AZIMIA NYUMBANI KWA DULLVAN / HUYU AKIFA NIFUNGWE MIMI | HIVI NI KWELI

  Рет қаралды 197,661

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 331
@mwanasitisalim3606
@mwanasitisalim3606 Жыл бұрын
Salute Kwa vullivany Kwa maswali yake,yupo vizuri sana kisheria
@ashahassan7414
@ashahassan7414 6 ай бұрын
Sema Duli ana roho nzuri pia amefunzwa bhana
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 3 ай бұрын
Sanya umetisha sana na watu wako,wanaweza sana kuingiza❤❤❤🎉🎉🎉🎉🌹🌹🪴🪴
@skulstar5955
@skulstar5955 Жыл бұрын
Ndomana mama hataki nikae mwenywe 😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@harounali9057
@harounali9057 Жыл бұрын
Sisi hasa tuna binaadam mwingi na huruma sana wakati mwengine wema una weza kuku zuru.
@rehemamsengo2805
@rehemamsengo2805 Жыл бұрын
Yan Sanya anavyouliza maswal kama sio yeye Allah akupe umri umrefu ila dull daaah kanywea😅😅
@tabbygud2333
@tabbygud2333 Жыл бұрын
Jamani, Mwenyezi Mungu Atulindie Walinzi wetu woi... Kila Kesi mlinzi jamani
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 Жыл бұрын
Eti Haya ni maswali ya police kesi hiyo😂😂😂😂😂
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Dula na ujanja wote kupatikana leo😂😂😂
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Daaah!!!!!!!!! Walinzi tuna kazi Sana Kwakweli changamoto ni nyingi mnooo 😂😂😂😂😂
@MWAKIPESA
@MWAKIPESA Жыл бұрын
Ww daaah
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 Жыл бұрын
Leo Dull Van kapatikana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@januaryjohn2014
@januaryjohn2014 Жыл бұрын
Mo town Sanya unaweza your are very creative my brother
@nurdinjumaa7825
@nurdinjumaa7825 Жыл бұрын
Wanaopenda kipindi hichi naombeni like zenu
@januaryjohn2014
@januaryjohn2014 Жыл бұрын
Daaaaaah nimechoka Sana dull kaogopa kinoma ila mshikaji anamoyo😆😆😆
@ahmadmohd3771
@ahmadmohd3771 Жыл бұрын
Kaivaaa uhusika wa mwanamke hadi kwenye maisha ndo maana angalia hadi mikao yake
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
​@@ahmadmohd3771😂😂😂
@Elasmo_mwinami
@Elasmo_mwinami Жыл бұрын
Mwanangu sana Mo town sanya , unawauwa sana , kazi nzuri kaka , HIVI NI KWELI BONGE MOJA LA SHOO❤❤❤
@danrappergangamaa1190
@danrappergangamaa1190 Жыл бұрын
Nimefuatilia hii interview kwa ajili ya mwanetu Aliyezimia Nyau
@nyauclassictv805
@nyauclassictv805 Жыл бұрын
Tulimuweza
@sabrinamkinga901
@sabrinamkinga901 Жыл бұрын
Jamani Huyu si Nyau 😅😅😅
@bebebebe5677
@bebebebe5677 Жыл бұрын
Kama umeipenda hii hayo ndo maswali ya polis gong like apa twende saw😂😂
@RiziwaniMbasha
@RiziwaniMbasha Жыл бұрын
Best tv shows ever
@nimrodmareges3131
@nimrodmareges3131 Жыл бұрын
Hii kipindi naipenda sana Moo keep it up Unafanya vizuri sana
@hawaomary8486
@hawaomary8486 Жыл бұрын
Karipotini police SS akifa hapo
@mwantumkombo3014
@mwantumkombo3014 Жыл бұрын
Dulli kapatikana leo😂😂🔥🔥
@masika.zubeda.430
@masika.zubeda.430 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@Shuu.A
@Shuu.A Жыл бұрын
Duly leo anavua kofia akivaa tu analiona joto leo😂😂😂
@Anko_Fule_Motors_Destiny-1402.
