Mungu anisaidie Nami Nipate Ufahamu wa Rohoni Ili Kuwa sawa Katika Ndoa Yangu Pia Nimejifunza Kuusu Nguvu za Ushuuda Bwana Nisaidie
@wilbardnnko22594 ай бұрын
Nami naomba Mungu unifungue ufahamu wangu wa rohoni.Amen
@AreggAregg-u2h4 ай бұрын
Ee Mungu naomba unifunguwe ufahamu wa rohoni pamoja nafamilia yangu 🙏🙏🙏🙏
@loreenmwambinguloreen73734 ай бұрын
BWANA asante kwa ufunuo huu ili ufahamu wangu ufunguliwe na kunitolea hofu nipate kudumu uweponi mwako JEHOVAH MUNGU 🎉🎉🎉🎉
@noellaniyonizeye16464 ай бұрын
Asante Yesu kunigusa kwa leo hii ilikuwa ni siku yangu thank you Lord ❤❤❤ Mbariki Bishop Elibariki Sumbe na umpe maisha marefu sana ❤❤❤
@elizabethsimbenga47734 ай бұрын
Hakika Mungu leo mimi nakili kufunguliwa ufahamu wangu na kizazi changu chote
@henagemasulu50514 ай бұрын
Eee!Yesu nakushuru sanaa kwa Neno hili la Ufahamu wa rohoni .Mungu msaaaidie mtumishi wako@ Askofu Ellibariki Sumbe Mafunuo mapyaa kila wakati kwa ajili ya roho za wengi.Amen
@NjunaelSwai4 ай бұрын
Tayari nimejiunganisha na madhabahu ya vuka yordani amen
@chrisskissezzy48984 ай бұрын
🧎♀️ Ewemungu wangu mwanao nipoapa baba naomba unifunguwe ufahamu wangu Mimi pamoja na Familia yangu yote katika jina la yesu Christo 🙏🙏🙏👏👏👏
@AnethAMshindi28 күн бұрын
Amina Baba naomba Mungu anifungue ufahamu wangu katika jina la Yesu, Amina.
@HelenaMbedule-fd9yq4 ай бұрын
Mungu naomba nifungue ufahamu wangu wa rohoni
@jeanineharerimana42984 ай бұрын
Emungu baba Asante kwa neno lako mubariki mutumishi wako baba namimi ninaomba unifunguwe ufahamu warohoni Amen
@serapiaminja34324 ай бұрын
Ahsante Yesu kwa ufunuo huu. Ktk jina la Yesu nimefunguliwa ufahamu wangu wa rohoni
@yalalaambobe95284 ай бұрын
Bwana Yesu kristo uniponye kwa magonjwa ya ufahamu wa rohoni nishinde Mungu wangu
@millicentrabera4 ай бұрын
MUNGU nifungue ufahamu wa rohoni kuniponya na magonjwa sugu ktk maisha yangu
@SyellaSteve3 ай бұрын
Somo ni nzuri mno Asante yesu na umbariki mtumishi wako huyu
@Happy-rm7gs4 ай бұрын
Nakushukuru sana bwana wetu YESU kristo kwakunionekania Siku ya Leo umenitowa pabaa sana sifa nautukufi nizako bwana
@KM-hx8zy4 ай бұрын
Baba Mungu akupe Miaka Mingi ya maisha kabisa, tunapinga kukuchukuwa mbele ya muda...
@JustinaSamuel-zd6rq4 ай бұрын
Eee Mungu unifungue ufahamu wa roho nipate uponyaji pamoja na mtoto wangu anae sumbuliwa na tumbo mara kwa mara tukapata uzima kwa jina la yesu
@adventurio-co4ro3 ай бұрын
Asante Mungu nafunguliwa ufahamu wa rohoni kwa jina la yesu
@ZacharieTwemeremungu-m1n4 ай бұрын
***NASHUKURU SAAANA YESU KRISTO KWA UPONYAJI WAKO AMEEEN AMEEEN AMEEEN!
@ZacharieTwemeremungu-m1n4 ай бұрын
***AMEEEN AMEEEN AMEEEN!
@carolinetoto87064 ай бұрын
Amen asante Yesu mwenye nguvu 🙌🙌🏻👏🏻🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇺🇬
@FilomenaFernamdo3 ай бұрын
Mungu nisaidie umeme wangu urudi nizidiwe na nyenge samahani mungu 🤰 nisaidie yesu nizae mapasha 2 yonte wanawake
@alfredusayo4 ай бұрын
Amen mungu anifungue ufahamu na anifundishe ufahamu ya rohoni Amen na hofu ondoka katika jina yesu
Eee mungu nisahehe zambi zangu zote nimefanya nikiwa mtoto zababu mtu akiwa mtoto anafanyaka mambo mengi sana asante kwakusikiliwa maombi yangu Amen 🙏🙏🙏🙏
@neemabyaruhanga82204 ай бұрын
Very true may God help me too
@FilomenaFernamdo3 ай бұрын
Mdoto baya sitaki tena kuonta kwazia Léo mungu nisaidie
@LilianKwamboka-k2w4 ай бұрын
Baba nifungue ufahamu wangu
@NjunaelSwai4 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZacharieTwemeremungu-m1n4 ай бұрын
*** "RÉVÉLATION" DE LA PAROLE DE DIEU AMEEEN AMEEEN AMEEEN!
@KingBabaloho4 ай бұрын
Jina la yesu libarikiwe
@FatumamlongoKarisa4 ай бұрын
WOW amen
@FilomenaFernamdo3 ай бұрын
Namimi nikae yusana mumewangu anipede sana anipe ela kabila kusita nipotayar kufukuliwa Mimi Léo mungu na sumbe