Nabarikiwa sana na Mafundisho yako mtumishi Mungu akubariki sana
@paskaliaelias7525 Жыл бұрын
Amina Mwl. Mch. Christopher Mwakasege na jopo lako la huduma ,hakika mimi na familia yangu Mungu ametubariki kupitia wewe
@MarryMarcell-je1bd Жыл бұрын
Mwalimu Mungu azidi kumimina mafuta ya uduma juu yako, azidi kukufanya kuwa chombo kimfahacho ktk kazi yake
@gloriamwalingo9694 Жыл бұрын
Bwana asifiwe!binafsi namshukuru Mungu Sana kwa kuwa amenitendea Mambo makuu katika seminar ya mwaka jana mwezi wa sita nilikuwa namuomba Mungu afungue tumbo langu ili nipate ujauzito namshukuru Mungu amenitendea hakika jina lake ni kuu na takatifu Mungu azidi kukutunza mwalimu Mwakasege
@elimwemamodaha3483 Жыл бұрын
Amen amen 🙏 watching from German Tupo pamoja since day one, Bwana yesu akuinue na kukutunza mwakasege na diana na timu yote kazi yenu inatubariki. Utukufu kwa Yesu 🙏🙏🙏🙏
@emanuelajoseph62 Жыл бұрын
Hongera modaha kufuatilia
@anniefrancis9923 Жыл бұрын
Very DEEP Revelation… 🙌🏾 ASANTE Bwana Yesu kwa kutupenda.
@narggdhdv765 Жыл бұрын
Amen Amen Asante kwajili ya hudumaa hii.Bwana Yesu nisaidie nikuone kwa upyaaa.
@GivenMacha-cj8lm Жыл бұрын
Amen mtumishi, kipindi Cha mwalimu Mwakasege dar es salaam ni steshen namba ngapi kwenye redioo
@carolineuronu4000 Жыл бұрын
Asante sana Baba kwa kutuweka huru kwa kutuambia ile kweli.
@miriamnaliaka7327 Жыл бұрын
Ásante YESU kwa kusema🎉🎉🎉❤❤❤
@mjumbewayesu6779 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah
@beatricechalamila1575 Жыл бұрын
Amina Mwl Mwakasege ,umenitoa mbali baba
@rosettadonald-wh8qg Жыл бұрын
Amen watching from 🇦🇪 UAE
@internationalonlineprophec47655 ай бұрын
Amen baba.
@SamwelNgomuo Жыл бұрын
Ameeen
@ananemaemanuel8751 Жыл бұрын
Yesu aumbike ndani yangu
@dynesssanga1948 Жыл бұрын
I blessed so
@jisraelel2334 Жыл бұрын
Ndani yake Yeye ninaishi, ninakwenda, na kuwa na uhai wangu;