@Anko_Fule_Motors_Destiny-1402. Жыл бұрын
Mlinzi ameulizaaa umeshuka na ndege 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Smart_jarm
@Smart_jarm Жыл бұрын
Nipeni likes asee,nimekuwa wakwanza 👆👆👆
@shelokiba
@shelokiba Жыл бұрын
Sio shobo zetu
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 3 ай бұрын
Dull leo kapatikana😁😁😁👆👆❤❤🌹🌹
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim Жыл бұрын
Jamaa anapiga pesa wengine wanacheka hio ni nusu nusu Europe
@Nalitumpaboy-dm4tk
@Nalitumpaboy-dm4tk Жыл бұрын
Dull umefanana na rayvanny ukivaa mpama😂😂
@majapelinho
@majapelinho Жыл бұрын
Kuna muda anasema mama ake ataki akae peke ake😂😂
@nmasare9364
@nmasare9364 Жыл бұрын
Hii ya leo mmezingua inaonekana kabisa mpango mlishaupanga so kama duli alikua hajui alikua anajua sema hii mmeyumba
@FrancisMboya-m1g
@FrancisMboya-m1g Жыл бұрын
Mr Nyau umetisha sana my brother you deserve 🫡 bro
@nyauclassictv805
@nyauclassictv805 Жыл бұрын
Thanks boss
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Hiki kipindi 😂😂 kizuri kweli lakini kinamazara sana 😂ipo siku tu damu itawagika 😂😂
@kusinisingelitv
@kusinisingelitv Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@rehemamsengo2805
@rehemamsengo2805 Жыл бұрын
😂😂Dulvan alipatikana wallah
@kindambaonetz1949
@kindambaonetz1949 Жыл бұрын
😂😂😂 mwigizaji kakutana na mwigizaji lazima kiwake 🎉😅
@hassansela1393
@hassansela1393 Жыл бұрын
Eti nimekujaje 😂 nandege 😂😂😂😂
@strawberryrachii12-xh5bq
@strawberryrachii12-xh5bq Жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅dullah uyoo yamekufika uelewi
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 3 ай бұрын
Dull safi sana❤❤❤🎉🎉🎉
@neychuchu_love966
@neychuchu_love966 Жыл бұрын
Najihisi nimekuwa wa mwisho kwa huu mda😂😂 naomben likes
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
Zitakusaidia nn
@neychuchu_love966
@neychuchu_love966 Жыл бұрын
@@rosemahenge9071 zitanipa furaha ww je kureplay text yangu umepata nn kenge manyoya we😅😅😅😅
@shemsahemed3577
@shemsahemed3577 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂MBA mbavu zangu jamanii
@ashurahatibu5069
@ashurahatibu5069 Жыл бұрын
Mh mmejitahid wee ila waya wa mac kwa tumbo la mzimiaji umewatohoa😂😂😂😂😂 yani kazi kubwa waya uneharibu
@Ehwazmoha
@Ehwazmoha 5 ай бұрын
Binadamu sio kisa we msanii mna makochi yenu ya m 1 m 2 na hata yawe ya m 19 unamkalisha mtu chini na uliona kazimia na ww ulivyoona anaumwa ! Kweli hiki kipindi kinakufanya kumjua mtu na tabia yake hata akiwa yupo juu ! Haya maisha ndugu zangu na hii Dunia tuangalie tunavyoishi na watu pia hakutakiwa kuwa na was was sbb mashahidi wapo pia jambo limekukuta upo kwenye interview so lazima watu watakuwa wamerekodi
@BOSSLADY3656
@BOSSLADY3656 Жыл бұрын
Mbona hii prank mwisho mwisho nikutamu jamani😋😂😂😂hadi mm nika cheka😂😂😂😂😂
@Ehwazmoha
@Ehwazmoha 5 ай бұрын
And this is real ! nyie mnaona kama wanaekti but this is how life it is in the real world
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
SKUHIZ HUACHI EXCLUSIVE TENA,,UNATUNGA KABISA
@zenamtembezi4921
@zenamtembezi4921 Жыл бұрын
Mchawi uyo ameishiwa nguvu 🤣🤣🤣🤣🤣
