No video

🔴

  Рет қаралды 10,879

DARSA TV

DARSA TV

Күн бұрын

🔴#LIVE - MDAHALO WA KIELIMU / DR. SULE NA PASTOR NDACHA / MBEZI MKONDE / SEASON TWO
Mashaa Allah DR. SULE akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya🔴#LIVE - MDAHALO WA KIELIMU / DR. SULE NA PASTOR NDACHA / MBEZI MKONDE / SEASON TWO
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/Dars...
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZbin @Darsa tv
TikTok @Darsa tv
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
KZbin @Darsa tv
TikTok @Darsa tv

Пікірлер: 82
@KasalyaKimimbi
@KasalyaKimimbi 2 ай бұрын
Papa Ndacha Wewe Mungu akujalie sana 🎉🎉🎉🎉 Hawa Wandugu Za djini Wapo N'a Akili Ya upotevu Kweli Kweli
@johnkisubi8974
@johnkisubi8974 2 ай бұрын
Waisilam acheni tu kwa maana amuna majibu sahihi poleni sana njooni kwake yesu kristo muokolewe
@StelahElias
@StelahElias Ай бұрын
Ujue Dunia bhana ina mambo sana. Jamani Mungu wetu ni Mmoja tu, hizi bra bra za wazungu na waarabu wanatuchanganya sana. Mungu wetu ni mmoja tu.❤❤❤
@josephmwabange9633
@josephmwabange9633 2 ай бұрын
Ninampenda sana Pastor Ndacha hata kama Kiswahili kinamsumbua lakini ana lengo sahihi
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 2 ай бұрын
Yaani Kiswahili kinamsumbua kivipi
@user-ee8dr9iw4k
@user-ee8dr9iw4k 2 ай бұрын
Ndacha ndacha juu😅😅😅😅😅😅😅amen
@ackimackim1880
@ackimackim1880 2 ай бұрын
MWANZILISHI WA IMANI YA WAKRISTO YUKO HAI MPAKA LEOOOOO ELEWA APO WAISLAMU
@MbappeHeritie-rx1hq
@MbappeHeritie-rx1hq 5 күн бұрын
Mungu akubariki ndasha
@AntonyManeno
@AntonyManeno 2 ай бұрын
Hakuna Andiko Linalo Sema Yesu Hakufa Na Hamuto Pata Hata Milele
@wesakawesaka3516
@wesakawesaka3516 2 ай бұрын
Acha uchizi
@isahbarasa
@isahbarasa 2 ай бұрын
Takbir 👏👏 Allah Akbar ❤️
@vyaduoj
@vyaduoj 2 ай бұрын
Poleni sana , mtayakumbuka hayo maneno ya ndasha .
@BernardMgimba
@BernardMgimba 2 ай бұрын
Sema uislam dini yakweli kabisa❤
@KasalyaKimimbi
@KasalyaKimimbi 2 ай бұрын
🎉🎉 Ndacha oyeeee 🎉🎉❤
@chandelierlumona3447
@chandelierlumona3447 2 ай бұрын
Ndacha anakuzidi sana uelewaji pamoja na vitu vingi sana..! Acha kelele wewe ..!
@geoffreymuraya938
@geoffreymuraya938 2 ай бұрын
Pastor Ndacha ni Bingwa na amnyoa Sulle .
@StelahElias
@StelahElias Ай бұрын
Elimu hii ni nzuri sana jamani 😅😅😅
@josephmwabange9633
@josephmwabange9633 2 ай бұрын
Pastor Ncha akili yake iko juu sana , ni mwalimu Karama yake
@elkairosway1895
@elkairosway1895 2 ай бұрын
It has been REVEALED to Ndacha by the Holy Spirit! Let him proclaim it LOUDLY as he has been empowered to do. May God give him the boldness to say it as the inspired Word is, not as human wisdom as others want to display it.
@revelationofgodswordminist9730
@revelationofgodswordminist9730 2 ай бұрын
Ndacha kiboko aisee
@user-yl4wq7hb5c
@user-yl4wq7hb5c 2 ай бұрын
Amina ndacha waambie
@kudraabdul7257
@kudraabdul7257 Ай бұрын
Leo ndio nimegunduwa kuwa ndacha niki ponde cha nyanya amepigwa mtengo ambayo haelewi mtego alitegwa wallah makafiri poleni
