Hakukosea , nikweli Loi Hauko serious ... Unamambo mengi sana Mdogo angu... Umetoboa wapi watu hatukujui... Unajikweza Sana.
@erickabel62016 ай бұрын
Uyu jamaa ni hatareee kwenye afrobeat
@Fuad.A.M106 ай бұрын
Uyu jamaa bado underground than wana mdanganya kawa msanii hennecy no kwel hit kaimba nini ajitafute kwanza bado
@issahpaul45106 ай бұрын
I think this guy ego inamsumbua...ego yake inamfanya aonekane anakiburi. He should stop talking too much, bado ni mchanga kwenye mziki. Kujisifu sana kunaweza sababisha hata wasanii wakubwa kutotoa ushirikiano kwake.. my opinion.
@Pure-life2556 ай бұрын
Ni loi
@directormafelingz29566 ай бұрын
hawa wasanii kinachowasumbua ego. We unafanya video na Harmonize yupo kwenye pick then unaanza usumbufu wa verse sijui🤔. Ile video ingekuingizia hela na nyimbo inge trend vilevile na sio verse yako hiyo
@macdee_tv76226 ай бұрын
Unachokisema sio kweli..siku izi sio lazima ueke tumaini kwa msanii mkubwa akutoe