Sule amebakia kidogo Tu ,abatizwe ameunga mkono kbsa YESU ni ana MUNGU tena alikufa na akafufuka ,hongera sule.
@mupechai80727 ай бұрын
There is no one enjoying this match more than that old man behind the christian reader.
@mussakalaja30527 ай бұрын
Mungu azidi kukubariki saaaanaaa NDACHAA. Kama unavyosemaa wanakataa ukweliii ila SULE Hana hojaaa. NDACHA unazjua saana kujenga hoja zako nakufuatilia kila wakatiii. Utazidi kubarikiwa sanaaa NDACHAAA. Unatufundishaa mengi saaanaa.
@julius7958416 ай бұрын
Dr sule ni mtoto sana mbele ya ndacha....angelimwita othman mazinge amsaidie....ndacha ni kiboko i say...barikiwa sana ndacha
@alexkaranja58197 ай бұрын
May God continue strengthening you ,give u knowledge to educate the world that Jesus is the way truth and life,pst Ndacha.
@zahraabdul96527 ай бұрын
🤔🤔
@KHADIJANDABABISA7 ай бұрын
Doctor sulley kaka yetu mungu akuhifadhi inshaallah
@zanzinanyange77947 ай бұрын
Yesu mwana wa mungu ni mungu, mimi mwenyewe kwenye Bible ni mwana wa mungu kwaio na mm ni mungu
@mchezakwao7 ай бұрын
"Mwanawe pekee"
@hasinaalrahbi66817 ай бұрын
Sasa kila mtu ni mungu.duhhhh
@mchezakwao7 ай бұрын
@@hasinaalrahbi6681 yesu ni mwanawe wa pekee. Wewe ulikuwapo tangu enzi? Wewe uliumba kila kitu ? Please think ata japo kidogo 🤔 it is not yet illegal to think.
@zahraabdul96527 ай бұрын
@@hasinaalrahbi6681😂😂😂😂😂😂😂
@zanzinanyange77946 ай бұрын
@@mchezakwao unatama kunambia yesu kaumba kilakitu?
@JamesMoses-jd1yq7 ай бұрын
Ndacha wew ni genius be blessed too.if you want our support plz bring here Ur m pesa number we really love you and we are ready to support you unapomtangaza yesu
@OmariShuli7 ай бұрын
Mwana wa Ng'ombe ni ng'ombe na mwana wa Mungu ni Mungu. Kwa hiyo Wakrsto mna Miungu wawili. basi hakuna ubishani hapo.
@AminaLibisa7 ай бұрын
Amiina yarab 🙏🙏
@gabrielkyando26327 ай бұрын
Ndachaaaa he so smart utamuuwaa sulee wewe,, 😊😊
@IMRANITV17 ай бұрын
Akili ni nywele tunasikia YESU ameabudu jee alimuabudu nani
MWANZILISHI WA IMANI YA WAKRISTO NI YESU YUKO HAI MPAKA LEOOOOO ELEWA APO WAISLAMU
@MuhindoJamaldin7 ай бұрын
Inafa unajiwuliza je alikuwa akifanya Ibada gani
@hashim.22kamal277 ай бұрын
Yesu na.ukhristo.ni.kama.mbingu.na.arthi.wapi.andiko.yesu.ni.mkhristo.acha.maneno.ya.vichwa
@hasinaalrahbi66817 ай бұрын
ASANTE SANA DR SULE KAMA HAWAELEWA HAWA WATU BASI TENA.USIJETENA UMIZA KICHWA
@bibieahmedseif50227 ай бұрын
Thus why me nikiuona clips yyt ya mashehe wetu km yupo Dr sule nakuwa wa mwanzo kuifungua ya Dr sule mana hata yule second wa tiroo anamuelewaa Alhamdulillah na jambo hili kwa sasa ndo linalowapa husda mashekhe wenzake. Allah akulinde usivurugwe kichwa na wavuruga vichwa vya watu
@zahraabdul96527 ай бұрын
Amen yarabilAlmin
@sirpleasureb7 ай бұрын
paulo hassan uko poa sana kwa usomaji Mungu akubariki sana..
