LIVE: MIAKA 20 YA KING KIBA

  Рет қаралды 149,254

Alikiba

Alikiba

2 ай бұрын

Ungana nami Kusherehekea Miaka 20 tangu nilipoanza Muziki.
Join Me in his exclusive event celebrating 20 years in the music industry. Because when my beloved fans gave me the name "KingKiba" I knew that the Crown on my head was one i needed to give back and i am to do nothing less.
Listen to Alikiba on Digital Streaming:
Audiomack: audiomack.com/alikiba
Apple Music: / alikiba
Boomplay: www.boomplay.com/share/artist...
KZbin: / alikibaofficial
Spotify: open.spotify.com/artist/2nGoK...
Connect with Alikiba on Social Media:
Instagram: / officialalikiba
Facebook: / officialalikiba
Twitter: / officialalikiba
Snapchat: / officialalikiba
TikTok: / officialalikiba
+For More Information Booking Alikiba:
Contact:emailalikiba@gmail.com
©2024 Kings Music Records.All Rights Reserved.

Пікірлер: 268
@elizabethmasitsa6537
@elizabethmasitsa6537 2 ай бұрын
Hapa nimejifunza kitu, usipishane na watu fanya mambo Yako pole pole na kumuomba MUNGU wakati sahii utafika tu. Hakuna ku rush 🔥🔥🔥🤲 hongera sana king kiba
@user-ce9bx7kr2r
@user-ce9bx7kr2r 2 ай бұрын
King 🤴 kiba ongeza bidiii kaka mi nakukubar kinoma kaka hapo bado utatupa vitu vingine vikubw mungu akujalie kila unalo lifanya
@AlexSankala
@AlexSankala 23 күн бұрын
DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💞💕❤️‍🔥💘 tunakupenda sana KING KIBA🤴🎶🔥 wangu mi nakukubali kinoma we mukali sana mungu azidi kukusaidiya kwa kila chochote unakiitaji katika maisha yako
@johnshimuda8331
@johnshimuda8331 2 ай бұрын
KING of the stage And Mike yaani ukimsikiliza Akiwa anaimba live mpaka moyo unaweza kuohopa maana kipaji cha king nichahali ya juu sanaa
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h 7 күн бұрын
Alikiba king wa mziki wa Tanzania. Mchukue host bob cat wa bamba live muweke crownmedia anaweza sana yule jama
@Susanumazi
@Susanumazi 2 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda kaka King 🤴 kiba love you so much 💓 from 254 001❤
@robertotieno5223
@robertotieno5223 2 ай бұрын
👑👑👑👑 king mfalme president wa bongo flavor Africa ujawahi tuangusha love you from 254🇰🇪🤝🇹🇿🎶 keep rocking king 👑
@fiston-asifiwe
@fiston-asifiwe 2 ай бұрын
Miaka 20 kwenye muziki so mchezo 🔥
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 2 ай бұрын
Hongera king🎉🎉🎉jambo ulilofanya sio dogo,,,nitakuwa shabik no 1 wa #CrownFm na naamin itakua ni radio ya haki isio kuwa na upendeleo
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 2 ай бұрын
Nilitaka tu kukwambia kuwa wew ni moja kati ya wasanii walio toa hamasa kwa wasanii wengine kuona muziki ni ajira na ni fursa pia hivyo nikupongeze kwa hilo na pia hao watu walio hudhulia ni heshima kubwa sana❤❤🎉 baki na moyo wako mzuri huo kingkiba
@khamisshee803
@khamisshee803 2 ай бұрын
Wooow ❤❤❤ SS hawana lakututambia tuko na mider yetu nakutakia kila la kheri Insha'Allah AKA BACHUCHU Mombasa 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@amzasadikimamadou6066
