Mimi nimeota sana hizo ndoto nikiwa shule nafanya mitihani mara nyengine niko hata na watoto wangu huko na kufukuzwa mbio na ngo'mbe ni kuona nafanya tendo la ndowa kuota niko mbele za watu niko uchu kuota nakula chakula kuota nafukuzwa mbio ni mambo mengi na saa hii hali yangu sio nzuri
@Gindi-v7g2 күн бұрын
You need fasting and prayer,hii mambo yote ni uchawi,washindwe katikajina la Yesu Kristo.