🔴LIVE:RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ZUBEDA SEHEMU YA 14 - MARCH 14 / 2024

  Рет қаралды 13,862

EFM TANZANIA

EFM TANZANIA

Күн бұрын

Пікірлер: 80
@Satwant-t9c
@Satwant-t9c 7 ай бұрын
Isije kuwa shoga ake Zuu! Ndo amemchukuwa mumewe!😣
@rosemery3017
@rosemery3017 7 ай бұрын
Kitu ambacho siwezi fanya kwenye maisha yangu ni kumloga mwanaume kama anaenda aende tu wala sishughuliki nae hususani tena ninakazi yangu yaani yey ndio atanitafuta sio mim maana atazueura huko nje mpka atarudi mwenyewe na nitakuwa Bize na kazi zangu na shughli zangu mpka mwenyewe ashangae🤭😃
@MaliamuMukwawa
@MaliamuMukwawa 7 ай бұрын
Ujapenda ww
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 7 ай бұрын
Chukua🎉🎉🎉🎉
@rosemery3017
@rosemery3017 7 ай бұрын
@@MaliamuMukwawa sio kupenda tu nilishapenda mpaka nikaachwa na nikaumia sana ila nili move na nilipopona nikapata mtu mwingine, ngoja nikuambie kwa mganga unasaidiwa vitu vya muda tu ila huisha vibaya a sana ona sasa zuu hadi kupigwa amepigea mwisho wa siku atapigwa pahala pabaya atakufa akifa sasa hayo ndio yatakuwa mapenzi au upumbavu na watoto wake ataachia mwanamke mwingine amlelee ukifikiria vizur huwez loga mtu kama anakupenda anakupenda tu na kama amelogwa back jua sawa huisha subir na maombi atarudi bila kutumia nguvu ila mganga sio ishu kabisa na niumasikini tu unakaribisha kwa nyumba my dear 🙏
@GODFREY-je9xq
@GODFREY-je9xq 7 ай бұрын
Tiba ya mapenzi hakuna kwa mganga ni MUNGU tu. Mtatuuwa tu
@AshaAlfred
@AshaAlfred 7 ай бұрын
Madawa yakizidiii unamuua mme wako , ivoo tujifunze kumutegemea Mungu hata kama tutapita kwenye magumu vip? Mungu ndio kimbilio la hakii na kweli na Mungu hatupe hakma tunapo pita kwenye majaribu
@monicambuva529
@monicambuva529 7 ай бұрын
Yes kifo kipo njenje ukitumia madawa
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 7 ай бұрын
Aisee ilondotatizo la ushirikina ulivyoita nafsi yake ndoulipo muuwa mganga kamchukua apate vikomero aongeze uganga wake pole sana
@NeemaLameck-c6q
@NeemaLameck-c6q 7 ай бұрын
Umependezaa❤❤
@lucymapunda4653
@lucymapunda4653 7 ай бұрын
Maisha vita jamani ...Mwenyezi Mungu turehem wanawake tuna mapito sana
@rehemaidrisa3717
@rehemaidrisa3717 7 ай бұрын
Amiin
@halimajuma2104
@halimajuma2104 7 ай бұрын
Mm hakuna mapenzi ya dawa hapo sio kabisa buyo rafiki sasa ndio kakupora safari hii ni shogo ndio mbaya wako
@ufudhcjxc1359
@ufudhcjxc1359 7 ай бұрын
Subra kutoka kurdistan lraq Da veronica ❤unavyo simulia adiraha nimeipenda aswa Leo unanifuraisha sana😂😂
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 7 ай бұрын
Yaan anavaa huusika mpaka🎉🎉
@esnajuma3543
@esnajuma3543 7 ай бұрын
Alafu nyie mnaotuma Mcg ili mtajwe majina yenu mnakula muda wetu wa simulizi😊
@lovenessmjaka9754
@lovenessmjaka9754 7 ай бұрын
Da vero mim nakupenda sana Mungu akutunze san dad angu uzidi kutufundisha na kutuelimisha
@BintHassan-o1y
@BintHassan-o1y 7 ай бұрын
Alhamdhulillah hatimae jina lngu nalisukua leoo❤❤❤❤❤❤❤
@YacntaJohn-i7c
@YacntaJohn-i7c 7 ай бұрын
Rafiki yako ndyo adui yako rafiki yako ndyo aduii yakooo uuuwiiii
@collinstemba6040
@collinstemba6040 7 ай бұрын
Daaah ila sisi wanaume tunateseka sana 😂😂 mnatuloga mpaka tunakosa muelekeo 😅😅 ndo maana tunakufa sana wanaume hata machizi uko barabaranii most ni wanaume daah
@rehemaidrisa3717
@rehemaidrisa3717 7 ай бұрын
Bado hamjasema
@anifamashaka7680
@anifamashaka7680 7 ай бұрын
Ndio muache umalaya mnajipeleka wenyewe
@dayana5513story
@dayana5513story 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@Zainabu-q7v
