RC MAKONDA AMLIZA MKURUGENZI HAZARANI "TUNATAKA MILIONI MIYAMBILI ISHINI NA NANE LEO LEO PIGA SIMU

  Рет қаралды 38,474

Adil TV

Adil TV

6 күн бұрын

#AdilTV

Пікірлер: 75
@ezekielmwasenga4640
@ezekielmwasenga4640 10 сағат бұрын
Naishia tu kusema Mungu Asante kwa kumleta Makonda
@SaidaGadaf
@SaidaGadaf 3 күн бұрын
Well done Makonda Mwenyezi Mungu akuongoze, na akulinde uweze kusimamia majukumu yako.kwa weledi na haki!!!
@geofreymalekana8000
@geofreymalekana8000 Күн бұрын
Makonda unafaa kuwa rais wa nchi yetu on future
@danielmwaikoono8928
@danielmwaikoono8928 2 күн бұрын
Rc Makonda piga kazi mtetezi wa wanyonge ninakiombea sana
@user-sn2bg9mq7d
@user-sn2bg9mq7d 4 күн бұрын
Makonda ondoa watu wazembe km hawa wanaotesa haki za wanyonge, mungu ibariki Tanzania yetu ya amani tunakupenda makonda
@mohamedkimbwembwe-oi1rm
@mohamedkimbwembwe-oi1rm 3 күн бұрын
Hivi wakiosema makonda hajasoma ni wachawi au maana anatalent kubwa kuliko kawaida!!!!!!au amechomekwa likomputa ili awe otomatical kama hivi duh Mungu ambarikie sana
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 Күн бұрын
Daaaaaaaaah
@nshimiyimanahussein1045
@nshimiyimanahussein1045 Күн бұрын
Mungu amulinde amupe afia njema ❤
@emmanuelzwallo3933
@emmanuelzwallo3933 4 күн бұрын
Mh Makonda,Mungu akusimamie asee.kuna watu wa ovyo sana hii nchi.imagine mtu amejenga shule harafu anazungushwa zungushwa tu ndo mambo gani sasa.
@user-lucas47
@user-lucas47 4 күн бұрын
We kamada kwelii tembea kwa hakii baba we n jembe kama magufulii hayatii baba
@LeahMuganyizi
@LeahMuganyizi 2 күн бұрын
HONGERA SANA MKUU WA MKOA KWA KAZI KUBWA UNAYOIFANYA HAKIKA MAOMBI YA WANYONGE MUNGU ANAYASIKIA
@angelinamwakilufi8881
@angelinamwakilufi8881 2 күн бұрын
Makonda Hongera sana! Big up!😊
@augustinomsuya9310
@augustinomsuya9310 4 күн бұрын
Makonda wewe ni kamanda kweli, Mungu aendelee kukulinda uendelee kupigania haki za wanyonge
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 3 күн бұрын
Miaka kadhaa ijayo huyu ni Rais makonda
@luganduthan2598
@luganduthan2598 Күн бұрын
Kazi unazofanya Makonda ni za Kitume, hakika kama viongozi wote wenye majukum ya wananchi wangeiga kwako,nTaifa hili lingekuwa mbari Sana, Watanzania wanaumizwa Sana na watendaji wabovu, migogoro mingi inazalishwa na watendaji wasijari wanaowaongoza, simama imala na wengine waige kwako,Mungu atakusimamia.
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 3 күн бұрын
Makonda Mungu akubariki baba Yani watu kama hao ukiwakuta kwenye ofici yani wana Jeuri kweli kweli Mzee Makoda wafajiye wote ni uchafu ti wanajiskiya sana
@bekabakari7394
@bekabakari7394 4 күн бұрын
God bless you wise man Unatoa ufafanuzi hata mweye elimu Ndogo anakuelewa
@SaidaGadaf
@SaidaGadaf 3 күн бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde na akuongoze
@shikuhata
@shikuhata 14 сағат бұрын
Mungu akusimamie Makonda
@adonismuganyizi226
@adonismuganyizi226 2 күн бұрын
Kwakweli MH. Mungu awe nawe ktk shughuli hii ngumu unayo ifanya Bwana Yesu atakuripa, wewe na family yako
@charlesmwambinga4355
@charlesmwambinga4355 Күн бұрын
Hii Ni Arusha Tu...Je Mikoa mingine hakuna kero ? Watendajia wa Serikali tokeni Nendeni kwa Wananchi Mtatue kero.Safi Makondaa Safi Jeri Silaa..Asante Mama Yetu Samia kutuletea hawa watu.
@RASHIDMPUMU
@RASHIDMPUMU 16 сағат бұрын
Ona sasa anarithi madeni ya miaka mingi nyuma, chapa kazi RC Mungu anajua malipo yako kwako
@user-jd8fn3nh2k
@user-jd8fn3nh2k 4 күн бұрын
Makonda akubariki sana
@elishad209
@elishad209 23 сағат бұрын
