Here again 2024 ❤❤❤ can’t stop listening to this😊😊
@kingdyzo4 жыл бұрын
Tulokuja baada ya hyu dada kusajiliwa wcb tujuane 🤪😋
@Aboodjan4- Жыл бұрын
😁😁
@nurdin.mndeme34474 жыл бұрын
nani yuko hapa baada ya bossy SIMBA of Africa~diamond platnumz KUMSAINI huyu bingwa wa bongo flEva #WCB
@salimthedon4 жыл бұрын
Nani kakuja hapaa baada ya Utambulisho wa Zuchu Usafini 7/4/2020 9:00PM😊😊💯💯🙏🙏
@fardsonjaphet91054 жыл бұрын
Salim The Don mimi
@nurdin.mndeme34474 жыл бұрын
nipo
@hadiazahor68744 жыл бұрын
🤣🤸
@mozajamanimakubwamjinimuss31864 жыл бұрын
Zuchu hunamshindani
@beyoncemumba63214 жыл бұрын
Nice
@samilrashid34624 жыл бұрын
Zuchu bonge la burdan la dunia yan naiman utafika mbali my dada
@amynamsomaly78835 жыл бұрын
Msanii kazaa wasanii MashaAllah penda sana zuchu kopa
@sashasaid86955 жыл бұрын
Mashallah dadangu nakupa nyota 7 Muhaiminah apa
@samarasamara57224 жыл бұрын
One like for zuchu mboso mwacheie hii nyimbo zuchu
@mtetezihassani22855 жыл бұрын
Dah! MbOsSo huu wimbo muachie uyo dada. Sauti nyororo mno.💪💪👍👍👌👌👏👏👏👏👏👏👊👊🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@طلالمحمود-ث7ث2 ай бұрын
نققةعهقهثعقببنخنقاخققحح😂❤❤❤
@mustaphatibaijuka69954 жыл бұрын
Mpinzani wa nandy masauti kapatikanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wadau like zenuu
@danmutoka11934 жыл бұрын
Gonga like Kama umeskiliza tena baada ya kutambulishwa
@kingbashar42934 жыл бұрын
Tuko wengi kumbe!!
@plorynahgepchad81894 жыл бұрын
Og mwang
@tatukizunga11914 жыл бұрын
Kwakwaelii
@melkiadgangai9942 жыл бұрын
Sauti murua ya kumtoa nyoka pangoni....hatari sana. Congratulations Zuchu
@karamakarama82245 жыл бұрын
Zuchu wewe ni mkali kuliko hata mwenye nyimbo
@majaliwapili29285 жыл бұрын
Moto utawaka huko wasafi mimi nasubili aapishwe na rais wa muziki diamond platnumz akapambane na kwini dalini
@guycalifat44264 жыл бұрын
Baba maja limetimia ila kuondok apo njo music
@danielsimbeye90124 жыл бұрын
M
@danielsimbeye90124 жыл бұрын
Mb
@silvohmuziqke57435 жыл бұрын
Zuchu umeweza sasa Fanya songs zko am your first fan
@rasvegas89915 жыл бұрын
Daaah ngoma ilitakiwa akuachie
@vunjabei70413 жыл бұрын
🖒🖒🖒🖒🖒💪💪mh zuchu unajua
@bunny_dailylife4 жыл бұрын
Sauti unayo dada welcome to wasafi family 💓 your going far nandy be ready
@shabakhamis69734 жыл бұрын
Wewe piga kelele kwa kopa wake maxha Allah mwaaaaaaa
@taufiqkimpa16524 жыл бұрын
🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓
@farahmussa97545 жыл бұрын
Kumbe ndio huyu zuchu binti wa khadija kopa😘
@bellaabu57265 жыл бұрын
Kamfunika mwenye nyimbo...kautendea zaidi ya haki
@oceankid_tz5 жыл бұрын
Hey diamond take that girl 😍😍plzzzzzzz
@cannonoligraph96545 жыл бұрын
He has done it now
@MeshWallen4 жыл бұрын
Amefanya hivyo
@AnnoyingGamero4 жыл бұрын
Dua yako imesikika
@PlusoneRozy3 ай бұрын
Sasa ivi wote mumebarikia alhamdulillah
@karamakarama82245 жыл бұрын
Ssuti nyororo mashallah imeumbika
@rehemamaneno62094 жыл бұрын
Nampenda sn zuchu