@Zainabu-q7v 7 ай бұрын
Bado hamjasema Yan mmbaka mseme😅😅
@AminaMaganda
@AminaMaganda 7 ай бұрын
Umependeza sana dada❤
@LucyHaule
@LucyHaule 7 ай бұрын
Huyo shoga kabeba mume tena
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 7 ай бұрын
Hata mi nahisi
@esnajuma3543
@esnajuma3543 7 ай бұрын
Zuu anakoenda anaenda kuangukia pua, sasa utaloga mpka lini au mpaka unaingia kaburin yye angetubu TU akamrudia Mungu akasema nimekosax4 nihurumie
@YacntaJohn-i7c
@YacntaJohn-i7c 7 ай бұрын
Hii ni isidingo the need sawa lakini yn kwenda kwa wanganga ni kupoteza mda dada ungangana kwa imani yako mpka mungu asikie kingine naomba kujua kbla haijaisha hii story wale wa dada mwanzo walikua wanakimbia nyumba kwa nini pale mwanzoni kwa nini
@joymumena2287
@joymumena2287 7 ай бұрын
Ni kweli mapenzi ya dawa ni utumwa. Ndio maana toka mwanzo nilichukizwa na yeye kwenda kwa mganga.acha nione hatma yake maana uchawi unamwisho. Ila nina mashaka na huyo rafiki yake anae kwenda nae kwa mganga acha tuone hatma yao.
@sarahseraphin6822
@sarahseraphin6822 7 ай бұрын
Hongera kwa simulizi nzuri yenye mafunzo ndani yake
@DainesZakayo
@DainesZakayo 7 ай бұрын
Pole mwanamke mwenzangu
@YacntaJohn-i7c
@YacntaJohn-i7c 7 ай бұрын
Jitaidi kufupisha story dada yetuu
@lovenessmjaka9754
@lovenessmjaka9754 7 ай бұрын
Na hisi huyo rafiki yake ana mzunguka zubeda😢
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 7 ай бұрын
Niliwaza hivyo hivyo jamani, ndio maana sitaki marafiki.
@lovemwagala8259
@lovemwagala8259 7 ай бұрын
Hata me nawaza ivo jmn
@christinaabelmwaipungu-5727
@christinaabelmwaipungu-5727 7 ай бұрын
Kiukweli siwezi kuhangaikia mapenzi kiasi Icho! Duh! Mungu atusaidie sana wamama🙏
@TheresiaMyala
@TheresiaMyala 5 ай бұрын
Ayo ni mapenz yana runy dunia🎉
@naomipeter8093
@naomipeter8093 7 ай бұрын
Jmniii achana na haya maisha.mganga nilipata dawa ilikolea ila maisha ya hivi ni zaidi ya mfungwa😂Asant Yesu kuniokoa.
@NemesMasaka
@NemesMasaka 7 ай бұрын
Leo mmetuangusha sana hamsikiki
@atekahalhadi8581
@atekahalhadi8581 7 ай бұрын
Wakwanza leo🎉
@ndrikahassan1083
@ndrikahassan1083 7 ай бұрын
Nakupenda da veronica
@ClaraTemba
@ClaraTemba 7 ай бұрын
Jamani yamenikuta kama hayo hayo yanaumiza sana.
@SoprataRuwoga
@SoprataRuwoga 7 ай бұрын
Shetani hata siku moja hamuachi mtu salama.
@paulinamoti207
@paulinamoti207 7 ай бұрын
Nakupenda bure da Veronika
@SalmaShabani-p4b
@SalmaShabani-p4b 7 ай бұрын
Mhh yangu maskio tu
@YacntaJohn-i7c
@YacntaJohn-i7c 7 ай бұрын
Alafu uyu shoga anae kupeleka kw a mganga ndyo anaekuchukulia tena bwana biblia inasema jmni watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifaaa ule mda anakupiga kumbe siri zako zinavujishwa uko na shoga ako😅
@aishamfinanga3799
@aishamfinanga3799 7 ай бұрын
Duuuuhhhh hatar
@Ayshernasolo-u4h
@Ayshernasolo-u4h 7 ай бұрын
Mapnzi ya wanganga nimatabiko namajuto😅😢
@sekelamwakibete7172
@sekelamwakibete7172 7 ай бұрын
Huyo mume nae ana tamaa tuu...kila mtu hushawishiwa na tamaa yke mwenyewe. Zuu angeachana nae
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 7 ай бұрын
hata mie nimeona hivo..yuko huku na huku..anapelekwa na upepo kirahisi mnooo ni mtu wa ajabu kweli
@gracesuguta
@gracesuguta 7 ай бұрын
Huyo mume wa zuu keshathiriwa na madawa ameshakuwa zuzu,sio akili yake
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 7 ай бұрын
asipokaa chonjo mke wake atachoka kisha atamuacha aende zake na maisha yake, maana anasumbuka sana na mumewe. kazi kwel kweli@@gracesuguta