Asante makonda
@afraeliazaelayo
@afraeliazaelayo 3 күн бұрын
Asante Mungu wetu. Mungu tunakushukuru kwa kutuinulia Uongozi wa Nchi yetu kwa kipindi hiki,Uongozi ambao umejipanga kwa Makusudi yako Mungu,kusimamia na kutenda haki,kuondoa dhuluma na uonevu katika Jamii ya Wa- Tanzania. Siyo kwamba Awamu zilizopita hazikufanya kazi nzuri,ila kwa sasa Awamu hii Imejikita zaidi kufuta dhuluma na uonevu uliopitiliza nchini kwetu. Mungu Muongoze Rais Wetu Mama Samia Suluhu Hassan, muinulie Timu nzuri yenye kibali chako Mungu Wetu,kuirudishia heshima yake Nchi yetu,kwa Kumpatia Wasaidizi wake kama hawa wachache ambao jamii inawashuhudia utendaji wao. Kunao wengine pia wanaofanya mazuri kwenye maeneo yao kimyakimya. Matumaini ni makubwa sana kwa WaTanzania kuona Nchi yetu inayo Serikali inayotenda haki, na Mungu Ibariki Tanzania Milele na Milele. Amen.
@wazinzatv3152
@wazinzatv3152 7 сағат бұрын
Samia tena? Sio makonda?
@wazinzatv3152
@wazinzatv3152 7 сағат бұрын
Samia tena? Sio makonda?
@irenembura8045
@irenembura8045 3 күн бұрын
Acheni kuleta old news kupitia media nyingine! Be professional!
@kapayaJohn
@kapayaJohn Күн бұрын
Tukifika mbinguni sehemu ya watanzania tutakuta sanamu ya makonda
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa 3 күн бұрын
Makonda wewe ni JPM hajae mungu akulinde
@chesconkwera2005
@chesconkwera2005 2 күн бұрын
Mkurugenzi Acha roho mbaya mkataba unajieleza
@khamishussein3502
@khamishussein3502 4 күн бұрын
Mungu mbaliki makonda
@AmaniLukumay-wk6zm
@AmaniLukumay-wk6zm 2 күн бұрын
Hizo ni swaga wamlipe hela zake kwani hawajaona shule walifikiria nani kajenga kwani kuna mwingine amekuja kudai ?
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 4 күн бұрын
Huyu mama mkurugenzi kabanwa anaona mambo yamemfika shingoni
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 2 күн бұрын
Wampe CAG naye nafasi ya kuwabana wabadhirifu wote
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l Күн бұрын
Yani kuisaidia serikali ni kwenda kufilisika
@andersonsamuel9214
@andersonsamuel9214 3 күн бұрын
boss i like your IQ. Mungu akubariki sana.
@LawrenciaKisegu
@LawrenciaKisegu Күн бұрын
A very good challenge
@josephlorri431
@josephlorri431 Күн бұрын
Deni zaidi ya milioni 200 la 2007.. miaka 17 ilopita... vifaa vya ujenzi,usafiri,maji ya ujenzi alisafirisha kwa gari nk leo hii ina thamani hiyo? Hata sasa hakuna uelekeo wa Kulipa..
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 3 күн бұрын
Hivi hayo mapato makubwa hivyo yanaendaga wapi? Kwani mnavyopata Hela kwanini msilipe? Yaani Wala rushwa wakubwa ni wa maofisini.😮😮😮
@ShakillaSaid
@ShakillaSaid 2 күн бұрын
Jembe
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 2 күн бұрын
Siku moja ningekuwa siko makini ningefanya duble payment. Ninaimani mkurugenzi huyo hakuwepo kipindi anajenga.Ukikurupuka kujibu maswali haraka unaweza kulia. Nashauri mkuu najua unajua mambo mengi lkn mpe muda mkurugenzi.
@elizalutiga6287
@elizalutiga6287 Күн бұрын
Ki ukweli hayo ndo mambo ya ajabu yanayoendelea huku mitaani Watendaji hawajali kabisaaaaa. wanaturudisha nyuma sana sana sana
@mohamedkimbwembwe-oi1rm
@mohamedkimbwembwe-oi1rm 3 күн бұрын
Mama samia huyu umpe uwaziri anastahiki
@RobertGwelela-zq2fr
@RobertGwelela-zq2fr 3 күн бұрын
Umeongea point kubwa sana.Sawa hana nyaraka lakini je aliyejenga shule hiyo ni nani? Je huyo aliyejenga alishalipwa? Maswali haya hayajajibiwa hiyo inaonyesha kuna ujanja ujanja.
@user-fz1ph3cn4s
@user-fz1ph3cn4s Күн бұрын
Exactly