@NathanielNathan-m4o7 ай бұрын
Ndacha ni 🔥.Sule relax and take notes
@HellenLemilya7 ай бұрын
Ndacha Mungu akubariki
@berry47267 ай бұрын
Ndacha amepotea vibaya. Ukimsikiliza atakupoteza dini hajui.
@NassirSaidmassoud7 ай бұрын
Sulle hongera unafannya kazi hiyo ndio kazi
@richardchimba38007 ай бұрын
Ameshindwa sana
@Zanha5827 ай бұрын
Aameeyn yarab 🤲🤲🤲
@bobramaso8257 ай бұрын
43:32 - Kwani wao ndio wanao gawa rehema za Mola wako Mlezi? Sisi tumewagawanyia baina yao maisha yao katika uhai wa duniani, na tukawanyanyua baadhi yao juu ya wengine kwa daraja nyingi; kwa hivyo baadhi yao wanawafanya wenginewe wawatumikie. Na rehema za Mwenyezi Mungu ni bora kuliko hayo wanayo yakusanya.
@arnoldkalemela50787 ай бұрын
Ndacha anajua jamani yooo 😅
@mussakalaja30527 ай бұрын
Anajua mpaka anakeraaaa
@yakubsuleiman68197 ай бұрын
Hakuna kitu kibaya kama unajua ukweli then unaficha ukweli...Ndacha anajua ukweli bt anafanya ujanja tu na maandiko kuficha ukweli... subhanaallah
@richardchimba38007 ай бұрын
Mmeshindwa
@richardchimba38007 ай бұрын
Quran inasema Yesu alikufa
@ezrommkambati15547 ай бұрын
Vice versa is true bro.
@JamesMoses-jd1yq7 ай бұрын
Utakuwa mtumwa hadi lini wa Muhammad Kisa waarabu.yaani mavazi ni ya waarabu,lugha ni ya waarabu, quran ya waarabu.duuh kazi mnayo😂😂😂
@ezrommkambati15547 ай бұрын
Yohana 8:23 mbona unasuta Sule? Acha ujinga ukweli unaujua ila unapindisha. Ninyi ni wa chini Mimi ni wa juu endelea bwabwa wewe
@ackimackim18807 ай бұрын
YESU ANA SIFA TATU BINADAMU, MWANA WA MUNGU, NI MUNGU KICHWA KIBOVU HUWEZI KUELEWA
@berry47267 ай бұрын
Hakuna kitu Kama hicho uzushi mtupu.
@julius7958416 ай бұрын
Kweli kabisa....jesus has humanity and divinity nature...he is the son of God
@berry47266 ай бұрын
@@julius795841 nah Jesus peace be upon him is a prophet of God. God doesn’t have sons or daughters.
@AllyAbdulkareem7 ай бұрын
Masha Allah
@badrukheir47 ай бұрын
Lllp
@MuhindoJamaldin7 ай бұрын
Taqbir Allah aqbar
@Catherine-mh8sw7 ай бұрын
Allahu Akbar
@NassirSaidmassoud7 ай бұрын
Mnamchukia dr sulle kwasababu ya Mali zake,amawashirina Kama ibn taymia Abdul,wahabu ibrisi wanajidi
@StanfordMNthali7 ай бұрын
Ndacha wape somo
@berry47267 ай бұрын
Hamna kitu dini hajui.
@bobramaso8257 ай бұрын
ENZI ZA NABII ADAM MUNGU ALIKUWA WAPI KAMA YESU NI MUNGU?VIPI ENZI NA NABII IBRAHIM MUNGU ALIKUA WAPI?
@shijamachiya38327 ай бұрын
kabla Adam Yuko, Mimi Yesu, NIKO@@bobramaso825
@Benjaminkabui-lq9yq7 ай бұрын
daah waislamu kweli wamegaragazwa kinoma 😂😂... ndacha kiboko cha majini.....