@abdisamadmuhidinmacalin58165 жыл бұрын
Jamani hio sauti so soothing🥰
@nasriinadabasa57905 жыл бұрын
Awww mtoto una sauti🤩🤩
@actiontaker39844 жыл бұрын
Huyu mtoto ana rafudhi ya kihindi #wcb on motion🌚👈👉❤👈
@abdimaimu37485 жыл бұрын
Sister unajua 💪💪
@allyothman96985 жыл бұрын
Hongera zuchu maji hufata mkoondo mama kaka na dada wote kibooko
@fatmax87105 жыл бұрын
huyu mpaka baba yake pia anaimba baba yake anaitwa Othman soud
@neomiemoses30724 жыл бұрын
254 gonga like I like her as well as her mom is my favourite
@rehemamaneno62094 жыл бұрын
Nampenda sn zuchu anajua kuimba
@khaiyamsimu-ko7rk Жыл бұрын
Dada anaimba uyu jamani tunainjoy
@QueenShadia-k9b Жыл бұрын
Zuchu❤ nakupenda🎉
@onesmomghamba29684 жыл бұрын
Aisee huyu mtoto ana balaa zito
@nestorymerkioli39765 жыл бұрын
Baba Lao mbn mna mchelewesha San huyu mtt mwenye saut nzur kam hii aisee mleten km unamkubali zuchu gong like
@norinenakova40284 жыл бұрын
Finally it has happened
@SwaumSaw Жыл бұрын
Jaman huy dad namkubali sana 🌺❤️👌
@BububuDukani-gk2gv6 ай бұрын
Mambo mashaallah 🎉🎉🎉🎉
@sponsor78825 жыл бұрын
WASAFI NEW SIGNED ARTIST
@Kimanzi0014 жыл бұрын
Huwez Amin saiv anatunga mwenyewe
@Kimanzi0014 жыл бұрын
Hasara
@fadhilijuma49784 жыл бұрын
Dada unajua sana mpaka raha
@DoArtsCentreImagineCreateRefle5 жыл бұрын
Eishhh... Huyu dame ni naree!!!!
@latifaabdalla88834 жыл бұрын
Waaaaaaah this gyal🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ashulamusin98115 жыл бұрын
Maajabu ya sauti dar kweli dada
@javelianjoel80155 жыл бұрын
K🤗🤩anajua kwakwel kawkwel kwakwel
@mosesmwamberi50635 жыл бұрын
Mi naonelea mbosso angemuoa uyu mwana dada mazee wanakaa tu mtu na wife wake,,, Tazama Cover zote nzuri Tanzania ni za mbosso na mwenye huziimba ni huyu mwana dada tunaye mfahamu kama Zuchu. Ak uyu Mwana dada alimtunuku mbosso ni vile mbosso bado hajajua
@khadijamohamed90604 жыл бұрын
Nyimbo na saut ya kitandan
@pendoisaya93633 жыл бұрын
Sauti nzuriiiii dear 🥰🥰
@bahatimwenda89884 жыл бұрын
Duh hatari sana
@RashidiZiyadi3 ай бұрын
Zuchu utauwa❤
@paulmsafi84974 жыл бұрын
Najionea mwili kunisisimka mmmhh zuchu on🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@alahstamuzackayo55094 жыл бұрын
Hatari sana
@shekakisa1444 жыл бұрын
U a welcome zuchu wcb family tishaaa qama corona from china
@gogoyoz93285 жыл бұрын
huyu dada ni hatareeeeee hio sauti noma sanaaaaaa
@isakaelasto51734 жыл бұрын
Ilamboso kala mzigo Maana mtoto Yuko rafu kwa mboso
@emilyalbert-kx6wo Жыл бұрын
Waah zuchu girl you did your best dear
@qaalihajiqaali17302 жыл бұрын
Wooooow I like 👍 it cajab benziyake
@kelvinedward59204 жыл бұрын
We noma ulikuag wap bhan
@emanuelobed21195 жыл бұрын
Nomaaa sna muind 🙌🙌🙌🙌
@mgenimuss89495 жыл бұрын
Maashallah jmn zuchu
@البقداديمحمد-ط7ض4 жыл бұрын
روعه😎😎😎🗽🏆🏆🏆🏆
@ashahamisi58845 жыл бұрын
Vizuri safi sana
@abdallaabdallah88155 жыл бұрын
daaah dada unajua sanáaaa👌👌👌👌
@kakamkuu14004 жыл бұрын
Huyu fundi Sana afu anasauti ya kumtoa nyoka pangoni