@amzasadikimamadou6066 2 ай бұрын
Ni atari mwaka 20 kwenye games sio mchezo king 👑 Ata baki kuwa king 👑 alikiba ninoma 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@user-dr1su7pf7w
@user-dr1su7pf7w 2 ай бұрын
mtangazaji unauliza vizuri sana chukua maua yako❤🎉
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h Ай бұрын
Asante alikiba, kwasasa anza kujianda kujakuanzisha kampuni ya kuuza mziki nakusambaza mana thamani yako nikubwa mno unategemewa na watu wengi sana ndani ya Tanzania na nje ya Tanzania unaitajika kuokoa watu wengi sana na studio ya filamu
@Faiza-fc4ms
@Faiza-fc4ms 2 ай бұрын
Hongera. Pia. Usibadili. Mwelekeo. U aimba. Vizuri. Tena. Kwa. Hisia. Kali. ❤❤
@OmegaKingKas
@OmegaKingKas 2 ай бұрын
Wa Congo tu juane hapa kwa likes kwake mfalme Alik 👑👑👑
@alichangawa6201
@alichangawa6201 2 ай бұрын
Sijaona Dogo Janja Alikiba mbn hujamualika au VP he is Ur big fun mapenzi ya na run dunia
@MUHAMMEDYKUSIKITIKA-zv4gq
@MUHAMMEDYKUSIKITIKA-zv4gq 2 ай бұрын
ALIKIBA DAA UMETISHA HAKUNA KAMA WEWE.WEWE NI MOTO
@user-xt9gm1kb2o
@user-xt9gm1kb2o 2 ай бұрын
Unajua sana king mungu azidi kukubaliki
@user-vt6cl8tl2l
@user-vt6cl8tl2l 2 ай бұрын
Kiba nakuomba uchaguzi unaokuja kaombe M mungu kwenye nafasi ya Ubunge jimboni kwenu
@johnshimuda8331
@johnshimuda8331 2 ай бұрын
Yaani natamani hiyo story ingekua ndefu kidogo maana kingi unaongea kwa upole na kwa ukubwa zaidi in short umetulia sana Brooh 😊
@theogeneufiteyezu6833
@theogeneufiteyezu6833 2 ай бұрын
King 👑 kiba nakukubari muno kutoka Kigali city 🇷🇼 muziki wako naufa kutoka utoe sinderera mpka Leo hongera sannn
@bonfacebonafide7220
@bonfacebonafide7220 2 ай бұрын
Mungu hakuzidishie baraka #KingKiba ❤
@mrmboymaupendo
@mrmboymaupendo 2 ай бұрын
Kaka king 👑 Kiba naomba msada toka kwako me nina kipaji cha kuimba ila sina wakunishika mkono
@user-ue3oi5xy6i
@user-ue3oi5xy6i 2 ай бұрын
Kiba anaimba kwa hisia sana team kiba tupo ❤
@user-zd3fj8qz6o
@user-zd3fj8qz6o 2 ай бұрын
0:25 congrats King 🤴 🎉🎉🎉 RADIO 📻 92.1 CROWN 👑 💖
@kambandefusaidi6966
@kambandefusaidi6966 2 ай бұрын
Hongera Sana king 👑 #Crownfm ni nyumbani kwetu
@khamisathman7171
@khamisathman7171 2 ай бұрын
Hongera Mfalme King Kiba
@its.ramadjr751
@its.ramadjr751 2 ай бұрын
king is always a king nimeinjoy sana show kaka king appreciate
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h Ай бұрын
Aise alikiba seven mocha alikuwa meneja bora sana kwake alicho ongea juzi ndicho alicho jana hasimu wake
@kizamaheshe6218
@kizamaheshe6218 2 ай бұрын
King is king, and nobody gonna change ❤🎉 love you more najuwa watahongeya saaana
@rwakitatechnology7308
@rwakitatechnology7308 2 ай бұрын
Kumbe mrs energy ni msanii mzuri
@TEYGA_DON
@TEYGA_DON 2 ай бұрын
Jamani mimi ndo wakwaza naomba like ata 60❤❤❤
@loner_wolf
@loner_wolf 2 ай бұрын
Zinaongeza nini?
@wemakalama6458
@wemakalama6458 2 ай бұрын
King salute.kwako✌✌
@BahanuziPaulin-gb2fp
@BahanuziPaulin-gb2fp 2 ай бұрын
King kiba na Nandy nawakubali Sana.
