#LIVE

  Рет қаралды 69,259

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

4 жыл бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anakagua ujenzi wa daraja la Kiyegea Kilosa Mkoani Morogoro ambalo liliharibiwa na Mvua mwanzoni mwa mwezi machi mwaka huu pamoja na kuzungumza na Wananchi mbalimbali wa eneo hilo machi 16, 2020

Пікірлер: 126
@mudathiriali1801
@mudathiriali1801 4 жыл бұрын
Since in my life I didn’t see a president walking throughout a mud place like this, let God bless Tanzania with this president in the name of God.
@godfreysagilo6611
@godfreysagilo6611 4 жыл бұрын
Amina
@nijulishenijue1168
@nijulishenijue1168 4 жыл бұрын
kweli
@coffeemuya618
@coffeemuya618 4 жыл бұрын
Amen
@estherrichard4648
@estherrichard4648 2 ай бұрын
​@@nijulishenijue1168❤I I ĺlppppp😊😊p😊❤
@michaelmzava6112
@michaelmzava6112 4 жыл бұрын
Wew Ndiye Raisi wangu MUNGU akulinde wakati wote.
@stephenmgombele2654
@stephenmgombele2654 4 жыл бұрын
Super president tungepata wakina magufuli kama 50 serikalini bongo tungefika mbali sana chapu
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
Mungu akulinde sana mzee wangu huko vizuri sana sana
@ambelecheyo5667
@ambelecheyo5667 4 жыл бұрын
Waziri badilika,Chief excutive badilika,katibu mkuu badilika...Salute kwako Rais.
@geja8708
@geja8708 4 жыл бұрын
Naombeni likes zenu tumpe nguvu Rais wetu jamaan!!
@davidnyambuche352
@davidnyambuche352 4 жыл бұрын
Tukupe likes ili kumpa rais nguvu?! Vituko
@jarsaduba2626
@jarsaduba2626 4 жыл бұрын
Jembe liko shambani, ushauri wangu kwa mawaziri wanaousika kwa kila wizara na engineer wote nchini wakae macho sana uwezi kutafuta jia ya mkato kwa Mh JPM.
@rasheedmsigwa4612
@rasheedmsigwa4612 4 жыл бұрын
JPM 💪💪💪💪
@yesemakisudjonga7914
@yesemakisudjonga7914 4 жыл бұрын
Good
@maspro6294
@maspro6294 4 жыл бұрын
Wataanza wengi bado hawajamuelewa Rais JPM ni kiongozi mwenye uchungu na Inchi yake alafu Kuna mipumbavu mingi Sana hamsaidi kuipeleka inchi mbele JPM tumbua mpaka wakuelewe
@ibrahimdenis6521
@ibrahimdenis6521 4 жыл бұрын
Nakupenda sna jpm mungu azd kukulinda
@maryogotiny5033
@maryogotiny5033 4 жыл бұрын
Kufanya kaz na huyu mzee ni kaz ngum kwl msichukulie pow uongiz huu ni shida
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 4 жыл бұрын
Wanyooshe mzee wanyooke kbs
@maxmkemia9504
@maxmkemia9504 4 жыл бұрын
"Endelea kueleza" 😂😂 tunakukubali sna mjomba! Hta kma kuna kasoro tunatambua kuwa naww ni binadamu hatukuchagua malaika .. lakini udhati wako juu ya Taifa letu tunauona haswaa!!
@merryjulius4098
@merryjulius4098 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana chuche kwa maneno yako..
@bonifacekayungilo6878
@bonifacekayungilo6878 4 жыл бұрын
My President
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 4 жыл бұрын
NISAMEHENI MIMI KWA AJILI YA HAWA WAJINGA
@khamisrashidy1079
@khamisrashidy1079 4 жыл бұрын
Kitumbua kimetiwa mchanga anko magu njoo na shinyanga barabara kuelekea old shy ni mbovu
@mariuscyprian1235
@mariuscyprian1235 4 жыл бұрын
Huyu mzee baba kweli mzee wa kazi yeye katumwa kazi uko vizuri mzee baba JPM
@sospeteranthony4650
@sospeteranthony4650 4 жыл бұрын
Hahaha " mnavuta matumbo tu, hamuwezi kufanya Kazi za watu" kiongozi lazima uonyeshe mamlaka, nakukubali sana mheshimiwa!!!
