Zanzibar v Kuna Easilimali gani zimechukuliwa na watu wa nje?
@mukhtaromar-g5p20 күн бұрын
Ndio baba. Tunataka mamlaka ya Zanzibar yetu kama nchi yetu ❤❤❤❤❤❤❤
@tanzanite994420 күн бұрын
Hayo mamlaka utayasikia hivohivo kwenye bomba mpaka utazeeka ukidai Nchi.
@saidrakwe872720 күн бұрын
Hatar sana!!! Act wazalendo kiboko ❤
@saidrakwe872720 күн бұрын
Kuna watu gineous sana,like mansour
@mozakhamis725320 күн бұрын
piya kata zeni watoto wenu tafadhali ndungu zangu mungu atatuvusha salama ishaalla.
@mozakhamis725320 күн бұрын
mbona. kamera 🎥 men haoneshi watu kikamilifu. au. katumwa.
@HafidhKhamis-ph8qg20 күн бұрын
Kazi iendelee tufanye haki itendeke
@mozakhamis725320 күн бұрын
act. msijaribu mara kiongopa maji wacha. police 👮♀️ tun😅aishi nao masheha tunaishii nao wakeleta ujuba tu washuhulikiwe haraka sana. h
@mozakhamis725320 күн бұрын
piya kata zeni watoto wenu tafadhali ndungu zangu
@Bajei20 күн бұрын
Ongeyeni zaidi miundo mbinu ya nchi ili tuvute uhamasishaji wa watu
@hajiabdalla577220 күн бұрын
Hao kutwa wanatembea naemaherizi kwa ajili ya nguvu za giza ili wasikilizwe kuwapumbaza hao misukule
@mozakhamis725320 күн бұрын
kuhusu ajira ni kupinga makachu forodhani.
@Bajei20 күн бұрын
Kupambania haki ni wajibu wa kila mtu
@tanzanite994420 күн бұрын
Wazanzibari shule Ndogo arlimu hakuna na Kulizungu hawajui, hizo fursa za utalii wataajiriwaje wakati Rlimu hakuna. Watu wanakatwa Kusoma badala yake wanaenda Madrasa Halafu wanataka wasjiriwe kwenye sekta ya utalii kuhudumia Wazungu waoongea Au kuelewa Kizungu tuu, how? Nendeni shule Wazanzibari mpate Elimu Dunia na sio kulalamika kila kukicha.