Propaganda za kitoto kabisa hakuna kitakachowasaidia kwenye hili endeleeni kutiana tope
@zakatumbuka88565 сағат бұрын
Jamaa ana kichwa mviringo kama mwijaku
@paulmfilinge4225 сағат бұрын
Mambo ya kumlinganisha mtu na Bwana Wetu Yesu Kristu sio sahihi ni najisi...Yesu Kristu hana mdogo na halinganishwi. Tafadhali FUTA kauli yako au OMBA radhi. Ni vizuri uongee uliyopanga kuiambia hadhara.
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct5 сағат бұрын
Huyu ndio nilieskia dalali au sio huyu hivi watu wanakuelewa kweli si alikili kampeleka dullah kwa tundu lisu ? Kaka wenje achana na hiyo press ungekaa kimya
@issackmashauri45775 сағат бұрын
Yawezeka uyu jamaa kunasehemu alikosea ila naona anapoit sion sababu ya siasa za chuki wanazofanya kundi la lisu wote wako sawa so wakae watengeneze chama
@williamsenkoro22105 сағат бұрын
Bro wewe ulishaambiwa dalali. So kaaa utulie... Chadema huyu jamaa na team yake ikipita. Jueni nusu ya wanachama wanasepa... Watu wamechoka kutumia kama njia ya biashara...
@dinnarandrew19825 сағат бұрын
Huyu point hana anafosi kutetea ujinga
@CharlesKipemba4 сағат бұрын
wewe utakuwa na element za CCM vifungo vya xhati ulilo vaa ni rangi ya CCM
@davidjoachim23986 сағат бұрын
Huyu mtu haeleweki jamani, ww ndo unaongoza kutukana, umemtukana sana Lissu fala kabisa, Lissu anaropoka kwasababu ww kuwa dalali,
@jojigeorige10565 сағат бұрын
Lissu hakukimbia nchi, aliondoshwa ili akatibiwe.. bro unafeli wapi Wenje?
@georgemagumba81266 сағат бұрын
Wewe dalali wa vyama toka hapa
@victormajenge13965 сағат бұрын
Mfa maji aachi kutapatapa, amekosa point hata haieleweki anazungumzia nini.
@Dance255tz6 сағат бұрын
Huyu jamaa alipataje hata Ubunge wa Nyamagana mbona anaongea ujinga?
@ScopionScopion-zj9cd4 сағат бұрын
wenje huna akili pumbavu zako unaongea upumbuvu Gani sasa apo au Ndio maneno yameisha mana maneno yauongo hua sio mengi
@bulayankondo94594 сағат бұрын
Wenje hana jipya,atwambie kwa nini yupo karibu na Abdul Samia
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct5 сағат бұрын
Unaongea nini wewe matatizo yote wewe ndio uliesababisha chadema.ngojaa tuchukue chama tukutimue
@waungwanatv-y4e4 сағат бұрын
Huyu mwongo kabisaaa anatafutiza Cha kujibu 😂😂😂😂😂 KULA ITAAMUA TU UKISHINDA SAWA UKISHINDA SAWA
@godfreymushi69666 сағат бұрын
Huyu.ataweza.jibu kitu kweli naona kaa.iq ipo.to.low yaani ni.hamna kitu hapo na akishinda chadema kwisha
@ogossygassayachacha69884 сағат бұрын
Laana ya Mkapa iyo .. huwezi kubaki salama
@barakamwasala2284 сағат бұрын
Uyuuu anatumwa na mbowee...ndoo anaharibu kabisa
@TUMSIFU-em5te5 сағат бұрын
Yaani upande wa Mbowe hakuna point ya maana hata moja
@ezekielhaule3646 сағат бұрын
Jadili unataka kufanya nini ukiwa kiongozi. Usitafute huruma
@fadhilikikulacho11164 сағат бұрын
Achananeni na hizi porojo hizi Leo atakuja na hili na Kesho anakuja na hili mtaumizwa Vichwa bure tafuteni ugali wenu WA kila ck hawa watu wapo kimaslai yao
@LesiJama5 сағат бұрын
Rushwa unakubali lakini joint the chain unakataa
@petroyohana11264 сағат бұрын
Wewe huna hoja zaidi ya kuvimbisha mashavu. Mbowe must go
@kelvingabriel54875 сағат бұрын
Ww haupati kuraaa hata kura yakoo mwenyewe uta piga penginee
@mbunikenge53054 сағат бұрын
Bro maik zako zifanyie kaz
@SmilingAnacondaSnake-sp8ct4 сағат бұрын
Mboe na wenje hata mfanye nini mtupishe tu kwenye uongozi mboe atabaki mjumbe kamati wewe tunakufukuza kabisa sio mwadilifu uende. NCR kwa wenzio halafu hiyo press haitakusaidia chochote huwezi kujisafisha kwa chochotekwanza ndio unazidi kujihalibia bola ungekaa kimya
@happyemanuel93244 сағат бұрын
ila wenje bhna ukimuona tu uson unagundua anatunga story😅😅😅😅😅😅
@davidgeorge93245 сағат бұрын
Pumbafu zako ata mwanza hatukuitaj mwenyekt kakupa posho
@ignacedaniel42044 сағат бұрын
Hii press ni very big mistake by Wenje.....kapoteza pointi sana leo
@khatimushabani39414 сағат бұрын
Nasikia uyu jamaaa kajengewa nyumba na mboo
@christinewomanoffaith54795 сағат бұрын
Kitu kimeninishangaza ni dr slaa baada ya kuhama na kuamdika kitabu , ss anajisikiaje? Na kitabu kipo aibu kubwa sn
@adamkapaya41855 сағат бұрын
Bora ungenyamaza tu ndugu yangu... yan sasa unazidi kujipaka mavi
@Kachuba-w9p4 сағат бұрын
Mbona mnakatakata milard ni tena kua fair bsi tusikilize anaongea 😢
@SaraSara-i1l4 сағат бұрын
What are you talking about about oga😂😂 huna point kabisa mfate abduli amewaponzaa
@TitoOoyi4 сағат бұрын
Je, atuambie zilichangwa kiasi gani cha pasa?
