Allah akupe pepo yake bila ya hesabu kishki akupe umri mrefu wewe na familia yako na ukoo wako wote allahumaaminnn.
@amrandahir23512 ай бұрын
Alhamudullilah I have the best dad.Allah akulipe babangu.shukran sana sheikh.
@MwanamisiJey2 ай бұрын
AllahuAkibarr khutba imenigusa Allah akubarik sheikh
@bintsalimalbimany2872 ай бұрын
Asante Sheikh Nurdiin Jazakallah kher 😍😘
@jamilamohamed83762 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah. Mawaidha mazuri Sana. Allah akulipe kwa nasaha nzuri unazo tupa sheikh wetu. Mada hii kwa sote tuwe pia tunawaoensha watoto wetu. Wengi Wa watoto wetu Wana dharau Sana wazazi wao haswa wakiume. Kina mama tujitume tuhakikishe watoto wetu watupende sisi mama zao na baba zao. Kwa Hakika waume zetu Wana majukumu mazito majumba ni kwetu. Allah atupe Kila La kheri kwenye ndoa zetu. Ameen
@BarakamusaNyanda-x7z2 ай бұрын
Mwenyezimungu akupe umrimrefu maana kuna watu wanadhani baba simzazi Kari zawo kuwalaumu baba zawo Kwa maneno ya mama zawo waliyo lishwa inshaallah umenifumbuwa macho shakh wangu
@bintsalimalbimany2872 ай бұрын
Mashallah Nataman watu wote waione hii Hutba jaman🥺😢😢😢😢Love Ma and paa😍😍😍😘
@missmoona44972 ай бұрын
Sambaza kweny magrp yoote itasidia kienea kila muislam akaipata
@TitoYasini-n9u2 ай бұрын
Sheikh shukran sana khutba imenigusa
@KishkitvAhmad2 ай бұрын
Masha allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 allah akupe umri mrufu wenye Baraka na manufa.
@DjumaAsha2 ай бұрын
Ma sha Allah Khutba muhim mnoo Allah akubaarik Shekh sina hata lakusema Kwa Umuhim wa hiii mada Hakika Allah atuhifadhie Wazazi wetu na awarehem waliotangulia Awajaalie Kaburi zao ziwe bustani miongoni mwa mabustani ya peponi Kwa huruma wake Jazaakallahu khayr shekh nurdin Kishki
@ummuhammad75712 ай бұрын
@@DjumaAsha اللهم آمين يارب العالمين
@AbbasSalum-d1k2 ай бұрын
ALLAAAHU AKBAAAR ALLAH AKUHIFADH SHEIKH NURDEEN KISHK
@asmaadnan3672 ай бұрын
Maashallah sheikh wetu kipenzi chetu Allah Akulipe kheir, Pia akupe umri mrefu wenye manufaa uzidi kutuelimisha
@AbdulAlly-f1xАй бұрын
Allah akukutanishe na bwana mtume Muhammad s,w,s sheikh nurdini kishki
@beautyandfashiontipsforbot45242 ай бұрын
Baba nikllakitu katika familya wengine ni ma baba
@NASRIYAHAROUBJUMA2 ай бұрын
❤mashllh
@biangwatv.12232 ай бұрын
ALLAAH AKULIPE KHERI KWA UKUMBUSHO MZURI ULIOSAHAULIKA. AAAAMIIIN
@salmaalkyumi60302 ай бұрын
Barakallah❤
@zawiaissa89122 ай бұрын
😢 subuhanallah asante sana shekhe kishiki hakika nimejifunza
@halimamfaume19252 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤❤❤❤
@Juliusramadhan-f2e2 ай бұрын
Alhamdullah shekh ameen 👏🏻
@HattadxbHatta2 ай бұрын
Shukran sheikh
@hasnakid2 ай бұрын
La ilaha illa llah 😢
@hamisikanengene85942 ай бұрын
Mwamba wa miambani huna baya Allah akupe siha na afya njema
@HadijaSilimu2 ай бұрын
