LIVE: RAIS MWINYI ANAZUNGUMZA MAMBO MAZITO MUDA HUU "SAKATA LA UDHALILISHAJI - ZANZIBAR

  Рет қаралды 39,647

KTV TZ ONLINE

KTV TZ ONLINE

Күн бұрын

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Masoud Maganga
cc: Sauti Byego
cc: Maryam Busara
Camera Department"
Dadi Ali
Mwarabu Mmadi
Nassor Shaibu
Abdallah Dula
Editors:
Juma Maulid
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Пікірлер: 82
@axmedcali5097
@axmedcali5097 3 жыл бұрын
DR HUSSEIN PLEASE FREE MASHEHE UAMSHO
@rajabjr478
@rajabjr478 3 жыл бұрын
Subbuhana Allah... Mr hussein Mwinyi na uwe raisi maisha yko .ww ni zaidi ya raisi bali zawadi ya Mungu kw wanzbar I love u and I do beleave ever and for ever may Allah bless in jannah.
@axmedcali5097
@axmedcali5097 3 жыл бұрын
FREE MASHEHE UAMSHO
@jumamrange
@jumamrange Жыл бұрын
Hongera sana Zanzibar mmejipanga ktk janga hili
@asfarsham9037
@asfarsham9037 3 жыл бұрын
Asante doc Mzuri ,hio kuwa watt warekodiwa wakihojiwa ni utaratibu mzuri sana.
@mwahijura7353
@mwahijura7353 3 жыл бұрын
MASHALLAH UKTI AMINA ALLAH ATAKULIPA MEMA
@M.Issa0410
@M.Issa0410 3 жыл бұрын
Amiin
@nasriahmed7166
@nasriahmed7166 3 жыл бұрын
Sawa Rais, tu nakukubali sana sasa Jitahidi wale aMashekh watu pia watolewe
@allykhamis1677
@allykhamis1677 3 жыл бұрын
Safi Sana
@husnayussuf1224
@husnayussuf1224 3 жыл бұрын
Mashallah nikweli yanafurahisha
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
Mashaallah mtangazaji ana sauti yakufanya kazi kwenye Radio au TV anafaa kweli..na Sister pia...
@kingzerock1504
@kingzerock1504 3 жыл бұрын
Mtihani wallah kwenye jamii yetu, hii yote ni kwa Sababu ya utandawazi ambao haufati maadili yetu
@muhidinali8180
@muhidinali8180 3 жыл бұрын
Doctor sada mkuya Allah akuhifadhi unajitahidi
@rizikiabdalla3308
@rizikiabdalla3308 3 жыл бұрын
Jamna mh sheha mwisho umemaliza vizuri sana
@husseinali9760
@husseinali9760 3 жыл бұрын
Masha Allah khr na pia sio kila ktuu munaanglia unguja tuu kufnya na Pemba muanglie nakoo
@wanimzur5597
@wanimzur5597 3 жыл бұрын
alhamdulillah hakuna awamu hata moja iliyofanya kama hivi.
@mursalsaid3327
@mursalsaid3327 3 жыл бұрын
Hio ni kweli zamani full respect .ukigusa kitu Cha mtu lazima wazee wako walipe au viboko mbele ya watu Branch lakini leo Mambo yameharibika .
@fatmakhalef3450
@fatmakhalef3450 3 жыл бұрын
Rushwa ikikomeshwa tutpiga hatua na maendeleo yatapatikana. Allah awafanyie wepesi
@allyabdalla4228
@allyabdalla4228 3 жыл бұрын
Mh,hongera sana tunakutakia kila la kheri ila tutazidi kufanikiwa na kukuunga mkono tukiwaona mashekh wetu wakiwa huru tunakuomba Sana, please mh wale watu wanadhalilika na familia zao
@asiakhamisi469
@asiakhamisi469 3 жыл бұрын
Tunaomba mashekhe watolewe bila ya kucheleweshwa muheshimiwa lishuhulikiye hili suwala kwa haraka
@mjleader4919
@mjleader4919 3 жыл бұрын
Waajiri wawekezaji huhusan katika sekta za utalii, udhalilishaji umezidi sana kiasi kwamba stahiki za wafanyakazi hazizingatiwi
@ashaali1912
@ashaali1912 3 жыл бұрын
rais wetu ana msimamo katika kutuweka sawa wananchi wake aangalie mihimili mikubwa ya nchi Serikali yake ikiwemo 1. Polisi, 2. Mahkama, 3. Wizara ya Afya, 4. Vyombo vya habari (huu utandawazi umekuwa utandawizi) Mungu ampe nguvu na hekma kubwa inshallah
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 3 жыл бұрын
Raisi wangu mwenyezi MUNGU yupo pamoja nawe
@bintsalimalbimany5340
@bintsalimalbimany5340 3 жыл бұрын
Wanaofanya makosa hawachukuliwi hatua wanachukuliwa hatua Wasiofanya makosa Mashekh mpk leo wako ndani 😢😢😢😢Subhanallah Allah hawezi kutia barka katika nchi yetu maadam watetezi wake vipenzi vyake wako ndani Barka hapo musitarajie kuwaitaingia😢😢😢
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 3 жыл бұрын
Dr. Hussein wanofanya ushenzi wa aina yoyote. Weka sharia moja tuu. GHARAMA NA JELA TUU.
