Mungu katupa mwalimu huyu.tutunze kile tunachofundishwa ILI KATIKA hao wafundishwa tuje tumpate wa kufanana Naye MAANA hatuwezimpata Kama yeye.Mungu atutunzie chakula hiki ndani YETU MUNGU akubariki sana Mwalimu.Amen
@avitrujweka211311 ай бұрын
Somo zuri sana 🙏❤👏👏👏
@claudiajosephmselle5091 Жыл бұрын
Namshukur Sana Mungu kwa ajili ya Mafundisho haya
@neemamaganga97743 жыл бұрын
Amen wewe ni jeshi la Bwana Yesu. Mungu Baba, Mungu Mwana Mungu Roho mtakatifu akuongoze siku zote ktk maisha yako kisha siku moja uende mbinguni. Amen
@fgao1071 Жыл бұрын
Oooh nimebalikiwa leo 2023 Mungu Asante kwa,kutuachia mwalimu huyu duniani
@happydorcasmollelmollel61144 жыл бұрын
Baba mungu ulieweka watu kama hawa duniani mapenzi yako yatimizwi.naomba endelea mtumie mtumishi wako amen.
@venancelaurent43 Жыл бұрын
👏👏👏👏
@doricejoel61853 жыл бұрын
Amen Asante Mungu kwa ajili ya mwl Mwakasege, kutufundisha,,nilikuwa naomba kwa mazoea sasa ninejifunza kitu naomba Mungu aendelee kunisaidia Amen
@bdaimon093 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajili ya mafundisho yako mazuri mtumishi wa Mungu, Mungu andelee kukupa maisha marefu kwa ajili yetu.
@beatricechalamila15752 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu, hakika wew ni Mwalimi M/Mungu akujalie maisha marefu kwa ajili ya sisi wanafunzi wako Ameeen.
@Emmmwww10 ай бұрын
🤜🤛🤝nu
@elizabethkisamba79614 жыл бұрын
Asante sana mwl kwa kweli hii sala nilikuwa siitendei haki. Umenivusha pa kubwa sana. Kila mafundisho yako ni full package. Nitakula maisha yangu yote. Nimesikiliza zaidi ya mara mara kumi na bado nitaendelea kusikiliza.
@praygodabnery3385 Жыл бұрын
Whenever i listen to this Servant of God is where i realize sometimes i don't even deserve to be alive due to wrongdoings I've done to my living God but because of his mercy that's why I'm still alive. 😢 I need God more than i think
@sulpisierasmo Жыл бұрын
Amen
@EmmilianaMollel-k3v2 ай бұрын
Ameeen
@ivonaevarista46543 жыл бұрын
Atukuzwe Mungu wetu Yesu Kristo,,aliekupa Roho wake mtakatifu kwaajili ya kukufunulia haya ili utwambie,Mungu azidi kukupigania na kukubariki na kukutumia zaidi mpaka shetani ajute kujisahau kwanini aliruhusu umjue huyu Mwamba Yesu wetu.ubarikiwe
@Ms_Kasege Жыл бұрын
Mungu ametubariki sana kutupa wewe mwalimu 🙌🏽🙌🏽
@Joylinemakeup6 ай бұрын
Amen 🙏 sana nimebarikiwa nasomo la Leo, Mungu azidi kukulinda,(Mwl mwaka sege)
@MamboshoGidioni Жыл бұрын
Barikiwa baba mungu aendelee kukutunza unapanda mbegu njema kwetu tunazidi kukua kiroho Ili tukomboe na ndugu zetu
@bernardmkuffya51713 жыл бұрын
This is a divine teacher i have never seen,full of examples that will make u understand the word.Thanx YEHOVAH for having such a servant of u.Man of God you are blessed.
