UTAPENDA MAWAIDHA YA DK SULE AKIWA MSIKITINI

  Рет қаралды 48,037

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер
@zainabusagalo3031
@zainabusagalo3031 7 ай бұрын
Nkakumbuka 2013 Dr Sule aliwahi nisaidia elfu hamcn ada ya shule Tena nlpokuwa anaenda alkuwa akinipigia kunielekeza pale ofisin kwake kijichi maana nilkuwa cpajui jamn alkuwa akinielekeza kana kwamba mimi ndo naenda kumpa pesa ALLAH amlipe zaidi amuongezee baraka.
@yuhamrwambo3739
@yuhamrwambo3739 7 ай бұрын
DOC. SULE SIMAMIA HAPO HAPO WENGINE TUNAKUWLEW SANA KWAMAANA SISI team waelewa ATAKAE SEMA KWELI BASI TUNASIMAMA NAE NA ALLAH ATATUHIFADHI KWA KARAMA ZAKE.
@HassaniKabukuzi
@HassaniKabukuzi 4 ай бұрын
Ukimfwatilia sule lazima uelewe naujielewe sematu kunawatu hawajielewi
@kobabaoyamerudi
@kobabaoyamerudi 7 ай бұрын
Mimi leo wa kwanza ❤ wote tz wenzangu
@rahmasuleiman2359
@rahmasuleiman2359 7 ай бұрын
Dr.sule Allah akulipe kheri zaid na zaid kila siku unatupa Elimu katika dini yetu
@sonofmary-ro2bt
@sonofmary-ro2bt 7 ай бұрын
Huyu ni mchawi elimu yke ni ya Bure inampeleka motoni ,tena hmn elmu hapo ni kiswahili TU,,,
@sleyumngolo
@sleyumngolo 7 ай бұрын
@@sonofmary-ro2bt 😃mwanga akifikiwa utaskia kama hivi mchawi yule kumbe.... kwani lazma umfatilieee
@bahozisaidiradjab4902
@bahozisaidiradjab4902 7 ай бұрын
Asanteni sana kwakutowa elmu nzuri Dr.sule...Allah akulipe
@aliaden5512
@aliaden5512 7 ай бұрын
Hata wewe ni moja ya wachawi wasawhili mumeharibu dini
@JamesMakuri-ik6gj
@JamesMakuri-ik6gj 7 ай бұрын
Nyie,mnajuaj Kam ni mchawi😂😂~=
@RehemaSelemani-t1v
@RehemaSelemani-t1v 3 ай бұрын
Dr tafadhali ongelea kuhusu umuhimu wa kuvaa hijab waislam tunadhalilika sana na kuchekwa mitandaoni kipindi hki sema kitu sheikh 🙏🙏🙏🙏
@Mdoli152
@Mdoli152 5 ай бұрын
Dr.sule ALLAH AKUPE UMRI MREFU NA AFYA NJEMA INSHAALLAH
@duncangatundu1397
@duncangatundu1397 7 ай бұрын
I'm not a Muslim but I like Dr sule 🙏
@aliaden5512
@aliaden5512 7 ай бұрын
Kama unampenda wewe pia ni mganga
@sleyumngolo
@sleyumngolo 7 ай бұрын
​@@aliaden5512ndio lakini wa science
@sigurdsonmathias4562
@sigurdsonmathias4562 6 ай бұрын
Utakufa maskini, acha chuki ​@@aliaden5512
@mbenamdudu7856
@mbenamdudu7856 7 ай бұрын
Insha allah shee mungu akupe umri mredu zaid aaamin
@meowzna
@meowzna 7 ай бұрын
Jazakallahu Kheir Sheikh🙏
@ahmedabry293
@ahmedabry293 7 ай бұрын
Swala za mtume Zina maajabu makubwa Sana.. Tumswalie mtume Sana lakini tusifanye kwa ajili maisha yetu yawe mazuri tu hapana.. Tuombe duniani mazuri na akhera mazuri
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 7 ай бұрын
Mitihani hutokea kwa watu wengi ambao walikuwa na kipato kizuri siku za za nyuma kisha kushuka ni kuwa washirikina sababu kubwa 2 kwanza kutaka kurudi katika daraja bora la nyuma au mitihani ya misukosuko ya kusakamwa na wachawi. Tumuombe Allah sw atufishe tukiwa waislamu.
