Mbowe. Fukuza kunguru hao. Yaani watu wanateseka hawana maji halafu kunguru mmoja anatebelea gari ya tsh ml. 500.
@SundaySteven-bz4yq19 күн бұрын
Hawa watanzania wanasiochagua wanatuchelewesha kuwaondo waha maccm maana wametukera kweli kweli
@karolikisaka899119 күн бұрын
Mmeona Kenya jinsi ruto anavyotii maamuzi ya vijana. Sasa tutashangaa kama mtaendelea kuongozwa na wazee. Ccm ni mzee akapumzike.moshi tunawaamini.moshi ndiyo sura ya mabadiliko
@FrankMwakatundu-cu6bd19 күн бұрын
SASA NI NCHI NZIMA SI MOSHI TU CHADEMA IKO JUU NCHI NZIMA MOTO UNAWAKA.
@vitalisnyagali277419 күн бұрын
Ndo maana mbowe awakupendi na cc chadema tunakuitaji mpaka basi
@MayalakusekwaNkwabi19 күн бұрын
Respect !
@joaneskailembo448519 күн бұрын
CCM subirini muda kdg
@chaba_boy_tz728719 күн бұрын
Haya ma ccm yanafosi kuongoza nawakati hatuwapendi.. muda wao umeisha
@tibbsminja257519 күн бұрын
Watu wajiandikishe hasa Hawa vijana. Vujana amkeni ninyi ndio maGEN Z
@user-vm4zq7kf4e19 күн бұрын
Sasa ushindi unakuja🇿🇦🇿🇦
@healingsschool463019 күн бұрын
Leteni mafuta na nishati mbadala ndivyo vinasababisha maisha magumu sio katiba. Upendo ndo katiba ya Mwenyezi Mungu
@GasperMboro19 күн бұрын
Tanzania bila ccm inawezekana.tutokomeze ccm
@BorySaronge19 күн бұрын
Mmeufahamu wimbo unapofikia mwisho na mtajuta.
@user-hc3ms3gh3o19 күн бұрын
Pamoja sana
@rosekimaro38419 күн бұрын
Kabisa kamanda
@eliahnjavike482719 күн бұрын
Wewe ndo saccos
@rosestigeneriksson838719 күн бұрын
Tuliopo sweden 😅😅
@ramadhanmahongole929319 күн бұрын
Wasio mpenda mbowe ni maccm tu
@OrediYowasi12 күн бұрын
Kiukweli ccm hawana akilin vijana tuwe makin
@margarethpolepole743819 күн бұрын
Nyie Chama cha Vikoba hamuwatishi ccm kamwe kaeni kimya na Saccoss yenu
@Globalpeace12319 күн бұрын
Pole lazima useme hivyo kwani hujitambui Ndiyo maana uko hivyo 😂😂😂😂
@ramadhanmahongole929319 күн бұрын
Wewe ni nyumbu wa ccm unahongwa pombe na tshart za kijani za mia tano mia tano hata aibu huna
@ramadhanmahongole929319 күн бұрын
Ccm ndio saccos kwasababu inaogopa kuweka usawa kwenye uchaguzi kwakuogopa kugalagazwa na chadema kwwnye chaguzi eti tume wateue ccm katiba ya ccm halafu mkitangazwa mnakenua meno kwa kutangazwa, yani yanga na simba wako kwenye mechi wanashindana halafu yanga aingie na refa wake na marefa wasaidizi halafu akishinda ashangilie huo unakuwa ni upumbavu huwezi kushangilia ushindi usio halali
@frankkimaro135419 күн бұрын
Jinga kubwa.kaliwe uko
@josephmbeya597318 күн бұрын
Uzuzu unakusumbuwa
@SundaySteven-bz4yq19 күн бұрын
Hawa watanzania wanasiochagua wanatuchelewesha kuwaondo waha maccm maana wametukera kweli kweli