴LIVE : MBOWE, LEMA, MBULU MJINI MUDA HUU

  Рет қаралды 6,290

Chadema Media TV

Chadema Media TV

Күн бұрын

Пікірлер: 13
@charlzmboya
@charlzmboya 3 ай бұрын
Mkuu wa nchi anaunguruma Tanzania ,,,,❤❤❤❤ sauti ya gharama hii SIMBA WA SIASA AFRIKA NA KATI...TUNAKUELEWA BABA
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 3 ай бұрын
Hapo tulipofikia ni pabaya mno. Kwa hakika mabadiliko ni lazima kwa sasa.
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 3 ай бұрын
Sema Mbowe nchi hii sinimateka hatujijui makamanda tupambane kuliokoa taifa hili watoto wetu sijui wataenda wapi
@revocatusvedastus8893
@revocatusvedastus8893 3 ай бұрын
Kodi kila kona
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 3 ай бұрын
Nasikia watu wengi kwa sasa wanakwenda kununua magari Zambia. Wanadai kwamba ukinunulia gari Zambia ni rahisi mara 40 zaidi kuliko gari lile lile ukinunulia Tanzania. Wakati huo ikumbukwe kuwa magari yote yanayokwenda Zambia yanapitia katika Bandari ya Dar es salaam. Hiyo ndo miujiza ya Nchi inayoitwa Tanzania.
@sponsor7882
@sponsor7882 3 ай бұрын
Wakenya wanajielewa sio kamacc
@DeogratiasNsabhi
@DeogratiasNsabhi 2 ай бұрын
Chadema vyema sana
@dillonfoya
@dillonfoya 3 ай бұрын
Inaelekea mtandao unatufanya tusipate vizuri hotuba zenu,Mbowe,Lisu na Lema nashauri CDM kuwa na TV,na Radio ya CDM
@evelina9621
@evelina9621 3 ай бұрын
Wamekopa Pesa.nyingi.sana.kujifurahisha.na.wapambe.ccm
@KhalfanJuma-ii4fk
@KhalfanJuma-ii4fk 3 ай бұрын
Sisi tz tujifunze kwa wakenya
@DeogratiasNsabhi
@DeogratiasNsabhi 2 ай бұрын
Mwamba
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 3 ай бұрын
Kenya hoyee sisitunataka tumgoe Ruto as president nyie bakini 😂kumbembeleza uyu bibienu
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 3 ай бұрын
Na vochar ya mia tano
JOSEPH MBILINYI USO KWA USO NA TULIA WAPEANA MAKAVU LIVE MBEYA PACHIMBIKA
19:56
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
EVA mash
Рет қаралды 4,1 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
🔴LIVE : MBOWE, LEMA, KUKIWASHA MINJINGU MUDA HUU
1:06:28
Chadema Media TV
Рет қаралды 5 М.
JOHN PAMBALU MAVAA RAIS SAMIA KWA KAUNZA NA MSTARI KWENYE BIBLIA
7:02
Chadema Media TV
Рет қаралды 21 М.
🔴LIVE :FREEMAN MBOWE, TUNDU LISSU,  LEMA WATUWA KARATU MJINI MUDA HUU
1:31:31
🔴LIVE : MBOWE, LEMA, KUKIWASHA MONDULI MUDA HUU
1:15:37
Chadema Media TV
Рет қаралды 9 М.
🔴LIVE : MBOWE, LEMA, MBULU MJINI MUDA HUU
40:56
Chadema Media TV
Рет қаралды 8 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57