Inshallah mungu akupe Maisha marefuu usthadh mazinge
@ibrahimhassani62884 ай бұрын
Allah akulinde sheikh Mazinge. Nilikutambua Tanguy nikikua kitoko kidogo nikua Nairobi Kenya kalifonia na kiwanjacha cha kamkunji (Nairobi) mihadhara ikikua sai Alhamdulillah nishakua MTU mzima lakini bado Nakurambua Sana Kwa sababu ya kzi ya daaaawa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Ismah-p4jАй бұрын
Masha'allah namu penda sana sheikh mazinge lakini niko mkongomani sijui kama nta pata bahati yaku muona..alafu allah amupe maisha marefu. Na akifa mwenyezi mungu amu jalie jannah tul firdausi
@al-aminalihamad1431 Жыл бұрын
Natuma Salamu Kwako Sheikh Mazinge Na Familia Yako. Namuomba Mwenyeezi Mungu Akupe kila la kheri Duniani Na Akhera.
@amourmtungo6232 жыл бұрын
🤔You are a joy to watch Mazinge. Unafurahisha kabisa tena kwa ushahidi sio maneno matupu. Asante 🤝
@barakamugiraneza77748 ай бұрын
Tunakuombea mungu akupe maisha malefu na akupe pepo yake
@alibwanaheri64932 жыл бұрын
MaShaAllah sheikh Mazinge,Allah akjaalie kheri na umri mrefu uzidi kuifanya kazi ya Allah In Sha Allah
@GordienNdizeye-sf3jt Жыл бұрын
Sheikh wetu nakupenda Sana natamani kukuona ishaallahu Mungu akipenda tutaonana n'a kupenda sana
@AminaPongwa2 ай бұрын
Allah akujaalie Pepo ya daraja la juu kabisa,,, Firdausi
@kenya8702 жыл бұрын
Allhmdhllh najivunia kuwa misilamu na ninaipenda ndini yangu
@ashrafsharif8699 Жыл бұрын
Allah akujaaly iv iv
@AllyGrefier-ee2yq Жыл бұрын
Pole sana muzazi wangu pigania dini ya mwenzimungu utalipwa mbinguni
@Musasaidi-ts1eo Жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu sheikh
@BabaMaidah22 күн бұрын
Mungu akupe maisha marefu kuilingania dini inshaalah
@bicheatijafaqui681711 ай бұрын
Sheik Professor Massingue god blessyou
@mengishabani80612 жыл бұрын
Mungu akuzidishie maisha malefu
@fatmajuma2940 Жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu wenye kheri na uendeleee kuipigania dini ya Allah tuko pamoja tunakupenda pia
@mohamedrokaz5272 Жыл бұрын
We love you most ustad mazinge as kenyans
@nathanichemelako79832 жыл бұрын
Mazinge na hao wachungaji wote ni wapotoshaji yesu siyo Mungu na Mazinge kuhusu yesu anawapotosha
@karaoglan94442 жыл бұрын
Nathan unasemaje??