@drsamsonkibona371
@drsamsonkibona371 4 жыл бұрын
MUNGU akulinde na kukuhifadhi ili uongeze bidii ya kuwasaidia wananchi ee Magufuli
@lexisavage1770
@lexisavage1770 4 жыл бұрын
asante sana baba yetu mpendwa Magufuli kwa upendo wako kwa Watanzania
@goddymassawe213
@goddymassawe213 4 жыл бұрын
Mzee magu nakupenda sana unafanyakaz nzuri sanaa mungu akuweke miaka 100...
@lucyzakaria4258
@lucyzakaria4258 4 жыл бұрын
hahahahahaaaa safi mzee watembeaze wapungue vitambi ivyo hapa kazi tu,,
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 4 жыл бұрын
Naona Waziri sauti inatetemeka
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 4 жыл бұрын
NGOSHA hadanganyiki,hayo maelezo hayamuingii kabisa na wao wamestuka.
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 4 жыл бұрын
Asante sana mwenyez MUNGU mkuu kwa muongozo wako mwema kwa raisi wetu
@petrojohn8250
@petrojohn8250 4 жыл бұрын
Kuna mtu alishanitukana kwasababu ya rais,ila namsamehe
@mohamedlamimu
@mohamedlamimu 4 жыл бұрын
Aiseh huyu jamaa kiboko! Mainjinia kazi kwenu! Huyu mzee si wa mchezo mchezo nadhani mnaona! Hapo kweli ni kazi tu! Duh!
@davidnyambuche352
@davidnyambuche352 4 жыл бұрын
Yaani mainjinia jasho linawatoka
@semeninyumayo2336
@semeninyumayo2336 4 ай бұрын
Magumagumagu kweli we ni kiongozi kwelikweli tunajifunza mengi kupitia wewe wewe ni kiongozi wa kuzaliwa si kujifunza utakumbukwa daima pumzika baba kazi umeifanya kubwa sana
@kingmagufuliforever3144
@kingmagufuliforever3144 10 ай бұрын
Sichoki kusikilizs hutuba zako baba nainjoy sana najifariji sana nakupenda sana magu baba japo umeenda niko nawey milele
@ev.wayudaalbinus3038
@ev.wayudaalbinus3038 4 жыл бұрын
Including wewe 😘😘
@marthadachi6731
@marthadachi6731 4 жыл бұрын
Sijui wanakwama wapi kila siku mijitu isimamiwe na Rais awajitumii awajitumi mpka Mzee awatoe nishani aibu sana mzee anapiga kazi kama wazungu wallahi anawanyooshwa kwa kweli wananenepeana kama matembo kazi uzushi unabahati leo .
@J4UPro
@J4UPro 4 жыл бұрын
Hivi tunataka Rais gani watanzania!
@damianlucas5345
@damianlucas5345 4 жыл бұрын
Wa kwenda kwenye show za mliman kwa kuzindua albom za wasanii
@nyasikissimbo5643
@nyasikissimbo5643 4 жыл бұрын
Mbowe
@user-io2yq6mu8f
@user-io2yq6mu8f 9 ай бұрын
Goodchannel
@ev.wayudaalbinus3038
@ev.wayudaalbinus3038 4 жыл бұрын
Hahaha "nakufukuza huku unaniangalia"
@kongodamas7407
@kongodamas7407 9 ай бұрын
2023 watching mpo😭😭
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
Tupoo
@ReachOut3004
@ReachOut3004 4 жыл бұрын
Pambana mzee tuko nyuma yako..ViVaMagufuli
@Mike-fv5lv
@Mike-fv5lv 4 жыл бұрын
Mungu akubariki mh Rais
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 4 жыл бұрын
unda katume kadogo"sio kakutumia pesa"
@marthadachi6731
@marthadachi6731 4 жыл бұрын
Leo leo ni leo dah aibu sana awaoni mifano kwa wengine mijitu ilizoea rushwa kazi awawezi kabisa mtanyooka mwaka huu mtaomba poo sana tu. Tumenyanyasika sana na Viongozi fake face .Sasa Huyu Ndio Raisi tunamtaka Tanzania tunakupenda sana baba Mungu akubariki sana 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@ismailnyuki1429
@ismailnyuki1429 4 жыл бұрын
mr.President
@denismsuya9335
@denismsuya9335 4 жыл бұрын
Wazir anang'aa macho ka mtto 🤣🤣🤣🤣🤣
@dickaugustino2214
@dickaugustino2214 4 жыл бұрын
No retreat no salender!