@sephunkungu
@sephunkungu 4 ай бұрын
Asww Naomba Namba yako
@RashidKatungalala
@RashidKatungalala 7 ай бұрын
Shekh sule napenda sana mawaidha tako uko sawa kabisa unatuelimisha
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 7 ай бұрын
Sheikh wangu ❤❤
@IssaAdam-pz9od
@IssaAdam-pz9od 4 ай бұрын
Brother one day yes nataman hata nikope mkono ❤
@mbukumagiubukumagu406
@mbukumagiubukumagu406 7 ай бұрын
Sule yupo. Vizuri lakini mambo ya pete yamemuharibis cv yake afanye kikao na wandishi ili asafishe jina lake
@maureenatienoowuor1784
@maureenatienoowuor1784 7 ай бұрын
Jamani huwa anaongwa uchawi kwasababu ameulizwa. Wa Tanzania nanyi waaaa
@mudiali4506
@mudiali4506 7 ай бұрын
Urad I Swaluu alla nabii 1440 kila 24 hrs. Muda wa siku7. 21. 40. Tia nia yako ktk haja, ridhqi etc. Nujareeb
@mudiali4506
@mudiali4506 7 ай бұрын
Surat Fathaa. Yaani Alhamdu.,,,,,,,ni Duwaa a kubwa Ina, ayyaa 7..29 maneno heruf 143 😮etccc. Na kumsaliaa mtume Sala y maghreb baad maghreb. Astghf x3. Soma Alhamdu x40 Mslie mtume x100. Omba Allah. Mimi mja, wako. Sina yalio moyon. Zaid wee ndio ajua. Etc. X 7. Qun faa, Yaa qoun. Hata ukiwa n maji ya, some hlaf yapeleke eneo. L Biashara
@AimeMwizerwa-n6j
@AimeMwizerwa-n6j 7 ай бұрын
Dr sure mimi niko Rwanda alakini mimi nakupigiya simu kuwa aupokeyi
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 7 ай бұрын
Elim yake tu ndo inawasumbuwa na kipaji chake kapewa namungu basi wivu unawamaliza
@JamesMakuri-ik6gj
@JamesMakuri-ik6gj 7 ай бұрын
Hakika,ndug😂~=
@KHAMIS_SHILINGI
@KHAMIS_SHILINGI 6 ай бұрын
Kweli kabisa
@fatmarajab2355
@fatmarajab2355 6 ай бұрын
Ni kweli Allah amsimamie azidi kupewa ilmu zaidi
@ibucwayves8440
@ibucwayves8440 7 ай бұрын
Dr unasemaga mungu. Uyo mungu nimugani unaongelea.ongea jina la yesu.
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 7 ай бұрын
Towa ulofa apo mtu kama yuko anaelumisha.unakuwa kwanza na adabu.aya maneno hayakuusu weye yanausu sisi waislam.
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 7 ай бұрын
Kama yuko anatuelimisha sisi nduguzake kaeñi kimya.yesu mbona anamtajaga tu sana lakini kwasababu hamna elim na ugaid hamsikiagi wala hamuonagi
@MustafaAbdallah-v2b
@MustafaAbdallah-v2b 7 ай бұрын
Umesema ukweli ndugu yangu
@maciaali3698
@maciaali3698 7 ай бұрын
Doctor Sule pole sana rizki yatoka kwa Allah
@jannffer
@jannffer 7 ай бұрын
Ni siri kumbwa sana iko katika matoleo
@jannffer
@jannffer 7 ай бұрын
May the holyspirit of God take control there is something in you God want to use you
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb 6 ай бұрын
Aminiy Dr sule
@KabebeMazambi-o6b
@KabebeMazambi-o6b 7 ай бұрын
Alhamdulillahi akuzungumzia majini na pete yabahati, ayo ndo makosa yake.
