Kwa kweli mahali nchi imefika pabaya sana nauchukia uharamia wa uchaguzi wa tanzania
@benedictmrisho18003 күн бұрын
Kufanya kazi kwa mujibu wa sheria ni muhimu.
@Powelltz8 күн бұрын
Nimecheka sana aisee.. mpaka nimeogopa, waziri ameahindwa kabisa huu mdahalo, amekosa mambo mazito ya kujitetea aisee, dah. ccm wasipoangalia wanaweza kuporomoka mpaka aibu
@sophiamalinga184 күн бұрын
Nimependa jamaa wa ACT anajieleza vzr sana
@sophiamalinga184 күн бұрын
Mmepiga wapi
@mashakalukinda23509 күн бұрын
Nimateso makubwa tukonayo wantanzania
@alexmduma62786 күн бұрын
CCM Oyoooooo
@sophiamalinga184 күн бұрын
Swali na majibu ya profesa haviendani
@FocusmachumuMwizarubi9 күн бұрын
Boniface nimekwelewa sana Mimi huku nimegombea uenyekiti nimeipata kura 260 na mwenyekiti wa ccm kapata kura 26 Cha ajabu ccm et kashinda huu si ujinga kabisa
@Msemakweli0589 күн бұрын
Sera gani ccm mnayo ya kueleweka kwa watanzania mpaka mchaguliwe
@albertinamichael61239 күн бұрын
Maprofesa wa jalalani hao.
@MathiasSongoyi7 күн бұрын
Inshu kubwa hapa ni kuungana vyama vyote vya siasa,tusitengane tunapoingia chaguzi zinapofika.tuachane na ubinafsi tutangulize matakwa ya watanzania,maana wameyumbishwa na ccm kwa kuzuiwa kwenye mikutano kuwa upinzani utaleta vita wakati wao ndo wanaratibu vurugu.
@ObadiahMutambo7 күн бұрын
𝑷𝒓𝒐𝒇𝒆𝒔𝒔𝒐𝒓 𝒘𝒂 𝒌𝒊𝒑𝒖𝒎𝒃𝒂𝒗𝒖 𝒉𝒂𝒊𝒋𝒂𝒘𝒂𝒉𝒊 𝒕𝒐𝒌𝒆𝒂
@benedictmrisho18003 күн бұрын
Elimu kwa wananchi haiishi tu? Katiba ni mali ya wanasiasa?
@francissimwinga-gb2vd9 күн бұрын
Ccm sio chama Cha siasa Tena wakurugezi wa nchi hii taifa mnako lipeleka baadaye mtakuja kunuta na tutendaje twenu taifa likiharibika tutanza na ninyi
@benedictmrisho18003 күн бұрын
Hapo kuna mtu kwa ndani si anachokitetea na mnajua fika alikuwa mwanachama wa chama gani. Ilikuwaje akawa ktk chama anachikitetea kwa nje nje tu mnafahamu pia. Kumbukeni kuna "umalaya wa kisiasa".
@LesiJama9 күн бұрын
Wakili Madeleka kaongea hoja ya misingi sana hatuwezi kufanya uchaguzi vs jeshi la polisi na usalama wa taifa kama ccm imeshindwa kushindana na vyama vya upinzani bora waachwe watawale kwanza siku wakichoka au wananchi wakichoka wataamua badala kumwaga damu za watu bure
@benedictmrisho18003 күн бұрын
Njaa ikikumbana na chakula ndio utaijua tabia yake mwenye njaa.
@laizerstudio57906 күн бұрын
jamaa wa ACT anatema madini sana, few yrs laiter CCM watamuiba afu anakua kama uyo ng'ombe jike apo alievaa miwani
@mashakalukinda23509 күн бұрын
odemba ww nikamanda
@melkizedekmarandu57647 күн бұрын
Wa kwanza kwenda motoni ni shetani na wa pili ni mwanasiasa hassa wa chama tawala.😂
@benedictmrisho18003 күн бұрын
Tufikirie kizazi kinachokuja tunakiachaje? Hapo kila mtu mzima ajihoji nafsini mwake
@ulimbagakipole39719 күн бұрын
Hivi Pro. Mkumbo mara amesahau alikotoka?. Kwamba yeye ni mpinzani pure. Kwani wana CCM Kindakindaki wako wapi mpaka wanampa huyu mhamiaji?. Duh.
@GeorginaAnatory-u1z9 күн бұрын
mbona barabara ya matosa kwenda temboni awaweki lami tunapata shida na bajaji ni buku na boda 2000 kwa buku jero
@ulimbagakipole39719 күн бұрын
Mhamiaji anakwepa maswali?. Ana haki haijui CCM, waliamini Upro .utamsaidia kumbe shida tu.
@benedictmrisho18003 күн бұрын
Utafiti bila kuangalia sheria inasemaje utakuwa utafiti kweli? Chama ambacho makada wake ndio waendesha nchi watajitofautishaje na madhaifu ya uendeshaji?
@GeorginaAnatory-u1z9 күн бұрын
uku matosa mmetumia garama kubwa kuchimba barabara mmeweka vifusi vingi kuanzia mwezi wa nne mpaka leo ilisimama mda na mvua ikianza kunyesha inakomba udongo wote amuoni kama iyo ni hasara
@DerckSevelin9 күн бұрын
😂
@FocusmachumuMwizarubi9 күн бұрын
Wanafiki utawajuwa tu cheki anavyo jinga'ta ccm wajinga sana tukienda kwa haki tu awawezi 100%na ndiyo maana wanatumia nguvu kubwa