Pole sana coach najua unamia kwasababu unaipenda simba yetu na simba sio mbaya bali uongozi tuu nao watapita tu.
@Wami-Sababisho9 ай бұрын
Huyu bro yuko serious sana 😂,na ujeshi wake atakuja kumpiga mtu teke la shingo 😂😂😂😂.
@MalikiKavindi9 ай бұрын
Karibu sana unyamani mwenda
@briantafari92249 ай бұрын
Nmeingoja sana Mzee Mwenda..
@godfreymsofe23669 ай бұрын
Leo nimekuwa kwanza jamani wapi mauwa yangu....😂😂😂
@franccoz949 ай бұрын
ANAEIFELISHAA SIMBA MPAKA SASA N MO DEWJI
@danielchamoto93769 ай бұрын
Kaichukue wew uidhamini kibwengo wew😂😂
@mwanangusana9 ай бұрын
Sio kweli , miaka mi 4 ya mafanikio ,,,,, mdhamini ulikuwa wewe ?? Tatizo watu wa mpira wamekaa pembeni pale udundukani sio moamed No mkwabi No magori No Senzo No ..... Try again Hana watu wa nguvu wa kusogeza gurudumu mbele RIP Hans Pope, hao ni watu wa boli Sana
@franccoz949 ай бұрын
@mwanangusana MO ALITUTOA MAVUMBINI NDIO TUTASHUKURU,LAKINI AMEANZA TENA KUTUPELEKA MAVUMBINI MAANA YAKE NN SASA UTOPOLO WAMECHUKUA MARA 3 MFULULIZO, TUKIENDELEA KUISHI KATIKA PAST ,WATACHUKUA HADI MARA 20 MO SASAHIVI HANA MAPENZ NA SIMBA UKWELI UNAUMAA ILA LAZIMA TUSEME TU ILI KUINUSULU SIMBA INAYOTEKETEA MIKONONI MWA MO DEWJI
@JabiliJuma9 ай бұрын
Mzee mwenda baba nakubari sana tungepata watetezi kama ww tusinge Teseka ira iposiku tuomuombe mungu tu watajuta kwanini waricherewa kujiuzuru wewe subiri
@LinusKyando9 ай бұрын
HAMIA YANGA HUJASAJIRIWA
@PauloAlfayo-qi1gn9 ай бұрын
Karibu pamba mwanza
@albertosanga77449 ай бұрын
Kwahiyo hata Babla hawezi kurudi SIMBA kwani naye alitolewa kwa kuziba myanya ya wizi SIMBA
@AndersonMokiwa-is5ch9 ай бұрын
Mzee wangu pole sana umenipa kitu kizuri sana
@MathiasFungavyema9 ай бұрын
Dah mzee kaongea Kwa uchungu sana
@DenisiSanga9 ай бұрын
Usiache kupaza sauti tuokolee timu yetu Mo hatufai wapo wachina na matajiri kibao wanaitaka Simba
@vumiliamgendi1489 ай бұрын
Jamani kaka mwenda tunaomba basi mpambane wewe gb yule sam Simba na wengine wanao jielewa mpaze sauti kwenye media kama hizi ili mo atuachie tim yetu na hao mangungu na try kajuna na takataka zingine zituachie tim yetu Zienda zinakojua
@josephlorri4319 ай бұрын
Kwa nini mashabiki wasisusie simba...hakuna anayejali kilio cha mashabiki
@BrunoNamanga9 ай бұрын
Mwenda usije ukaumia Kamanda wangu ukaiaga Dunia kwa mawazo Najua umeumia sana Ila leo Kamanda sauti mpaka inashuka Kamanda Mwenda Kocha wetu Usiumie sana Kwa mara ya kwanza Mwenda kapoteza uwezo wake Viongozi hivi kwel iChama na Kibu waende kule kweliiiiiiiiiiiiiii😮😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@johnhamisi56929 ай бұрын
Uko sawa kabisa
@albertosanga77449 ай бұрын
Wanaoharibu ni wao kwani makocha wote wameletwa na hao hao
Wewe ni mwamba. Mimi ni yanga lak nakuonea huruma . Una hisia za ukweli. Unaipenda timu yako
@cosmasluwanja73949 ай бұрын
Mwenye hela kaatamia Simba
@ramadhanmazije38829 ай бұрын
Wasiiihujumu Simba bhana maana raha ya mpira ni yanga kumfunga Simba . Sasa tutamfunga nan jaman my wetu akitoweka !!