@kombokombo829
@kombokombo829 3 жыл бұрын
Mbona mnazunguka Sanna munatoa majibu hayo hayo...hembu semen kunanin katikati yake hizo kesi. Pili mulikua hamupo serious. Rushwa nyong na mambo mengnee...
@muhidinali8180
@muhidinali8180 3 жыл бұрын
Raisi kazungumza vizurisana na viongozi wa dini na shule pia watekeleze wajibu wao
@alialibablly7010
@alialibablly7010 3 жыл бұрын
Tuition za usiku zinachangia bibi usiseme madrasa umejiweka wa mwisho hukuengea point yoyote
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 3 жыл бұрын
Kuna watu wanataka kuwasaidia wanaharakati na taasisi zao. Tunaomba njia za mawasiliano tafadhalini.
@abburakkaan5694
@abburakkaan5694 3 жыл бұрын
Dr. Hussein Please! Please! Please! FREE MASHEKHE WETU.
@abburakkaan5694
@abburakkaan5694 3 жыл бұрын
UAMSHO
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 3 жыл бұрын
Unajua huu mlolongo unakuw mref lkn mwish wa sik watuhumiw wakipelekw polisi wantok tujiuliz Kun nn polisi.
@khalifa_wayy1979
@khalifa_wayy1979 3 жыл бұрын
Wadhalilishaji wauliwe tu
@yohanajoseph5773
@yohanajoseph5773 3 жыл бұрын
Piga kazi raisi wangu sisi vijana wako tupo tutasaidiana kuweka sawa nchi
@maryamkhafidh141
@maryamkhafidh141 3 жыл бұрын
Hongera mam kwa kujiamin nakuyasema yayotumiza waznzbr. Hususa kwawanawke mungu akuzidshie umr mrefu na manufaa zaid
@idrisabakar2353
@idrisabakar2353 3 жыл бұрын
Tunakuomba rais usikilize vilio vya wazanzibar isiwe kupiga kelele na kupita sikio la kulio kotoka kuchoto
@studentkombo7887
@studentkombo7887 3 жыл бұрын
Mama unaongea na mungu atakulipa, unafaa kuwa kiongozi
@shafiqaabdallah7281
@shafiqaabdallah7281 3 жыл бұрын
Zinaa imekatazwa. Sasa zinaa wanafanyiwa watoto.Kama tusipokatazana haraka sana. Itakapokuja ghadhabu ya Allah tutaiweza ? Allah atatuadhibu sote. Maana yeye tayari keshatupa muongozo. Na mtoto hana nguvu hana sauti.Kakabidhiwa chunga na mchunga ataulizwa.
@wanimzur5597
@wanimzur5597 3 жыл бұрын
na ukahaba pia ni tatizo ayoub alijitahidi lakini lakini sijui imekuaje
@MamaLuqman2022-jn8qm
@MamaLuqman2022-jn8qm Жыл бұрын
Innalilah waiinna ilaihi rajiun
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 3 жыл бұрын
Utandawazi, uwekezaji na utalii bila ya udhibiti ndio sababu ya yote haya. Tusitafute dawa kabla ya kinga.