@meowzna
@meowzna 7 ай бұрын
Shukran Sanaa👏
@mantosanto3222
@mantosanto3222 7 ай бұрын
Dr sule naishi maisha gumu vipi unaweza nisaidia nipate jini ya mali
@michaelnzovu5632
@michaelnzovu5632 7 ай бұрын
Kaanza vizuri kaharibu tu pale pakutoa sadaka, tofauti na kichwa kya neno
@HassaniKabukuzi
@HassaniKabukuzi 4 ай бұрын
Waislam tanzania tutamtafuta mtukama sule hatutampata mtasemamengi
@mypeace5962
@mypeace5962 7 ай бұрын
Maashaa Allah
@arafatsaid962
@arafatsaid962 7 ай бұрын
Sisi hatuna tatzo na wewe ni ndugu yetu katika Iman kaka, ila acha shirki
@VitusMakala
@VitusMakala 7 ай бұрын
Wenae anashiriki Gani sasa
@yuhamrwambo3739
@yuhamrwambo3739 7 ай бұрын
HEBU TUSAIDIANE SHIRKI NI IPI NDUGU
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 7 ай бұрын
Mushrik tuu nilikuwa na mheshimu sana.
@kadoditsa3805
@kadoditsa3805 7 ай бұрын
Wacha Matusi...
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 7 ай бұрын
@@kadoditsa3805 Matusi yako wapi unwell ni huon huyu ni mushrik na anafanya kazi na majini..meenye Pete za bahati na utajiri.. Ustadh Shafii pia Kampala.
@ashrafumbawala
@ashrafumbawala 7 ай бұрын
Kwann ww usiwe mchaw, kuwa na ww kama n raha mpuuzi ww
@kadoditsa3805
@kadoditsa3805 7 ай бұрын
@@samirrubeya2379 ... Nabii suleiman pia alifanya kazi na Majiinni .. Pia yeye ni mchawi???
@sigurdsonmathias4562
@sigurdsonmathias4562 6 ай бұрын
Anakujua?
@walterrodney3744
@walterrodney3744 7 ай бұрын
Leo ndio nigumdua kua namba 7 ni namba ya bahat hata hapa kwa cc mzee wa kubet na Kamari mnanielewa
@Putin331
@Putin331 7 ай бұрын
Leo hajaongea uchawi
@ashrafumbawala
@ashrafumbawala 7 ай бұрын
Kwann ww usiwe mchaw? Rofa ww
@hamedmweru6955
@hamedmweru6955 7 ай бұрын
Inshallah nakaribia la 4
@IssaAdam-pz9od
@IssaAdam-pz9od 4 ай бұрын
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 7 ай бұрын
Dr Sulle wasiokuwa na Elimu huwa wanasema heti hujui kusoma Quran,Sasa najiuliza unawezaje kuichambua bila Elimu nayo?Wazushi leteni majibu!
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 7 ай бұрын
Sasa huyu anaijua Quraan au ni mjanja mjanja amedonoadonoa vipengere vya baadhi ya aya
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 7 ай бұрын
@@thabitimkufi7388 kadonoa wakati kaizingumzia Surah Al Fatihah yote na idadi za maneno yake yote,twambie kakosea wapi?tueleze alikokosea mimi ninadhani unaweza ukawa unaibeza hiyo surah kwa kuwa inaoneka ni fupi pia ni nyepesi akili yako inakutuma kwamba ni ndigo sio?Soma historia yake,imeshuka na malaika wangapi? Tutajie faida zake ni zipi?Kuna Surah nyingine ni fupi zaidi ya hiyo lakini msomaji akiisoma mara moja tu faida zake ni sawa sawa kama vile kasoma Quran nzima na Mwenyezi Mungu anasema kwamba mtu yeyote ambaye hana chochote hata kidogo kuhusu Quran kichwani mwake mtu huyo ni sawa sawa na jengo gofu tu.Dr Sulle anakutajia idadi ya ya maneno yote ya Quran nzima bila kusoma popote,je hayo kayajuaje bila kuijua Quran?
