JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@africanuskimario1409 Жыл бұрын
Hongerababa
@EliudMahali-v9d3 ай бұрын
@josephatbwakome5711 Жыл бұрын
Ukiwa umesoma na kuelewa vitu unakuwa na full confidence, Lowasa hakukosea kusema elimu elimu elimu.Congratulation wakili msomi Peter Madeleka
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Uyo bangi zinamzumbua
@fatmakiponda8170 Жыл бұрын
Ama kweli ukimuamsha aliyelala utalala wewe...
@leonardkinanda3284 Жыл бұрын
Hongera kwa spirit ya kuwapambania watu wengine ! Mungu anawapenda watu kama wewe Doctor peter
@salumntulo1589 Жыл бұрын
Unaweza kuta ni usalama wa taifa
@Hellen-i2y7 ай бұрын
Tunakuheshimu na tunakupenda kwa kutumia taaluma yako kutetea watu.
@SimonMwita-k8s6 ай бұрын
Huyu anasitahili kua kiongozi wa bunge atete wanainchi
@thomasgogomoka6404 Жыл бұрын
Very inspiration, natamani nikasome sheria, kwa manufaa yangu na jamii yangu. Huyu ndiyo maana halisi ya wakili msomi.
@gasperswai6963 Жыл бұрын
Hongera kaka! Hiyo ndiyo raha ya kuelewa mambo!!! Hadi rahaa!! Kaka unajua mambo mkuu!!!
@marianmartin7483 Жыл бұрын
Kichwa kizuri sana hiki. Safi sana. Madeleka akili nyingi.
@josephgitagano4533 Жыл бұрын
Excellent Advocate.
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
INCHI TAMU IKIWA NA WATU KAMA HAWA❤❤❤❤❤❤
@mashannapapaaa9582 Жыл бұрын
Hongela Sana
@felixsamford4168 Жыл бұрын
Huyu br yuko vizuri sana zaidi ya sana tanzania tunahitaji vichwa kama hvi
@JacklineAviannah Жыл бұрын
Wow so good 💪🏻💪🏻
@GibsonNtamamilo6 ай бұрын
Hiki kichwa ni muhimu sana kuingia Bungeni kikitokea Jimbo lolote. Wanaokubali hili wekeni like hapa.
@MwajSibonja-t5o5 ай бұрын
kweli kabisaa
@noelkipera6581 Жыл бұрын
Jamaaaa linajua hadi raha respect madeleka
@EleziaNzowa-el7gi Жыл бұрын
Yaa inaleta raha sana kuwa na watu waelewa kama hawa katika nchi yetu, safi sana wakili madeleka mungu awe nawe daima
@michaelmabula7444 Жыл бұрын
Yupo na kazi maalumu
@wanatangawaja6397 Жыл бұрын
Mwenyezimungu akuzidishie
@bonifasimichael1320 Жыл бұрын
Upo sahihi wakili.mungu amewaandalia makao mazuri pamoja na mh. Mwabukusi
@EmmanuelElias-b4b5 ай бұрын
Asante sana kaka angu kwakusema ukweli na BIBULIA itakusimamia maana Haki zako zimeifaziwa na ao wasamee bule awajui walitendalo kazi Yao nikwenda kinyume na kazi zao Asante kaka kwa kuwapa ukweli na Mungu akubaliki.
@HarunaRashid-c5i Жыл бұрын
Uko vizur sana hongera
@ABASSISELEMANI4 ай бұрын
MUNGU akulinde akupe maisha marefuu🎉🎉
@_don777 Жыл бұрын
Kama umeona Genius Gonga like
@enockmbise8 ай бұрын
Kweli wangu.
@ManaseJubilate-kk2gz6 ай бұрын
Hiki kichwa ni shida,alie nao mpaka alipwe stahiki zake,Vijana someni mpaka ukutane na kibao kinachosomeka no School ahead 🙌
@SalmanFarhad-j2h5 ай бұрын
😂😂😂😂
@godsson5954 Жыл бұрын
nilikua sieleag mtu akiijita wakili msomi sasa huyu ni wakili msomi pasipo kujiita hayo maneno HUYU NDO THE REAL WAKIL MSOMI
@emmanuelsitayo1977 Жыл бұрын
Brilliant discussion learned counsel.
@Wezeshwauweze Жыл бұрын
Mungu akulinde peter
@NdeshaPaul-uz9bw Жыл бұрын
Wakili mahiri zawadi kutoka kwa Mungu hongera sana mtoto wetu na wakili wetu. Mungu akubariki sana na akuongoze daima maana uko vema kabisa mbele za Mungu na walimwengu. Binadamu hawakuelewi isipokuwa wale Mungu atakaowafunulia. Ni mtu wa pekee mwenye karama ya pekee. Ni mkweli na muwazi ndiyo maana upo shujaa. Mungu azidi kukulinda akupe baraka nyinginyingi sana Madereka unaaminika hata anayekutazama TU anakuamini kabla hujaongea naye. Tuanazidi kukuombea kila la kheri katika maisha Yako.