@YarowAbd7 ай бұрын
Mwambia na mkiristo Suleiman mungu wa tatu pia yeye niko kabla yesu😅😢😢
@ezrommkambati15547 ай бұрын
Waislam mna shida gani?
@issackmakanga56037 ай бұрын
Sule ashakubali YESU ndie njia ya uzima wa milele, hilo tumekubaliana kabisa
@shamtekhamispoeta1757 ай бұрын
Kama hawaamini apa.hawaamini tena hawa wakristo.
@bayavugeamissi7 ай бұрын
sasa ndacha kama yesu aliitwa mungu hajawa mungu wewe ndacha unamfata uyo alimuita yesu mungu maana ingekuwa ndacha unamfata yesu kweli unesha wa kristo wapi yesu anasema mimi yesu ni mungu
@ramadhanyusuf24017 ай бұрын
Huyu sule alipodhihirisha ushirikina wake mbele za umma hakuna siku atamshinda adui wa Allah hawezi kwa sababu hafanyi kumridhisha Allah anafnya watu waseme ni dr
@MohamedbarakaBarakaIbrahim7 ай бұрын
Ndacha unafikiri Quran ni bíblia wapi katika Quran Yesu aliumba?
@BarikielHagite7 ай бұрын
Hata ukiwa neutral waislam wanazidiwa hoja sana
@SaidSaigor7 ай бұрын
Islam will dominate
@JumaOnyancha-rs9pz7 ай бұрын
Will perish
@EVELINENGIBILICHO5 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😮😢😢😢😢😢waislam 😂
@CharlesMisungwi-f8t7 ай бұрын
Upandewapili nivigumusana kumufafanua Mungu inahitaji wanafalisafa wabobezi hao.mpakawakatiwakihama kwakuwahatautatuwaMungu hawajuikufafanua au ufafanuzi wao wanatakaMungu wamuonekwaumbilelipi?? wakatiMunguhuyohuyo ndiye alijifanyabinadamu hukohukokatikaulimwenguwabibiria . Natufanyemtukwamfanowetu maanayake hayo manenotafisiriyake inahitaji maalifa ?
@nobo26.94 ай бұрын
Huyu Dr. Sulley anahoja za kitoto na ambazo azina uzani mkubwa na sikia wenzie wanavyomsapuza 😅 Ila waislamu😂 Arafu anajifanya anaongea kwa kebei Bt Empty plate shenz
@herimornchriston60837 ай бұрын
sule kakubali kuwa yesu ndio njia ya kweli na uzima hy inatosha sana kwa sasa mdogo mdogo unakuja
@Ayoon_Furniture7 ай бұрын
Hivi bado mnampa Airtime huyo Sele? Pamoja na kuusdhalilisha Usikamu??
@allyraiya74847 ай бұрын
Sheikh we hubiri tu ila Tanzania inanyanyasa wageni hatakama wana vitambulisho
@nomar37087 ай бұрын
Ndacha hakuweza kumjibu Sule, wapi yesu kasema mimi mungu muniabudu? Ndacha kababaisha tu na kalikimbia swali😂
@MohamedbarakaBarakaIbrahim7 ай бұрын
Wewe pastor umeulizwa wapi Yesu alisema yeye ni mungu? Jibu swali Wacha ujanja bana
@samuellubunga7 ай бұрын
Soma ufunuo 21 yote
@hasinaalrahbi66817 ай бұрын
Hilo jibu halitoki
@samuellubunga7 ай бұрын
@@hasinaalrahbi6681 ufunuo 21:3-7 soma
@bobramaso8257 ай бұрын
Walioichezea Biblia Na Kuzichakachua Taurati,Injili,Zabur Wamewachanganya Sana Wa Kristo
@mchezakwao7 ай бұрын
Wewe unayo quran ya enzi ya moha? Do we have a 7th century quran? Even a fragment ? None. Just uthman ambayo ni ya 8th century
@zahraabdul96527 ай бұрын
Kweli kabisa ila bible nayo ilivurugwa sana
@hamidmussa8387 ай бұрын
Hoja ilibaki ni moja tu! Majin majini
@harrishussein69927 ай бұрын
Doctor sule wallah mtu ambae hajakuelewa hata darasani alikua haelewi umeshusha nondo kali sana
@NoorynMody7 ай бұрын
Sinagogi ni nn?
