Amina mungu nipee uponyaji wa tumbo kupitia huu mtumishi wa mungu
@reokadiajames583 Жыл бұрын
Mungu kupitia baraka ulizozitoa siku ya 28 mwezi wapili nami isinipite mimi watoto wote pia mume wangu napokea baraka kipitia mtumishi wako Elibari sumbeAmina
@sagemumbere-km1cz Жыл бұрын
Nami naomba mungu anikumbuke,akumbuke kazi zangu zote na kila kitu ninacho gusa akibariki,na abariki kazi ya mikono yangu
@carolinetoto8706 Жыл бұрын
Asante mungu 🙏🙏
@sarahkapange252 Жыл бұрын
Mungu akubariki baba
@suzanne9517 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah
@carolinetoto8706 Жыл бұрын
Ameen
@immahkisuke1564 Жыл бұрын
Mungu ww Ni BWANA,,Hakuna lisiloshindikana sifa na zikurudie MUNGU MKUU
@ejikuhafusa2584 Жыл бұрын
Ameen and Ameen
@suzanne9517 Жыл бұрын
Mungu ni mwema sana
@bulimwenguclaudine427 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu sana kutupatiya mtumishi wakeElibariki sumbe. Nafuataka mahubiri mara kwa mara kwa mtandao na yananijenga saana, ombi langu ninakijana wangu baada Kiowa mkewake akaanza zimiya yaani Kifafa yaani yamenipita kavisa fahamu Ila Imani ninayo ni kwamba kupitiya hiyi mahubiri ya mtumishi na ushuhuda ya watu mbalimbali. Mungi anisaidiye anionekaniya amponye mtoto wangu . Ubarikiwa saaana. Niko mkaaji wa Goma DRC
@linnerchepkoech9544 Жыл бұрын
Asante ,Amen mafundisho iko sawa sana
@BeatriceHaule-v7t10 ай бұрын
Aimeee
@naikekangele7117 Жыл бұрын
Nakuombae sana baba asikofu usiongipe keep up
@claudeshitindi3379 Жыл бұрын
Hakika ni Utukufu wa AJABU SANA. 👏👏👏🙏🙏🙏❤️
@roselyneisiyee1436 Жыл бұрын
Amen....Amen... and Amen....in JESUS NAME nimejiungamanisha na ukombozi wa watoto wa kwanza !
@amidjaja5695 Жыл бұрын
Mungu unavyo ponya wengine unavyo gusa wengine naomba mungu wangu umuguse kaka yangu viungo vyake vya mwili havutumiki ila nina. Imani kuwa utatenda
@judithabuko6006 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@eldahkemunto67232 Жыл бұрын
Ameen naminipone nafamilia yangu
@amidjaja5695 Жыл бұрын
Yoooooooo mungu ni mwema
@laurentndabaza9632 Жыл бұрын
Asante sana muchungaji mungu. Kwa neno lake
@judithabuko6006 Жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
@judithabuko6006 Жыл бұрын
Mungu unapo ponya wengine naomba nami uniondolee mateso yote ya kila aina kukataliwa madeni kukosa kibali ee Mungu nifungue na mm
@jofreyjackson9319 Жыл бұрын
Mungu ni mkuu sana naomba kupitia siku 3 hzi nipate uponyaji na nipate kubarikiwa ❤
@irenenanjendo7859 Жыл бұрын
Hakika Mungu unakumbuka rehema
@hanylucylucy438 Жыл бұрын
Amen
@fridah6046 Жыл бұрын
Asante yesu kwa kutufungua
@carolinetoto8706 Жыл бұрын
Ameeen 🤲🔥
@ReubenMichael9 ай бұрын
📖🙏🙏🙌🙌🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@sarahaminiel1955 Жыл бұрын
Yesu twakupenda
@justinisrael4263 Жыл бұрын
Ameni,🙏🙏
@MbabaziGlory-l1m Жыл бұрын
Na mm najiungamanisha naibadahii MUNGU usinipite uniguse
@faryndobesa7600 Жыл бұрын
Kweli hate mimi ninashujuru saana nlikuuwa na mizingo mungi nilipo fwatiya vitus ku TV kweli nilifanikiya ijapo sijatowa kitu l nitawaita tutaasiliana nyinyi mubarikiwe baba uniombeye nitokw kwa haha mambo ya kiasiyi nimenyasika saana na watch Nashukuru saana 😊
@danielle-jl6ut Жыл бұрын
Jambo Mzee ni Daniel goma kilasiku nikifata maubiri yako nalomba Mungu namiye anipe roh yenye anatumikisha kwako mimi nimuijilisti
@judithabuko6006 Жыл бұрын
Hata mm nilizaa watoto wawili inje ya ndoa bila kuujua uokovu😭😭😭😭
@judithabuko6006 Жыл бұрын
Nilizaa kabla ya kuingia kwa ndoa
@faustinesimonsimon1842 Жыл бұрын
Kwajinsi MUNGU ulivyo mpa nguvu namba mpe nguvu ivoivo na mdogo wangu Vero na mke wangu
@linnerchepkoech9544 Жыл бұрын
Nikituma sadaka na hii number ya kanisa iendi ama natumia namba gani naomba nipewe nisaidiwe jinsi ya kutuma Amina na toka Kenya
@peterkimanthi5874 Жыл бұрын
Kenya wapi kaka
@hanylucylucy438 Жыл бұрын
Mm pia nataka number ya mpesa
@amidjaja5695 Жыл бұрын
Tunaomba namba tutowe sadaka
@rehema2824 Жыл бұрын
Amen
@joycemagonze948 Жыл бұрын
Hakika sumbe wewe ni Eliya wa duniani
@joycemagonze948 Жыл бұрын
Mungu anakutumia kwa kiwango cha ajabu sana mtumishi