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 2 ай бұрын
Dr sule kuhubiri sio sawa na mdahalo kuhubiri unaweza usiulizwe maswali
@ViriglioDomingos
@ViriglioDomingos 22 күн бұрын
3
@user-ee8dr9iw4k
@user-ee8dr9iw4k 2 ай бұрын
Kiswahili wanajua, lakini tu. yausindani lakini yanaonekawasi hawana LA maana😂😂😂😂 yesu ndiye wakuabudiwa
@binseif2216
@binseif2216 2 ай бұрын
Ila makafiri hata mitume waliwakataa na dalili zote walokuwanazo lkn walipinga itakuwa ndacha kupinga Mungu mkoja
@Sbstn1913
@Sbstn1913 2 ай бұрын
Hakuna sehemu ndacha amepinga Mungu ni mmoja.Mungu ni mmojs tangu zama za Zoroaster nabii wa kiajem miaka 700 kabla ya kuzaliwa kwa nabii Musa. MUHAMAD NI KOP AND PASTE KWAMBA MUNGU NI MMOJA KATIKA IMANI YA KIPAGANI YAAN UISLAM
@SalmaAbdul-zz7dy
@SalmaAbdul-zz7dy 2 ай бұрын
Ukristo ni jina la kipagani walilopewa wanafunzi wa mwanzo huko antiokya
@elkairosway1895
@elkairosway1895 2 ай бұрын
Ask them what 1John 2:23 means....... who's this Son that is being talked about in the Word of God Almighty in His Voice In Print, The Bible?
@binseif2216
@binseif2216 2 ай бұрын
Mnaabudu Mtu kweli????
@ackimackim1880
@ackimackim1880 2 ай бұрын
I LOVING JESUS
@JerrycollinsPaul
@JerrycollinsPaul 2 ай бұрын
Pastor ndacha wew ni mwamba kwelikweli..... Dr. Sule ushauri wangu akae chini ajifunze tena ukristo maana biblia haitafsiriw kirahisi hivyo kwani huitaji ufunuo kwa roho wa Mungu
@AntonyManeno
@AntonyManeno 2 ай бұрын
Sule Ana Ongozwa Na Majine Yake Ya Usilam Kukwepa Maswali Yanayo Uliza Na Pastor Ndacha. Na Hato Weza Jibu Maswali Ya Ndacha Hata Milele Na Milele
@user-rm4me4ss8u
@user-rm4me4ss8u Ай бұрын
Alafu ndacha anaongozwa na mapepo sindio
@Sbstn1913
@Sbstn1913 2 ай бұрын
Sulle anaongozwa na mapepo ya uongo na kusema uongo kwake kama muislam aina ya waislam wengine ni halali .
@SalmaAbdul-zz7dy
@SalmaAbdul-zz7dy 2 ай бұрын
Izo zako chuki na propaganda za kujifurahisha Domo lako
@Sbstn1913
@Sbstn1913 2 ай бұрын
@@SalmaAbdul-zz7dy na sema ukweli .kusema uongo kwa waislam n halali
@SalmaAbdul-zz7dy
@SalmaAbdul-zz7dy 2 ай бұрын
@@Sbstn1913 kama ilivyokua kwenu nyie kuzini na kulewa ni halali
@Sbstn1913
@Sbstn1913 2 ай бұрын
@@SalmaAbdul-zz7dy kuzini na kulewa s halali kwetu amri ya sita kati ya kumi inasema DONT COMMITT ADULT yaan Usizini .Kulewa n haramu katika ukristo lakin ktk uislam pepon tu kuna mito ya ulevi na uzinz nao upo mwanaume mmoja mabikira 72.Simamia kwel acha maslahi .utaish ata ukiacha uislam kichaka cha maovu
@Sbstn1913
@Sbstn1913 2 ай бұрын
@@SalmaAbdul-zz7dy kuzini ni haram ktk ukristo .amri ya 6 inasema USIZINI.kulewa ni haramu ktk ukristo.Uislam una ruhusu uzinzi mfano mukhtar ktk uslam n ndos ya muda mfupi kwaiyo umalaya n halali na mpaka peponi kuna uzinz mfano mwanaume mmoja wa kiislam anapewa mabikira 72.alaf ongezea mito ya ulevi.Njoo kwa kristo salma acha kuwa mchumia tumbo maisha yanaendelea nje ya uislam.
@josephmwabange9633
@josephmwabange9633 2 ай бұрын
I love Ndacha
@vyaduoj
@vyaduoj 2 ай бұрын