@stelaprompot5180
@stelaprompot5180 Жыл бұрын
Dula anaroho nzuri sana
@josephmchumbe4226
@josephmchumbe4226 Жыл бұрын
Piga picha na izo kamera zenu hhhh😂😂
@fahidashishi255
@fahidashishi255 Жыл бұрын
Mbona ana maziwa dulvani
@rizikiabdalla2501
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Wanamnyonyaaa wanaume weziwee
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 Жыл бұрын
Ana roho mbaya hata qwenye qiti asiqae alafu wanamtoa chooni bila awasaidie anarecod ivi qweli so poa😂
@SiahCiara-gg3iv
@SiahCiara-gg3iv Жыл бұрын
Dulla amejua kabsa hicho ni kipindi mpak anaongea na maik amna kitu hapo 😅😅😅
@Mauaabdullah
@Mauaabdullah Жыл бұрын
Ila van yuko peace sana
@oyay2821
@oyay2821 Жыл бұрын
Dahhhh!!! Hii na ile ya Dotto ni kali. Dully yuko ametulia kwa maswali yaliokwenda shule
@Kuluthum-fd3mw
@Kuluthum-fd3mw 6 ай бұрын
Hiv ni kweli au comed
@meisahabuo5856
@meisahabuo5856 Жыл бұрын
Aya!!! Kakaa kwenye sofa kabisaa😂 here!!
@meisahabuo5856
@meisahabuo5856 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Jamani 😂 ahii! Usanii kazi eti mm na kukubali ivikweli upete kuuliza uliza ukishaonyeshwa undumbukie ndani?
@ilhammsaad-oe4lg
@ilhammsaad-oe4lg Жыл бұрын
He is soo calm jmn😂😂😂
@TanaMidundo
@TanaMidundo Жыл бұрын
Hata ungekua wew mo town ungepagawa apo itokee kwako
@ummusuley9524
@ummusuley9524 Жыл бұрын
Watching u frm Kenya nawapenda
@nizaralirashid9581
@nizaralirashid9581 Жыл бұрын
Sema kuigiza duli kashindwa😅kioa wakati ana smile anajizuia kucheka,mkisapanga hao wasanii waambien wawe serious iwe kama ni kweli
@BoscoNtimba-jr2gz
@BoscoNtimba-jr2gz Жыл бұрын
Hao hawapangwi,huwa wanashtukizwa.sema kinacho tokea ni kwamba anakuwa akirekodiwa yaani katikati ya interview
@dunkchainz7237
@dunkchainz7237 Жыл бұрын
@@BoscoNtimba-jr2gzsasa kwani wasanii hawamjui Mo town Sanya au hawajui kipindi chake!?
@kondoatown8765
@kondoatown8765 Жыл бұрын
Huo jamaa anaehojiwa mbna Kuna sehemu kakaa kma Yale yasemwayo yanamaana yke aisee ukaaji gani ? Hatuombei ila jamaa kma ni kweli Kuna nafasi ya kujirekebisha unaweza ukajirekebisha tu kwani tabia gani ? Inayoshindikana kujirekebisha
@elizabethkunyatila2913
@elizabethkunyatila2913 Жыл бұрын
​@@dunkchainz7237Mo alisema hivi vipindi alisharekodi vyote sasa hivi ndo wanaanza kuvirusha
@Swahili14
@Swahili14 Жыл бұрын
​@@kondoatown8765unamaanisha nn
@kadito-music
@kadito-music Жыл бұрын
ISHI MIAKA MINGI HAPA DUNIANI PAMOJA NA FAMILIA YAKO SANYAAA HIVI NI KWELI NAIONA WORLD WIDE
@bennysanga2873
@bennysanga2873 Жыл бұрын
Duliii, eti Mama hapendagi nikae pekeangu hahahaaa
@masika.zubeda.430
@masika.zubeda.430 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@saidasimba9979
@saidasimba9979 Жыл бұрын
ulichokosea kimoja tu Ilitakiwa umpeleke hospitali kwanza.. hata kama kakosea, ubinadamu kwanza mambo mengine badae ...sasa wewe unaongelea ambayo yameshatokea badala ku solve tatizo lililopo
@Halimamaere
@Halimamaere Жыл бұрын
Ety nmekujaje??na ndege atarii nyiee😂😂😂😂😂😂😂😂
@WASAFY_OMY
@WASAFY_OMY Жыл бұрын
Hii imekua movie😂😂😂😂😂
@walinaziontime7300
@walinaziontime7300 Жыл бұрын
Hiyooo imeenda........
