🔴

  Рет қаралды 12,076

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

🔴#LIVE: STEVE NYERERE AFUNGUKA, KWANINI KAJIUZULU, AFICHUA WASANII 10 WALIOMKATAA | KATAMBUGA..
KATIKA kipindi cha 'KATAMBUGA' leo Machi 28, tumepiga stori na muigizaji Steve Nyerere, kuhusiana na uamuzi wake wa kujiuzulu kwenye nafasi ya usemaji wa shirikisho la muziki Tanzania.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 39
@evodiusmavokojoseph5021
@evodiusmavokojoseph5021 2 жыл бұрын
Namkubali sana Steve nyerere
@rashidngwawile9062
@rashidngwawile9062 2 жыл бұрын
Leo steve umeongea bwana. Pole ila kuna kheri inakuja
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 2 жыл бұрын
Kweli kabisa Steve nimekuelewa sana 🙏
@veronicaduplessis
@veronicaduplessis 2 жыл бұрын
Well said.Thanks
@fredmankaingu446
@fredmankaingu446 2 жыл бұрын
Walikosea sana walio mpiga vita steve
@zainabuhamisi576
@zainabuhamisi576 2 жыл бұрын
Kichwa sana huyu mtu
@hiland255fundi5
@hiland255fundi5 2 жыл бұрын
Kwel wenye huruma hawana bahati,leo ndio nmejua ww uko na uwezo mkubwa na kuna sehemu ulkuwa unaipeleka sanaa, lkn wasio na Mungu wamekuhukumu kwamacho ya nyama,wasamehe&waombee.
@stivo5355
@stivo5355 2 жыл бұрын
Wewe stive unasema rwanda mimi niko rwanda sai kila mahali ni music ya tanzania
@getrudamartin2409
@getrudamartin2409 2 жыл бұрын
Daah maskin umenifanya niumie sana stivu Allah anisamehe kwa kitu chochote km nilikujibu vibaya kweli hakuna aijuaye kesho yake umeniliza sana kaka angu kweli kbisa watu tunadharau sana n hatujui kesho yetu kweli kbsa mfano niki wa pili kuna mtu alijua atakua mkuu wa wilaya kwahyo anayejua kesho yake Ni Allah pekee
@philiponjalika5769
@philiponjalika5769 2 жыл бұрын
I appreciate stive nyerere for you Confederate
@whimsymaverick3057
@whimsymaverick3057 2 жыл бұрын
WHAAAAAAAT!!!!
@jacksonbiswalo8360
@jacksonbiswalo8360 2 жыл бұрын
Ninaumia sana kupotea kimuziki na Kwa Dullayo
@emmadeprincetv6133
@emmadeprincetv6133 2 жыл бұрын
steve nyerere kumbe jamaa anaakili kiasi kile
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 жыл бұрын
Steve nyerere wewe ni asset ya Tz.
@fredmankaingu446
@fredmankaingu446 2 жыл бұрын
Mpaka watangazaji wamebakia mdomo wazi
@veronicaduplessis
@veronicaduplessis 2 жыл бұрын
"Until the journalist are Left mouth wide open"
@whimsymaverick3057
@whimsymaverick3057 2 жыл бұрын
Acha Sasa kujiita NYERERE pleeeeaaase! Wewe ni Mengele au umesahau ?
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Umeongea kwa uchungu sana kiukweli
@veronicaduplessis
@veronicaduplessis 2 жыл бұрын
"You have spoken with anger,but it's the truth"
@taharamohd2515
@taharamohd2515 2 жыл бұрын
huyu jamaa kichwa sana watanzania tunakosea wap
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 2 жыл бұрын
Tent siyo Tenet..but Steve una akili sana..mtu akikupa Maskio dk 5 tu ujue umeisha..alafu yakatokea Majitu wanamuona Tivu ake hafai..Shame on them..This guy is Genius.
@ephrahimmtafya4480
@ephrahimmtafya4480 2 жыл бұрын
Kujimwambafai hakusaidii angalia madini hayo mtaweza?
@jacksonbiswalo8360
@jacksonbiswalo8360 2 жыл бұрын
Steve weka namba yko ya Account tukuchangie ufanye kitu kwaajili ya Taifa
@matukutajuma156
@matukutajuma156 2 жыл бұрын
KUNA KUNDI MTU ANA KANDAMIZA VIPAJI VYA VIJANA WENZAO VISIIBUKE
@jacksonbiswalo8360
@jacksonbiswalo8360 2 жыл бұрын
Steve umeongea Kwa mapana xna hd nimeumia maana na mm nilisikiliza upande mmoja nikaona wapo sawa ila sasa nimekuelewa.Pole xna kaka ila jipe Moyo Mungu atakufungulia milango mingine
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 жыл бұрын
@Jackson nyie ndio mnaolishwaga maneno ya uongo na mkayakubali ndio nyie mliochangia kuuwawa kwa MAGUFULI Raisi wa ukweli ambae alikuwa tayari kufa kulikoni kuwaongaza watanzania kwa njia ya uongo na kuongopea kila mwaka eti Tanzania 🇹🇿ni nchi MASIKINI wakati sio kweli onana hasara yake ya kupokea kila uongo unaolishwa eti Magufuli ni dikiteta na ni muuwaji wakati sio kweli sasa jiulize kwanini BWAWA LA UMEME limekwamishwa? Na kwa taarifa yako ndio imetoka hiyo tena kwa makusudi
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 2 жыл бұрын
Watakukumbuka wallah wanakuchukulia kichekesho nakujifanya wao wamesoma ila wewe ni mtu muhimu
@stevenruhunga3677
@stevenruhunga3677 2 жыл бұрын
Ndomo ndo kaanzisha hii vita yakumpinga Steve Nterere
@fredmankaingu446
@fredmankaingu446 2 жыл бұрын
Kweli kabisa Domo ndilo lilianza kumpiga vita mwenzake na hata hamfikii kiujanja wakujieleza, lakini ni mama Samia atumie hichi kiumbe
@athumanindyema2302
@athumanindyema2302 2 жыл бұрын
Nani aliesikia kam mm mwishoni mtangazaje anuliza kame ondok?
@yusufsong9158
@yusufsong9158 2 жыл бұрын
Awataki utoboe😂😂😂😂😂
@veronicaduplessis
@veronicaduplessis 2 жыл бұрын
"They don't want you to reveal the truth 😂😂😂😂😂"
@shinipapaya846
@shinipapaya846 2 жыл бұрын
Eti msemaji mstaafu 🤣🤣🤣🤣
@ephrahimmtafya4480
@ephrahimmtafya4480 2 жыл бұрын
Dah? Majungu always hayajengi Dhaabu imepotea hiii
@amanikillo5529
@amanikillo5529 2 жыл бұрын
Kwendra
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior 2 жыл бұрын
TIVUAKE UMEELEWEKA SANA. NA UKO VIZURI! ISIPOKUWA KWA KUWA NI COMEDIAN UNAONEKA HAUKO SERIOUS. ILA KI UKWELI BINAFSI NIMEKUELEWA.
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 2 жыл бұрын
Pua, pua, pua🤣🤣🤣🤣
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 2 жыл бұрын
ametema madini haswaa
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 2 жыл бұрын
.
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 30 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 12 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Uelewe ulimwengu wa Roho Ufanikiwe katika Maisha I
30:56
Reality of Christ Church
Рет қаралды 18 М.
1. MBINU ZA KUSHINDA VITA VINAVYOKUJA VYA KIFIKRA KATIKA MIFUMO || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:  MBEYA
2:36:56
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 22 М.
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 30 МЛН