asalam aleykum ustadh..shukran ila ungetuelmisha ki contents> 1-Kuumbwa kwa majini 2-Historia yao fupi hadi wakaangamizwa na Iblis kupatkana 3-Wanaishi Miaka kama mingapi uhai wao na wanaishi wapi (maisha yao ujumla)- 4-Aina za Majinni 5-TAHADHARI ..MARADHI na TIBA za kuhusiana na majinni wa Allahu Ahla