@k2plusstudio858
@k2plusstudio858 4 жыл бұрын
Unachosema muheshimiwa ni kweri hawatembei kukaguwa barabara wanakaa ofisini tu hata wakifanya ukarabari wanatobowa barabara mashimo yanakaa wiki awajaziba wanasababisha ajali sio morogoro Tanzania nzima wasimamizi wa barabarani nie wazembe sana
@maryogotiny5033
@maryogotiny5033 4 жыл бұрын
Yan mtu kama anajua hawez kujiongeza kwa kufanya utatuzi wa matatizo bora kuacha kazi
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 2 ай бұрын
Tunamlilia Magufuli😢😢😢Makonda Ashike tu Nafasi yake😢
@josephmpiluka6381
@josephmpiluka6381 4 жыл бұрын
Jaman Mjomba tumpe miaka mingapi
@petrojohn8250
@petrojohn8250 4 жыл бұрын
30
@erickkabelege7992
@erickkabelege7992 4 жыл бұрын
Huyu Rais ni Rais wa kwel hana na mfano wa kuigwa
@bartonntimba1223
@bartonntimba1223 4 жыл бұрын
Kilichotokea hapo ndo kinatokea daraja la jangwani mh rais,tope limeziba daraja mpk juu!
@marthadachi6731
@marthadachi6731 4 жыл бұрын
Aibu sana hivi hawa watu wakoje mpka mtu anakuja awajiandai kutoka makwao kama wanaenda kazini
@chidiomari.65
@chidiomari.65 4 жыл бұрын
💪🤝
@MathiasMaswilla
@MathiasMaswilla 10 күн бұрын
Yaan mungu huyuu why umeenda mapema iviiiiii
@khudhaimaasaa1425
@khudhaimaasaa1425 4 жыл бұрын
Saleh Saleh Saleh
@josephmpiluka6381
@josephmpiluka6381 4 жыл бұрын
Jamaniee huku net wek sio zur
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
panda mnazi.kkkkk
@dicksonaroka6961
@dicksonaroka6961 4 жыл бұрын
Waziri kwakwel leo ulikua na mungu wako tena shukuru jamaaa alikua anakula kichwa chako mchana kweupeeee 👏👏👏
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
Injinia anahema sana duuh
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 4 жыл бұрын
Halafu utasikia kinafulani eti TUME HURUUUUU halafu tuchagua nani?
@sadockalfred6750
@sadockalfred6750 4 жыл бұрын
We nawe umeongea nini sasa kama sio ushuz kwan tume huru inamfanya magu asiendelee kuwa rais au?
@coffeemuya618
@coffeemuya618 4 жыл бұрын
Tume huru hatupi maendeleo tume yoyote tu tunataka maendeleo
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 4 жыл бұрын
Kiongozi huletwa na mungu sio tume huru sijui Katiba mpya. Watu wamepoteana.
@petersanagaya2916
@petersanagaya2916 4 жыл бұрын
Ila tuache utani huyu jamaa anafanya kazi hatari sana
@JOHNWANJUGI
@JOHNWANJUGI Жыл бұрын
🎉
@user-wu4qw9vb7e
@user-wu4qw9vb7e 6 ай бұрын
7:29
@esterutewele7143
@esterutewele7143 4 жыл бұрын
yapit mpak mwisho wa dunia
@sebastianngimba6629
@sebastianngimba6629 4 жыл бұрын
Mbona mnapokezana mike,hamuogopi korona
@ev.wayudaalbinus3038
@ev.wayudaalbinus3038 4 жыл бұрын
Daaah we Mzee nakukubali sana
@georgedamas7097
@georgedamas7097 4 жыл бұрын
Uyu Mzee ni kiboko aise! Ni kama wale wazee wetu wa miaka ile unakuta mtoto wa MTU ukizengua anakupa noma, afu mzazi wako aje sasa, Nakupenda sana Mzee Baba.
@boazijambery5457
@boazijambery5457 4 жыл бұрын
Hahhaahhaah et wanavuta tyyu matumboooo duuh baba jpm Salutiiiiiii tenaa shikamooooooo babaaaa
@boazijambery5457
@boazijambery5457 4 жыл бұрын
Waziri utafikiri kafumaniwaaa machoo kodooo
@sebastianngimba6629
@sebastianngimba6629 4 жыл бұрын
Kiukweli huyu jamaa no MTU wa practical hataki kuambiwa,namtanyooka
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
Mdanganye mengine,sio ujenzi.kkkkkkk
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 5 ай бұрын
Inauma asikwambie mtu
@ayoubabdull1265
@ayoubabdull1265 4 жыл бұрын
Ha,ha,ha,Amissi mbotoni nimekuelew......Magu hasomek ...wakamuulize mzee wa kushika kitabu cha ilan atawaambia.