@blaisejb2331
@blaisejb2331 2 ай бұрын
Nakutambua kabisa Wewe Ni king kwenye sauti Natural Mimi shabiki wako huku Australia Kutoka zamani nikipenda wimbo zako
@tzmagaladiah5680
@tzmagaladiah5680 2 ай бұрын
Kwenye kila maisha kuna up and down nyingi sana so big up brother kuna vitu nimeotota kwenye ili jambo lako .
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h Ай бұрын
Asante kwakuwa bora mda wote. Swali langu ivi hii chanel ya crown tv nayo niyenu nakama niyenu hamuoni kama munachanganya watu nahadi sasa inawatazamaji 3k manaake nini sasa kama sio yenu kwanini msiisitishe kinashindikana nini
@exaviermwamba7296
@exaviermwamba7296 2 ай бұрын
Congratulations sana bro Wangu ❤❤ mewe nimfano wakuigwa
@adorateurpaulbukuru6864
@adorateurpaulbukuru6864 2 ай бұрын
Big 🆙 #Alikiba for ur Duty and Power to show Ppl ur Journey to the Destiny. we love you n ur good Music since ur beginning to now, I'm one of ur Fan from #LUBUMBASHI DR C.O.N.G.O🇨🇩✌️
@HajjCharles
@HajjCharles 2 ай бұрын
Unyamaaaaa crown fm nakubali
@nikkitokke8162
@nikkitokke8162 2 ай бұрын
Kiba na nandy ni wasanii kinoma ❤
@ChrisantEmanuely27
@ChrisantEmanuely27 2 ай бұрын
Ata wakisema ww saizi unashika nafasi ya kumi nisawa tu miaka ishirini bado upo Top One Number kaka we atar
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h 2 ай бұрын
Alikiba weka itwe crown fm 1 crown TV 1 crown media group 1.ilikuzitofautisha nazile za Kenya nasehemu nyingine
@Arturowilliams2020
@Arturowilliams2020 2 ай бұрын
The flow of music is just coming out 👀💯🍷
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h Ай бұрын
Seven mosha ni meneja wa mda wote haitakujakuyokea hata Iwaje nandomana aidini nizao lake bora sana
@TabuSebastian
@TabuSebastian 2 ай бұрын
Congratulations our very own KING KIBA🎉❤🎉....combination ya kiba na Nandy ni next level 🙌🏾☺️☺️☺️
@JUMAMFAUME-eu4xd
@JUMAMFAUME-eu4xd 2 ай бұрын
Atua njema kwa kila atuwa kuanzia from zero to the Hero bro Mungu aibariki kazi yako 👑
@user-po9jw6pz8s
@user-po9jw6pz8s 2 ай бұрын
Omy ndimponzi, kauwaaaaaaaaa bigaup Sana mwamba ommy
@hajjihadhrajeee1523
@hajjihadhrajeee1523 2 ай бұрын
Ommy your in another level musical comedy and more,,but ilke mlivyo shibana coz today ni kitu muhimu kwa Ali but you still make jokes and aly anacheka hii ndio really friend wanatakiwa kua. ..today hamna drama za kupanga ni real 20th ya music ya ali na crown media mtanichoka mimi namtangaza Ali nikiwa Sweden 🇸🇪 na sichoki coz nakumbuka niliua naskisa kanda au cassette yake ya sinderela toka dar mpaka dodoma Ali am your biggest fun from Sweden 🇸🇪
@hajjihadhrajeee1523
@hajjihadhrajeee1523 2 ай бұрын
There's king and princess even if illike nandy to call queen ,le me tell you kiba and nandy there greatest musician in bongo fleva if you like or not lessen to voice and I always appreciate watching from Sweden
@sinomiles
@sinomiles 2 ай бұрын
Respect to the KING of bongo fleva Alikiba🫡
@bonfacebonafide7220
@bonfacebonafide7220 2 ай бұрын
Congratulations #KingKiba #20YaKing 🔥🙌👏🎉
@user-fm1oy7gl4k
@user-fm1oy7gl4k 2 ай бұрын
Mfalm wetu kazi mzuri
@HidayaOmary-qc9sm
@HidayaOmary-qc9sm 2 ай бұрын
hongera mfalme king mungu akupe Kila lenye kher kwako 🎉🎉🎉🎉
@muntadhirymarisanga1224
@muntadhirymarisanga1224 2 ай бұрын
Tumesifia sana wazungumzaj ila daaah mc ibwe kafanyaja kaz kubwa sana sana
@cosmasjoseph8143
@cosmasjoseph8143 2 ай бұрын
Kingkiba salute
@user-zt3ug9wv7f
@user-zt3ug9wv7f 2 ай бұрын
20 yrs In game sio mchezo wengi walipotea njiani hongera sana King 🤴
@alexmalangalila8340
@alexmalangalila8340 2 ай бұрын
Big up am so real happy when I saw king on big success always inshallah Mungu azidi kikujali na uendelee kutoa fursa kwetu.🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@sinomiles
@sinomiles 2 ай бұрын
wanao mlinganisha Alikiba na Mondi wanakosea.
