Wajedaaaa nawapenda sana hakuna mwanadamu mtiifu na mwenye roho ya huruma kama mwanajeshi mzalendo ktk nchiyake tuwaombee sana ndungu zetu hawa wanakabiliana na adui ila kujali adui anauwezo gani ili tu kuwalinda watu wa taifa dhid ya adui ,kama utajiri kwamwadamu yeyote ni amani kwanza basi hao wanajeshi ndio utajiri wakwanza Tzania tuwaombee sana kilamtu kwaimani yake mungu ni mmoja,kaangalie palestina Ukraine na kwingine
@SimonManyika-t5q25 күн бұрын
Natamani sana na me niwe kama hao❤❤
@shammhagama25275 ай бұрын
Hongereni sana makamanda wetu, kazi yenu ni njema
@FatumaPugapugaАй бұрын
Jaman si atokee mtoto mmoja wa mama mkwe ambaye ni mwanajeshi nimpendee tu❤❤
@philemonmagesa55485 ай бұрын
Mm huyu mwanajeshi mtangazaji wa kwanza ongea yake nimeipenda sana jinsi anavyozungumza mazoezi mbalimbali ya utimamu wa mwili
@consolatap5 ай бұрын
Kazi ninayoipenda kutoka moyoni....sadly sijabahatika.Good work!
@ibrahimubhoke41493 ай бұрын
Kazi nzuri jw
@MsafiriValens5 ай бұрын
Hayo mazoezi hayana maana waambie waende kule DRC kwenye frontline ndipo tutawaona kama wamekamilika kwani wenzake m23 imewainyesha kilichomkataza mbuzi kuvaa chupi wanaenda ila kurudi wazima ni mwiko
@brightjulius34613 ай бұрын
Nimeipenda. Sana
@FredOnyango-vh4mj14 күн бұрын
Verry smatt
@DennisKhamasi4 ай бұрын
Tanzania hamtuwezii sisi kenya we are the best 😂
@comedianmbuti30504 ай бұрын
Hawa wakifika Kenya wanasalimiwa na kikosi maalum Cha gen z kikiogozwa na komando kasamuel😂
@FrancisProsper-b4h2 ай бұрын
Bado hujakuwa kiakili umekuwa kimwili tu😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂
@charlesmatangule-o7e3 ай бұрын
respect kwenu sanaa
@robertkirui20833 ай бұрын
Really good
@ThionaBeatus2 ай бұрын
Nimependa
@gadyshekahumyo51863 ай бұрын
Nawa penda sana inji yangu jirani
@KelvinMfugale2 ай бұрын
Makamanda mmetisha kinoma
@magufulitvkenya63154 ай бұрын
Mashaallah.
@MobimbaWiliamАй бұрын
Saw saw
@bs58022 күн бұрын
Kuna wamawake?
@fredyaman3486Ай бұрын
Jux video unaniwezaweza
@SalumuMbondo2 ай бұрын
Mechi za Leo
@HaulSidney5 ай бұрын
Hawa majeshi kwanini wasikate hawa mafisadi wa nchi hii
@musal.ngwingawisalamihambo92985 ай бұрын
Nalipenda jeshi letu....JWTZ MUNGU AWALINDE NA KUWAPA AFYA NJEMA
@victaboy72735 ай бұрын
Dunia imekwisha toka huko. Siku hizi inapiganwa vita ya kidigital. Hawatumii binadam tena
@msafirimaulidi50545 ай бұрын
Uwez kupgn vita bila askal ndomn Kuna jesh la chini, jesh la anga na jesh la maji jesh la chini linaushisha askal Kwa asilimia kubwa