@NoorynMody7 ай бұрын
Yaan baada ya kuleta dua inyo endana na jambo usika we unakuja kuombe yasio usika na mdaaro ndomana mike imekugomea😂
@MusaRamadhani-wj2dw7 ай бұрын
Huyu sele haki Hana hata aibu unaona hata watu ambao ni waislam wamegoma kwenda kwakua watu wangejitokeza kwa wingi hasa waislam angesema pete zimeleta watu siku sote mtu ukiongra kitu bila ya elimu basi kukosea kutakua kukubwa sana
@MohamedbarakaBarakaIbrahim7 ай бұрын
Pastor kalele tu , mwalimu wa kislamu alimuuliza swali ya kiprofishnali lakin huyu kafiri anatamba Tamba tu, hapa sio kujionyesha vile unaongea hapa ni elimu ya kisomo kama yule mwalimu wa kislamu
@FarajiHamisi-u2g7 ай бұрын
Katika siku ndacha sijamuelewa bas Leo ninamba Moja jaman iyo mada Bora angeikaata maan mhhh imekua nzito kwa ndacha Bora unafik
@richardchimba38007 ай бұрын
Ndacha ameshinda Sule ameshindwa
@MohamedbarakaBarakaIbrahim7 ай бұрын
Huyu ndacha aliuziwa swali , je wapi Yesu alisema yeye ni mungu, na hakujibu swali ameanza kutamba, kwani kabla ya Abraham hakuna watu? Hiyo kwanza ni error katika bíblia sababu kabla ya Abraham Kuna umma wengi ulipita mbele yake na wale umma nani aliwaumba?
@bobramaso8257 ай бұрын
NA ENZI ZA NABII ADAM KULIKUWA NA UMA PIA WAO NAO SIJUI WALIKUA NA MUNGU GANI.
@ezrommkambati15547 ай бұрын
Sule hamuoni kama ni mwakilishi wa shetani. Mnapaswa kujiuliza shida yenu nini?
@ezrommkambati15547 ай бұрын
Sule akili huna na una hila za kishetani ndani yako
@ismailsoud36347 ай бұрын
Hao wanaosapoti Dr. Selle nie miongoni mwa jamaa zake so ndugu ndani ya uislamu. Maana ameupazia sana mtope uislamu. Sasa uislamu gani ambao anautetea?
@AbdulRahman-ds5iq7 ай бұрын
Usiangalie mabaya yake angalia mambo anayo yafanya kama ni mema ishi nayo kama ni mabaya yaache
@ismailsoud36347 ай бұрын
@@AbdulRahman-ds5iq ukiwa mshikina hata ufanye zuri la aina yoyote Mungu hatii TIKI, litakufaa hapa duniani lakini akhera huna kitu kwa mujibu wa Qur'an
@chikuiddy99467 ай бұрын
@@ismailsoud3634usihukum mtu saingine katubia wacheni izo mambo waislam
@ezrommkambati15547 ай бұрын
Sule andiko umelisoma kinafiki na kwa hila rudia hilo andiko utaelewa bwabwa wewe
@NassirSaidmassoud7 ай бұрын
Wasilamu acha ujinga Ona kazi hiyo nyie mnapombazwa na. Mayaudi Kama muhaammedi bachu maana awa chanzo Chao n MAyaudi
@Sharrif4567 ай бұрын
Dacha una mdomo sana wee ndo utatoa waislamu kwa makaburi 😏😏 shenzi type
@bayavugeamissi7 ай бұрын
wewe ndacha acha kudanganya wa kristo kwa kutafuta maslayi yako unapo uliza swali jibu acha ku kwepa kwepa wambiye wa kristo je yesu alimba ao hakuomba???