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews 2 ай бұрын
proud of u king 👏👏
@kavisheonline2418
@kavisheonline2418 2 ай бұрын
Kiba umefanya bonge moja la show ni international hii aujaimba minyimbo ya mabiti kupigapiga bila utaratibu makelele show was smart
@janewambui4441
@janewambui4441 2 ай бұрын
Love u King from 🇰🇪
@VIONGOZIGENERATION
@VIONGOZIGENERATION 2 ай бұрын
Asante king kwa kumulika kipaji chetu 🙏🙏🙏 all the best na crowm Fm and Tv
@hajjihadhrajeee1523
@hajjihadhrajeee1523 2 ай бұрын
King of flavour and vocal in bongo flavour who is complaining watching from Sweden 🇸🇪
@user-ve1xm7gn9y
@user-ve1xm7gn9y 2 ай бұрын
Alichokifanya Harmonize kwa Diamond State House ilikua maagizo ya Wachawi wake... Harmonize, Alikiba, wameshindwa kimziki kwa Diamond Sasa ni Popo 😭😭🇹🇿🦇🦇🦇🦇🦇
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h 2 ай бұрын
Nabora umesema ivo mana sky huwa anakuzarau sana nakukuona kama Huna hera
@billisalia7931
@billisalia7931 2 ай бұрын
i mast say king kiba you are aliving legend
@sadikiissa4910
@sadikiissa4910 2 ай бұрын
Always on top king 👑
@OmegaKingKas
@OmegaKingKas 2 ай бұрын
Aya king ume maliza
@djismahlovetv7849
@djismahlovetv7849 2 ай бұрын
wewe ni mtu wa watu kabisa yani kama tanzania inajitambua akuna msani kama Ali yani msani hana tattoo hana ereni mambo ya kijinga usimtembezeye Big UP Crown FM 🔥🔥🔥 next Crown TV inshaallah
@SamsonGamba-lk6qx
@SamsonGamba-lk6qx 2 ай бұрын
Kama unaamini mau sama ni mnoma sana kwenye live band gonga like apa
@annejackline7352
@annejackline7352 2 ай бұрын
Till eternity Alikiba, 💕💕💕💕
@user-ps5yv4nr9l
@user-ps5yv4nr9l 2 ай бұрын
Safi sana 😁 umeonesha maana halisi ya king 👑 umenyamazisha yule muongeza sifuri 😁😁
@sniperprotector6965
@sniperprotector6965 2 ай бұрын
Nakubaliiiii 👑 nyumbani music utelaze 👑🔥🔥🔥❤🙏
@joseambrosio1503
@joseambrosio1503 2 ай бұрын
Safi sana kiba Kaz mzuri big🎉❤
@shairannjaji420
@shairannjaji420 2 ай бұрын
Hongera sana King Kiba
@zetufilm
@zetufilm 2 ай бұрын
🎉 hi imendaa
@AidoMatumla
@AidoMatumla 2 ай бұрын
King ni mmoja tu
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h Ай бұрын
Kunakijana anaitwa yeyo najua ni rapa ila wemucgukue uweke utofauti apo alete chachu na yeye anajua sana uyo kijana mchukue
@A.Y77online
@A.Y77online 2 ай бұрын
noma sana hakuna wakufananaye hapa tanzania
@shariphasalum4111
@shariphasalum4111 2 ай бұрын
Allah akujaalie kaka
@kenlurther
@kenlurther 2 ай бұрын
Poor Kenya 🇰🇪 yani after watching this hukuita wasani wetu kwa stage 💔😢
@Teno_Music1