@ruthmagawa83932 жыл бұрын
GOD bless you man of GOD you are a divine teacher
@furbenj74052 жыл бұрын
Amen my Father Thanks hakika Yesu ni mfalme wa wafalme naomba Mungu anirejeshe kwenye nafasi aliyoniitia na kuniweka nimepata vita sana kila eneo hadi huduma nikaacha kwanza ila naomba maombi zaidi Niko tayari kurudi upya
@marthachomba38693 жыл бұрын
Ahasante mtumishi nimepata somo zuri sana nililokuwa silieliwi kwa undani barikiwa sana
@jacksonbiswalo83603 жыл бұрын
Amakweli ww ni Mwalimu wa Wachungaji.Unauelewa mpana sana ktk kufafanua maandiko.Ubarikiwe sana.
@BARTHOLOMEWKEKE-ik7np Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu Alie hai,,Nafurahi kujifunza SoMo hili Kwa kutumia Sala ya BWANA
@FlorenceEmmanuel-ki3mo6 ай бұрын
God bless you dady Mungu akakupe maisha marefu ukatembee katika zaburi ya 128 ❤dady
@lazaroraphaelmwandosya70104 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu kwa mtumishi wake hakika nashiba kwa kupitia neno aliwekalo katika kinywa Cha mtumishi na mwalim mwakasege, Mungu aendelee kukulinda sana
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..
@samykarahu45614 жыл бұрын
Mwalimu Christopher Mwakasege,wewe ni mwalimu wa baraka kwangu.mafundisha yako yamenipandisha kwa kiwango kikubwa ingalao nakufwata kwa umbali.asante kwako nabii wetu wa ki Africa.nilikufwata nikiwa Congo karibu myaka 8 sasa.imani hii ikanipandisha mpaka kwenye chuo cha Biblia kenya.naleo nakaribia mwisho wa shule langu.twakutakia maisha marefu.
@benadethafrancis52232 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu mwenye heshima, asiye na mawaa, asiye na tamaa. Mwl. Rabi yatosha. Watu km Hawa wakitwaliwa wanakuwa wamemaliza kazi Ameacha alama. Mnyenyrkevu. Mungu aendelee kukutunza. Asikutwae mpaka atupe mwingine km wewe. Kwa Sasa hatuna bado, wote wanatamaa ya Mali, wanahubiri mafanikio, wanamtukuza shetani kwa kumfanya ana nguvu Sana. Hawatufundishi habari zako wewe Mungu wa kweli. God bless you so much Mwl .
@bernadethashiduki69362 жыл бұрын
Hakika Mungu mlinde mtumishi wako mwakasege
@nyemoleonard10004 жыл бұрын
Amen, mwana wa mungu nimejifunza kitu ambacho sikuwahi kukijua, mungu awe nawe siku zote
@rehemamwembe23632 жыл бұрын
Asante sana kwa Neno la Mungu.barikiwa Zaidi mutumishi WA Mungu 🙏🙏
@luhamba68522 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba Mungu azidi kukupaka mafuta
@margarethmwaibasa3697 Жыл бұрын
Yesu endelea kumpa maisha marefu ili tuendelee kujifunz toka kwake kwa yale maagizo unayompatia .mlinde na roho mbaya aishi mpaka ujapo.
@makrinakalinga60343 жыл бұрын
Ooooooh position is matters in everything that's why when you loose position you can't see the God .l have learnt be blessed teacher Christopher mwakasege❤️💯💯💯
@catherineaugustine71243 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuyasikiliza mafundisho ya kuijua NGUVU ya Sala ya Bwana. BARIKIWA SANA Mwl Mwakasege🙏🙏🙏
@ElizaPius5 ай бұрын
Mungu akulinde Kila siku nakupe maisha malefu aminaaaaaa
@wansibho5543 жыл бұрын
Amen praise Jesus 🙌🏽 watching this from China 🇨🇳 be blessed man of God
@jenetanyango5004 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mwalimu jinsi umenibariki na fundisho hili. Mungu akuzidishie upako wake.
@mwinzifrancis13514 жыл бұрын
mtumishi wa mungu ubarikiwe..naomba mungu mipaka ifunguliwe..ninunue viti mia moja.nilete kama nadhiri yangu kwa Bwana.Mungu...nilete Arusha Kanisani.
