Jaman Tabu pole sana,, ushirikina ushaanziwa,,uyo ni chura,,jaman vijiji vyetu iv,,mtu kapata msaada na Hali yake ya ulemavu maskin,,na MUNGU kampa akili sana,, lkn watu awakuachii😢
@SabrinaJoshua-rc8kt9 ай бұрын
Tabu 🥺🥺🥺Aya majina nayaogopa sana kumpa mtoto
@gwantwajohn78759 ай бұрын
Wakwanza
@ashleymohamed69359 ай бұрын
Hayo majina shida azituishi😢
@rosemarenga8328 ай бұрын
Mungu amuweke sana Bibi yang kipenzi❤❤❤ na Babu Yang apumzik kwa amn😢😢😢
@user-zu2pj8xr7j9 ай бұрын
Uko sister verro god as blessed
@SalimaKaniki-es2zq9 ай бұрын
Tujuwane tulio lelewa na bibi kama tabu😭
@neemaneema99698 ай бұрын
Tupo wengi 😢😢😢😢
@lovenessgodfrey13349 ай бұрын
Pole sana dada
@user-zu2pj8xr7j9 ай бұрын
❤❤ forever my sister verroo
@sperabais9 ай бұрын
Aisee kweli majina mengine ni yaajabu na yanaleta majonzi pia😢
@ireneherman769 ай бұрын
Kabisaa
@user-vt1qw4lo9i9 ай бұрын
Tabu pole sana tabuuu
@jacklinechuga25699 ай бұрын
Yan kama anakigugumizi si ulipata tabu sana kumuelewa
@gracematunda25649 ай бұрын
Nimeliwaza hilo sana. Ila da vero Mungu akubariki kwani kazi yako ni njema sanaaaa
@aficiosecretarial9 ай бұрын
SAFI SANA DADA VERO UNAFANYA VYEMA KUSTORISHA
@jacklinechuga25699 ай бұрын
Mbn jina gumu ivyo itakuwa story ya mateso sana
@zahrababygarl15689 ай бұрын
Kwakweli
@carolinetalam58329 ай бұрын
Tuned 🇰🇪🇰🇪
@ericasanga56149 ай бұрын
Jamani sisi tunaona tuna shida kuna watu wana
@user-zq4wn4un5y9 ай бұрын
Pole sana jamani.
@mercymbughi9 ай бұрын
Tabu¿¿¿...…............…....🤔
@gwantwajohn78759 ай бұрын
❤
@KhadijaDaniel-zr6ll9 ай бұрын
😢😢😢😢Dah!! Pole sanaa Dada Tabu kwa changamot ulizo zipitiaa Hakika usikate tamaaa mungu yuko na wew Inshaa'allah
@rehematawalani7339 ай бұрын
NAAM tumetoka kwa MUSSA tunaingia kwa TABU HASANTEE
@user-mb2rz1vv7s9 ай бұрын
😢ndomana wengi hawapendi majina ya kuridhi daaah tabu shida mawazo mateso shida namengineyo mengi