@GalusChikawe Жыл бұрын
I'm on ..
@bensonlameck6348 Жыл бұрын
Smart sana
@dorcasdavid22473 ай бұрын
M/Mungu Atakusimamia kk Peter Madeleka,,kwa Kazi Nzr Unayofanya
@dennisezakiel33806 ай бұрын
Ukijua sheria raha sana
@SephaniaMsigwa6 ай бұрын
Kusoma rahaa jaman🎉🎉🎉🎉❤❤
@liberatusulaya2269 Жыл бұрын
Jamaa anajikubali Kwa fact sana, bigup msomi
@samwelkessy9129 Жыл бұрын
Safi sana kaka
@thomasgogomoka64045 ай бұрын
You're a genius
@hassanjalikazi67544 ай бұрын
Kaka mungu akulinde sana utakua mtumkubwa sana kaka
@hamisinamulya8810 Жыл бұрын
Bright man,mungu akubaliki
@michaelmwalimu6057 Жыл бұрын
Wana sheria bwana
@RehemaKiangi-nz9gt4 ай бұрын
Hongera sana wakili msoni P MADELEKE
@ShabaniSudi-d1x Жыл бұрын
Brilliant man
@MelisaMerdad4 ай бұрын
Mungu akutanguliye
@mgegebrand Жыл бұрын
Salute kwako Wakili
@musanzowa8988 Жыл бұрын
Wale wote tuliosoma Luka 3:14 mikono juu!
@Kawamala915 ай бұрын
Luka 3:14 [14]Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
@ChiefNgosyemo-l6i5 ай бұрын
Mungu akupe maisha malefu madeleka
@abelclement89835 ай бұрын
Nakumbka sana tukiwa somewhere kama part time workers, msimamo wako naulewa SS, bravo🎉🎉🎉🎉🎉
Safi sana Wakiwa 10 kama Hawa Nnchi lazima ibadilike
@jacobpatrick7936 Жыл бұрын
Nikachukua mkoba wangu nikaondoka zangu,hii kauli imekaa ki mamlaka sana
@DonardSalum3 ай бұрын
Hatari
@budaganzagabulu17565 ай бұрын
Good 👍
@King_Of_Everything Жыл бұрын
Knowing the law is a part of protection.✌️
@simontamba2189 Жыл бұрын
Thats why they don't teach from childhood Coz they will not rule us
@MichaelMahizi-r2d4 ай бұрын
Hongera tupambanie kaka
@Paulinawilliam-n8f6 ай бұрын
Nami nimekupenda hii daah had raha ,, Mungu aendelee kukufunika wasikuone wewe ila wakutane na malaika wa zamu
@HadijaJoseph-d1g5 ай бұрын
Kweli jeshi la police sikuhizi yani nikama jehanamu safi sana kaka hiyo sio kazi lana
@HadijaJoseph-d1g5 ай бұрын
Hongela kaka mungu tubaliki mpaka nakizazi chako ubalikiwe unjuwa haki za binadamu sio Police wa siku hizi wanatumika vibaya maana imekuwa kalaha kupiga watu wao kuteka watu wao kuuwa watu wao . Kubaka wao yani imekuwa jeshi la police. Ni kama wayahudi jehanamu yani mpaka sasa hatuna imani napolic tena wamekuwa izraeli mtoa loho
@meckitilidatushabe Жыл бұрын
Big up bro
@amswhlnd5 ай бұрын
Madeleka Respect kwako kaka uko vzr sana
@SalumSeiph-rn6ho5 ай бұрын
Dah hatari sana...Mungu tusaidie tujue kusoma
@HamisSaid-uc5jm Жыл бұрын
Boss nimekukubali sana natamani niwe karibu nawe nijue mengi
@raurentkorosso20143 ай бұрын
Safi saaana
@YusuphSadallah-um4sp Жыл бұрын
Fact ✌️
@AbdallahKimolo Жыл бұрын
Kama unajua ni raha sana hongera zako
@PtransJulius5 ай бұрын
umetisha kanda ya ziwa.
@JuliusMtunguja Жыл бұрын
Unafaa hata kuwa mbunge ukatetee wananchi jimboni mwako. Hongera.
@kiazikitamu3985 Жыл бұрын
Huyu kapitiliza vyeo vyote Ana akili ya kizidi cheo cha Rais na sio lazima uwe mbunge kutetea wananchi
@GodfreyErene5 ай бұрын
Mungu akutunze madeleka the man of God
@asalitamu5182 Жыл бұрын
Safi
@alexurassa Жыл бұрын
Nimekuelewa sana madeleka
@godsonkilua7738 Жыл бұрын
Nakukubali sana wengi wanakosa haki zao kwa kutokujua sheria , Mungu akutangulie ktk huduma yako
@starjay30527 ай бұрын
kweli police 👮 sio kabisa kama mimi siwapendi police na naraani ata siku mwanangu akiwa police yani mimi sio baba yake police baada ya kusaidia watu wao wanakandamiza watu