No video

NIKKI MBISHI:WASANII NJAA WANAFIKI/WABOVU WENGI/JOHMAKINI/NIKI WA PILI/NEY WA MITEGO

  Рет қаралды 22,097

TimesFMTZ

TimesFMTZ

4 жыл бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 71
@mohamednaaman188
@mohamednaaman188 4 жыл бұрын
NIKI MBISHI MOJA KATI YA MC BORA WA MUDA WOTE TZ 🎤👑
@sizakitego4374
@sizakitego4374 4 жыл бұрын
Dah nimependa sana hii interview kwasababu hapo zamani Baghdad alikua msanii na alikua na bifu na niki mbishi lakini leo amemuhoji vizuri sanaaa
@Ram_1893
@Ram_1893 3 жыл бұрын
Mexicana Lacavella
@youngkiyai5336
@youngkiyai5336 4 жыл бұрын
Nikki mbishi nakutambua you are the hottest rapper ryt now bongo hao wengine mambwiga tu
@allexlunny7795
@allexlunny7795 4 жыл бұрын
kama nimepauka nipake mafuta au niache kama ulivyo nikuta noma sana mzee wa makavu live
@homan_nkwama
@homan_nkwama 4 жыл бұрын
Baghdad Anamisuri mikubwa sana ya UBONGO kama utakuwa unajua AMEWAHI kuwa challenger sana kwa NIKK na aonyeshe personal mood on it By the way ameonyesha ukubwa sana kwa kuitawala na kurelux kwenye Bedroom remix HESHIMA KWA NIKK
@inocentmbowe4160
@inocentmbowe4160 4 жыл бұрын
Nikki namkubali sana
@blaisejongo3925
@blaisejongo3925 4 жыл бұрын
mbishi noma
@softcoolupdate5472
@softcoolupdate5472 3 жыл бұрын
Nikki mbishi ni sehemu ya manabii wa hiphop bongo na bongo flava kwa ujumla wake
@amonijajila1218
@amonijajila1218 4 жыл бұрын
Respect mabrother unjuu
@bonifacemeela5247
@bonifacemeela5247 4 жыл бұрын
Unju unajua kuelezea kitu kika eleweka zaidi big up
@hkmeme5437
@hkmeme5437 4 жыл бұрын
Wanamyima dili wakisema ni mbishi
@mulisaemmanuel8728
@mulisaemmanuel8728 4 жыл бұрын
Nooma sana, unju hapa kigali tunakupenda bro keep it up
@alexmdumba7357
@alexmdumba7357 4 жыл бұрын
nikki amesema kitu makini sana kwenye content. lyricsism
@constantinenzigilwa8513
@constantinenzigilwa8513 4 жыл бұрын
nakukubali broo nikki B
@kaskaziniansgang1288
@kaskaziniansgang1288 4 жыл бұрын
B.A.G.H.D.A.D 🔥🔥🔥🔥
@babubomba8563
@babubomba8563 4 жыл бұрын
Tunaomba mwendelezo wake
@mickeytv3691
@mickeytv3691 4 жыл бұрын
Appreciates u bob I wish 1dei nijekuwa presenter with yah in times fm
@nakalikyumile4370
@nakalikyumile4370 4 жыл бұрын
Nicki mbishi akili kubwa vichwa ka hivi ndo vinatakiwa
@2nyoorap67
@2nyoorap67 4 жыл бұрын
Nakubali unju
@alijuma7401
@alijuma7401 2 жыл бұрын
Genius
@abburakkaan5694
@abburakkaan5694 4 жыл бұрын
Mimi ingekua sio magufuli nisingeichakua CCM maisha yangu yote na kizazi changu ila mimi jana NK mbishi c chagui CCM namchagua MAGUFULI
@youngmilionare2118
@youngmilionare2118 2 жыл бұрын
My brother UNJU 👊 saluty broo
@marcelin_hd
@marcelin_hd 4 жыл бұрын
Namkubali uyuu jamaa kawa chana kabisa
@japanisyakuza8198
@japanisyakuza8198 4 жыл бұрын
Vita y Bengaz Under ground King 🤴
@alexmdumba7357
@alexmdumba7357 4 жыл бұрын
nikki bhana mambo yake😂😂. Anajua sana kwenye midundo mr. unju.
@gideonjulius9782
@gideonjulius9782 3 жыл бұрын
Underground Legendary
@hassansamata5995
@hassansamata5995 4 жыл бұрын
Unjuuu mkali wao
@barakamtesigwa3097
@barakamtesigwa3097 4 жыл бұрын
Na madder kila intaview sio tu the bar tender rafudhi tam mpaka wanauliza umekaa pemba
@nelsonmasolwa8343
@nelsonmasolwa8343 4 жыл бұрын
nawaambia mi ni born herehere jembe zaiid ya john pia dear niko strong sina fear
@shareefkamtande4692
@shareefkamtande4692 4 жыл бұрын
Nikki mbishi
@youngkiyai5336
@youngkiyai5336 4 жыл бұрын
Majina kibao sio
@mr25d99
@mr25d99 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ni kwel jina liko mahali kwake yani ni M’bishi wa ukwel
@hkmeme5437
@hkmeme5437 4 жыл бұрын
Ni mbishi na mkweli ndio maana mafans wanampenda
@scariothagreat
@scariothagreat 4 жыл бұрын
jamaa ni mtawala sio kiongozi😂😂😂
@adamrenatus4235
@adamrenatus4235 4 жыл бұрын
Kweli unafiki halafu mie mwenyewe sifagilii Mambo ya hivyo
@emmanuelsilungu446
@emmanuelsilungu446 4 жыл бұрын
Haka kajipu haka balaa