subuhanAllah jazakallahu haila Allah akuhifazi
@AminaKassim-ni9wd2 ай бұрын
Assalam alaykum shekhe ma'shaallah mawaidha mazuri mno ila naomba kuuliza ata ukiwa mtoto wa njee ya ndoa maana kama mm nimezaliwa nje ya ndoa aalafu akunilea kiukweli namjua baba angu lakini kiukweli sina mapenzi na baba je nnaukumu gani kwa Allah
@BiiraAnifa-qn1dd2 ай бұрын
Walaikum Salam ww
@meowzna2 ай бұрын
S.A.W🙏
@salmaalkyumi60302 ай бұрын
SALALLAHU ALAIHI WASALAM ❤❤❤
@dimitripayet93062 ай бұрын
Mimi naomba record ya swala ya leo
@eshasaid32582 ай бұрын
Mashaaĺah❤❤❤❤❤
@muazizamuindempamba33092 ай бұрын
Assalam aleikum masha allah
@hasnakid2 ай бұрын
Waalykum salaam warahmatullah wabarakatuh
@MamahetuChikuti-mp5lj2 ай бұрын
Baba wote sio baba Bora kuna baadhi yao hawatekelezi ata nusu ya majukumu,majukumu yote waachia kina mama, sheikh wamama wengi wapambana Kwa ajili ya watoto wao,mtoto kumkana babake ni tabia aliyoijenga baba toka mtoto ni mdogo,mtoto kawaida ujua tabia za wazazi wake km ni mdogo mpaka akifikia miaka tisa uwa ashajua tabia za wazazi lkn kutamka haezi sema sasa kitendo cha kumkana si kuwa mama yuwafundisha watoto
@mutaladjasmini48152 ай бұрын
😢😢😢eeeh Ya Rabbin
@سميرهكينيا2 ай бұрын
Amiin Amiin
@bentybenty23432 ай бұрын
SUBHANALLAH 😢
@MwinyikomboAli-u4k2 ай бұрын
Baba wengine hawana muda wa kungalia familia zao zaidi ya kukesha bar na gest na makahaba he unamsemeaje hugo baba shekhe
@aswedibakari29912 ай бұрын
Sasa shekh mie naomba ufafa nuzi kitokea baba aliwatekeza family mzima ana kudoka inchi yengine na kunzisha family akiwa mke wangu ni mama yetu akumuacha je huyo baba kwakipindi cha miaka zaid ya kumi ata kutudumia kifedha atupu je akija kulud sis tuna fanyaje au anataka msada akiwa mambo yake ayapo sawa ila mama anakataa tusipe inakuwaje apo
@DjumaAsha2 ай бұрын
Atabaki kuwa baba kama gisi mama anabaki kuwa mama Allah atuhifadhie Wazazi wetu na awarehem waliotangulia
@subbralssasubeerlssa71042 ай бұрын
Baba wengine hawajari watoto mke niwandoa rakini mkotengana mnakuwa paka nachui hatawatoto hawataki uyo unamueka fungugani uyo shekhe
@NeemaKisingi2 ай бұрын
Shekh sinamengi ila naomba unitafute limenigusa hilo
@ummuhammad75712 ай бұрын
😢😢😢😢
@BarakamusaNyanda-x7z2 ай бұрын
Mwenyezimungu akupe umrimrefu maana kuna watu wanadhani baba simzazi Kari zawo kuwalaumu baba zawo Kwa maneno ya mama zawo waliyo lishwa inshaallah umenifumbuwa macho shakh wangu
@KishkitvAhmad2 ай бұрын
Masha allah from Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 allah akupe umri mrufu wenye Baraka na manufa.
@AishaNduwimana-yj5jo2 ай бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh vipi Hali yak ya Sheikh muhadhir wakimataifa niipi hukm ya baba kam huyo?
@hasnakid2 ай бұрын
Aameen
@hasnakid2 ай бұрын
@@AishaNduwimana-yj5jo 😅Huy ni Kishki wa Mozambique