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 7 ай бұрын
@@thabitimkufi7388 Kuna musomaji wa Ruqya ambaye hajui kuisoma Quran?Sulle anasomaje Rugya?
@saidissa8273
@saidissa8273 7 ай бұрын
NILICHOGUNDUA WATU WENGI HAWANA ELIMU.WAMESOMA CHUONI WAMESOMA QURAN LAKINI HAWAKUSOMA DINI.YAANI HAWAJITAMBUI
@middle6wayanga
@middle6wayanga 7 ай бұрын
Pale kwenye Pete rudia sheikh
@IbraahimSkochi
@IbraahimSkochi 7 ай бұрын
Watu wanakuskiliza sana dr sule ila uache uchawi allah atakuuliza cku ya mwisho umebeba watu wengih wew basi ni dhimma hiyo cku ya qiyama
@DakorTrony
@DakorTrony 7 ай бұрын
Dr. Sude wa majini. Mungu hapendi kuwatesa wanadamu. Dr. Sule hutumia majini kupokonya nyota za watu masikini ndio apate utajiri. Wacha ujinga wako na uchawi wa majini
@sigurdsonmathias4562
@sigurdsonmathias4562 6 ай бұрын
Kwahiyo ndo alikupokonya nyota yako ndo maana hujui kusoma na kuandika vizuri?
@DakorTrony
@DakorTrony 6 ай бұрын
@sigurdsonmathias4562 Ni some nini ya ujinga mtupu? Tunamuabudu mungu sio majini kina Sule . Majini yake hayana nguvu kwa jina la yeshua mwana kondoo wa mungu. Sule ni mganga wa kienyeji tena ati uislamu. Wacheni uchawi njooni kwa nuru. Nafikiri Sule tutamuita Dr. Sule wa majini . Sasa tutamuabudu mungu ama majini ya Kina Sule. Kwendeni huko na majini yenu . Nyie mapegani
@sigurdsonmathias4562
@sigurdsonmathias4562 6 ай бұрын
@@DakorTrony "Yeshua mwanakondoo wa Mungu" angalia huu ufala ulioandika kama una make any sense?
@DakorTrony
@DakorTrony 6 ай бұрын
@@sigurdsonmathias4562 Ujumbe hauwezi make sense kwa pagans inaeleweka kabisa. Sasa habari za majini au tatumuabudu mwenye enzi mungu? Hayo majini yenu ndio yanawapa uhai? Ama tuu ni kuyatumia kuumiza watu na kuwaibia pesa zao. Uislamu wa majini ukae kando kabisa
@sigurdsonmathias4562
@sigurdsonmathias4562 6 ай бұрын
@@DakorTrony We fala una dini ndo mnaita watu wanakondoo wa Mungu? Kuwa na akili jinga wewe
@abasmwika3432
@abasmwika3432 7 ай бұрын
Baadi ya kunyoa panki leo umeamua kulificha kwa kuvaa kofia
@KabatoniBoraa
@KabatoniBoraa 7 ай бұрын
Hayakuusu anauwezo walkuubiri analolitaka hayakuusu
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 7 ай бұрын
Ebu toaga dalili nawewe usilete uongo wa kichungaji misikitini bhanaa, halafu hii ni miskiti gani kumpa nafasi anaedai pete inampa riziki??