@mmybani6851
@mmybani6851 3 жыл бұрын
Husein mwinyi oyeeee Allah atakulinda we tumbua majipu yote
@wanimzur5597
@wanimzur5597 3 жыл бұрын
kila mtu haachi kujitetea binafisi toa neno mheshimiwa rais
@salmamohamed3929
@salmamohamed3929 3 жыл бұрын
Wanaharakati Allah awalipe Jannat firdaws
@khaijakadija2082
@khaijakadija2082 Жыл бұрын
Amiin
@khaledsuleiman9819
@khaledsuleiman9819 3 жыл бұрын
Asante Mr. President. Unazidi kutupa moyo Sana. Kwa pamoja Tupo na wewe
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 Жыл бұрын
HAKUNA moyo unajidanganya 😂😂😂😂😂
@monnaabdul193
@monnaabdul193 3 жыл бұрын
😢😢😢😢 Pole sana maskini
@zulfahismail9373
@zulfahismail9373 3 жыл бұрын
Asalam. Na pend a. KukwambiyA vipi kiringo. Mbona. Kaachiwa uhuru na vipi. Wasagi. Yote. Yazunguzewe
@zulfahismail9373
@zulfahismail9373 3 жыл бұрын
Dr mwinyi. KwA ushauri. WAngu. Atakae kamatwa afunge. Maisha asiyone. Huruma. Hata. Awe mtoto. WA MKUBWA. PIYA. SIWACHIWE
@wanimzur5597
@wanimzur5597 3 жыл бұрын
mheshimiwa rais chonde chonde weka sheria kali na pia uzungumze na mahakimu na majaji waache tamaa na umuhali wanatuumiza tusiojulikana na tusio na uwezo. mapolisi, mahkama ndio wanaochangia.
@albahry2280
@albahry2280 3 жыл бұрын
Hii mitwana ya inatoka huko kwao kuja kutuharibia zanzibar maadil ye2
@yusfatame9668
@yusfatame9668 3 жыл бұрын
Nkumbuka nilipokua primary wakati wa Matatamasha ya Zanzibar tunashukuliwa maskulini kufundishwa kuhusu stadi za maisha kwa kweli ilikua ni program nzuri saana lkn sijui imeenda wapi hii program
@khalifa_wayy1979
@khalifa_wayy1979 3 жыл бұрын
Uongozi wakweli mtihani
@wanimzur5597
@wanimzur5597 3 жыл бұрын
hatari kweli kweli wanaharakati muna wakati mgumu
@aminattai2676
@aminattai2676 3 жыл бұрын
Zamani mtoto alikuwa analelewa kila kona ya maisha yake yote,kuanzia nyumbani,mtaa anaoishi,mashuleni,na kwenye madrassa,na iyo yote inapotokea mtoto kakosea na akapatiwa adabu sehemu yoyote zaidi ya kwao basi mzazi anaungana na wale waliompatia adhabu kwa alichokosea,leo hii mtoto wa jirani yako anakutukana mtu mzima na unapojaribu kumrudi uyo mtoto kinachofuatia apo ni vita kutoka kwa mzazi wake,watoto wanapogombana wazazi na wao wanagombana hawataki kubeba lawama zae watoto,lakini kibaya zaidi majumba mengi kati yetu tunatabia ya kuogopa watoto wetu wenyewe tuliowazaa kiasi kwamba mtoto ndio mtawala wa nyumba na kwa wale wanaweza kujaribu kumchapa mtoto basi inakuwa ni kwa bahati mbaya sio kwa kukusudia,mzee kamchapa mtoto na kila akimuangalia anamuona mtoto kakasirika basi mzee nakwenda kumuomba msamaha mtoto amsamehe na hatomchapa tena,ikifikia hivo tumejenga kizazi cha aina gani?
@khalifa_wayy1979
@khalifa_wayy1979 3 жыл бұрын
Inamaana kila siku matokeo mawili
@alialibablly7010
@alialibablly7010 3 жыл бұрын
Watu wameongea vizuri huyu sheikha wa wamwera aongea njaa yake ataka apewe gari kwenye eneo lake kwa lipi wakati kutoka mjini mpaka nungwi masaa mawili itakuwa kwa eneo lake bibi njaa punguza
@mbwanakombo4031
@mbwanakombo4031 3 жыл бұрын
Na sababu nyengine ni Ushirikina uliokithiri miongoni mwa watu na husda kwa nyoyoni na roho mbaya pia tusisahau. Watu wanapewa masharti mazito kwa waganga. Aidha kutaka mali za haraka ama mahitaji mengine.
