Kuskiliza interview ya Nikki mbishi unaenjoy Kama unaskiliza ngoma zake
@mugadimon35632 жыл бұрын
Jamaa interview zake nyingi ukisikiliza kuna kitu cha kujifunza kutoka kwake.
@jimmyx84122 жыл бұрын
@@mugadimon3563 kabisa Unju Ni zaiid ya msanii na pia Ni maana halisi ya kioo Cha jamii
@alphoncesamwel69732 жыл бұрын
For the late but I enjoy Bin UnuQ logic
@pawasizogama842 жыл бұрын
Nikki mbishi (Sauti ya jogoo)
@dostovan51422 жыл бұрын
Units ngapi tulinunua? Huyu ni best selling hip-hop artist in Tz
@johnngowi83342 жыл бұрын
Baba Malcolm
@joashmumangi85192 жыл бұрын
Nouma sana Gambosh
@lamadhanchamwande15532 жыл бұрын
Aisee unju umeura
@shaphyvuai68052 жыл бұрын
Kwann Paul Maker hayupo kwenye category
@dullahsimbaulanga64722 жыл бұрын
>>>>Gamboshi 🔥
@dominicfrancis40732 жыл бұрын
Hiphop for life
@archsonkimaro67482 жыл бұрын
Unjuu genius
@yohanidimoso37112 жыл бұрын
Dakika alizokaa hapo kipindi kachukua yeye genius Nikki
@youngmilionare21182 жыл бұрын
Eti simuelewagi unju muelewagi wewe tu 👌
@goodluckminja37982 жыл бұрын
hiyo Mnyonge Noma😂
@shafihmohamed29572 жыл бұрын
Anajuw nikki
@jumamusa4252 Жыл бұрын
Nzuri
@shaphyvuai68052 жыл бұрын
James tupa tupa ni hip hop kabisa
@isayamathias38552 жыл бұрын
Nyegere
@swalehabdalla63402 жыл бұрын
Naamini nikki we mbishi nam Nikki unatisha mwanangu
@manyasa57152 жыл бұрын
Noma xana
@gkaniel872 жыл бұрын
Nikki kushinda nyimbo bora sio lazima uwe mtunzi bora kuna nyimbo huwa bora lakini msanii anaweza kuwa ameandikiwa pia
@fahamnitwahir92492 жыл бұрын
Sasa km aliyeandika hatumjui na utunzi wa wimbo ni mzur tuzo tumpe nan
@gkaniel872 жыл бұрын
@@fahamnitwahir9249 Utampaje tuzo mtu ambaye hujui if ameandika yeye au ameandikiwa???Sio lazima mshindi wa wimbo bora awe mtunzi bora....mtunzi bora ni category nyengine ambayo watunzi/waandishi wanawasilisha kazi zao..Drake anatoa nyimbo bora lakini hajawahi kuandika nyimbo yoyote
@fahamnitwahir92492 жыл бұрын
@@gkaniel87 swali lng ni, km ww umeniandikia lkn haijulikan nan anastahili kupewa hiyo tuzo? Si ni mm ambae nimeimba na watu wanajua nimeandika
@gkaniel872 жыл бұрын
@@fahamnitwahir9249 sasa hapo ndio utakuwa unampa tuzo mtu asiyestahili kaka...simply kama umeandika mwenyewe jioredheshe kwenye category cha waandishi bora ili kama utapewa tunzo na hukuandika wewe muandishi aku attack wewe sio chama kinachotoa tunzo...vyenginvyo utafanya muandishi akishtaki chama husika na ana haki ya kufanya hivyo..ila wewe mwenyewe ukijioredhesha unakifanya chama husika kutokuwa na kesi ya kujibu,,,Hebu jiulize kwanini Mario alishindwa kujiorodhesha mwenyewe??(kuna kitu kipo hapo kaka),Mwasiti aliwahi kupewa hiyo tuzo kwa nyimbo ya nalivua Pendo kesi ikaja ikasuluhishwa na serikali lakini KTMA ilishachafuka
@manyasa57152 жыл бұрын
Album Bora dunian
@kennedymwagambo71972 жыл бұрын
Nikki alifaa kupata Album kwa nyimbo " Play Boy " !!
@eddiemohamed90032 жыл бұрын
UNJU BINI UNUC
@DavidMbwilo-qk1bz Жыл бұрын
🔥🔥🔥
@twahachanjale61632 жыл бұрын
Dr unju 🔥
@emmanuelbrassy40002 жыл бұрын
Unju wamoto sana
@yohanapetro49372 жыл бұрын
Intaviu Yachidy Benzi Nikki mbish sikosagi
@stiffmenake47002 жыл бұрын
Unjuuuuuuuuuuuuuuu
@daudjason90532 жыл бұрын
Got of hip hop
@nyotamy36782 жыл бұрын
🔥🔥🔥🙌😄👊
@cuthbertbruce20982 жыл бұрын
Best rapper
@theeminent5472 жыл бұрын
Bin upupu 💥💥
@heistreno2 жыл бұрын
Mbn hajafrestyleee ??
@chotakalikene66532 жыл бұрын
Baba malcom
@jumazinga9412 жыл бұрын
Unjuu bin unuq👊🏿
@mfaumeally12702 жыл бұрын
Wanyonge.. 💥💥
@fahamnitwahir92492 жыл бұрын
Hiyo ngoma ya wanyonge style ya kurap na Aina ya uandishi ni kama ya salu t
@godchoosen48302 жыл бұрын
Unjuuuu
@emmanurichares65892 жыл бұрын
hii ni zaid ya album hii ni movie series Ina Siri haina Siri muhimu ,tamu kwa chakula Cha akili