LIVE NA MSAJILI: AMEFUTA VYAMA VYA SIASA?/ CHADEMA WASHANGAA/ CCM HAWASEMI HAYA!

  Рет қаралды 6,578

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#MsajiliVyama #Chadema

Пікірлер: 25
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa alisha futa kwa sababu mambo yanayoendelea humu Inchini huwezi kuamini kama kweli msajili ni juji na anayejua sheria mimi nashindwa kuelewa kama kweli ni mwana sheria.
@feliciankavishe6792
@feliciankavishe6792 2 жыл бұрын
Tatizo hapo Ni ssem,
@malmavoice8989
@malmavoice8989 3 жыл бұрын
Kwanza ni kwanini vikwazo hivi ni kwa upinzani pekee,hawa police wanataka kutuambia ccm hawajawahi kufanya mikutano ambayo inaashiria uovu kama wanavyosema?!!
@kobelochamanga9757
@kobelochamanga9757 3 жыл бұрын
Police wengi ccm wale wakwrli wanabanwa na sheria zao za kazi ila sisi wananchi tusichoke
@malmavoice8989
@malmavoice8989 3 жыл бұрын
@@kobelochamanga9757 Police kama ye ni mwema ajiuzulu au ache tu kazi aingie mtaani kusaka amani kwa kuwa mbinu za kulisakanya doo kwa manati tyr wamempatia.
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 3 жыл бұрын
Kimsingi ccm ilishakufa zamani Police Wanajibu Kwa virugu ama Risasi Sababu Ccm haina tena Sera Zakujibu
@maktabamkutubi219
@maktabamkutubi219 3 жыл бұрын
MSAJILI kaongea vizuri sana hapo mwisho
@malmavoice8989
@malmavoice8989 3 жыл бұрын
Msajili kaongea vzr ya wapi anatuenjoy tu..yaani ningekuwa jirani yake nshajitoa muhanga nammaliza kweupe. Yy ndio mchonganishi kwa kutetea ugali wake wakati angejitenga tu elimu yake bila ajira tu inamlinda why aogope kufukuzwa kazi ka sio undezi huo
@josphatmwandele8860
@josphatmwandele8860 3 жыл бұрын
anajivunia jeshi kamaulivyosema jeshi kaziyake nikusimamia usala wavyama vyote
@pantaleolaurent6342
@pantaleolaurent6342 3 жыл бұрын
Mchangiajji asiweke msisitizo wa maandano hivyo hivyo vyama vya siasa ndivyo huwa chanzo cha vurugu kutokana na mitazamo yao na Sera zao,endapo uvunjifu was amani au wananchi watailamu serikali kutosimamia amani hapo polisi ,tusiwashushe katika kusimama,
@daudipanja942
@daudipanja942 3 жыл бұрын
Maoni yangu kama mtanzania kuhusu vyama vya siasa naomba uma wa Tanzania ujue kuwa nchi inaongozwa kidemokrasia yenye mfumo wa vyama vingi kwann jeshi LA police linaingilie shughuli za vyama .tena vya upinzani peke yake kama siasa Tanzania hamna basi vyama vyote vifutwe tujue nchi inaongozwa na jeshi kuliko kuendelea kuwa umiza watanzania bila sababu yaan kusiwepo na chama chochote cha siasa .tumeshuhudia mambo ya ajabu yakifanywa nchi huku tuna hubili amani . hili tatizo kubwa sana hili taifa linahitaji lianglie upya nch inaenda wapi. Ni maneno yangu lakin hata kama yata puuzwa . lakini yana maana sana.
@johnmakubi190
@johnmakubi190 3 жыл бұрын
Vyama visivyo kuwa na wawakilishi bungeni, wao hawapati rudhuku,wao wanachofaindika nacho ni kuteuliwa wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya
@salumrwambo5752
@salumrwambo5752 3 жыл бұрын
Hawa jamaa hawa hawana hekma wala busara pahali popote penye tatizo japo pana sheria na ikatokea pana ukakasi hekima na busara lazima itumike
@salumrwambo5752
@salumrwambo5752 3 жыл бұрын
Ukisema igp hausiki haiji akilini kwa usalama wa nnchi nawapinzani wanakuwa na kiburi mutungi hajakosea uzuri vyama ,polisi na Mutungi wakae pamoja ndiyo wapate solushen japo sheria haiwaruhusu lakini walinzi wa amani ni nani kama si polisi
@amomapembe4410
@amomapembe4410 3 жыл бұрын
LALA SALAMA STAR WETU MKUBWA TANZANIA👉👉👉👉kzbin.info/www/bejne/gGfCoHufgMqoiJY
@georgebongi4844
@georgebongi4844 2 жыл бұрын
CCM Inahitaji msaada wa Polisi ili iweze kuishi kama alivyo wahi kusima sliyekuwa katibu wao Ali Bashiru ukishika serkali lazima dola ikusaidie Hebu vyombo vya dola visiisaidie ccm kama hamtaiokotea dampo.
@antonmizola6779
@antonmizola6779 3 жыл бұрын
Hakuna upinzani hapa ni china
@evelina9621
@evelina9621 53 минут бұрын
Mbona.zamani.haikuwapo.zuio.la.polis.wakati.marais.3.mikutano.hakuwapozuio.lolote.waacheni.wanainchi.wafanye.polisi.sio.kazi.ya.kuzuia.mkutano.ccm.ndio.pingami,i.iache.kuchonganisha.polis Na.wananchi.sasante.mtangaziji
@salumrwambo5752
@salumrwambo5752 3 жыл бұрын
Tuseme polisi wamechunguza wakaona hali ya mkutano huwo una viashiriya vya uvunjifu wa amani kwahiyo hawana haki ya kuzuwiya nakama polisi wameachiya ikatokea la kutokea vurugu au fujo msala huu utakuwa wa nani hapa ilikuwa mumpate na msemaji wa polisi na yeye atowe ufafanuzi inakuwaje wanafanya hivyo
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 3 жыл бұрын
Kaka using kilaza vyama vinahaki ya kuwasiliana na wadau wake
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 3 жыл бұрын
SHIDA YA HUYO MSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA AMETEULIWA NA NANI MWISHO WA SIKU UTAKUTA KATEULIWA NA RAIS WA NCHI AMBAYE NI MWENYEKITI WA CHAMA HUSIKA NDIYO TATIZO KUBWA
@qonquererqanquerer1781
@qonquererqanquerer1781 3 жыл бұрын
Nihatari Sana
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 2 жыл бұрын
Musiwe Kama watoto chama lingine siku wanakamata Dora watu wengi watakufa
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 2 жыл бұрын
Mataifa mengine Kama Zambia ingekuwa Vita taifa letu watu wapole hatukupata Uhuru kwa damu.
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 2 жыл бұрын
Mkutao huo ambawo umeitishwa upokisheria au nimapende ya kihuni
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
The selfish The Joker was taught a lesson by Officer Rabbit. #funny #supersiblings
00:12
Every parent is like this ❤️💚💚💜💙
00:10
Like Asiya
Рет қаралды 19 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 581 М.
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Kalamutz
Рет қаралды 10 М.
LIVE: Julian Assange speaks at the Council of Europe | REUTERS
1:51:10
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН