Hapo nimekuelewa wenje Kuna maisha baadaa ya uchaguzi
@barnaba30372 күн бұрын
Tunamtaka John Heche aongee, tumemmiss
@jameshenericoКүн бұрын
Wewe wenje unajikosha tu, rudisha pesa za watu ulizokula
@SylvesterKameo2 күн бұрын
Hakika wekeni akiba ya maneno, kutukanana kwenye kampeni ni akli za kitoto au ujuha na ulimbukeni. Huwezi kuwa kiongozi bora uliyegubikwa na tabia ya uzandiki, kukashifu, kukejeli na uzushi. Tunahitajika kuendesha kampeni za kistaarabu na kiungwana, tukizingatia kuna maisha baada ya uchaguzi.
@ramadhanibushiri-z3fКүн бұрын
Hatuamini kama unamchinjiaga kitoweo maana ulituambia unamdai Lissu kumbe nduhuuu
@ramadhanibushiri-z3fКүн бұрын
Leo naona unabadilisha kauli,anaongea kiungwana sijui amejifunza nn
@igulug5450Күн бұрын
Bora heche huyu au lema yani chadema bwana sijuwi kwa nini wengine wanaongopa
@thomsanga7956Күн бұрын
Mzee wa dili, rudisha tu pesa za Abdul
@amospetro87892 күн бұрын
Hongera
@lawimichaelwerewere76192 күн бұрын
Jiulize ujijibu lisu anapita na umemtukana itakuwaje?
@MwatijaFikotiКүн бұрын
Kaka Kwa majibu Yako hayo upon kanunu na unalinda chama.
@samwelkavwanga44912 күн бұрын
Huna mvuto wenje. 😢😢😢
@DavidDanken-uf7kpКүн бұрын
Ahaa yaan watu waelewe ulikua unatania tu kusema wakunja ngumi😅😅😅😅😅wenje bana kasoma upepo anyway usibezwe maana watu hubadilika 😅😅😅 gia angan nyie af uso mkav bila hata aib dah.
@ALFREDMTUNDUКүн бұрын
Hapa Pana tukio Gani? Au press kuhusu Nini?
@deodatusmugalulamugalulaКүн бұрын
Na hao waliovaa nguo nyeusi ni waganga wakienyeji ?au wana kazi gani ?
@frbm1729Күн бұрын
Wenje kenge sana
@RobertChacha-si1jsКүн бұрын
Wenje akili huna mnafki Sana wew, ushagundua Lissu ananguvu kubwa nyuma yake ujifanya kuunga juhudi kinafki
@jetymagereja4058Күн бұрын
Anongea na wakunja NGUMI😂
@bonnymakuke31532 күн бұрын
Uyu kweli ni mzee wa michongo ndo maana ata ka abdul akuchezea fursa lisu ajakosea kumwita dalali kwa maneno aya!!😂😂😂
@life_varieties95592 күн бұрын
Dalaliii mchumiaaa
@WilliamChaponda2 күн бұрын
Ina maana CHAMA kizima kwa umri wake huo hakuna wanachama wengine wenye uwezo wa kukiongoza CHAMA isipokuwa ni huyo mwenyekoti tu...,,????
@JosephMasaba-u2xКүн бұрын
Haoooooo,,mango,nababa,yake,mbowe
@samsonsamwel8782Күн бұрын
Huy jamaa anawez akakuuw na wac2 hat tukio la dom wangeanz na yey upelelz
@denisnjaila2182Күн бұрын
sioni uwezo wake
@jetymagereja4058Күн бұрын
du hilo ndio jibu lawakunja numi
@kashindisimon5265Күн бұрын
Dalali katika ubora wake
@samsonkingdom-xc8cgКүн бұрын
Dalali kwenyeubora wake
@AbdullahAhmed-t7p6lКүн бұрын
In politics you need wisdoms and responsibility sence of avoid truble has got no capacity answer this question try but wenje has got no answer in lteligincy way
@ThomasKaungo2 күн бұрын
Wenje mwizi tu
@KishiwaMaganga-g1rКүн бұрын
Samsonikingdomu mknd wako achana na chadema
@Saidmathayo-uv4gj2 күн бұрын
Rafiki wa lisu kumbe urafik wa kinafik
@rebekakulwa6159Күн бұрын
Dalali wa fisiemu na abduli
@leodgardotmar71982 күн бұрын
Hufai dibogo sellout
@FadhililyMaganga2 күн бұрын
Wacha upumbavu wewe. Mbona hutaji zile hamsina mia tano za wana chama ? Sisi wanachama ni zaidi yako wewe ulikimbia sisi tulibaki hapa hapa bongo.
@nicholouskennedy9813Күн бұрын
Ameshaona lisu anaenda kushinda ndo anajifanya kumsemea wakati kamtukana Sana na juzi tu alikuwa clouds kumtukana lisu. Asijisumbue lisu hawezi kumwamini Tena na kitendo Cha kumtukana lisu kitamnyima kura nyingi sana