Mimi nimemuelewa ndugai hakua na nia mbaya ila watu wameyakuza na kuyachochea na mama nae kakufupuka kuyajibu kwa ukari
@livingstonekabantega Жыл бұрын
Ndugai umekosea sana na umejiaribia huwezi kuwa mnafiki na kushindwa kusimamia mtazamo wako eti kisa Raisi atakuonaje Kwani Samia ndio wananchi? Yani unaona kumfurahisha Samia ni Bora zaidi kuliko maslai ya watanzania.
@iviejustified81092 жыл бұрын
Mimi naona siyo sawa kubishana na boss wako.... Hata iweje .... ila boss ni boss
@livingstonekabantega Жыл бұрын
Hapana anapaswa atoe mtazamo wake kwa maslai ya wananchi na sio kumfurahisha Raisi alitakiwa asimamie kauli yake kithabiti ndio kiongozi Bora ,ila ndo hivyo analazimishwa awe anakuwa mnafiki .
@luqmaanmohd972 жыл бұрын
Job ushidwe
@athumaniomari28332 жыл бұрын
Ewe mwenyezi MUNGU mkuu taifa rangu la TANZANIA ripo mikononi mwako
@mustajany6892 жыл бұрын
Kwani miaka ya 80's tulikuwa na vyama ving au hao wabunge walipigwa chini na wana CCM wenzao sjaelewa hapa
Matokeo ya msamaha wake kajibiwa hovyo sn, nadhani atakuwa amejuta msamaha kwa nn aliomba.
@livingstonekabantega Жыл бұрын
Mana yake au tafsili ni kwamba anapaswa awe anakuwa mnafiki au ni mtu wa kutoa maoni ya kufurahisha chama na Rais na sio kuongea ukweli kwa maslai ya wananchi
@ramadhanimohamed1542 жыл бұрын
Yaani huyu ndga kwenye radio hafai kuwa kifaa chochote, hafai kuwa waya, betri, transmeter,volume, twitter,equalizer wala SPEAKER,, mana akiwa SPEAKER radio ikisema ''hivi sasa ni saa mbili kamili yeye SPEAKER atasema, ''hivi sasa ni saa nane kamili Yaani atabadilisha mda tu,. mmmh ude waakoma!!!.
@johnmasanja17622 жыл бұрын
Nakumbuka alisema alienda misili akamuona mke wa yesu, 😅😅😅
@melabichidobi96722 жыл бұрын
Uliongea ukweli msamaha wanini sasa Tena nilipenda sn maana ilikuwa ukweli mtupu.
@bonithamdalangwila49882 жыл бұрын
Picp
@ramadhanimohamed1542 жыл бұрын
Ukienda chooni usisahau kopo mana ukishamaliza ile shughuli ya Kule utatokaje? Yakubididi utoke mnyoonge mana ulikurupuka kuingia chooni,. haya jisafishe nje tukuone utafanyaje tena na mwana kulitafuta mwana kulipata.
@titogodlove88662 жыл бұрын
Mwachie atetee sembe yake mana hali ni ngumu tz watoto wake watakufa njaaa!
@beatricesamwel81612 жыл бұрын
😀😀😀😀mbavu zangu mie
@yohanamsuya50472 жыл бұрын
🤭
@fababindawood83632 жыл бұрын
Huyuuu mzee leo anaongea kinyonge ha ha ha ha huyuu dawa yake kupigwa na chini ubunge hafai huwezi kumkandia Rais kwa jambo zuri alofanya hapa hakuna rais atakae kaa asikope ht angekaa ndugai pia angekopa tu.
@livingstonekabantega Жыл бұрын
Hapana kwenye siasa hutakiwi kuwa mnafiki au kusaport kila kitu Cha Rais kusa Uccm Hapana,wote ni viongozi inatakiwa watoe mtazamo tofauti tofauti kwa maslai ya wananchi
SAHIHI MBONA HAKUMKOSOA MAGUFULI ALIEKOPA KUTOKA KWA "MABEBERU" KULIKO RAIS YEYOTE TANZANIA?
@mandelamandela31502 жыл бұрын
@@raybirry3816 Aliyoyafanya Magufuri Tanzania hakuna Rais amefanya zaidi ya Nyerere tu, huwezi mlinganisha Magufuri na Rais yoyote wewe zaidi ya Nyerere.
@mandelamandela31502 жыл бұрын
@@raybirry3816 Hakuona kwa kumkosowa Magufuri ndiyo jibu lako !!! Hao waliokopa kidogo Tanzania ilkawa ya kuibiwa, wewe utakuwa Mwizi wa Mali za Umma tu !!
@benjaminjoseph17472 жыл бұрын
Watz tuache ujinga. Kama kweli Rais anakopa kwa kasi kubwa lazima akemewe. Tunayoweza kuyafanya wenyewe tuyafanye. Tanzania miaka 60 ya uhuru are you kidding me, hatuwezi kufanya mambo yetu kwa kutumiarasilimali zetu??? Na je limbikizo la madeni atamwachia nani ka kila raisi anakopa na kufanya yake. Alitimua mzigo kwa anayeingia. Hili tulitolee macho. Magu alisema yinaweza. Mama ma wewe tupe moyo kwamba tukikaza misuli tunaweza. Spika sioni kosa kwako. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
@cmantz88372 жыл бұрын
Kiukweli ndugai ulionge ukweli mtupu arafu wewe sio mtu mdogo kwa inchi yetu taifa likihalibika yie ndiyo wa kuangaliwa sasa nashangaa unajitetea nini?