@CatherineJohnson-y2h
@CatherineJohnson-y2h Жыл бұрын
mbna kama jamaa mwenywe hamnazo😂😂😂
@Bokushka
@Bokushka 6 ай бұрын
Ndo walivopanga, anazo
@ElizaEhsas-op2pg
@ElizaEhsas-op2pg Жыл бұрын
Hahaha hayo Ni maswali ya police jamn dullvan
@InfinixHot7-b3t
@InfinixHot7-b3t Жыл бұрын
Niende jela ama huyu afukuzwe kazi....?
@SalmamathiasatanasSalmamathias
@SalmamathiasatanasSalmamathias Жыл бұрын
Mchaga OG nakucheki kutokea👉🇶🇦
@hassansela1393
@hassansela1393 Жыл бұрын
Eti ndomana mamangu hataki nkae pekeangu 😂😂😂
@mussajaphet-dl4st
@mussajaphet-dl4st Жыл бұрын
Hivi ni kweli hicho kipind cho mo sanya acha ujinga ww
@firdauskarembo7664
@firdauskarembo7664 Жыл бұрын
Me naisubiri ya gigy money tu😂😂😂
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 Жыл бұрын
Ni career guys sio "carrier" hio mloandika maanake ni mide usafirishaji
@masika.zubeda.430
@masika.zubeda.430 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 Жыл бұрын
Mimi Nina ndoto za ivi😂😂
@neemamzande8547
@neemamzande8547 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@tanzaleo8670
@tanzaleo8670 Жыл бұрын
shida mo town sanya ameishiwa content za prank kabla ya ku shoot anampanga mtu atakaye muhoji na mtu kuigiza ili ionekane kua ni kweli haikua planned mi ningeshauri usitafute watu maarufu ambao tayari wanajua unachokifanya kuwa mbunifu kama zamani
@R10_Rajab
@R10_Rajab Жыл бұрын
Bro hizi show zisharikodiwa zote na sasa ndio zinarushwa yaani hazijjapagwa
@felicianboss6953
@felicianboss6953 Жыл бұрын
Bora umwambie°°
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Жыл бұрын
Ila we sanya ni muuwaji😂😂😂😂😂
@DavidChilumba-z3b
@DavidChilumba-z3b Жыл бұрын
Dahhh noma sana
@happynkya9770
@happynkya9770 5 ай бұрын
Hapo alipocheka ndo ikaonekana kbsa alikuwa anafanya kitu anachokijua kumbe mnawapangaaga hawa wasanii hawa
@kilizajumainn826
@kilizajumainn826 Жыл бұрын
Ubunifu mzur😅😅😅 ila Dili kaza sauti we kidume
@aishayahaya9367
@aishayahaya9367 Жыл бұрын
Nimeipenda hiyo
@getrudemajaliwa7629
@getrudemajaliwa7629 Жыл бұрын
Inaonekana dulvan alijua hichi ni kipindi kbsa lkn akajikausha
@hassansammy1076
@hassansammy1076 Жыл бұрын
Dullvani pole sana kaka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@m404msigara7
@m404msigara7 Жыл бұрын
Amesogelea mic mbona.. 😅alikuwa anajua
@nickolaus6188
@nickolaus6188 Жыл бұрын
Dull wamekuweza sana
@aizyramson6882
@aizyramson6882 Жыл бұрын
Ckuiz hiki kipindi ni zaidi ya netflix🎉
@malacktweve6012
@malacktweve6012 Жыл бұрын
Hawa wasanii hawapangwi lakini hata wakipangwa shida nini kama ni burudani tunapata ya kutosha na pia tunaona upande wa pili wa wasanii ambao tulikua hatuujui
@nyauclassictv805
@nyauclassictv805 Жыл бұрын
Thanks unaweza nifollow Mimi mzimiaji.