@Teno_Music1 2 ай бұрын
King ni mmoja King Kiba 🤴 👑
@amosmgolekichele7311
@amosmgolekichele7311 2 ай бұрын
hongera Sana kaka. kazi kubwa Sana 🙏🙏
@user-ob5ks4vi9k
@user-ob5ks4vi9k 2 ай бұрын
Ila natamani sna huyo sk angekuwa mpanga vipindi wa hyo redio yko asee ingekuwa ninoma niushari tu bro hongera sna mungu akuzidishe🎉🎉🎉
@user-no7ev8he6y
@user-no7ev8he6y 2 ай бұрын
Good king kiba kazi zuri media saf
@lanafelix8649
@lanafelix8649 2 ай бұрын
KINGS MUSIC FOREVER 👑
@Cheedmnyamwezi-rp9pf
@Cheedmnyamwezi-rp9pf 2 ай бұрын
Pongezi sana king wang unafany pow san
@JojyLuhasa
@JojyLuhasa 2 ай бұрын
King we mkimia sana jamani
@AbdullahPengo
@AbdullahPengo 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🙌🙌🙌 teams king kiba✊
@emmanuelkituma
@emmanuelkituma 2 ай бұрын
Safi Sana 👑
@cmaxfrans4654
@cmaxfrans4654 2 ай бұрын
Nilicho gundua issue za Alikiba ni za heshima sana
@hatangafelix5598
@hatangafelix5598 2 ай бұрын
You are my inspiration ❤ 😢
@robbykofficial9901
@robbykofficial9901 2 ай бұрын
Congratulations 👏 my king 👑.
@stevensimoneriyo8242
@stevensimoneriyo8242 2 ай бұрын
huu ndo mda wa team kiba kuenjoy na crownfm
@FeisalyAhmed
@FeisalyAhmed 2 ай бұрын
Nice king 👑 wetu
@jewelmabhenga4742
@jewelmabhenga4742 2 ай бұрын
Hongera sana ali kiba
@DeusMasunga-lq1jo
@DeusMasunga-lq1jo 2 ай бұрын
❤❤❤kiñg' kama kiñg
@allyngitu4584
@allyngitu4584 2 ай бұрын
Tuko pamoja sana king
Alikiba - Mwana (Official Music Video)
3:55
Alikiba
Рет қаралды 35 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 6 СЕРИЯ
21:57
Inter Production
Рет қаралды 442 М.
Would you like a delicious big mooncake? #shorts#Mooncake #China #Chinesefood
00:30
UTACHEKA UFE UTANI WA ALIKIBA NA OMMY DIMPOZ MBELE YA KIKWETE
8:52
DAVIDO alipiga Melodies za ALIKIBA/ABDUKIBA?
2:04
EDDIENYOTA5
Рет қаралды 18 М.
Dakika 15 za Ali Kiba Akumbushia Sindelela Shangwe lake Usipime
18:24
Harmonize - Na Nusu (Official Lyrics Video)
4:19
Harmonize
Рет қаралды 1,6 МЛН
Wezi WAKAMATWA ARUSHAA....UWIII....Ona KINACHOTOKEAAA!!
20:48
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 101 М.
Money changed everything 😢😔👻
0:31
Ben Meryem
Рет қаралды 26 МЛН
Самолёт Падает! Но Осталось 2 Парашюта... @NutshellAnimations
0:35
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 3,8 МЛН
ДЕВУШКА проучила МУЖА изменщика 😱 #shorts
1:00
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 2,5 МЛН
ДЕВУШКА проучила МУЖА изменщика 😱 #shorts
1:00
Лаборатория Разрушителя
Рет қаралды 2,5 МЛН
когда достали одноклассники!
0:49
БРУНО
Рет қаралды 3,5 МЛН