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
Huyu bonge anaongea kimasihara sana bora ulivyomtumbua
@bungesabaya8062
@bungesabaya8062 4 жыл бұрын
Yani...nyinyi mnamletea magufuli mchezo wakipuzi. HUYU ACHEZEWI MNA KAZI HAPO
@emmanueljosephmabeyo2790
@emmanueljosephmabeyo2790 4 жыл бұрын
naomba magari yaendelee kupita mpaka mwisho wa dunia duuuh huyu ndo mr president
@khudhaimaasaa1425
@khudhaimaasaa1425 4 жыл бұрын
Hahaha!!! Unanifurahisha inginia
@tophousecommunication570
@tophousecommunication570 4 жыл бұрын
wapi ALI YAPI?
@fredyjohn8548
@fredyjohn8548 4 жыл бұрын
Hawa wazee wanamungu Leo hii mh
@harunahamadi1523
@harunahamadi1523 4 жыл бұрын
Muooneeniii huruma rais jaman vitu vinginee sio lazima afanye yeye wazir ukipewa kazi kuwa makini na sekta yako usileteee masiharaa
@ramadhanisakalani8372
@ramadhanisakalani8372 4 жыл бұрын
Safii san kamwele bora hivyo
@hamiskapatila8217
@hamiskapatila8217 4 жыл бұрын
Salehe saleh wew salehe 😂😂
@africanwordsworth4375
@africanwordsworth4375 4 жыл бұрын
Salehe ni nani anasimamia hii barabara 😅😅😅😅
@geey7893
@geey7893 4 ай бұрын
Weee saleheeee Saleeheee😅😅😅😅​@@africanwordsworth4375
@fredyjohn8548
@fredyjohn8548 4 жыл бұрын
Duh Asante mzee Kweli ww baba
@saidomar6806
@saidomar6806 4 жыл бұрын
Rais wetu Magufululi mwenye Utu Upendo na kuchapakaz mda wote usiku mchana anafanyakaz ili watu wake wasiishi kwa unyonge Mungu akuweke kw kaz njema unayoifanya. Wenu mtiifu Omar 0714662020
@ahmadmhando2525
@ahmadmhando2525 4 жыл бұрын
😄😄😄😄😄😄
@samxongwambiye4217
@samxongwambiye4217 4 жыл бұрын
Uxiniuz sasaiv nikakumalizia wewe
@amissimbotoni6950
@amissimbotoni6950 4 жыл бұрын
Kwel wajinga daah magu ww
@pasquallungwa3517
@pasquallungwa3517 4 жыл бұрын
Waziri chupu chupu
@liliansamson674
@liliansamson674 8 ай бұрын
Baba umetuacha mapema mno bado tunakukumbuka wa Tanzania wako
@ShabanMusa-vz7ly
@ShabanMusa-vz7ly Жыл бұрын
Makufuri kumtumbua mkuu tabora
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 4 жыл бұрын
Huyu ndo rais wa tz akikuteua jipange
@amissimbotoni6950
@amissimbotoni6950 4 жыл бұрын
Mfugale kawa mdogo sifa za maguful zilimlevya akajua kila cku Ijumaa
@ramadhanisakalani8372
@ramadhanisakalani8372 4 жыл бұрын
Hahahaha umeonaee
@ibrahimumayambua4028
@ibrahimumayambua4028 4 жыл бұрын
Allah azidi kumpa hekima zaidi,amuepushe na kila Jambo baya,ampe afya njema zaidi ili aendelee kutetea wanyonge wa Taifa hili🙏
@josephmpiluka6381
@josephmpiluka6381 4 жыл бұрын
Kweli et
@mahamoudabas8555
@mahamoudabas8555 4 жыл бұрын
Tuachane na madaraja, Tuangalie hili la CORONAVIRUS, tufunge mipaka yote bila kungojea mpaka tuje KUFA mamia ya wa Tanzania. Watanzania walio wengi hatujiwezi kupambana na CORONAVIRUS na hata Serikali yetu haijiwezi ktk kupambana juu hivi virus, hawaja jiweza China na Italia mpaka wamepoteza maisha zaid ya watu elfu 5, tutajiweza sisi wa Tanzania na Tanzania yetu????