Nawapata vyema kutoka marekani hapa, ila nawahurumia sana weslamu wanavyo kuwa wa ngumu na wabishi kwa mambo yalio wazi wao ndo wanataka kuyapindisha kwajili ya lunga na uelewa mdogo walio nao .
@kudraabdul7257
@kudraabdul7257 Ай бұрын
Wakuhurumiwa ni nyinyi sababu hamuelewi hata mitego mnayo tegwa yani kweli nyinyi ninazi macho matatu alakini hayaoni
@AntonyManeno
@AntonyManeno 2 ай бұрын
Sule Jibu Swali Kuna Andiko Lolote Koro Wani Linalo Sema YESU Hakufa...
@EmanuelHema-gf1cj
@EmanuelHema-gf1cj 2 ай бұрын
Sule welcome to Jesus
@MugishaMusabwa-lc7hq
@MugishaMusabwa-lc7hq Ай бұрын
Ndacha mbatize mazinge hata sule ili waelewe yesu vizuri.
@pascalbalex5142
@pascalbalex5142 2 ай бұрын
Huu Sule hana hakili kabisa
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 2 ай бұрын
Microphone zenyu zinasumbua kila kipindi chenyu.ila ndacha mkali
@kudraabdul7257
@kudraabdul7257 Ай бұрын
Sule alimuuliza swali hivi yuse alifanywa laana sababu alitundikwa msalabani alivyo kwenda kujibu hakuelewa hiyo naana imetokana nanini pale sule alipo uliza ndacha hamna kitu katika wa kiristo
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u Ай бұрын
Hayo nimalumbano simahubili audebate
@karanjawanyoike7188
@karanjawanyoike7188 Ай бұрын
Kama kuuwawa hutokana na shamulizi je mtu alikufa kwa kutiliwa sumu kwenye chakulu chake akafa jee hiyo nayo si kuuwawa?
@user-ee8dr9iw4k
@user-ee8dr9iw4k 2 ай бұрын
Waislam hawana lakusema, wanasema yesu alikuja kwa wana wa israil😂😂 wana wa israel walio ongoswa na Musa kutoka misri. Wako tafautu na wa bibilia? Mulisachanganyikiwa. Wana wa israil ni wale wele walio kwa bibilia na kwa quoni😮😮😮
@joelmhezi8039
@joelmhezi8039 2 ай бұрын
Sule ni mweupe hajui chochote bora hata mazinge
@user-uy5ue2tz6g
@user-uy5ue2tz6g 2 ай бұрын
Ndacha kwa kugeuza hoja anaweza ila c zakweli
@bongemichael5772
@bongemichael5772 2 ай бұрын
Hapo amskii nimefurahia adi nikapiga makofi.
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 2 ай бұрын
Ndacha fundii
@user-qn2pk9bv5n
@user-qn2pk9bv5n 2 ай бұрын
Ndacha bab piga mwingi
@josephmwabange9633
@josephmwabange9633 2 ай бұрын
Da aise kama mtu haelewi ana shida
@SeciliaJosephat
@SeciliaJosephat 2 ай бұрын
Kwakweli mpya hiyo alie kufa baba ake paulo simion wa kirene
@wesakawesaka3516
@wesakawesaka3516 2 ай бұрын
Sule ajui quaran ata kidogo
@SeciliaJosephat
@SeciliaJosephat 2 ай бұрын
Huyu anarudia rudia vitu visivyo eleweke anapewa jibu bado anarudi nyuma tena ameshindwa huyooo shekhe batizwa bhn hauna chakutuambia sisi
@chandelierlumona3447
@chandelierlumona3447 2 ай бұрын
Sulle hujui chochote, wewe ni muongeaji sana alafu huweki point..!
@jameskilasa759
@jameskilasa759 Ай бұрын
Mm ninafs naona waislam hawana hoja thabiti ya kujib
@JohnsonKoffee
@JohnsonKoffee 2 ай бұрын
Sulle muongo
@josephmwabange9633
@josephmwabange9633 2 ай бұрын
Sasa kwani maana ya Elimu ni nini ? Maana yake ni kujifunza , Sasa utajifunzaje , Sule yupo sahihi kwamba anaxhoamini yeye je ni sahihi au sio sahihi
@KennedyBarasa-mc4mz