@PamelaKasambala
@PamelaKasambala 5 минут бұрын
Hizi ajira watu wanapeana kienyeji
@user-zu3yr4if3z
@user-zu3yr4if3z 3 күн бұрын
Mze ungekuwa ungeishi Burundi na si tumeteseka
@DicksonMwandala
@DicksonMwandala 2 күн бұрын
Makonda Nakuomba Uje Uchukue Fomu Huku kwetu Jimbo La Ukonga Hakuna Wakukushinda Huku Kwetu Barabara Mbovu Banana kwwnda Kitunda, Kwenda Magore Kwenda Kibebru And Mwanagati Mbunge Yupo Karibu Kiongozi Mchapa Kazi Kura Zako Zipo Zinakusubili Hakuna Mtanzania Asie Ona Kazi Yako Kiongozi Wamasikini
@afratrad7214
@afratrad7214 21 сағат бұрын
DED hastahili kuwepo ofisini, na inaonekana akili hana
@khamishussein3502
@khamishussein3502 4 күн бұрын
Mkulugenzi funguka basi
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 2 күн бұрын
Kweli shule za kata zilikua zinajengwa kwa utaratibu anaosema mkurugenzi. Sasa mkurugenzi atazipata wapi,wakati pesa zinaletwa kwa utaratibu na maelekezo maalumu.
@samsonbaraka3145
@samsonbaraka3145 2 күн бұрын
Je maelekezo ya RAS ni feki?
@shamtenyambega2944
@shamtenyambega2944 Күн бұрын
natamani sana siku moja ningefanya kazi na MH MAKONDA, wananchi wangepata wanachostahili
@florencemeza6540
@florencemeza6540 46 минут бұрын
Wakurugenzi wanajifanya Mungu mtu
@user-kn3vy1qy6j
@user-kn3vy1qy6j 9 сағат бұрын
Hii inchi hii
@AmaniLukumay-wk6zm
@AmaniLukumay-wk6zm 2 күн бұрын
Mlipeni pesa zake
@AmaniLukumay-wk6zm
@AmaniLukumay-wk6zm 2 күн бұрын
Kwa vile umekutana na mtetezi wa wanyonge umesaidika nani kama Makonda Mungu akubariki
@msaharadavid7422
@msaharadavid7422 Күн бұрын
Hivi nyie waandishi hampitii kazi zenu kabla ya kuziachia? "Mia mbili" inakuwaje "miyambili" jamani?
@dingadinga6674
@dingadinga6674 20 сағат бұрын
Pwent kuu mh makonda
@LovelyOmbreSky-pu4jt
@LovelyOmbreSky-pu4jt 3 күн бұрын
Kiongozi makini ujarii shida zawatuwake
@kissjoe9530
@kissjoe9530 2 күн бұрын
Sasa unapost Leo
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 күн бұрын
Hazarani ndio nini
@user-im7vi2yf2d
@user-im7vi2yf2d 2 күн бұрын
Mkuu wa mkoa fika na huku nako
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 11 сағат бұрын
Tatizo ni kwamba hizi kazi wanapeana tu huyu anaonekana hajui kazi yake.
@iddiramadhani5111
@iddiramadhani5111 11 сағат бұрын
wakurugenzi hawa ni tatizo kwa taifa.
@user-nf1tg3kt3y
@user-nf1tg3kt3y 3 күн бұрын
Mimi nasimama na mkurugenzi amesema ukweli mtupu nimempenda sana huwezi kulazimisha kulipa wakati huna hela
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 күн бұрын
Huyo mama mkurugenzi natami kumla yuko vizuri kweli
@emmadominic9601
@emmadominic9601 3 күн бұрын
Achabkitamani kula wanawake majangili wewe, huyo mwanamke ni dhulumati hata wewe akakidhulumu tu ukimtamani ukaingia ndani ya 18
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 4 күн бұрын
MPE nafasi mkurugenzi.Tumsikie.usimtolee majibu
@charlesjohnjohn7953
@charlesjohnjohn7953 3 күн бұрын
Sasa barua ya RAS ya mwaka 2020 ilishawaelekeza kumlipa lkn mpaka leo bado huyo Mkurugenzi unafikiri atakuwa na majibu gani?
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 3 күн бұрын
@@charlesjohnjohn7953 Hapo.hamna majibu.Ila angempa nafasi.naye.azungumze.iwe kweli.au uongo.
@mariakibwana3700
@mariakibwana3700 2 күн бұрын
Mimi nisingeweza kujibu lolote hapo nadhani ingekuwa mwisho wa ukurugenzi wangu.
@Goldenbutterfly-hk1hp
@Goldenbutterfly-hk1hp 2 күн бұрын
,😂😂😂😂
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 14 МЛН
Василиса наняла личного массажиста 😂 #shorts
00:22
Денис Кукояка
Рет қаралды 10 МЛН