Mtangazaji yupo vizuri sana kwa kuuliza maswali! Big up sana kijana. Dogo
@asmakassim11454 жыл бұрын
Antoine A. KATEMBO nataman nipate namba zake tu aw rafik yangu
@asmakassim11454 жыл бұрын
Antoine A. KATEMBO namba za mtangazaj
@antoinea.katembo53264 жыл бұрын
Asma Kassim oh okay, embu ngoja nizikusakie nazo. Na upo wapi Asma?
@anuarabdullrahman59934 жыл бұрын
Eeeh bhanaaa eeh kama una amini dada ake laizer yupo vizuri gonga like tuende sawa
@Dm-yq9wn4 жыл бұрын
Daaah watu wametokea mbali sana mwisho wasiku mtu akifanikiwa freemason
@guzomc2554 жыл бұрын
Kweli kabisa kabisaaaa
@aggreyenock12214 жыл бұрын
😂😂😂
@krisongalax17363 жыл бұрын
Eee😂
@stellambeca59134 жыл бұрын
Wow the guy seems to appreciate wazazi wake nd ako proud na home,,, i gv u a thumbs up 4 dat dude.. ila do smthing,..
@TheSalma19994 жыл бұрын
Kumbe ana kipaji cha kuchora ni msanii Mungu atakubariki zaidi kaka yetu asante kwa uhalisia God bless you and your family
@alifujo41534 жыл бұрын
Napenda the guy is real hakuna kufake...big up lizer
@costaaramu783 жыл бұрын
K town!!!!💪 dondosha like kwa mnyama lizer
@sarahsamsoncsermak42494 жыл бұрын
Yaani wewe mtangazaji, I like your ethos. Inaonyesha umelelewa vizuri. Mungu akubariki na usibadirike.
@Agnes-qq4np4 жыл бұрын
Yeeeeeee🤔🤔🤔🤔🤔Lizer kumbe uko muongo Burundu kwetu uli hit sana kaka unatucukiza
@silaonesmo13224 жыл бұрын
Lizer mtoto wa Shee khamis one love
@djgeorgekiller36174 жыл бұрын
🤣🤣🤣😂
@franklinemoi85164 жыл бұрын
Shida ni unapofanikiwa tu kisingizio FREMASON!!! Daah 😭😭😭
@mahadsayyed74754 жыл бұрын
Ndo shida tuliyonayo wabongo kitu kidogo Freemason hasa cijui hatutaki tuwe na maendeleo na hipo steji mtu unaona ukainvest mbal kuliko hapa aloooh
@mohayare56594 жыл бұрын
Si bongo tu .... ila waafrika wote hukua ivo !! Ukifanikiwa kidogo tu ... freemason
@mwalukoerick28014 жыл бұрын
Frankline Moi
@mwalukoerick28014 жыл бұрын
Frankline Moi sa
@thedoctor83014 жыл бұрын
Wivu na chuki za mtu kufanikiwa ndo hutufanya kuwa hivyo ili tuwachafulie washuke
@pickfordjustin34324 жыл бұрын
Baju by big fizzo prod lizer classic ndo nyimbo nilimkubali lizer Ndani ya buja record
@peterbaton52512 жыл бұрын
Dogo Anaesema Ww Nimrundi Anakosea Japo Tumecheza Wote Mpl hapo Regeza Mwendo Siraju A.k.A Mtoto Wa Mwalimu Maisha Nisafar Ndefu Sana
@benjaminfataki68984 жыл бұрын
dah jamaa katokeya mbali kweli haifai kupuuziya maisha
@ibrahimumoisebaraka89483 жыл бұрын
Lizer clasic Noma sana from 👉🇨🇩 DR Congo🇨🇩
@Semavumba4 жыл бұрын
Lizer sisi njo tulimpokea Burundi, nyimbo zake zilikuwa zinacezwa kwenye radio hadi leo nyimbo zenye ame produce zinacezwa
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Kabisa zilikuwa zinachezwa hapo kadanganya Laizer
@ndayisengaprosper96254 жыл бұрын
Unafiki huo eti nyimbo zake zilikua hazicezwi nimwongo sana
@jafaridris96624 жыл бұрын
shukraani
@egideyakobo15654 жыл бұрын
ProjectZ nime musoma sana Lizer Ametaka kusema kama Yeye alijulikana bila Ledio kuliza nyimbo zake Wtu mkifanikiwa Kushukuru ni balaka sana Kwanza lizer Jina lako lilijulikana Kipindi Ana fika bwiza Arijurika kupitia nyimbo za wa Sani wa Burundi ukitaka uwakubali usiwe una Sema ivyo ukiendelea Siku ntakuwa Mbunge Burundi kirawimbo ntakalo sikia Eti Lizer Kufuta kama Dawa ya kulevya wew huna shukrani Kwanza umshukuru AMR na Sebo nawengine Ma Produc wa 257
@ndayisengaprosper96254 жыл бұрын
@@egideyakobo1565 ujinga anawo sana binadamu hawana shukrani arikua anajuatu kubebesha mimba wadada zetu kaone utazani kanamezamawe
@mohddon98994 жыл бұрын
Mwana Habari kiboko unalenga points kabisa hongera kaka... Making lizer soo uncomfortable but it's a good challenge he has given lizer to improve the living standards of his home
@abdullahbabaseif66084 жыл бұрын
Wanayejuwa kuwa lizer classic ni Mrundi halisi tujuwane kwa Ku hit the like booton
@Showdeemo364 жыл бұрын
After all hits you made for wasafi..come on
@hilarykamana88174 жыл бұрын
Daaaah huo mwembe since npo darasa la 1# katubuka om swtty om Mapka leo upo
@rebyredkdaud67054 жыл бұрын
Anapoitaja hit man record nawakumbuka kina fad moe, changedolar, gaz but, Obd
@ismailmajala28024 жыл бұрын
Mzee mnapokuwa mnahojiwa epukeni kusema saana ukweli eti silijuhi darasa langu mara natoroka 🤦🏽♂️ Sasa Watoto wetu tunaowasomesha Kwa gharama wakisikia na kuwaiga simmetupotoshea kizazi Jamani 🙏 ongea lkn usipitilize next time
@volderbnbyjuka49064 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@fedyrunya14 жыл бұрын
R.I.P rumbaza ndiye kanifunza kuimba
@sefujangama8464 жыл бұрын
Raiza uko lebo kubwa sana jitahd udondoshe mjengo wamaana siyo iko kibanda kaz njema
@freshiamwangi28204 жыл бұрын
Woose a you lizar? But too young and longway to go pliz msimuhukumu kwa mazingira
@nicadahsamuel17644 жыл бұрын
Na kujenga ni majaaliwa
@emmanuelnzaligo62624 жыл бұрын
Mmetisha.
@upendovahaye22284 жыл бұрын
daaah nitatoboa tu,kumbe wote tunakoanzia struggling kunafanana
@tizotouchz4 жыл бұрын
Upendo Vahaye unaubini kama wangu aiseee 0762080685 Tujuaneee bx
@studioonebyone87944 жыл бұрын
mrundi uyo kwao burundi. Rumonge
@safiaimran7123 жыл бұрын
@@studioonebyone8794 kabisa uyo mrundi
@daniellado15813 жыл бұрын
You have international Fans, could you do interviews in English
@agustinorichadi12532 жыл бұрын
Safi sana 🔥🔥🦁 sasaivi ulikua moto 🔥
@deadcrush4 жыл бұрын
Mama ata acha kukanusha kama utaweza kusafiri kwenda mwezini. cool music.
@uwimanauwimana73034 жыл бұрын
nimeyiona shule ya katubuka la kitambo 😳
@Benedictpouan4 жыл бұрын
Leizer bhana Yaani hata darasa lake hakujua 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zabibunduwimana46124 жыл бұрын
Mutangazaji uko vizuri sana😂😂😂🙌🙌
@salehjamhur28683 жыл бұрын
Lizer home sweet home mkataa kwao mtumwa
@mohamedfogo88204 жыл бұрын
Hapo sawa lkn mbona kuko poa tu maana kuna wengine kwetu hapo pazuri
@fatmaathuman67064 жыл бұрын
Na hayo maziingira huwa nayafurahia sana
@nicadahsamuel17644 жыл бұрын
Na hapo sio kwake
@wemaroy15354 жыл бұрын
Lekebixha hme plz ndo cfa kuuu😍😍
@davidtimothy55804 жыл бұрын
From 254 tena 001 just got inspired
@Purity4934 жыл бұрын
🇰🇪💃
@mwalimunyerere4 жыл бұрын
Tanzania ni nchi maridadi sana! This video gives me nolstagia.
@studioonebyone87944 жыл бұрын
tatizo la ndugu zetu warundi wanabadili ukabila sana. lazia ww nimrundi bana asha ongo bana. Q -BOY leo jee anashindwa ata kurudi buja juu ya ujinga eti ni watanzania 😂😂😂
@oookkk39654 жыл бұрын
Wa BURUNDI WA sasa nom nikila mtu na maisha yak na mzik hatujal kbs
@patrickmsangi28924 жыл бұрын
Daah Lizer ifike kipndi umuogope Mungu daaah aisee siwezi nikasema mengi lkn angalia usije ukasahau chimbuko hahahah nakufahamu saana mnooo umeongea uongo tu !!!!!!
@nkurikiyeaugustin6564 жыл бұрын
Burundi guys don't lie brother
@taslimanyange28504 жыл бұрын
Muacheni mwenzenu na nyie si mkadanganyee
@paulebby15524 жыл бұрын
Hao mabwege wanadhani kila mtu tajiri
@shabankawambwa43974 жыл бұрын
Kaza bro usijisahau
@emmanuelmwambona34384 жыл бұрын
Mond please do something for Lizer at their home. Mnogeshe dogo aisee
@ismailally49834 жыл бұрын
Motown Sanya Nakukubal xn Mzee Unajua Bg up kwako.
@nkurunzizaachel69294 жыл бұрын
Kweli kabisa 😭😭😭 lize
@sistersade90394 жыл бұрын
lizer inasikitisha kuona nyumba ya wazazi wako hali hii wakati miaka mingi ushakua na mafanikio, ata ungekua kila mwaka wafanya kidigo, leo wangekua wanaishi kwenye mazingira mazuri. jamani musisahau wazee wenu.
@ubuntubantu24042 жыл бұрын
Usimuhukumu
@tumabhay85764 жыл бұрын
Hao wanokaa wakalaumu humu utadhani wao wanayafanya hayo. Inawezekana hata makwao hawapiti kabsaaaaa na hawawashughulikii wazee wao hata kwa robo ya sukari.
@lifestarkoech7594 жыл бұрын
Hamjamfanyia poa lizer
@nkurunzizaachel69294 жыл бұрын
Kweli kabisa max studio
@tonyspencer19284 жыл бұрын
MashaAllah mama
@rabanphotostudionyakanazi_4115 Жыл бұрын
Naomba namba ya lize
@bakermiles28664 жыл бұрын
Mwanangu uko vizuri sana kuhoji ila twataka kwenu pia 😂😂😂
Kwn mond anausiana vp, yy analipwa yy xaxa ndio anatakiwa afanye kwao, Mond amecheza party mambo ya kwke mond hawez jenga nyumba kwa laizer
@zakyahya46454 жыл бұрын
@@johnyonas1429 elewa tu kama mondi anawanyonya wasanii wake wote ata ukiangalia maisha ya mama ake vanboy ni kinyanyaaa nyumba ovyo anauza ndizi bukoba na ndizi mbivu uko kwao maisha mabovu ata kuwaza kuwasaidia wazazi wao awakumbukagi kabisa yani lakini tukirudi kw yeye mwenyew diamond mama ake anaishi maisha ya furaha na kutukana kila mtu kwa zarau za pesa zake akuna wanacho kipata ujue ivyo
@hassanmapenzi61884 жыл бұрын
Bana mondi ajengee wasanii wake kwao
@hassanmapenzi61884 жыл бұрын
Magari tu ndio wanabadilisha
@JOHN-RAY3 жыл бұрын
Wah
@agnesvintan15384 жыл бұрын
Tatizo wasanii wanavojiweka ndo mana wazazi hawapendi mambo ya usanii,,hereni hzo na nywele mhh
@maryammohd59944 жыл бұрын
@let's play rijal muisalm. Asijifananishe na mwanamke ni haram..hatakiw kuvaa herin..mikuf wala bang il..pia asifuge nywele zikafika nchi 2...ni haram
@mosesnyamhanga4494 жыл бұрын
Huyu mtangazaji yuko poa sana! Hongera san
@daniellaswai14644 жыл бұрын
Huy jamaa sio mmasai kumbe
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Hahahahha Laizer amanichekesha sana eti alikuwa hajuwi darasani kwake??? Hahahahha ni hatari
@iga20234 жыл бұрын
Lizzer anadanganya saana kusema kwamba Burundi balikataa kupiga nyimbo zake juu ni mtanzania siyo ukweli juu Burundi tunasikiliza nyimbo zote kabisa tena za kila lugha.
@jmass99204 жыл бұрын
Kama hata wewe ukiamua unaweza kutoka na kutusua gonga like za kutosha!
@misanamohamedi84384 жыл бұрын
Bora umeweka wazi,maana warud walikua wanasumbua wakisema we ni wakwao Sasa jibu wanalo
@erickayo36034 жыл бұрын
oyoooo together mzee babaaaa
@jullyl6284 жыл бұрын
KEEP IT UP....👏
@kawanjiras11454 жыл бұрын
Ayo Lizer 254 🇰🇪👊
@ashuramhando52854 жыл бұрын
Huyo mke wa laiza mh hata wazazi wanaonekana hawajaridhika ni mtu wa matumizi Sana sijui Kama ataisaidia wazazi hata mama kasema mpaka umuombe duh vijana msipende kujikweza wanawake wengine wanaangalia maslahi haswaa
@tangaboymedia31244 жыл бұрын
Pambana Ukifanikiwa Wakujue kuliko UNAVYOJIJUA 🤛🤛🤛🤛
@Lumegilemukata4 жыл бұрын
kaka nakukubali sana
@luckymartin.4 жыл бұрын
Maximum rec naipata vizur was top in KgTown
@J4UPro3 жыл бұрын
Safi Sana layz
@alihakizimana72064 жыл бұрын
Mama asante kazi ya halam ni mbaya 🇧🇮🇧🇮
@officialmrtop10184 жыл бұрын
Sasa kama ni haramu inakuwa je wanapokea msaada wake??
@ashahahahahatwendenikwetut38264 жыл бұрын
😆😆
@hidoxtz35594 жыл бұрын
nimependa san ukwel wa maisha yak fund lizer kikubwa maboresho tu ya hom boe naniwasanii wachache san weny moy uwo
@abeid7134 жыл бұрын
Good interview
@utamuwaleo19704 жыл бұрын
bro bonge la presenter, unajua sana kaka
@deboramatpapaztv4 жыл бұрын
Eti mie jamani mie zamani nilijua eti laizer ni Mzungu😂😂😂jamannnn
@jovaswai15874 жыл бұрын
HAHA
@agnesburton32154 жыл бұрын
Hahahaha!
@mtaanasanaa65574 жыл бұрын
Mambo
@khadijahomankweliyamjahaya74214 жыл бұрын
😂😂😂wewe kama mimi nikisikia hizo nyimbo na kumaliziwa na hilo jina jamani nilijuaga ni bonge frani hivi kumbe anakamwili sipo ma shaa allah ,
@jeshpeter63534 жыл бұрын
@@mtaanasanaa6557 yan wew umenichekesh eti nini 😅
@AfricanMonster-q9x4 жыл бұрын
Lizer burundi tumekumiss ila umetusemea uongo eti nyimbo zako hazikuchezwa rediyo, duh
@yaedlifemedia32034 жыл бұрын
ujamuelewa boi ila mchiz alichosema ngoma zake zilikiwa zinachezwa ila kuna muda walikuwa awazichez kisa mtz
@hassannahimana84754 жыл бұрын
Laizer kasema wongo sana eti nyimbo zake azipigwi kwenye redio
@ShijaMaduka-zs4hf Жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana kutoka kwa. Lizer aisee stochoka kuhaso by jay flavour boy
@naimamunishi12414 жыл бұрын
Not fair, tutambue kuwa tukipata rizk cha kwanza ni wazazi jamn 😪
@rusakanyohenry69324 жыл бұрын
Lkn kuwakumbuka wazazi sio lzma mpka ujenge.mfano binafsi nyumbani kwa wazazi bado cjajenga lkn wanachohitaji nawatimizia na baraka wanatoa kama zote lkn pale maisha yakininyokea vizuri na ushajenga pakwako then unawajengea na wazazi. Sasa wewe mwenyewe hata nyumba kama hiyo ya wazazi huna unaishi nyumba za kupanga unataka nijengee wazazi wakati ya kwangu tuu nimeshindwa😁😁😂😂😂
@raymondmalingumu96924 жыл бұрын
Lizer apo huna kosa kujenga ni kazi ya dingi ako
@yoramswagala67157 ай бұрын
Kwa kweli
@jamesokinyioyungu49803 жыл бұрын
Watu hutoka mbali... Kila mtu na historiake... Determination to success...
@manigamzawa4 жыл бұрын
Amejibu vizuriiiii mama
@deboramatpapaztv4 жыл бұрын
Kweli unaweza zaa mtu tofauti..wazazi swala 5 kijana producer duh
@hassanovajunior69724 жыл бұрын
Sio mbaya Lizer ila wafikirie sana Wazazi bro
@mrbashe.a85094 жыл бұрын
Mwanangu zingatia wazazi wako na watoto wote kwa ujumla,inaonekana nkama hao watoto wako wawili wa nyumbani hauwatambui kabisa.