Рет қаралды 67
Chunya Dc Online
Mthibiti Mkuu wa Shule Halmashauri ya wilaya ya Chunya Mw Arton Kayombo amesema Mtaala ulioboreshwa utasaidia sana kuleta ufanisi katika kuwaandaa wanafunzi kuonesha kile walichojifunza wawapo darasani