Yaani mwabukusi,nakuombea sikumoja mungu akipenda uwe rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
@patrinraura13976 сағат бұрын
ASANTE Rais wa TLS Mhe Mwabukusi Mungu ana Lengo lake kukuweka kama Rais ili TLS iwe Sauti ya Watanzania kupitia taaluma yenu ya kisheria Tunaomba sana Taaluma yenu ituzalishie Katiba mpya ❤
@francisjimisha50905 сағат бұрын
Hongera sana mwambukusi kwa kazi unayoifanya Mungu akulinde.
@rasnchimbi6 сағат бұрын
Mwabukusi BIG UP!!💪🏿
@TANZANIAYCEO5 сағат бұрын
I always respect this Man. He is think Big.
@gabrielkyando26323 сағат бұрын
Akili kubwa 💥💥💥
@ToureMassawe5 сағат бұрын
Safi sana
@jerome31434 сағат бұрын
kosa lake yeye liko. wap
@MuseiMeleki5 сағат бұрын
Mheshmiwa mwambukusi tukuulize swali, majina ya matokea ya mitihani yalikuwaga yanabandikwa lakini kwa sasa yanatumwa kwenye mitandao na hata jana matokea ya darasa la 7 tumeyapata nitandaoni, majia ya ajira au kazi , majina ya mikopo ya wanafunzi n.k pia. Sasa kwa nini majina ya wapiga kura bado yanategemea kubandikwa kwenye kuta na kisha kuchanwa makusudi ili majina hewa watu wasiyaone? Na hayo mapingamizi yatawekwaje wakati majina yamefichwa? Kwanini mmekubali mambo haya yatokee?
@Juma-e8l4 сағат бұрын
Bro u have potential on your mind strong 💪 suggestion for minded people
@Uhuru12345 сағат бұрын
Sasa wakili msomi mbona hamzungumzii, malalamiko ya uandikishaji?
@adelinelyaruu30365 сағат бұрын
Waliofunga Ofisi inakuwaje??
@AnnaFelix-p1z3 сағат бұрын
Safi mwambukusi umeongwa haki lakini sisi kwetu wanamugambo wanakuwaga niwanachama wa ccm 2 sijuwi utatusaidieje watanzania sisi wanyonge tuna nyongwa na ccm madiwani kutumia mamlaka yao kufanya mapiduzi anamwambia mtendaji amutangaze wa ccm ambae ajashinda
@OnesmoKway-g7w23 минут бұрын
Kaka sarakasi ni nyingi sana zinafanyika uhuni eti mtendaji anafunga ofisi ili tuu asipokee fomu za upinzani
@kigogolengine36675 сағат бұрын
Yaani wewe huoni hii hujuma ya ccm kweli njaa ni mbaya sana
@sabriabdalla95623 сағат бұрын
Huyu kwisha khabari yake saivi, lainiiiiii 😊
@kigogolengine36675 сағат бұрын
Wewe umeonguwa
@matiredms9175 сағат бұрын
Mazuzu kama wewe watatukwamisha sana na ushabiki wa kijinga.