@kuruthumabubakar39512 жыл бұрын
Shekh mazinge mungu akupe umri mref uzidi kussidia wasiokuw na din naitwa kulthum abbakari Toka cngida
@LadenNdegeАй бұрын
Allah akujaalie mwisho mwema
@godblessmasiganijohn Жыл бұрын
Yesu alikuwa mwana wa Mungu kazaliwa na mwanadamu mwenye character na vigezo vyote vya kibinadamu, alisikia Maumivu, alijaribiwa, alisikia njaa, alilala yote haya yalifanywa makusudi ili amkomboe mwanadamu, na huyo mwanadamu asipate kisingizio kuwa aliyoyafanya kayafanya kwa kuwa yeye ni tofauti na sisi. Alivaa mwili wa kibinadamu ili njia aliyopita nasi tuifuate
@Omrankasiga6 ай бұрын
Wacha uongo mungu habadilisha nafisiki yake
@FatmaJuma-h3i5 ай бұрын
Allah akuhifadhi
@حبيبعيد-ح7ب2 жыл бұрын
Inshallah Allah akupe afya njema kweli dawaa imefika mbali Allahuakbar Allahuakbar Allahuakbar Walillahilhamdu .Allah akuhifadhi shk mazinge unafanya kz ya manabii
@saidiomary90702 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akupe wepesi mazinge kwakweli unafanya kazi ya mwenyezi mungu akupe ulinzi na kesho akhera akupe pepo
@AminamustafaMustafaathuman Жыл бұрын
❤❤❤amiiin ❤❤
@fatmaahmed86372 жыл бұрын
Pongezi saana Sh,Mazinge Mungu akulinde,akupe afya daima
@AbdullahisaBongoleАй бұрын
ALLAHUAKBARU MWENYEZI MUNGU AKUZIDISHIE
@zahorabdisafisanangedere2521 Жыл бұрын
Mungu akubarik shekhe
@saidgawawa85192 жыл бұрын
MashAllah!! Sheikh mazinge Allah akulinde kutokana na kila Aina ya Shari hapa duniani na kesho akhera . nampenda Sana sheikh Huyu Kwa juhudi zake katika uislam.
@malikshafii84312 жыл бұрын
Mzee huna la kuongea nyamaza kimya kuma mamako
@ashrafsharif8699 Жыл бұрын
Aaaamin
@sghdrdhidf7603 Жыл бұрын
@@malikshafii8431 kwann unamtujana nn kakukosea ivi wajua mandiko au unasoma kweri unamuongopa mungu wewe
@FrankMyenjwa-ms5fr Жыл бұрын
Mungu akujalie
@mariamali18872 жыл бұрын
MashaAllah mashaAllah Allah barik. Shekh mazinge Allah akuhifadhi nakupenda sana wallahi kwa ajili ya Allah ❤❤❤❤👌👌👌👌
@makironlinetv2 жыл бұрын
Aamin nami nakupenda pia
@hustlershuffler9782 жыл бұрын
Ustadh Professa Mazinge Allah akuhifadhi ulipo akujalie miaka mingi ya kufanya kazi zake In Shaa Allah...akupe siha kamili na akuruzuku kila la kheri akulipe Jannat al Firdausi In Shaa Allah...chapa kazi Baba..Kidume cha Allah
@iptisamshaher68492 жыл бұрын
Mashaallah tabaarakallah, Allah sw akupe umri wenye kheir,akulipe kwa Kila khatuwa unayopitiya, kwa kweli tunajivuniya mazinge Allah akuhifadhi
@adreanokasim713410 ай бұрын
Nakubali sana🎉🎉🎉🎉🎉
@khadijasaid50652 жыл бұрын
Mashaallah Mungu akuhifadhi yaraabbi akupe umri mwema akujazi kheri inshaallah..khadija said Nahdi mld kenya
@selemanjonathan63602 жыл бұрын
t
@francismsemwa72882 жыл бұрын
Unasubiri Nini
@AbubakariDenis-zj2mg Жыл бұрын
Allah azidi kukulinda kukupa afya njema sheik Wetu mazinge
@AziaraYusufu10 ай бұрын
Sawa mazinge tangaza dini ya allah
@amirikhamisi92952 жыл бұрын
Allah akulipe jannah Shekh mazinge
@hassanmpwepwe38262 жыл бұрын
Allah akupe mri mlefu sheikh wangu mazinge
@kamaugitau56102 жыл бұрын
mimi ni mkristu lakini nampenda mazinge bure....natamani kuslimu kwa sababu nahisi uislamu ndio dini ya haki
@mahmoudabdi71622 жыл бұрын
Inbox me bro nikuongoze kwa hilo InshAallah
@godsonishengoma53782 жыл бұрын
Ukristo sio dini bali ni ukomboz!Kabla ya Yesu Kristo kuja zlkuwapo dini,kwa nn Kristo alkja dnian? N kwa ajli ya krdisha mahsiano yalokua yamepotea kat ya Mungu na mwanadam.. sote twaish kwa neema 7b ya huyo Kristo.. kla knywa ktakiri na kila jcho ltanwona kwmb yeye ndye mwana wa kwel wa Mungu!
@kamaugitau56102 жыл бұрын
@@mahmoudabdi7162 nitakupata vipi
@jasminswedi15732 жыл бұрын
Karibu saan kweny dini ya nuru
@erickbruno5692 жыл бұрын
msenge kweli wew
@waytvtz25492 жыл бұрын
Masai gan hao,ni watu ambao wamepigwa na maisha ukimwonga tu anakubali
@ambakachogo5982 жыл бұрын
In Sha Allah sote twakuombea Dua kutoka kwa Allah.
@AishaUyoga10 ай бұрын
Inshallah mungu hakupe umri mlefu mwalim
@hassanussein1817 Жыл бұрын
Allah Ummah ameen
@husseinguyo43792 жыл бұрын
Masha Allah sheikh Mazinge Allah akulipe janatul firdaus
@erastisamsoni31622 жыл бұрын
Allah huwapa waongo Pepo? mtu muongo kama mazinge aingie peponi labda atubu ampokee Yesu.
@felixnkanda90642 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde sheikh wangu
@makironlinetv2 жыл бұрын
Aamin
@amourkarenzo97132 жыл бұрын
Safi sana allah amjilie professa mazinge mwisho mwema.
@hadijamandanje61892 жыл бұрын
Amiin amiin ya Rabiialamin
@mollyzyad778 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akuzidishie
@MuhammadRamadhani-to7gk7 ай бұрын
AllahuAkibar
@muhunzijunior51532 жыл бұрын
Maa Shaa Allah, Allah akuhifadhi shekh na kazi ya dawa iendelee
@makironlinetv2 жыл бұрын
Aamin
@BintAlly-k5r Жыл бұрын
Allah akupe nguvu na uzima ushinde kil khatuwa
@maimunaally80922 жыл бұрын
Allah akujaliye umri mrefu wenye mafanikio na baraka tele aamiinaaa
@massjassmustafa50932 жыл бұрын
Allah akupe maisha marefu
@IbrahimLuqman-sc8cw Жыл бұрын
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,shk wewe ni kiboko aunampinganizi
@seifsuleiman39792 жыл бұрын
Maasha Allah. Allah atuajalie mwisho mwema Insha Allah
@makironlinetv2 жыл бұрын
Aamen
@issafaquedalaura82792 жыл бұрын
Masha Allah , Na Mungu Akubarik Mazinge , Masha Allah Lakuta Illa Billa
@nurdinibrahimu7312 Жыл бұрын
Khamsinan alfasanah kisimamo hicho Cha siku ya kiama kuulizwa matendo ya kila mmoja na kupimwa kwenye mizani nk 🕴️🕴️🕴️🕴️🕴️😭😭😭🙏 Mungu tumuabudu ipasavyo🙏
@abuibra2 жыл бұрын
Masheikh wetu tafadhalini sana mjichunge sana Mnavyo zisoma Aya za quran, wengi huwasikia kukosea bila ya kujijua.
@abdulmalikpandu19892 жыл бұрын
Ni binaadamu nae, anasifa ya kukosea n kusahau...
@hassanmohammed34212 жыл бұрын
Dunia matamshi au lafifh huwa tofauti kutokana na maenono mengine hawayapati vizruri lakini wana ufahamu mzuri wa kutasiri na waneelewa nini quran inasema.......inawezekana kuwa wewe una soma vizuri matamshi ya quran...lakini ukawa hujui mana yake kwa kiswahili.. Unajua tuu kusoma kwa kiarab
@hassanmohammed34212 жыл бұрын
Kwa mfano marehem shekhe imani petro hawezi kutamka quran vizuri kwa kiarab lakini amehifadhi maandiko yote kwa kiswahili..na alisilimu baada ya kuyasikoia kwa kiswahi maana kwa kiarab hajui hasa
professor Mazinge we love you for the sake of Allah swt.love from Lusaka zambia
@mhgpatientfeedback7037 Жыл бұрын
Bado bado...mtaelewa tu Q72
@aishaayoub3052 жыл бұрын
Mashaallah shekhe mazinge Allah akupe umli mrefu uzidi kuelimisha jamii. Allah akupe mwisho mwema shekhe
@massoudsuleiman-xv7hy Жыл бұрын
Asalamu aleykumu waislamu wenzangu na shee wangu nina shida na wewe nakupataje
@isakwisamwaipopo68602 жыл бұрын
Yeye yesu alikuwa akipima Iman yao
@mandinezawakoabayo95692 жыл бұрын
Umesoma eapi nasi tukasome
@simonkinunda55912 жыл бұрын
Ostazi una mjua alakweli au unaropoka tu kutafuta pesa ushawahi onamchungaji anaesema kua Yesu kamuumba mwenyez Mungu au unatamka tu kamampumbavu unamfaham isa bin mariam huyondie mtume wamwisho kutoka kwa alla hata mtume muhamadi mwenyewe anashuhudia kwenye hadidhi yake ya sabubohari vizuri kurwaan sura ya tulli mariamu anamzungumzia isa vizurisana acha wehu ww nakutukana wa chungaji.
@AnnaKishaluli-ux7wj Жыл бұрын
Watu wote ni wa Mungu acheni kampen za kushawishi wanadam wawaamini ninyi kwa neema na rehema zinatoka kwa Mungu mwenyewe hivyo acheni kujitapa na mapokeo ya dini zenu
@IbrahimLuqman-sc8cw Жыл бұрын
Twashukuru
@dancun2172 жыл бұрын
HuyU Jamaa mnayakyusa🤣🤣🤣
@fatimafff3065 Жыл бұрын
Lailaha illallaahu Muhammed rasulullah
@jilanimartin16208 ай бұрын
Hapo umepatia sukari bure.haukujibu kitu.bado sanaa wapotosha watu
@abuukhairat77382 жыл бұрын
Mazinge kwanz jifunze kusoma qur an Ayatul kursiyyu yasomwa hivo
@husseinfunga32722 жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu wenye manufaa KWA dunia yako na akhera pia
@makironlinetv2 жыл бұрын
Aamin
@barakadismas52982 жыл бұрын
Amina yaarabbina llah aminaa
@zayyatiyussuf95662 жыл бұрын
Allah akujalie umri wenye afya njema sheikh mazinge
@makironlinetv2 жыл бұрын
Aamin
@zayyatiyussuf95662 жыл бұрын
@@makironlinetv Allahumma amin
@enockkibona75222 жыл бұрын
Sema unajiinua sana,hunishawishi,jishushe basi MUNGU atakwinua
Huyo mchungaji aliyekuambia yesu kamuumba Mungu sidhan kama anajua alichokiongea labda kama ni mchungaji muislam tatizo mazinge muongo sanaaaa aisee unapenda sifa and we know you
@medimisi69302 жыл бұрын
Kwani nyinyi si ndo mnasema kua yesu ni mungu au,na kazi ya mungu c ni kuumba au hujui halafu eti mungu wenu alikufa na alitajiriwa na alilala.duh kweli akili ni nywele
@adammasunga53632 жыл бұрын
Wewe ni Muongo sana
@Tawazone9 ай бұрын
Mungu atakufungua tu kijana nakuombea huko uliko siko
@mwavuwarajabu72652 жыл бұрын
Mashallah Shekh mazinge
@nassorokapompo10382 жыл бұрын
L0l
@nassorokapompo10382 жыл бұрын
L0
@nassorokapompo10382 жыл бұрын
L0
@nassorokapompo10382 жыл бұрын
L0l
@ASSANERESCACHELILARESCAchelila Жыл бұрын
She Niku mbushe Kuzaliwa Kwa mohamade Nani mimi Niko Moçambique
@ASSANERESCACHELILARESCAchelila Жыл бұрын
Sisi wa hislam Moçambique tuna kupenda sana
@bostonic2 жыл бұрын
Huyu Shee anashangaza. Badala kupatia Mungu utukufu anajipatia yeye mwenyewe. Kiburi.
@DastanBeda-mz9em Жыл бұрын
Mbona kama vile Mazinge unawafanya wenzio watoto mimi ni mkristo na sio mchungaji ila najua Yesu ameumbwa na Mungu wewe huyo mchungaji aliekuulza kama unayo ushahidi hembu weka tuone mana mambo yote niutandawaz acha kutudanganya tena upo kwenye memba unakua muongo da!
Pia amekosea amesema ni Aya ya 252 badala aseme Aya ya 255
@uqairsande73202 жыл бұрын
Mazinge ujui kusoma quraan kaachini usome kwanza maana ukisoma tu ndo utata unaanza apo
@mohamedathuman46462 жыл бұрын
Ni 1 moja kati 99 aliopata.... pongeza kwa aliopata...kwani sote siwakamilifu
@fearless......26512 жыл бұрын
Alhamdullillah ALLAH atuongoze sote..hakuna alie mkamilifu na makosa ni kawaida..wabillahi towfiq..
@Philippe3Lukole5 ай бұрын
Tunashukuru kwa majifunzo
@ZINDUKAMUISILAMU30 Жыл бұрын
Dah, hilo jibu la hakuna mtume alorogwa km Mohammad ndio jibu dume
@senathakizimana82312 жыл бұрын
Aacha uongo wew,nani mu christo kasema#Yesu kaumba#Mungu eeh
@muksinsaidi48922 жыл бұрын
Kwaio ni yesu ni mutu?
@senathakizimana82312 жыл бұрын
@@muksinsaidi4892 siwezi ni kabisha na muislam ajili nyinyi na dini muko mu ignorance mumesha poteya#Yesu huwezi mupimanisha na kitu cocote kiko apa duniani hakuna#ata mohamad ameleta just islam nothing special 4 him,kwa Jina la Yesu#Magonjwa yana pona#sida cancel diabète majini yanakimbia wat abt mohamad neva...najua utapinga ajili umeshapotea na yeye ndo njia yakufika mbiguni..
@muksinsaidi48922 жыл бұрын
Ni hayo tu kumuhusu yesu wa wakristo au kuna mengine?
@muksinsaidi48922 жыл бұрын
Wewe kufa kwenye ukristo namimi nitakufa na uislam, huna point kwangu, mimi siko apa kwa ajili ya kushindana au kukemeana na majini, uchaWi,mapepo kama nyie, nikimwamin mungu mmoja mtume wake tu bas inatosha sitopatwa na uchaw wala mapepo,
@simongalahenga68582 жыл бұрын
Yoh12:48 neno hilo ndilo nikuhukumie
@nassorsuleima18772 жыл бұрын
Endeleash mazinge
@danyanthony35822 жыл бұрын
Huyu jamaa anajivuna sana sana..hii kitu ndiyo itampeleka jehannam
@HusseinNuru-zd3bf3 ай бұрын
Allah akulipe jannatul firdous
@adreanokasim713410 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@sudaissaid84282 жыл бұрын
Quran Mazinge bado sana..hujui
@msangiramadhan19112 жыл бұрын
We unayejua tunaomba utufikishie ujumbe
@kibibiseleman12022 жыл бұрын
Mashall
@josephnkwamino65092 жыл бұрын
Yesu yupo karbu kukuokoa mazinge watu hawataamini siku hiyo
@massoudsuleiman-xv7hy Жыл бұрын
Nabii issa ataludi ikiwa nyie mludi au jamaluddin na hamjui kwakufika
@hellenhartley43162 жыл бұрын
Masha allah
@justingodfrey8282 Жыл бұрын
kwan Allah ni nanii mbona sielew
@impeccablerito7922 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu aliyekuumba ww na mm
@GordienNdizeye-sf3jt Жыл бұрын
Sheikh wambie !
@charlesjanuary17982 жыл бұрын
Mazinge hamna kitu Anajinadi akiwa kwenye misikiti
@godwinkileo77022 жыл бұрын
😃😃😃😃😃
@prosperjohn20472 жыл бұрын
Mazinge utawapata waisio na akili, Kwa sifa zako hizi, Mungu siyo wa hivyo