@berry47267 ай бұрын
Ndacha hamna kitu dini hajui.
@bosta50187 ай бұрын
Huyu ndacha ni 'summun bukmun umyun', na elimu ya Wakristo wanao msikiliza ni ya kusikitisha, elimu yake ya Chekechea
@aishaarusha8947 ай бұрын
Kwakweli yani uyu ndacha ni abujahal kabisa yani kalaaniwa
@nevisao31827 ай бұрын
Unapataje uhakika wa kusema mwenzio kalaaniwa ilihali ww ni binaadam? Unaongeaga na mungu? Ww unajihakikishia kama umsafi?
@aishaarusha8947 ай бұрын
@@nevisao3182 basi na wewe umelaaniwa maana unaona ndacha ana faidi na laana😁
@samuellubunga7 ай бұрын
Ufunuo 21 :3 Yesu mwenyewe anadhibitisha
@richardchimba38007 ай бұрын
Yaani Sule kashindwa wewe utaweza
@JumaOnyancha-se8lu7 ай бұрын
Kwa kweli sule ni doctor wa majini na waisilamu wanamkubali kuwadanganya
@chandelierlumona34476 ай бұрын
Sulle wewe huja soma hakima kwasababu you don’t make sense man ..! Muhammad alikufa, Yesu yupo Mbinguni sasa bado huajaelewa..?
Wakristo huyu anawapeleka motoni chungana na yeye huyu ni iblis
@herimornchriston60837 ай бұрын
inaweza ukawa uko sahihi ila mm kamwe siwez kumfuata alieoa binti wa miaka 08. huyo simtambui na sitamtambua kamwe kama mtume
@abubakarjuma58267 ай бұрын
Kama unahis ni sawa unavo ongea poa ila jahamnam inawasubir wakirsto nyote.
@herimornchriston60837 ай бұрын
@@abubakarjuma5826 ungeli jua jehanum n kwaajili ya nani usingali onge hilo kwasabb jehanum n kwa wale wote wanaopinga juu ya imani ya yesu kristu na amri za Mungu. kwahy kama ww unaiba,unazini,unasema uongo, unawatukana watu,unaenda kwa mganga,muasherati unakataa kwamba yesu ndio massiah huyu ndio utakaeingia jehanum !!! na kama Quran imesema jehanumu n kwadini fulani au kwa dhehebu fulani nakili kwadhati kama imesema hvy imewadanganya.
@MohamedbarakaBarakaIbrahim7 ай бұрын
Pastor hajajibu swali , kalele tu
@halidimgonza59457 ай бұрын
Dr. Sulley unafnya kaz kubwa, ndacha anafahamu bali ni ukafir unaomsumbua tuu
@LukmanAbass-t8y7 ай бұрын
Ndacha wacha kutafsir aya nusu nusu unapotosha ao wajinga wenzak wakristo
@LukmanAbass-t8y7 ай бұрын
We ndacha koma kwanza kutafsir aya za kur -an unavotak ww usitafsir kinyume nyume
@MohamedbarakaBarakaIbrahim7 ай бұрын
Pastor anaongea kama Ako kwa kanisa, Hana chochote
@bayavugeamissi7 ай бұрын
sasa ndacha kama yesu aliitwa mungu hajawa mungu wewe ndacha unamfata uyo alimuita yesu mungu maana ingekuwa ndacha unamfata yesu kweli unesha wa kristo wapi yesu anasema mimi yesu ni mungu
@bayavugeamissi7 ай бұрын
sasa ndacha kama yesu aliitwa mungu hajawa mungu wewe ndacha unamfata uyo alimuita yesu mungu maana ingekuwa ndacha unamfata yesu kweli onesha wa kristo wapi yesu anasema mimi yesu ni mungu