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
deluded,corona ikiisha utatumia pumbu au kuma kuvuka mto?? think ahead.
@mahamoudabas8555
@mahamoudabas8555 4 жыл бұрын
@@errydeo8865 kuma wewe kama makuma wengine, madaraja yamekua yakijengwa kila siku toka kipind cha mwinyi mpaka sasa awamu ya 5, mnatumia pesa zeru kwanjia ya kutudanganya kwa madaraja, wewe ni shoga
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
@@mahamoudabas8555 punguza kunyonya mboo mbwa wewe!!we unafikiri vitu vitasimama eti Korona,kajifungie ndani uone ka hujafia humo,msenge baridi...hao wagonjwa watapitishwa wapi kama madaraja hayajawekwa sawa???tumia ubongo,usitumie mkundu kuwaza..
@mahamoudabas8555
@mahamoudabas8555 4 жыл бұрын
Wewe ni mkundu kama mikundu mingine, ambayo imshanyonya mboo yangu! Njaa utakufa wewe na wenzio, sio mimi, mimi hata nikikaa ndan mwaka mzima njaa sitokufa. Hapa nilipo nipo ndan na familia yangu, toka tareh 20 mwez wa 3, mimi sio mwenzio wewe kuma, unijui sikujui kuma wewe. Hapa huwez kitu mkundu wewe! Nipo ndan yapata mwezi sasa kwa taarifa yako, watoto wangu wako salama, wanakila kitu cha kuchezea ndan na geti ni kubwa , mbwa wewe. Kama unashida na ela ya chakula nikupe mtu AKUFILE, kisha nikupe pesa ukanunue mchele na unga uweke ndan. Mimi nitamsukuma mavi mkeo kama uko na mke, ila wewe nitakupatia jamaa yangu akushugulike huo mkundu mchafu.
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
@@mahamoudabas8555 ndo unavyoonyesha upeo wako mdogo wa kufikiri,kwa kua unaweza kukaa ndani unafikiri wote wako hivyo..mtu utamjua uwezo kwa kufikiri kwa ayasemayo!!hunijui!unabwabwaja tu!!! ubongo umejaa shahawa tu,ukiongelea kitu,kifikirie kwa mapana,inaonekana,unaangalia karibu na mkundu wako!! try to think broadly..hata kujibu hoja ,either hujui usamalo,au you are just a retarded mofuckker,usiyejua kiendeleacho!! hujui hata umuhimu wa madaraja kukarabatiwa..kwa kua umesikia COVID-19,unaimba tu...grow up pussy..na ulivyo limbukeni,kakuuliza nani mambo ya familia yako!!!!msenge bardi...ningejua uko wapi,,wewe na mkeo ningewapa vifilo tu....faggot...igorance is a bad desease..tia akili kidogo mchambia juani...
@williamhalinga3584
@williamhalinga3584 4 жыл бұрын
Mheshimiwa umenipa fuzo kubwa sana
@khudhaimaasaa1425
@khudhaimaasaa1425 4 жыл бұрын
Waziri chupu chupu duh
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
kwaresma ilimuokoa..lol
@nicksonngwavi7584
@nicksonngwavi7584 4 жыл бұрын
Rais mm ninae nyoka nao mzee
@jameswillson8685
@jameswillson8685 4 жыл бұрын
Wakomeshe mzee wanazalau wafanyakazi wako
@kgfes
@kgfes 4 жыл бұрын
Ako fit huyu rais wenu. Wengine ni vitambi tu na kuhema
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 66 МЛН
Can A Seed Grow In Your Nose? 🤔
00:33
Zack D. Films
Рет қаралды 29 МЛН
1,000 Diamonds! (Funny Minecraft Animation) #shorts #cartoon
00:31
toonz CRAFT
Рет қаралды 40 МЛН
LIVE: MAGUFULI AKIZINDUA  SOKO KUU LA MANISPAA YA MOROGORO
1:13:11
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 27 М.
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA KAHAMA - SHINYANGA
22:00
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 45 М.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018
59:24
Azam TV
Рет қаралды 800 М.
Why Starbucks Is Struggling
12:06
CNBC
Рет қаралды 481 М.
Amazing weight loss transformation !! 😱😱
00:24
Tibo InShape
Рет қаралды 66 МЛН