@zulfahismail9373
@zulfahismail9373 3 жыл бұрын
Rais huyu. Dada. Meri msaidi. Mpaka. Pakukaa.kwa utaukuta. Ujira. Wako KwA mungu
@jacklinetoto7910
@jacklinetoto7910 3 жыл бұрын
Nimekubali
@khalifa_wayy1979
@khalifa_wayy1979 3 жыл бұрын
Muongo jaji under 18 kubaka in UK
@wanimzur5597
@wanimzur5597 3 жыл бұрын
fichua fichua
@AliAli-xi3hu
@AliAli-xi3hu 3 жыл бұрын
Mkuu haya mapambano ya kukabiliana na udhalilishaji ni unafiki mtupu, naomba nitoe mifano Rc Ayoub alipambanana akiwa mkuu wa mkoa aliziondosha baa, madanguro, sherehe za wasagaji na wasenge hebu tu jiulize baada ya yy kuondoka alie mrithi hiyo nafasi, mkuu wa wilaya, Rpc, rso, dso Hawa wote hawakuliona hili na likawa limeisha na Ayoub kama jambo lake binafsi
@zulfahismail9373
@zulfahismail9373 3 жыл бұрын
Mama. Sema huyu. Rais. Mchanguwe. Kiyongozi. Mama hudari. SanA. Mpechoo hodari. SanA. Na mpa kura. Yangu
@zulfahismail9373
@zulfahismail9373 3 жыл бұрын
Kwaza. Wakuteuliwa. Bibi. Amina. Huyu mama. Hodari. SanA. Rais mtu akizungu tu. Unamjuwa. Ana. Uchungu. Gani
@wanimzur5597
@wanimzur5597 3 жыл бұрын
wachunguzwe hao
@wanimzur5597
@wanimzur5597 3 жыл бұрын
ushahidi watu wanajitahidi mpaka dakika ya mwisho utashangaa utaambiwa ushahidi haujakamilika nadhani mehshimiwa siku zote unasikia katika kipindi cha mwaio wazazi wanafika kulia machozi kwa uchungu (ambayowayo changanya na yako rais)
@zulfahismail9373
@zulfahismail9373 3 жыл бұрын
Vipi WEWE. Jamaa. Unasema. Akate rufaa hamna. Rufaa kufungwa tu
@zulfahismail9373
@zulfahismail9373 3 жыл бұрын
Mpaka watoto. Waviyongozimpiya. WanFunguwa. Mabaya. KwA. Saba u watoto. Wakubwa. Huyu. Mama. Ana. Sema. U kweli tu mungu. Ampe. Ujira wake
@idrisabakar2353
@idrisabakar2353 3 жыл бұрын
Uzalilishaji ni vigumu kuondoka rabda tusamehe misaada ya wanao zamini ushoga na uzalilishaji na usagaji na wanajuilikana tusijizonge
@RioIpo
@RioIpo 3 жыл бұрын
Kabisa yaani
@kombobakar8287
@kombobakar8287 3 жыл бұрын
Watalii wafuate maadili yetu ili kupunguza uzalilishaji ,Nao ni chanzo cha uzalilishaji
@wanimzur5597
@wanimzur5597 3 жыл бұрын
hakuna changa moto wala baridi hatua tu zichukuliwe
@wanimzur5597
@wanimzur5597 3 жыл бұрын
wasipewe dhamana tu suluhisho
@wanimzur5597
@wanimzur5597 3 жыл бұрын
wenzetu bara mbona wanaweza kufungwa miaka hiyo iweje sisi tusiweze
@axmedcali5097
@axmedcali5097 3 жыл бұрын
FREE MASHEHE UAMSHO
@allykhamis1677
@allykhamis1677 3 жыл бұрын
Safi Sana
@axmedcali5097
@axmedcali5097 3 жыл бұрын
FREE MASHEHE UAMSHO
KWANINI ZANZIBAR INAANZISHA BIMA YA LAZIMA KWA WAGENI?
14:08
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 2,8 М.
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,4 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 34 МЛН
WAFANYA BIASHARA ZANZIBAR WALIA MBELE YA RAIS MWINYI.
8:58
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 19 М.
Laana ya kiti cha naibu rais nchini Kenya
8:58
K24TV
Рет қаралды 172
RAIS MWINYI AZINDUA BANDARI MPYA ZANZIBAR l HII APA BANDARI KAVU
3:10
PEMBA' YABAINIKA INA MADINI MAZITO, UTAJIRI NJE NJE, RIPOTI INASEMA
6:12
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57