Vyama upinzani nikama make wa pili wanatuchangamsha kwenye ndoa Ili ikae SAWA, hawara ni hawara ndoa hawezi, vhadema mpo kukosoa sio kuongoza kabisa,asanteni kutuchangamsha sio mbaya
@ICONTVTZ19 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-bs7cw1oi6z19 күн бұрын
Chadema Haina wagombea Wala viongozi ila waombaji na wambea wanafiki wachonganishi ,
@ICONTVTZ19 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-bs7cw1oi6z19 күн бұрын
Shehe kadogoo kajisahau kataja ccm huyu ni mwenzetu,
@ICONTVTZ19 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@AllyMandunda-tj9jc18 күн бұрын
CHADEMA WAPO VIZURI DANA PRO. MKENDA ATAENDA NA MAJI
@ICONTVTZ18 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-bs7cw1oi6z19 күн бұрын
Huyu marefu ana siku ngapi hajala ,maana anataka kuongea kashidwa Lita ,chupa vhadema bwana, kwani kunywa ni lazima si dhambi yatu, mbona mbowe ni mlevi wa kupitiliza na yeye si umuseme
@ICONTVTZ19 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-bs7cw1oi6z19 күн бұрын
Mbowe bwana anafaa kuwa mchungaji wa dini siasa apumzike akahubiri watu tuokoke , jamani chodechode nifikishieni ombi hilo kwa mbowe, hakika siasa apumzike
@ICONTVTZ19 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@user-gr9px4pi2w19 күн бұрын
Kupiga domo ni rahisi sana,,,,mkishindwa hoodoo tumeibiwa kura ....mkenda hana mpinzani...ila kujifariji ni desturl ya mwanadamu
@ICONTVTZ19 күн бұрын
Asante Kwa Kutufuatilia
@elibarikimollel714919 күн бұрын
Mmesahau mashine za kubet za wachina zilizojazwa kwenye bar mijini,kijana akipata kibarua cha elfu 2, elfu1 anabet na elfu anakunywa kiroba. Hajala,hajaoga,hajafua, kesho anarudia tena! Hili ni bomu la vibaka,walevi,na tegemezi! Eti ndio taifa la leo, wapiga kura wa baadae...!?