hiyo ni ujinga mtupu hafai kwenu. kwetu. ni. muhimu. sana. kwenye maisha yetu.
@mozakhamis725314 күн бұрын
hiyo ndio ccm wanavo fundisha. mungu atawapa lakuwapa. na mutamuona. hivohovo othaman wetu.
@kassimmohd13 күн бұрын
OMO. Ni mzalendo Kwa Zanzibar hao wengine Wana pigania matumbo tu.
@ShauriAli-o5y13 күн бұрын
Huyu ndie rais wetu
@mozakhamis725314 күн бұрын
othman. usijali. haoni majibwa pori.
@mozakhamis725314 күн бұрын
mungu ata walani kwa uwezo wake ishaalla. kila alobweka humo bungeni mtaendeleya kubweka mbwa. mpaka mwisho wamaisha yenu
@lusakaone778213 күн бұрын
OMO NDIO KIONGOZI WETU MAKINI, TUNAENDA NAE 2025 NDIO RAIS WETU.
@zuhurasuleiman745513 күн бұрын
yan hadi sisi vizazi vipya tumeona omo alichopigania zanzibar ingekua sio kitu tena km angekubali yote yale kuna wazanzibar kisa ni masisiemu walimtukana sana eti hafai naamini wengine saivi wanacheze jembe wengine wana magenge wengine hawana ata kazi za kufanya wakaz zaman walikua wabunge
@AbdullahKhamis-q8k13 күн бұрын
Huyu baba alikuwa kashalewa na pesa ili aendelee kuiyuza zanzibar
@mozakhamis725314 күн бұрын
wanaofaa ni mamayenu
@salehkhalfan734513 күн бұрын
Cha kusikitisha wengne waliompinga walikua ni Wazanzibar wenzetu tena ukiwaona ninwatu wazima kwa umr
@Mazrui2214 күн бұрын
Hapo ndio utajua ccm si watu wema hata akae nani huyu sheikh makoti mkali ni nani kwa zanzibar na jee yuhai mpaka leo
@khatibal-zinjibari695613 күн бұрын
BARAZA LA WAKILISHI KUWAKILISHA DODOMA Baada ya Kifo cha Karume lile Baraza la Serikali ya Mapinduzi limepinduliwa na Baraza la Wakilishi. Lengo ni kuwakilisha Chama Cha Mapinduzi badala ya Wazanzibari.
@mozakhamis725314 күн бұрын
wanavhokifanya nini
@HvhVvb-k3i5 күн бұрын
Wasaka tonge wengine washakufa ktk hili bunge wengine wapo mitaani wanahangaika na maisha mitaani Kuna maisha baada ya kusaka tonge madarakani