@japanisyakuza8198
@japanisyakuza8198 4 жыл бұрын
Unju Bin UNUK....!!
@hajimdosi2331
@hajimdosi2331 4 жыл бұрын
3:50🤣🤣🤣
@kibwamoko8767
@kibwamoko8767 4 жыл бұрын
#nikkimbishi
@adamsengo3138
@adamsengo3138 4 жыл бұрын
Yeah na unafki unaoendelea kwenye umoja wa unafki 🤣🤣🤣🤣
@joshymalinyo6057
@joshymalinyo6057 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂mambo ya unafiki Sio
@josephdonald6199
@josephdonald6199 4 жыл бұрын
Mbishi noma sana..😂😂😂😂😂😂😂
@amanimakovya2228
@amanimakovya2228 4 жыл бұрын
Dr unju
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 4 жыл бұрын
Bangdad una akili saaana! Una maswali yenye logic sana
@dekamotionpictures2132
@dekamotionpictures2132 4 жыл бұрын
👍
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 4 жыл бұрын
Unju unasema humuoni Nay ktk level z u MC wakat yy anatengeneza hela na humkaribii..
@napster2558
@napster2558 4 жыл бұрын
Ishu n u MC si ela
@hellyally4395
@hellyally4395 4 жыл бұрын
hela gani anatengeneza ww
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 4 жыл бұрын
Kumamake ao ma MC wanaishi kwa u MC? Au wanakula u MC? Au wanatafuta shows na connections ili wakaoneshe u MC? C wanatafta hela na nd wanaendesha maisha yao kwa music, na nd mana Madee aliamua kujitowa ktk rap coz it is not profitable..Afande, Sugu, Profesa n.k. wameamuwa kuingia ktk casa why? Hkuna mwenye shda ya u MC bro keep it in mind... Ney anafanya commercial ana hela na maisha yake ao wanaopenda kuitwa ma MC au wagumu ata vibanda hawana..
@scariothagreat
@scariothagreat 4 жыл бұрын
@@abdulmohd6880 tulia ww huelew chochote
@mussangonya6179
@mussangonya6179 4 жыл бұрын
Mbish ndio best uyo ney boya
@thomasmathias7237
@thomasmathias7237 4 жыл бұрын
Baba Malcolm X, Zohani, Bobani,
@danieldeogratus1683
@danieldeogratus1683 4 жыл бұрын
18:10 nimeshtuka sana na nikajiuliza media zetu zinafanya kazi ya kupromote lugha yetu vizuri kabisa sasa huyo jamaa sijaelewa anaongea lugha Gani.
@hkmeme5437
@hkmeme5437 4 жыл бұрын
Huyo jamaa ni mkongo
@msatijunior6304
@msatijunior6304 4 жыл бұрын
Apo ndipo nimeamin usemi wa Kaligraphy John kuwa wana Hip-hop wa Bongo awawezi kuwa intonation coz wanajiimboa wenyew ukianzia Lugha tungo zao Hip-hop inamisingi lkn kwa Tanzania tutbaki na jina la hip-hop akuna Really Hip-hop
@johncavishe353
@johncavishe353 4 жыл бұрын
We wako watu kama chindo man anachana atar ww ufatlii game vzri
@yassinijuma4708
@yassinijuma4708 4 жыл бұрын
Unju wewe nizaidi yanoma me nawaona hawa madogo wanaoruka ruka tu man
@hajimdosi2331
@hajimdosi2331 4 жыл бұрын
18:9 😂😂😂😂
@marianamacha3452
@marianamacha3452 4 жыл бұрын
😆😆😆 na we umo kwenye lile group? Unaogopa utaitwa mnafki😃😃😃
@helmanfabian4427
@helmanfabian4427 4 жыл бұрын
Unju punguza kuchonga
@chaulee20c58
@chaulee20c58 4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/o6ibpJmbfsykapY tazama maajabu ya acha lizame remix nandy ft harmonize
@mickeytv3691
@mickeytv3691 4 жыл бұрын
Nk nakukubal sana ila k2moja unazngua sometimes
@mtumweusy4652
@mtumweusy4652 4 жыл бұрын
Nikki mbishi kawa Nikki michambo, Bora Nikki wa pili maana Nikki wa kwanza Hana mchongo,
@hushbtz3310
@hushbtz3310 4 жыл бұрын
Wanaharakati wote Gusa link kzbin.info/www/bejne/bJXLin2mgaiem9k Kusikia michano
@gasperallute23
@gasperallute23 4 жыл бұрын
Bin Upupu
@great__sheik6391
@great__sheik6391 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 4 жыл бұрын
Sitaki kuwa nyota nataka kuwa mwezi
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 13 МЛН
ISSEI & yellow girl 💛
00:33
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 19 МЛН
Bony Just Wants To Take A Shower #animation
00:10
GREEN MAX
Рет қаралды 7 МЛН
Ufukweni: "F*ck the Media" Nikki Mbishi
23:17
Ufukweni
Рет қаралды 11 М.
Nikki Mbishi  - #999 (Official Music Video) #KikosiKazi
3:25
Kikosi Kazi Kazini
Рет қаралды 133 М.
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 13 МЛН