Mch. Mubarikiwa wewe endelea kuyanyosha mapito ya Tanzania. Kati ya watumishi wa Mungu waliobaki Tanzania wewe ni miongoni mwao. Mch. M. Mwakipesile Ktk Kristo Yesu Ahsante
@paritsaruni5019Ай бұрын
Viongozi wa dini Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri ya kuelimisha taifa
@henrymligo2440Ай бұрын
sawa wa upako
@DannyAbraham-vj4fcАй бұрын
Nikweli huyu tulia mhuni
@JohMwitaАй бұрын
point sana mbarikiwa
@zedyabdulrwabilingo9042Ай бұрын
Hatali sana ila bora kidogo huyu mzee wa upako leo kaongea vizuli
@SubiranTimoАй бұрын
Amen
@PatriciaLydia-c6p20 күн бұрын
ni muhimu kushughulikia mazungumzo kuhusu watumishi wa Mungu kwa heshima na adabu kuu. Kujihusisha na mijadala hasi sio tu kwamba kunadhoofisha wito wao adhimu bali pia kuakisi tabia zetu wenyewe. tujitahidi kuwainua na kuwategemeza wale waliojitolea kwa utumishi wa kiroho, tukitambua changamoto wanazokabiliana nazo katika huduma yao. Mazungumzo yenye kujenga yana manufaa zaidi kuliko kukashifu.
@BilihaniAdrianoАй бұрын
mimi nikiwekatu bunge huwa najikuta nawaonea aibu😂😂
@emilyKassiano-oo5iyАй бұрын
Serikali ijitahidi ikomeshe utekaji waweza vuruga amani ya nchi
@JaphetJairos-n4lАй бұрын
Anton anaongea ukwel ila anaogopa
@RizwanAbdallahАй бұрын
Nikweli kwanza pale bunge hakuna kitu mzee samweli sita yule alikua kiongozi bora sana mungu amjalie
@amosdickson6318Ай бұрын
ukweli wanajua shida wauseme wapi, maana UHAI ndio zawadi pekee tuliyotunukiwa na Mungu, lakini wenzetu wanatupora UHAI wetu. Tuwe makini taifa halipo mikono salama Hata kidogo. Bali tupo kwenye mikono ya Wahuni wa ajabu sana. Tunahitaji Mioyo ya Mbarikiwa ya kutosha I'll TZ ifunguke ufahamu Tuanze safari ya ukombozi
@christinenyagiro6662Ай бұрын
Raisi kutekwa kwa watu kwake siyo tatizo ameenda kutalii China bila hata kutamka cho chote anaona raha. Nyerere tunaonba urudi hata kwa roho yake tu. Ee Mungu utuletee Raisi aluye ba roho y Nyerere.
@Mapitoyazamani-y7nАй бұрын
Bila shaka Mungu amejibu maombi, niko mimi hapa nilie na hiyo roho, kikubwa tu nipate njia ya kupenya kufika kwenye hicho kiti.
@MusaOgwokoАй бұрын
Ni mkweli sana
@zebedayokatamaduni9676Ай бұрын
Mzee wa upako ameongea mambo sahihi,
@christinenyagiro6662Ай бұрын
Kuishi tumepewa na Mungu kwahiyo ukitoa haki ya mtu haki aliye pewa na Muumba wake. Wewe unsjifurahisha kwa kitambo tu Mungu atashughulika nao siku moja
@neemanziku5403Ай бұрын
Pamoja na haya yote eti spika wa bunge yy eti hajui
@helenarhobi1250Ай бұрын
Hulifuatilii bunge la tulia sababu ni mnyakyusa mwenzako. Hivyo shida yako ni hiyo.Nabii hakosi heshima isipokuwa katika nchi yake na nyumbani make!!!
@NtamamiloGibsonАй бұрын
Wasiofuatili ni wengi ndugu yangu. Bunge la Samwel Sitta na Anna Makinda ulikuwa ukipita mitaani muda wa Bunge TV ziko on TBC leo uliza au zunguka uone.
@ugalidona-cs2ynАй бұрын
Binadamu aliumbwa kwa Mfano na Sura ya MUNGU.
@ugalidona-cs2ynАй бұрын
Binadamu waliumbwa kwa Mfano na Sura ya MUNGU, hili kufanya kama MUNGU wanavyofanya pamoja na jeshi lake lote.