@ndarochibingu
@ndarochibingu 7 ай бұрын
Mara pete yakupa mali mmh nakuogopa😊
@MehboobCentreCharity
@MehboobCentreCharity 7 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 7 ай бұрын
Mashaallah 🎉
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 7 ай бұрын
Mganga, wa kienyeji. Mshirikina Kuna wajinga wasiosoma Tawheed wanamtetea
@IbraahimSkochi
@IbraahimSkochi 7 ай бұрын
Ni kweli akhy/ukhty
@yuhamrwambo3739
@yuhamrwambo3739 7 ай бұрын
Kwahiyo ukisoma tauhid ndio basi hebu ona udhalili huu tulio nao hivi aliesoma tauhid anaweza toa elimu ya khs MIRATHI ? kwanin tunakuw hivi WAISLAMU kila kitu hatutak kuona kina muonekano mpya huko kunaitw KUKAKIRIRI shekhe wangu tutenge muda tukasome tusivyo vijua na sio kutosheka elimu ni pana sana inafikia mahala MNATUCHANGANYA kweli ukisom Tauhid usisome historia wala masomo mengine hii ni kweli? Mwishoe tunadhalilik kana kwamba sisi waislamu sio viongoz wa huu ulimwengu 😢
@sigurdsonmathias4562
@sigurdsonmathias4562 6 ай бұрын
Afu Kuna mjinga wewe unaoza na njaa yako Kwa chuki
@abasmwika3432
@abasmwika3432 7 ай бұрын
Huyu mnampaje membar hapo wakati amekengeuka muacheni akafanye uganga wake huko kwenye vizimba vyake.
@amissiradjabu6561
@amissiradjabu6561 7 ай бұрын
punguza jazba dini ni utaratibu na kingine kuna viongozi tuombeyane dua arudi kwenye mis misingi yake Allah
@kisaunitiles7926
@kisaunitiles7926 6 ай бұрын
tatito elimu katafute elimu kaka
@aliaden5512
@aliaden5512 7 ай бұрын
Msikikiti gani inamkubali huyu mganga
@fundimagari5825
@fundimagari5825 7 ай бұрын
Kwani uganga ni haram? Ukimuona sheikh sio mganga huyo sheikh hana matatizo ...Qur an pekee yake ni ponyo,ni mawaidha...mtume mwenyewe s.a.w alifundisha uganga kwa maswahaba wake,,,,,kupitia aya za Qur an...elimu ni bora kuliko ujinga🙏
@sadathboutique6253
@sadathboutique6253 7 ай бұрын
Unaishi kijijini sio,Sule misikiti yote mikubwa ya dar akifika anapanda mimbar
@abasmwika3432
@abasmwika3432 7 ай бұрын
​@@sadathboutique6253amezingua hapandi membar zote kuna sehemu hapandi saahizi
@yuhamrwambo3739
@yuhamrwambo3739 7 ай бұрын
Hapo ndipo tunapofeli kujifany tunajua sana wakati elimu ni bahari asipewe membari kwakuw yeye mganga jee kuwa mganga nikosa ? Kama swala kukosea ww umeshakosea zaidi kutoa hukumu ndugu yangu jee wewe huna kosa? Basi kama issue ni pete kuna viumbe walitumia FIMBO wakafanya makubwa kwa imani ya Allah jee nawao washirikina? mimi nawe tuombe kusoma kitabu cha Allah kiuelewa na sio kama watu wengi tunavyosoma Quraan wengi hawana walijualo bali hutosheka na fadhila za malipo kwa usomaji ule lkn Quraan ukielew na ukaifuta lazima utaitwa MCHAWI hivyo jukum letu kusoma na kuelewa maana na dhamira.
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 7 ай бұрын
Mganga ni dactari
@IbraahimSkochi
@IbraahimSkochi 7 ай бұрын
Watu wengi walikuskiliza sna ila kwa sasa watu wote washbasin kua wewe ni mshirikina2 una mambo ya kichawi
@bakarhassan
@bakarhassan 7 ай бұрын
sasa uchawi wake nini wakati anacho kiongea kipo wazi au kasema tu mwage unga acha chuki
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 7 ай бұрын
Usiseme wote seme pekeako Dr. Sulle tunamkubali
@samirrubeya2379
@samirrubeya2379 7 ай бұрын
Mushrik mkubwa
@maciaali3698
@maciaali3698 7 ай бұрын
Je Pete????