@allyrembo67148 ай бұрын
Nadhani ingekua bora ukaihama club ya simba kwavile hukulazimishwa kua shabiki wa simba ila ulitaka mwenyewe badala ya kutuletea uchuro katika club yetu mtu mzima hovyo unalia mbele ya mwandishi ili iweje kaa pembeni
@HASSANBAKARI-q9c9 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅❤
@ShabaniNgogo-c7m9 ай бұрын
Ila unapua kubwa😂
@IdrissaJuma-sp4rp9 ай бұрын
Ukimionamtumzima analia ujue kunajambo.....
@amanifadhi9 ай бұрын
Shida no Mo
@jonamnyone80149 ай бұрын
Mimi Kuna wakati nilijaribu kuwa na wazo la kuhamia Yanga nikashindwa ni vigimu sana kuhamia timu nisiyoipenda. Simba nimeipenda tangu utotoni na sitaiacha kamwe. Lakini Kuna maumivu makubwa haswa timu kuongozwa na akina Mangungu na Try Again viongozi wa hovyo kupata kutokea.
@stevekipepeo21349 ай бұрын
Alafu ukitoka inje ya Tz hio elimu ya Simba Yanga itakusaidia aje kupata chakula
@abdunasiriathumani90119 ай бұрын
Tanzania najuta kuipenda simba kama ninavyojuta kuipenda Barcelona ulaya
@MohammedJaizan-yf5yt9 ай бұрын
Hili zee lishakuwa chizi. Aende kwa mwamposa akaombewe
@BrunoNamanga9 ай бұрын
Kavurugwa na hajui Kibu yuko wapi Chama nk nk Anaumia sana Kamanda kapatwa
@SalimRamsei-ok9el9 ай бұрын
Sawa tu
@buberwamujungu69879 ай бұрын
Si uende hiyo yanga yako!usituzengue sisi imetumwa?!!
@harunayman9 ай бұрын
Kocha kumbe wewe ni schoolmate wangu.. huo mwaka nilikuwa darasa la nne
@ZainabSimith-ey6vm9 ай бұрын
Tumelia sana tumechoka dawa nikutoenda uwanjani tu
@salumuseif33249 ай бұрын
hehehehehehehehehheeheheh
@hajially45279 ай бұрын
Mwenda njoo jangwani baba
@paskalilameki95689 ай бұрын
Pleasant.
@IddyAdam-ww1mq9 ай бұрын
Kibu chama wakienda yanga bas nmm naenda ynga kwamkopo
@jonamnyone80149 ай бұрын
Simba tumeikabishi kwa majangili. Watu tunatumia majangili hawajali yameng'ang'ania kama ruba.
@danielchamoto93769 ай бұрын
Sasa wew mzee mwenda si uhamie huko nyuma mwiko? Wew kila saa unapigwa tu unaumia umekaa hapohapo maana yake nin? Au umetumwa kama mchome?? Upuuzi jitu zima akili kiduchu
@FatmaHamad-g6s9 ай бұрын
Nenda yanga njia nyeupe maana unakua km mtoto mpira ndivyo ulivyo ilikua Man u sasa ikowapi unalete uchuro bule
@Smart_jarm9 ай бұрын
Povu😟
@jabirkombo54839 ай бұрын
Nenda yangaa
@AbshirMubaarack9 ай бұрын
Ninyi ndy mnaipoteza timu yenu.Hamuoni km kuna tatz kwny uongozi wenuuu,au mpk mshuke darajaa
@rynesawaya70439 ай бұрын
@@AbshirMubaarackumeongea point sana jamaa wwe ndio unaoujua mpira
@danielchamoto93769 ай бұрын
@AbshirMubaarack hata kama likiwepp tatizo wew kama unaumia sana unauwezo wa kuhamia utapopata hizo raha unazotaka kuliko kukaa sehemu ambayo unaona unaumia wew tu. Huu mpira ulivyo very soon nyuma mwiko mtaanza kulia ndio na nyie mtahama? Misimu minne wakati simba anachukua ubingwa nyie mlihama mapimbi nyie
@mussalimbe66739 ай бұрын
Acheni kumhoji huyo wa Nini?
@rynesawaya70439 ай бұрын
Wwe ninan?naon utakuwa mgen kaa kwa kutulia
@drallan68799 ай бұрын
Too much of anything is harmful;coach mwenda Simba tuko sio mbaya;3rd position;Ur complaining a lot