@shabanihalfani97185 сағат бұрын
Ukiwa unamsikiliza mtu pima anayoongea . Usisikilize huku ukiwa na mgombea wako.
@RwegoshoraPatt-os2ik4 сағат бұрын
Sidhani kama utapata mtu wa kukusapot wote wanakukataaa
Note hii !! Sitaondoka CDM kwa sababu sijamfuata Mtu
@bulayankondo94594 сағат бұрын
Usalti wako na Mbowe wako umefika mwisho. Huna aibu hata Damu ya mjomba wako hukumbuki kuwa alikufa anakupigania upate Ubunge
@BurtonJohn-l4k6 сағат бұрын
Bora yule njegere😂
@mussamaduka61585 сағат бұрын
toa clip inayoonyesha Dr Slaa akisema hayo maneno acha mbwembwe wewe Wenje
@herrymardaimallya29665 сағат бұрын
Mmmmh mbona kama simuelewi huyu Bwana, Kwaiyo watu wakifungiwa kwenye magodown lema kusema imekuwa dharau?
@MichaelJohn-c9c6 сағат бұрын
Kwahali ilivyo sasa hivi hata msafishwe kwa jiki hamuwezi takata.Wanachadema wameyasikia mengi,washapambanua,na majibu wanayo.Wawaamini vipi?Lema anaaminika kuliko wewe kwakuwa ni mkweli.
@gracemnyani68484 сағат бұрын
Mbowe wont go in Jesus name
@MahanjiSanga4 сағат бұрын
Hata useme ira lisu ndio Kira kitu
@HASSANBAKARI-q9c6 сағат бұрын
Wabongo kwa ujinga😅,,no comments
@DicksonMsuva5 сағат бұрын
Jambazi
@Majebelemathias4 сағат бұрын
Wewe ni muongo sana
@jumamchungu23265 сағат бұрын
Hana jipya watu wote wameshajua ukweli upo wapi
@hassanmitayo18754 сағат бұрын
Hatari
@daudimaembe33604 сағат бұрын
Uongo mkubwa kabisaaaa.
@westonnsenye63465 сағат бұрын
Anaongea ujinga, unawezaje kuchangisha pesa ya mapinduzi alafu pesa iingie account ya chama? Amepangwa tu.
@westonnsenye63465 сағат бұрын
Kumbe lengo halikuwa baya walitaka kukunusuru chama
@philbertchristopher15265 сағат бұрын
Nice 👍
@AlsonSemoka-xp6vl4 сағат бұрын
Kivuruge wa chadema
@petroyohana11264 сағат бұрын
Useless press 😑
@matthewrichard68434 сағат бұрын
Muongoooooo
@FrankInnocent-f1r4 сағат бұрын
Ww ushakosa hoja wala muvuto
@petroyohana11264 сағат бұрын
Mpumbavu sana wewe
@kelvingabriel54875 сағат бұрын
Ww haupati kuraaa hata kura yakoo mwenyewe uta piga penginee
@MiziziMti5 сағат бұрын
Kura atapata na wanaoamua nani mshindi ni wapiga kura#chadema.
@MiziziMti5 сағат бұрын
Kura atapata na wanaoamua nani mshindi ni wapiga kura#chadema.
@GeorgeAkasha-zx2rj5 сағат бұрын
Uchaguzi ndo muhimu mkuu.
@MiziziMti5 сағат бұрын
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu...ukweli huu unao usema hapa Mungu atakubariki.