@softjeanskhakis789
@softjeanskhakis789 7 ай бұрын
Mchawi. Uyo. Anajificha na uislamu
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 7 ай бұрын
we ndo mchawi.
@specialistmkombozi
@specialistmkombozi 7 ай бұрын
Acha upumbavu tafuta elimu
@IbrahimShacks
@IbrahimShacks 7 ай бұрын
Huyu sasa ndiye yule mwanafunzi was sheikh
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 7 ай бұрын
Kamroga babu yako?
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 7 ай бұрын
Punguza usda shekher mungu kamjalia tiba zake leo anaridhiki kubwa wewe pangu pakavu ujuwi hata jioni utakura nini unaleta roho ya mbaya unakuwa masikini zaidi
@shobatsaid7837
@shobatsaid7837 7 ай бұрын
Sio kweli mtu akiwa fakiri ni nusu ya kuwa kafiri. Mtume SAW pia aikuwa fakiri. Na matajiri wengi wanatakabari na kukufuru
@alimuhamadali1757
@alimuhamadali1757 7 ай бұрын
Mtume (SAW) hakua fakiri, utamwitaje bosi wako fakir ww? Wee muogope mung ww, waisilamu wot n mashahaba walikuwa wapo chin ya mtume muhammad s.a.w kish am n fakir i see wewe rud kw allah ww ten usirejee kutamk hay maneno kabs
@ashrafumbawala
@ashrafumbawala 7 ай бұрын
Wanaosema sulle n mchawi kuwa na ww mchawi bc kama n raha
@geographicalworld1994
@geographicalworld1994 7 ай бұрын
Hatuna imani na wewe tena,
@sleyumngolo
@sleyumngolo 7 ай бұрын
Pekeako na wajinga wenzio wachache na sio lazima umfatilie
@geographicalworld1994
@geographicalworld1994 7 ай бұрын
@@sleyumngolo sawaa
@sigurdsonmathias4562
@sigurdsonmathias4562 6 ай бұрын
Semea nafsi yako we Mlevi
@IbraahimSkochi
@IbraahimSkochi 7 ай бұрын
Kuna watu hawaja soma tauhidi wanamtetea muacheni huyu mchawi2 allah amuone
@sigurdsonmathias4562
@sigurdsonmathias4562 6 ай бұрын
Ulitaka tukutetee wewe kapuku mwenye chuki?
@saidirakozi1809
@saidirakozi1809 7 ай бұрын
Rizki mafungo saba maana yake ukikosa jumatatu pambana hadi juma pili yani siku saba kwa wiki za kutafuta
@fundimagari5825
@fundimagari5825 7 ай бұрын
Ukisikia mafungu 4 maana yake kuna hatua kwa hatua katika maisha yako ya dunia ..mafungu 7 ni misemo isiyo na faida....jifunze maana ya mafungu 4 kuna kitu utakipata hapo ..
@IssaMasanja-t2n
@IssaMasanja-t2n 7 ай бұрын
Kumtakia rehma mtume ni sawa Sasa unahangaika Nini na ibada ya Pete na unawadanganya watu habar za pete
@bakarikenga4426
@bakarikenga4426 7 ай бұрын
Mchawi huyo
@AbdullaahiCbdrxmn
@AbdullaahiCbdrxmn 7 ай бұрын
Uchawi
UKIANGALIA MIZIGO MWEZI WA RAMADHANI FUNGA YAKO INAENDA BURE
16:26
Wasafi Media
Рет қаралды 18 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Muhadhara wa Dr:Sule , Mada: Miujiza ya qur'an(No:(1)
1:31:34
Markaz Swalihinal- islamy Mombasa Kenya
Рет қаралды 506 М.
02 SURAH AL BAQARAH (Tafsiri Ya Quran Kwa Kiswahili)
3:24:01
Tafsiri ya Quran Tukufu Kwa Kiswahili
Рет қаралды 2 МЛН
live: [01.01.2025] OPERATION KOMBOA FAMILIA (MAOMBI 12)
ARISE AND SHINE TANZANIA
Рет қаралды 801
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН