Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@sefaniaslyvestertv14982 ай бұрын
Hawa polisi hawafai mbona jama katekwa na wao hawatoi taarifa yeyote na anawaza kukimbia nchi polisi imekuwa ni genge la majambazi
@davidmisiwa46222 ай бұрын
Mwenyezi alisaidie taifa hili jaman
@GoodluckTarimo-u3j2 ай бұрын
Asante jeshi LA polisi kazi njema mungu awape maarifa mengi
@MfiriFulgensi2 ай бұрын
Kaka afande Mungu akubariki ,maana maeneo yote wananchi wangetiwa moyo namna hii hata wananchi hawavurugwi kama inavyotokea sehemu nyingine nchini
@noekenny37712 ай бұрын
Kuna vitu haviko sawa kwenye jeshi letu, Taarifa zina tolewa baada ya wananchi kupiga kelele sana. Something wrong some where.
@sharifanyumayo63142 ай бұрын
Umeona ndugu yangu, Bila siye kupiga kelele nyundo na wenzake wasingeonyesha sura zao, (2) bila kelele zetu pia afande pia wasingeongea polic wangetuzuga TU, Tunawapenda polic ila na siye watutendee haki pia
@KristonsiaSNkya2 ай бұрын
Ee Mungu baba naomba mwisho mwema 😢
@fredgonga2 ай бұрын
😢 Mbona sijasikia wengine
@charlessentiyongo84842 ай бұрын
Hapo sawa, angalau mmeanza kufuatilia mambo ya mauaji kwakweli imekuwa tatizo kubwa sana nchini, hata ninyi pia mjichunguze pia maana duh....!
@jofreykilangila41182 ай бұрын
Ilibidi wauliwe hapo hapo ili iwe fundisho kwa wengine
@gerkombo65122 ай бұрын
Hii statement itazidi kuwaweka kwenye matatizo. Mnapaswa mtoe taarifa zawatu wote waliopotea.
@BituroPaschalKazeri2 ай бұрын
wasaidie kwa kuwa mkweli na kuwapa ushirikiano; bila raia kuwajibika kama sehemu ya ulinzi na watu na mali kazi yao imekuwa ngumu sana
@MohdAli-cx7bc2 ай бұрын
Chief God love akamatwe anawahamasisha vijana kufanya unyama 😢
Kesi km hizi jeshi letu la police alhamduallah yaani fasta tow lkn za ubakaji mpk leo munachunguza
@saidomary64142 ай бұрын
Kalio
@BonifasiAmosi2 ай бұрын
Yenye ndo munavunja amani
@SophiaKamgunda2 ай бұрын
Innalillahwainalillah rajiuun jamani jamani huo ni Utajir kweli
@VictorBugobola2 ай бұрын
Hivi kumbe watu tumekosa Hofu ya Mungu...dah
@allybora40212 ай бұрын
Zama za mwisho unamkata mwenzio kama kitweheo
@ananiasuleimani59162 ай бұрын
Kwa nn hawa waganga wakienyeji wasifungiwe kufanya kaz zao za uganga
@EmanueliWildausoni2 ай бұрын
Tunakubali afande lakn msije mkajificha kwenye hicho kichaka wengne wanatekwa kweli kweli na wahusika mnawajua
@ThomasAlute2 ай бұрын
Wewe mjinga hapo mnataka kutufanya tuamini ujinga wenu hapo sawa hatujakataa na nyie polisi mnaoteka watu kituo Cha polisi chang'ombe vipi mbona hutoi taarifa
@HamisMghuna-fj3vz2 ай бұрын
Huyo n kua tu laanahtullah,
@mkondomkondo47212 ай бұрын
Hizo njia mnazotumia mpk kuelezwa viungo vilipotupwa,si mtumie kwa wabakaji kuwaeleza aliewatuma kwa binti wa yombo dovya?acha kutuchora
@nicksonngaamanya19462 ай бұрын
Police mna kula kiapo kulinda Sheria sio ku kuvunja Sheria sasa uyo AFANDE Fatuma kavunja kiapo , je mtamlinda Fatuma KWAKUA ni police mwenzenu au mtatoa fundisho because remember police you're not above the law ndomana mna apa kulinda Sheria mna vaa na bendela ya taifa kiunoni, madam president work on it.
@ProsperReuben-fg6uh2 ай бұрын
Kama Sheria ikisimamiwa sawasawa hakuna raia atachukua Sheria mkononi
@davidmwandenuka17122 ай бұрын
Kwakweli Hali inatisha sana kwenye jamii kwahaya mambo ya kutekana na kuuana
@rogerabdallah4392 ай бұрын
Nyinyi uwaneni tu mkichoka jibakeni
@FatumaMuya-w5h2 ай бұрын
Jamani nini tena hii mbona wanauwana sana na wajina umepatwa na nini tena😭😭😭😭😭😭
@joyceraphael25862 ай бұрын
Hawa waganga jmn
@InnocentKiwello2 ай бұрын
Ayo matukio daa makubwa bola Yakina nyundo tena
@fadhilidanieli14782 ай бұрын
Hapo kwenye tako ungesema sehem yakalio... Daaaaah ila mambo haya yanatisha kwakweli
@AwaziRajab2 ай бұрын
Ifike Siku Waalifu Wasiwaze Kufanya Ubaya Kama Lushwa Itapigwa Teke Tz Itakua Nchi Ya Mfano
@DavidSemu-gu6wp2 ай бұрын
Naomba Mungu anisaidie nisiamini kuwa ktk nchi yetu yenye sifa ya Amani na utulivu tunaweza kuwa na kikosi maalum cha kupoteza, kutesa na kuua raia wa Tanzania kama alivyo kuwa Iddi Amin na kikosa chake cha State Research Bureau Mungu atunusuru na kutuepushia tusifike huko.
@zahormohammed44762 ай бұрын
Wacha kumsingizia uovu iddi amin Yule alikua mchamungu ila propaganda ndio ametwishwa nazo
@migerajacob5812 ай бұрын
Hizo ni trick za police Kutaka kujisafi ,ili waonekane Hawa husiki na vitendo vya utekaji,,
@JUSTINPiniel2 ай бұрын
kwanini serikali inawaacha waganga wa kienyeji kwanini(why?)
@BonifasiAmosi2 ай бұрын
Mbona walio potea wao hawasemwi
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
Mungu wq unaweza wahukumu kwauwezowako wauwaji ww yarabi.ufundiswi unajua siri za siri na zahili tunakutegemea ww. Unawajua wanaojiita wasiyojulika. Tunakutegemea ww sisi wanyonge😭😭tunajua malipo yapo huko ahla tupe iimani nasubra yarabi
@farajsogoma93702 ай бұрын
Hivi RPC wa Dar na Wazir wake 😇
@MsNajma-j7e2 ай бұрын
Uyo Fatuma kigondo akamatwe
@ShamsaFahad-n8v2 ай бұрын
Jamani😭😭😭 mungu tusaidie
@MOSESIMCHUNGUZI2 ай бұрын
Wale wa chadema akiwemo Ben sanane yupo wapi?
@MichaelPaulo-k1c2 ай бұрын
Mpaka watu wapi kelele, ndiyo mnatoa taarifa,oky sawa, je watu wengi walitekwa, toeni majibu.
@safiaothman51752 ай бұрын
Laana za Mwenyezi Mungu ziwashuie wauaji wote,Aamiin Yaa Rabbal Alaamiin.
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Matukiyo ya kutisha mno hayo
@demicratia40712 ай бұрын
Asante sana. Sasa kule uwanha wa TAIFA hakuna nafadi ya kuwaadhibu hao watu HADHARANI.. au ni lazima waende jela??😂
@RahimMallya-fh9zc2 ай бұрын
Yananifikilisha sana mwenzenu
@alumonkisinda45742 ай бұрын
Kuna visheri hapa tanzania bisipofanyiwa marekebisho tutamalizana wenyew Kwa wenyew wanyonge Kwa kamba live bila chenga na mganga auliwe Kwa kutolewa kiungo kimoja kimoja huku waganga wote jadi wakiwa wageni rasmi kuona mwezie anavyotolewa kiungo kimoja kimoja ili wajifunze kupitia mwezao
@greenwellnsyukwe47292 ай бұрын
Watu wana Imani za kishirikina hadi leo, fanyeni kz acheni ujinga huo jamani Duuuuuue.
Mmmh mungu wangu nisaidie vijana wadogo Mnauwa😢mnakata viungo😢 mnachimba shimbo😢 mnazika😢 Muonapo mambo hayo inueni vichwa vyenu changamkeni Yesu Anarudi
@MsNajma-j7e2 ай бұрын
Kama watumiwa wamesema mganga ndio kawatuma wanyongwe,,,na tunataka na ware wabakaji muwatese mbaka waseme uyo afande nan na aperekwe mahakaman
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
Subuhanallah😭😭😭watu wanauwa wala.hawaogopi.jamani. Allah. Ww ndiyemjuzi tustiliwajawako Tz ss ipokwenye mtihani. Watu wamebadilika wanarohombaya. Waiyendekeza Dunia wao pesatu. Allahu Akibarr
@jumapiliissa48352 ай бұрын
Weacha tu andika danguro tv yutb utaona wakenya wanavyo chinjwa watoto kuchukuliwa viungo zipo chaneli nyingi tu walimwengu ndipo walipofikia M/MUNGU tunusuru
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
@@jumapiliissa4835 nawajua wale. Dangulo,hawa,pasta,Riyaga,koloo,na walichukuliwa na yule sweitwani. Maxwell. N boxko Jonte Jose
@jumapiliissa48352 ай бұрын
@@HanifaOman-oo4pl ok niatali sana aisee
@ototek80372 ай бұрын
24 hadi 34 ni myaka ya tamaa na ujuwaji
@MsNajma-j7e2 ай бұрын
Siku zamwisho jmn eman imekwisha watu wanatoa huwai wa mtu na kukata kata kama anakata nyama aisee Imani za kishirikina izi utajiri hauji bila ya kufanya Kaz
@ritapiusnicolaus70682 ай бұрын
Mungu aturehemu 💔😭😭😭😭
@AbelChisasi2 ай бұрын
Eti baada ya Mbowe kutuumu jeshi la polisi kuteka watu, Eti Leo ndo wanatoa taarifa ili kuficha uovu wao
@JaziraMustafa-g9p2 ай бұрын
Wewe na hao chadema wenzio kila kitu mnafanya siasa.Nyinyi kwenu matukio no kiki na kugeuza siasa huo ni uprimitive mind na kukosa hoja.
@stevensoso75062 ай бұрын
Kwani kupotea watu ni siasa
@edgarmbegu19742 ай бұрын
@@JaziraMustafa-g9pwe jamaa mpumbavu kweli. Kwani watu hawatekwi
@OscarKasalile2 ай бұрын
Afande hongera kwa kuwa mzalendo na kuwa na moyo wa utu, sio hao wanaoona kuwaua watanzania ndio kupata vyeo sio kweli huwezi kumuua binadam ambae wewe huwezi kuumba mtu.
@PeterwnChibala2 ай бұрын
Hii nchi nahis itakuwa na maagano na kuzim, haiwezekan mauaji , kutekwa watu na watu wasiojulika halafu hawa wajomba wapo na wanajisifia kuwa wako hodari na wanafanya kazi kwa weledi ,wanabaka ,wanalawiti kama sio mikataba na kuzimu ni nini waambie kuna gongo na bangi mahali ndo weledi utauona
@RizikiMlela2 ай бұрын
Nahao wanaotekwa na mafande mbonahuwataji
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Mola atulinde alafu tunasema nchi ina amani kweli
@ilynpayne74912 ай бұрын
Mbona Police wana subiri had wananchi wa kasirike ndo wa act
@bahatadof55432 ай бұрын
Ee si Muwe mnatia taarifa kama hizo ili watu wapate amani ya moyo kuhusu ndugu zao
@abdulmajidmageja65622 ай бұрын
Hongera Sana msemaji WA jeshi LA polisi lakini hauja wakemea askari wanae vunja sheria hapo kuwa watachukuliwa hatua kali nn tatzo
@saudaAlly-g7y2 ай бұрын
Tanzanian inatishaa 😢🙌
@thabit57752 ай бұрын
Afande tunataka tahalifa ya afande au mnalinda kiapo cha afande mmeshindwa kumkamata
@BonnyMwajombe-iu7hb2 ай бұрын
Mimi emb tu ninyamaze
@omarymgangasenzia52822 ай бұрын
Nyakati za mwisho zimekatibia binadamu tumekuwa wanyama sana Mungu sema nasi
@martinisadru98992 ай бұрын
Usiwafananishe binadamu na wanyama,, binadamu ni hatari kukiko wanyama,, baazi ya binadamu ni mashetani wakubwa.
@innocentMallya-v4r2 ай бұрын
Tunataka jeshi la police kunapootokea tatizo ndan ya jamii litoke na kusungumza ili watu wajue nini kinaendelea lakin jesh lenye dhaman ya kulinda mali na raia ilkitokea shida awasungumzi tunakuwa na wasiwaz kwamba akuna kitu kinchoendelea. Kweli mimi sina iman kabisa na jeshi letu kutokana na baadhi ya police wanaotumia madaraka yao vibaya mimi niombe viongoz wakuu wa jesh police wawe wakali na kusimamia hao police wa chin kwa makin. Madhara ni makubwa sana endapo police watashindwa kujua umuimu wao kwa jamii Police wengi wanafanya kaz zao wakiwa wamelewa hili nalo ni tatizo. Police ni taasisi mmenyoshewa kidole kwa mda mrefu tambuen kwamba dunia imebadilika kuna watu wenye elimu kubwa na wanauwezo mkubwa wa kuoji na kuna police watakwenda jela kutokana na usembe .
@benedictmrisho18002 ай бұрын
Futuni leseni zote za waganga wa kienyeji usajili uanze upya baada ya screening kali.
@mwanakombopopo51172 ай бұрын
Awa waganga kama aya ndio wanafaa kunyongwa maana ndio chonganishi hakuna mganga wakutaka viungo vyamwanadamu ila niushetani 😢😢😢
@onesmomwakasege52152 ай бұрын
Afande kakamatwa au bado sijaelewa vizuri apo?
@hashimrashid63802 ай бұрын
Hongereni sana jeshi la police Tanzania ❤ I believe you
@NehemiaZakeo2 ай бұрын
Umeni fulahisha!!
@kipepeo_Kitchen2 ай бұрын
Vijana hawataki kufanya kazi, wanataka maisha mazuri na pesa kwa haraka. Hii ni athari kubwa kwa taifa.
@edisonsanga52882 ай бұрын
Shida sana hivi serikali kitu kinacho nidhi kuruhusu waganga wakinyeji magu alikataa watu hawa ndo wanasababisha
@Mboemo2 ай бұрын
Nyinyi wenyewe polic ndio wa kwanza kujichukulia sheria mkoni
@SangiwaMsangi-x4x2 ай бұрын
Shidasioo kuchukuaa hatuaa mkononi tunavo toaa taarifa polisi wana dharauu kama mpakaleoo mtoto wamiaka17 kabakwa mnajizungusha hana habari zinazo eleweka mnatengeneza chuki kwawananchi timizene majukumu yenu
@fatmamansour27642 ай бұрын
Subhha Allah yarab mtihani mkubwa huu yote nikutaka utajiri jamani Allah akbar lkn yote kutokuwa na imani ya Dini
@mkondomkondo47212 ай бұрын
Kwa DPP failli la uchunguzi la fatma kigondo litarudi lini?
@charlesseba20002 ай бұрын
Huo ni uharifu wa kawaida na sio utekaji
@Ashrey822 ай бұрын
Mungu naomba mwisho mwema 🙏
@Mjeda-q1m2 ай бұрын
Ongeleeni swala la sativa pamoja na wale vijana wa temeke kusudi malalamiko ya mbowe yapate majibu
@saidmabanga3882 ай бұрын
Kamanda vipii ao walio tajwa na mh mbowe mbona kimy
@Farida-vg5ry2 ай бұрын
Waganga wakienyeji ndio chanzi cha matati hayo yote jeshi la polisi lingetoa tamko juu ya katazo la wa ganga wakienyeji madhala ni mengi sana
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Matokeo hayataisha mana hao watu wa matukiya hatuwa zinazochukuliwa kisheriya ni ndogo
@roudhamahmoud7632 ай бұрын
Lahaula huyo mganga akamatwe na anyongwe piya
@KhamisAli-r1w2 ай бұрын
Amani ya tz ni ya aina hii???!!!...roho zipo juu kuwaza usalama watoto na ndugu zetu!!! Ni cheche!!!!..
@karenstephen87382 ай бұрын
Rubbish address issues don't scare us, kama watekaji ni tanpol tutajilinda!!!
@IsiahMosl2 ай бұрын
Hongeren jeshi la polis kwa kaz mnayofanya mungu awatie nguvu siku zote dunia Inamaajabu.
@rosekimaro3842 ай бұрын
Bdo jeshi la polisi halijawa sawa kwan kuna watu 80 bdo hawajulikan wako wapi tunaka wapatikana kama hawa Asante
@JhonsonCharo2 ай бұрын
Mganga mshikeni na vijana wahusika wafikishwe kortini, na haki itendeke
@Rmollelmichael2 ай бұрын
Hivi polisi mkivunja Sheria inakuwaje mnabembelezana kwani Sheria ipo chini yenu. Mnauwa raia mnawaumiza na Bado mpo mna tamba mtaani hii Inamaanisha Nini kwa polisi kutumia nguvu kubwa kufikia kuua Watu hivi mtu hana silaa ya moto yupo kwenye maandamano mfano unawezaje kumpiga Risasi kwani ujuzi wa kumkamata raia ni lazima itumike nguvu ya bunduki kwenye nchi yetu ya Amani lakini mkiuwa kimakosa mnaendelea kubebana
@KiringoMtemi2 ай бұрын
Jessica la polisi likitaka linaweza Tena sana lakini cha kushangaza wakipotea upinzani hawana uwezo wa kuwapata inasikitisha sana hii inaamanisha wale watu watakua wanajua nini wamewafanya ndio hutosikia kama wamepatikana ni hatari sana
@OnesmoEphrata2 ай бұрын
Hongereni sana makamanda Kwa kazi nzuri mtupe na mrejesho wa hao WAHUSIKUA walio Fanya matukio ili tujue wataishia wapi jamani
@barakamanga55022 ай бұрын
Uwempole mkuu kazi inaendelea
@gabrielmwikanu11602 ай бұрын
Serikali iwafute waganga wote wa kienyeji, ndo chanzo Cha mauaji haya. Ni waongo na wachonganishi
@RuandaDimoso2 ай бұрын
Mpaka watu wandamane muwapige ndio muwekewazi ukweli tena kwa taabuu
@ahmed-shakirmwamba49922 ай бұрын
Nyonga hawa jamaa ambao bado wana amini uchawi na ushirikina kwani ni watu hatari kwa jamii kwa ujumla. Bora kuwa wahi kabla hawaja leta madhara zaidi.
@livinuskamugisha52962 ай бұрын
Dha tuiombee Amani Tanzania na ulimwengu mzima kwa ujumla