@carolineg.32762 жыл бұрын
Blessed be the name of the Living God, listen it today September 2022 and it is soo fresh.
@vickydan28692 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji kwa mafunzo yako na mahubiri Mungu akupe umri mrefu zaidi watu wajifunze kupitia ww
@TimothEmanuely Жыл бұрын
Asante MUNGU kwa NENO,Naomba Bwana kuna mengi nimekukosea naomba msamaha sana BWANA ili siku moja nami niulithi ufalme wa MUNGU wetu.
@DanielHope-q5wАй бұрын
Asante kwa haya mafundisho, namshukuru sana Mungu!
@NdengaLaswai Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤mungi inoongoze katika hi mungu mpe mtumishi wako huyu neema katika miaka yako
@piussalama54854 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukutunza. Nimeongeza imani na mafundisho kupitia hili somo
@elikamoses1042 ай бұрын
Kaka hata kwa kutuhumiwa vibaya hivi usipuuze ila namwomba baba Mungu azidi kukuimarisha zaidi na zaidi Asante baba Mungu aliyekuweka hapa duniani
@TharciceMisebeya Жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana me mwalimu mine barikiwa na mafundisho
@jonaskaaya38923 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi wa Mungu Mwl. Christopher Mwakasege
@davidmoris42562 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako MTUMISHI
@naomiobeld-hq1eu Жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mtumishii wa Bwanaa Mungu mtumie zaidii atuvushe
@FlorahHillary Жыл бұрын
Amina mtumish nabarikiwa kwa mahuri yako
@mwangelyboy-bh3jy Жыл бұрын
Amen Mtumishi naelewa zaidi
@neemamwambaja18564 жыл бұрын
Baba somo zuri sana.niliposali Sara hii Mungu alinionyesha Mambo ya mazuri ubarikiwe sana
@leonidakashula1485 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
@toutvoirtv47772 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa saana, shukrani saana kwa mafundisho haya....
@averinamarco10703 жыл бұрын
Asante Mungu kwa kumleta Mtumishi wako, ili atuhudumie nabarikiwa Sana naafundisho ya Mwl. Mungu endelea kumrinda umpe miaka mingi na uzao wake ubarikiwe
@safeworldwide99294 жыл бұрын
Jina lako Yesu na litukuzwe milele na milele kwa ajili ya neema uliyotufunulia katika mwanao Christopher Mwakasege ndugu yetu katika ufalme wako.
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ...
@benjaminfernandes55993 жыл бұрын
Asante sana My Father kwa ufunuo wa Sala ya Bwana nimepata Siri na uelewa be Blessed
@orysepapy19412 жыл бұрын
Vraiment ubarikiwe sana muchungaji tunaelimika sana kupitiya neno hili
@martinuswege44923 жыл бұрын
God may your name be glorified. Thanks, Mwl. Mwakasege
@mariamsebogo98162 жыл бұрын
Amina kubwa mtumishi Mungu akuinue na kukutia nguvu katika huduma.
@AnteriusCosmas Жыл бұрын
Asante mtu wa mungu kwa kutulisha chakula cha kiroho
@agnesschirstian92264 жыл бұрын
Baba hasante, nimepata ujumbe huu mikama muombaji nimepata kitu, ubarikiwwe zaidi Baba tunakupenda tunamshukuru Mungu kila wakati kwaajili yako.
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..
@joshuabweli10184 жыл бұрын
Asante sana Mwl.mwakasege kwa Neno LA mungu,Mungu akubariki naomba maombi
@charlesmushi11653 жыл бұрын
Eeee mwenyezi mungu nipe nguvu yakukujua vema ,mbariki Mtumishi wako
@sarahkizindo65894 ай бұрын
Mungu akulinde Mwalimu❤
@AlexKilindi Жыл бұрын
Mungu akutunze mtumishi wa Mungu tunabarikiwa sana na mafundisho yako
@RayJackie Жыл бұрын
Zaman mtumishi nilkuaga sikuelew lakn saiv nashukuru Mungu nakuelewa vzuri sana
@enockm.maduhu83863 жыл бұрын
Asante sana Mwalimu, ninakuelewa vema!