@KennedyBarasa-mc4mz 17 күн бұрын
Hauna lolote wewe sule Ila ni ubishi na ushabiki Tu na porojo kubali kuwa huwezi huyu mkenya . Alikwambia kuwa kaa kando pekeako umkabili ulikataa kelele ndizo unazo
@AntonyManeno
@AntonyManeno 2 ай бұрын
Mtu Anae Fungwa Sanda Na Aka Wekwa Kaburini Huwa Ame Kufa Ama Huwa Yuko Hai... Jibu Swali Sule Wacha Kukwepa Maswali
@AntonyManeno
@AntonyManeno 2 ай бұрын
Huyu Wakwanza Na Wamwisho Alie Sema Ame Kufa Ni Nani Jibu Swali Wewe Sule Majini
@KennedyBarasa-mc4mz
@KennedyBarasa-mc4mz 2 ай бұрын
Sulle Hana elimu ya udaktari wala shahada ya udaktari, ila Una utoto mwingi Sana lakina hata Masai ni madaktari wa miti shamba. Kafiri mkubwa huyu
@binseif2216
@binseif2216 2 ай бұрын
MUNGU KASEMA NDANI YA QURAN HAKUULIWA WALA HAKUSULUBIWA LKN ALIMFANANISHA KATIKA WAO NAYESU AKAMPAISHA MBINGUNI mjue quran haikubakiza kitu msifkiri Mungu anaghafilika na madhalimu kama nyie
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 2 ай бұрын
Tunawasi na qurani yenyu mnakufulisha hata majini yaani mashetani😂😂😂
@binseif2216
@binseif2216 2 ай бұрын
@jacksonngusi4122 Yeyote atakaeenda kinyume na mafundisho ya Mungu na kumfanya Mungu anamtoto au binadamu ni Mungu huyo sio katika sisi,someni bible na Quran mtafute ukweli sio kusomewa hao wachungaji na maaskofu wanatamaa na pesa kwahiyo kweli wanaipindisha
@Sbstn1913
@Sbstn1913 2 ай бұрын
Unajua maana ya kufananisha tafsiri yake ni kusema uongo maana hatuna ushaidi ni nan alifananishwa na Yesu
@binseif2216
@binseif2216 2 ай бұрын
@@Sbstn1913 Unaujua uwezo wa Mungu?anachotaka huwa hakosei
@Sbstn1913
@Sbstn1913 2 ай бұрын
@@binseif2216 hapa hatuzungumzi neno Mungu kwa dhana ya uelewa wako kwamba mungu unayemjua ni allah ambaye hafati moral principle yaan anaweza kusema uongo kwa maslai yake binafsi .Q .inasema Yesu kasubiliwa na amefufuka huu ni ukwel .waislam wanaamin katika uongo unaotungwa na akina sulle.
@ackimackim1880
@ackimackim1880 2 ай бұрын
SULLE HANA ELIMU YEYOTE , MPAKA ANACHANGANYIKIWA JUKWAANI
@pisgatv5863
@pisgatv5863 2 ай бұрын
Sule huna elimu yoyote
@jacksonngusi4122
@jacksonngusi4122 2 ай бұрын
Sule kakosa utetezi kabisa aisee
@obedkalinga9704
@obedkalinga9704 2 ай бұрын
Sule ni waajabu. Wapi Mungu kasema Yesu kafa?. Sule amewahi kusikia wapi Mungu kaongea? Ulisema Mungu akiongea utakuwa umemfananisha ni mtu.
@KasalyaKimimbi
@KasalyaKimimbi 2 ай бұрын
Papa Ndacha Wewe Mungu akujalie sana 🎉🎉🎉🎉 Hawa Wandugu Za djini Wapo N'a Akili Ya upotevu Kweli Kweli
@patrickpermen
@patrickpermen 2 ай бұрын
Sulle umepotezwa.
@wesakawesaka3516
@wesakawesaka3516 2 ай бұрын
Sule muongo mno
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 38 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 41 МЛН
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 45 МЛН
This Dumbbell Is Impossible To Lift!
01:00
Stokes Twins
Рет қаралды 37 МЛН
UTAPENDA MAWAIDHA YA DK SULE AKIWA MSIKITINI
49:17
Mbengo Tv
Рет қаралды 34 М.
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 38 МЛН