@JudithKefa-c3l
@JudithKefa-c3l 7 ай бұрын
Kweli dada kajalibiwa san
@hasnanadhiru2168
@hasnanadhiru2168 7 ай бұрын
😂😂😂😂 mbona doooooseeeeee
@HgGg-i6l
@HgGg-i6l 7 ай бұрын
Mtaongea mengi ila mbaya nihuyo lafiki kacheza dili nauyo mganga ndiomaana unambiw ukienda kwa mganga usiruusu lafiki akupeleke
@dayana5513story
@dayana5513story 7 ай бұрын
Akuna siku nimecheka kama leo😂 hii story ya zuu kuna wadada wamama wengi wanapitia saivi,ukianza njia za giza siku zote utakua mtumwa
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 7 ай бұрын
Mambo ya waganga ukiayaanza baadae unaweza kuwa kichaa
@khorima
@khorima 7 ай бұрын
Duh haya maishantunayoishi jamani Hata mimi nilijua TU maadam huyu anatusimulia Kuna mengi tutayajua na nilijua mambo hayatakaa sawa milele jamani......
@clarawilliam9959
@clarawilliam9959 7 ай бұрын
😂😂😂usikute yupo Kwa huyo shoga
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 7 ай бұрын
Utakiwi kuchoka kuroga😂😂😂 wanaume mpooo bado hamjasema mpaka msem yaan Namtasema 😂😂
@teddyurio2582
@teddyurio2582 7 ай бұрын
😅😅😅😅chwaaaaa chwaaaaa
@jessicamwasandube944
@jessicamwasandube944 7 ай бұрын
Mmh 😢
@KhairatRashid-x4q
@KhairatRashid-x4q 7 ай бұрын
apambane tu
@ashajuma2313
@ashajuma2313 7 ай бұрын
Kasheshe hii
@khorima
@khorima 7 ай бұрын
Kasheshe na nusu jamani
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 7 ай бұрын
Apo kweny ubaili nimependa😂😂
@doricehungu5817
@doricehungu5817 7 ай бұрын
Ulipo Nipo Veronica
@GODFREY-je9xq
@GODFREY-je9xq 7 ай бұрын
Jamani mtatuloga mpaka lini?
@SharifaOmary-ui8vs
@SharifaOmary-ui8vs 7 ай бұрын
Mpaka mkomeee😂
@hawaomari5533
@hawaomari5533 7 ай бұрын
Shoga kabeba mume na umbea wa kwamganga wotee kammwagia😂😂😂
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 7 ай бұрын
Mmmmmmh mtatuua jamana na hayo madawa!!
@VianaKokutensa
@VianaKokutensa 7 ай бұрын
Bado hamjasema 😂
@abdulsalim1069
@abdulsalim1069 7 ай бұрын
@@VianaKokutensa 😳😳
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 7 ай бұрын
Shoga yake kamgeuka 🤣🤣🤣🤣
@Zuhuranadadoita
@Zuhuranadadoita 7 ай бұрын
Shoga kabeba mume
@vumi8371
@vumi8371 7 ай бұрын
😂😂😂nacheka kama mazuri
@jescajohn-s2c
@jescajohn-s2c 7 ай бұрын
😂😂 nacheka lkn naumia
@jescajohn-s2c
@jescajohn-s2c 7 ай бұрын
Yote kwa yote Mungu ndiyo kila kitu
@ashleymohamed6935
@ashleymohamed6935 7 ай бұрын
Marafiki wanafiki sana😢
RIPOTI YA LEO  SOFIA VOLUME 14
44:52
Veronica Simulizi
Рет қаралды 4,8 М.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 13 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 3,4 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
RIPOTI YA LEO  HAMISA VOLUME 11
28:26
SHARE & HEAL
Рет қаралды 9 М.
RIPOTI YA LEO  FRANK VOLUME 01
23:53
SHARE & HEAL
Рет қаралды 11 М.
MISSION IMPOSSIBLE [55]
23:58
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 12 М.
🔴LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA PHIONA SEHEMU YA 09    - 17 OCT 2024
53:44
🔴LIVE: SIMULIZI  YA ELIBARIKI SEHEMU YA KWANZA JULAI 1 - 2024
53:34
BINTI MINAH - SIMULIZI MPYA
2:03:46
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 62 М.
RIPOTI YA LEO  TABU VOLUME 01
48:18
SHARE & HEAL
Рет қаралды 12 М.
🔴LIVE :RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA  HAMZA SEHEMU YA  02  - JULY 16
52:56
SIMULIZI FUPI YA KUSISIMUA: SIKU ZA MATESO, By Anko Jay
4:17:32
Ankojay Simulizi
Рет қаралды 44 М.
SIKU YA HARUSI YANGU FLORA VOLUME 01
30:05
SHARE & HEAL
Рет қаралды 20 М.
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4,1 МЛН