@naomiedward77542 жыл бұрын
Amina ubarikiwe baba kwa ujumbe mzuri
@janethjakobo47243 жыл бұрын
Asante mungu kwasiku yale naomba ukaniogoze katika njia nitakazo pita
@samjooidabal78833 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki mtumishi umenifumbua macho yangu ya rohoni🙌🏿🙏🏿
@hurumachristopher94153 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu yenye afya ili uendelee kutupa chakula cha kiroho na tuendelee kuimarika na kukua kiroho
@renmumbo1004 жыл бұрын
I can listen to such teachings for a whole day. I need salvation. So help me God.
@loycemalima74902 жыл бұрын
Sala hii mwalimu unibariki sana.
@grace.yohanayohana27452 жыл бұрын
Gjklu
@sabinasellestine30462 жыл бұрын
@@loycemalima7490 b
@gloriakawago62234 жыл бұрын
Asante baba nimejifunza Jambo kubwa mno, hasa kuhusu Baraka zangu ni za Ismail au ni za Isaka na juu ya Msamaha, Glory to God.
@elizabethlutindi88133 жыл бұрын
Nashukuru sana Mungu kwa Bwana wangu Yesu kristo ambaye amekupa wewe mtumwa wake zamu hii kunifundisha.kwahabari ya Sara ya BWANA.
@InnoNestory6 ай бұрын
Baba mungu akupe maisha marefu mtumishi ira nakukubari sana
@noeljaphet63394 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa kutupa Neno lake... ubarikiwe Baba
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ...
@user-Ndashuka001 Жыл бұрын
Amen. Nimebarikiwa sana
@heriminamichael82314 жыл бұрын
Am always blessed with this man of God. May God bless u soo much. All in all glory be to God!
@lilianekumar9474 жыл бұрын
Nimejifunza mambo mengi Sana , mtumishi wa BWANA MUNGU akubariki Sana .Kama nilikia hatua tatu sahivi zimwkia hatua sita.
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..
@ayubunaandi8013 жыл бұрын
@@lilianekumar947. à
@jacksonshokut41402 жыл бұрын
Glory to God 🙏🙏🙏
@leahlunyungu8415 Жыл бұрын
Yesu akutuze Baba yangu, uendelee kupata mengi zaidi katika nyakati hizi tulizonazo
@godlistenmsuya58282 жыл бұрын
Created by heaven for heaven. Ooh! Amen, Haleluya...
@happyjordan78382 жыл бұрын
Yes God is good. All the time
@doreenminja2913 жыл бұрын
Amen Amen man of God, tunabarikiwa 🙏🏽🙏🏽
@hermantega82692 жыл бұрын
walio shika nyota zao ktk jina la Yesu achia ( ivan kudoja, Octaviani Tega , ceyline Mollen, Regula Kimarihyo, Veneranda na wengine wote na kwangu pia. damu ya Kristo asante kwa kumaliza mtihani wangu
@phanicekhaleji75872 жыл бұрын
Am blessed with this teachings
@sedekiabilijite55164 жыл бұрын
Somo hili limekuja kwa wakati wake ,Asante sana Mwalimu leo nilikuwa down lakini kwa somo hili Mungu kanihuisha , Mungu abariki na familia yako kazi yako sio bure
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..
@doreenmusee69084 жыл бұрын
Thankyou Mwalimu for this great alignment.....It has brought me back to my place of purpose at my work place....Kingdom first...am a gate to Gods Kingdom here...God lift you zaidi
@doreenmusee69084 жыл бұрын
@TOURE OUSSEINI JEAN-LUC I don't appreciate sir....would ask you to kindly keep off and steer clear of pages that don't concern you
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you .
@federikakitaluka69843 жыл бұрын
God bless you teacher Glory to God.. Amen
@brightnessdiu98902 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
@minzajoseph15832 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi nimejifunza kiti kikubwa kwenye maisha yangu
@anethcharlz61143 жыл бұрын
My mentor mwalimu wangu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@DianaShayo-io1pz Жыл бұрын
Amen 🙏 napokea Kwa jina la YESU KRISTO
@emmanuelkayuni7615 Жыл бұрын
Mungu Asante Kwa kuweka chakula ndani yake,ulinzi mungu ni wako
@NaomiAlex-ih5sw4 ай бұрын
Umefanyika baraka sana kwenye maisha yangu MUNGU akulinde 🙏
@edwardyusufu63163 жыл бұрын
Nabarikiwa na mafundisho yako lakini mwalumu unapochomekea maneno yakingereza sierewi.Ukilitamuka basi jitahidi kuritafsiri. Ubarikiwe.
@zamdathyugalila60433 жыл бұрын
Mungu akupe Maisha marefu Baba Nabarikiwa sanaa, siku nikionana nawewe nitafunguliwa shida zangu Mungu Akubariki🙏🙏
@julianabenard33262 жыл бұрын
Mungu akubariki sanaaaa katika huduma
@eliasfijabo9453 жыл бұрын
Amen mtumishi,somo limenifundisha.
@gloshyjm23753 жыл бұрын
Indeed, this is a great lesson from a man of God! Be blessed Teacher Mwakasege
@korathomas12493 жыл бұрын
Mafundisho ya kina sana
@Meshacklaizer-d8v Жыл бұрын
Mungu akubariki mwalimu, akucidishie miaka
@verrynicemushi25633 жыл бұрын
Katika somo hili nimejikuta kweli navutwa kumtafuta Mungu zaidi
@amwesigaherman11623 жыл бұрын
Mwl. Mungu akubariki saana kwa kutumika vyema kwa ajiri ya roho zetu. Mungu akupe kibari uwe na semina ya wajane.
@josephrutta44794 жыл бұрын
Asante Mungu kwa mafundisho haya kupitia kwa mtumishi wako liwe sehemu ya maisha yangu Asante Papa Chris love u Dady
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you ..
@GraceRichard-fn3yk11 ай бұрын
Kiukweli najivunia sana nguvu ya mungu ndani ya mtumishi wake mwakasege, shetani mshamba tuu
@simonmwambene44412 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumish
@daudliyanga38283 жыл бұрын
Hongera kwa mafundisho mazur mwl mungu akupe maono mengine zaidi
@asumwisyesunyodi43774 жыл бұрын
Baba Mungu amekuwa akiongea na mimi kupitia Hili somo. Nimesilikiza kwa makini na Kuirudia zaidi ya Mara Tatu sasa ndani ya Siku moja. Namshukuru Mungu kwa Ajiri Yako.
@mintheophilussunday18134 жыл бұрын
Beloved, I don't know you in person but God knows you. God ministered to me in a revelation when I was on your profile to see things around you,I saw blessings but spiritual attacks holding onto them,in prayers,i saw a woman in the realm of the spirit monitoring and plotting delay in your life, with an evil mirror, and with motive to destroy. But as I speak to you now her time is up, Render hand of favour with Anything you can afford or give to these motherless foundation (Godstime MOTHERLESS FOUNDATION) in kebbi state Nigeria before 2DAYS with faith, as I Rise my hands towards heaven and pray for you they shall serve as point of contact wherever you are, you will receive double portion of grace to excel and total restoration of breakthrough in your life and in the life of your family. Ask for their acct details and help them call the MD in charge of the orphanage to get their details on (WhatsApp or call them now on +2348079861301) tell him I sent an you. For it is not by might nor by in power but of the spirit saith the lord (zechariah 4:6). You shall testify to the Glory of God in your life. God bless you .
@mosessimfukwe76663 жыл бұрын
@@mintheophilussunday1813 powerful message man of God 🙏