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
​@@nyauclassictv805😂😂😂kheeee
@Fx_expertmoneymaker001
@Fx_expertmoneymaker001 Жыл бұрын
​@@nyauclassictv805🤣🤣🤣🤣🤣
@GroliaLymo
@GroliaLymo Жыл бұрын
Safiiiiii😂😂😂😂😂😂
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 3 ай бұрын
Sasa Sanya unakatisha haraka bila kumaliza Int
@bebebebe5677
@bebebebe5677 Жыл бұрын
Kwani nyie wasanii hiki kipindi amuangalii had wakija kwenu mnavulugwa😂😂
@nurumwangoka5909
@nurumwangoka5909 Жыл бұрын
Nadhani hivi vipindi vilishutiwa vingi saiz wanafanya kuachia tuh
@iwenikigodi5419
@iwenikigodi5419 3 ай бұрын
Ila hawa jamaa wanajua kuigiza
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 Жыл бұрын
Ila anaustarabu sana
@arbinuwamahoro7370
@arbinuwamahoro7370 Жыл бұрын
Mumwagie maji ya baridi jamani 😂😂😂
@XanTitle10.
@XanTitle10. Жыл бұрын
Na Mimi nilikua nasubir amwagiwe maji 😂😂😂
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe Жыл бұрын
The best one😂
@queenmalikia3827
@queenmalikia3827 Жыл бұрын
Wakuvamie unanini dully 😂😂😂😂😂una milioni ngapi kenge wewe
@saumbliz8983
@saumbliz8983 Жыл бұрын
Kwani vibaya kukaa kwenye kitu jamani
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg Жыл бұрын
Kawezaje kujikausha hivyoo lakini Mimi ningechekaaa siwezi ku fake kuzimia
@nyauclassictv805
@nyauclassictv805 Жыл бұрын
Nilikuwa natamani kucheka ila ndo SANAA nilikuwa kazini
@mimyaminatha6002
@mimyaminatha6002 Жыл бұрын
Nani ameona kama dullvan Anama nyonyo 🤣
@khamisi_SHILINGI
@khamisi_SHILINGI Жыл бұрын
Mimi 😂😂😂😂
@rahmalovelymakeup-xy1qp
@rahmalovelymakeup-xy1qp Жыл бұрын
Wata faka 😢😂😂
@abbasram2770
@abbasram2770 Жыл бұрын
Sullivan Haha jikojea kweli!!!
@SaoblackSaoblack
@SaoblackSaoblack Жыл бұрын
Nandege😂😂😂
@nafsitz3211
@nafsitz3211 Жыл бұрын
Kwani mimi nataka kujua hawa wasanii wakubwa hawaoni wenzao.wanavyozinguliwa hadi na wao wananasa kweny mtego
@ferouzmasoud3104
@ferouzmasoud3104 Жыл бұрын
Hata mm huwa nashangaa 😂 naona kama wanapangana vle
@kimalebanduka4229
@kimalebanduka4229 Жыл бұрын
Hizi ni recorded ….walizifanya mda sana
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Жыл бұрын
Wanasahau
@amadancytz3720
@amadancytz3720 Жыл бұрын
Lakini hivi vitu vimepangwa kapangwa mpka huyo dully
NDARO: TUNDA NI WANGU, CONDOM, YA NINI, NASOMA DM ZENU
8:20
Crown Media
Рет қаралды 118 М.
Counter-Strike 2 - Новый кс. Cтарый я
13:10
Marmok
Рет қаралды 2,8 МЛН
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
NDOA YA SIKU MOJA YAVUNJIKA TABATA KISA ZA YA PICHA ZA EX WA BIBI HARUSI
23:00
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 82 М.
KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE Pt2
8:59
Mr Uky
Рет қаралды 255 М.
KILA WIKI NGOMANI
11:03
Joti TV
Рет қаралды 761 М.
Counter-Strike 2 - Новый кс. Cтарый я
13:10
Marmok
Рет қаралды 2,8 МЛН