100% dada unajua natabiri huyu ndo mdada wa pili atakae sainiwa wcb ipo siku mutaikumbuka hii comment
@MohamedAhmed-yn1lx6 жыл бұрын
docter dula P she is already signed
@hadijerrajee15776 жыл бұрын
sio unatabiri ni yupo ila bado wanataratibu zao mpak akitimiza ndio atatambulishwa kwa wananchi na ni Mtoto wa hadija kopa
@jimboulaya6 жыл бұрын
mbona tiari yupo kitambo anafanya back vocals wanamwangalia discipline tu bado.
@rahmatwaha76636 жыл бұрын
Kweli dah nimemkubali sana
@rahmatwaha76636 жыл бұрын
Yaan kipaji na mrisi huzid dah nimependa sana
@muejnr31524 жыл бұрын
Wangapi tuko hapa after she's been signed to WCB
@marthamerick47874 жыл бұрын
😀😀tupoo
@fynmimo4 жыл бұрын
Mue JNR tupoooo
@allypetiy24164 жыл бұрын
am here juc bcoz she iz already signed🔥🔥🔥🔥the girl z very talented thoe
@hadiazahor68744 жыл бұрын
Tunapitaaa🤸
@cndeboe11 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉😂😂
@way9tv8214 жыл бұрын
Walokuja kuangalia baada ya zuchu kusainiwa wcb tujuaneee🕸😜
@sayisubi84864 жыл бұрын
🙄😂😂😂😂😂
@beautyibrahim84284 жыл бұрын
😂😂😂😂☝
@glorymfinanga34004 жыл бұрын
Way9 Tv nipooo
@yusuphntegakaje56674 жыл бұрын
Way9 Tv ☝🏻☝🏻☝🏻☝🏻
@perpetuapaul96854 жыл бұрын
Way9 Tv mi nlikua simjui😂😂😂nimesisimkwa 🤣🤣🤣
@markzyoung14254 жыл бұрын
Wangapi wako hapa baada ya kusign WASAFI CLASSIC.....TUJUANE
@princenewton4 жыл бұрын
Wale ambao tulikua tunamsubiria Hanstone tupite na like😔💔 KENYA 🇰🇪
@victordondo89284 жыл бұрын
So disappointed, hanstone has mad talent
@veeJesus4 жыл бұрын
Adi nimekucrem
@barakauwesu11674 жыл бұрын
🤣🤣
@hanzurunimkai67316 жыл бұрын
Jaman sio kila jambo tuvunjane moyo. Kiukwel huyu mdada anajua kuimba na anasauti nzuri sana. Hongera sana!! Kikubwa tu usichoke kumuomba Mungu, usikate tamaa, Uwe na heshima, Nidham.. Naamin kupitia hii Cover Tanzania itakujua na Africa kwa ujumla..
@fatmazahrawalimohammed27986 жыл бұрын
Wallah we ndio wajua kukoment
@fatmazahrawalimohammed27986 жыл бұрын
hanzuruni mkai .ku comment*.all u said is woow
@gladyjames76936 жыл бұрын
Nice i like it
@missysunshine99326 жыл бұрын
hanzuruni mkai anajua sana
@veronicascottmollel78976 жыл бұрын
Mama mwimbaji yeye ataachaje kujua kuimba?
@muniraomary21306 жыл бұрын
hii ni cover lazima iwe na manjonjo tofauti so big up sanaaa dada kazi nzuri wote tunaokubali gonga like....🙏🙏🙏
Km na ww umemjuaa zuchu baada ya kusainiwa WCB gonga like
@selemanishaame41746 жыл бұрын
Aisee huyu dada namsikiza mpaka nasismka mwili aisee...she has fantastic voice
@calzzable3 жыл бұрын
Zuchu's voice in this cover feels extremely rich.
@sheilamumbe99353 жыл бұрын
Kindly write this in swahili
@sharifaamour68043 жыл бұрын
QQ!
@amarghalib93843 жыл бұрын
She sang it with feeling and pose
@liberatusulaya22693 жыл бұрын
Killing it, 2021
@mariamsaidaboud49593 жыл бұрын
It doesn't feel rich, IT IS CERTAINLY RICH. Melodious, soothing, soulful, captivating, spell bounding, touching, just beautiful.,...
@aishasaid21046 жыл бұрын
Beautiful rendition, i love how u knw how to play with yo voice, u dd justice to this song jst jst too awesome!! I LOVE ITTTTT!!!
@priscasaid14296 жыл бұрын
Wote mnao sema anaringa ni wivu tu na roho mbya zimewajaa mtu anaimba mpka mwili unasisimka
@zannyzanny64996 жыл бұрын
Prisca Said saw
@georgetibezukwa19996 жыл бұрын
Good cover.Wanaoponda ni wale ambao opportunity kama hizo kwao ni ndoto by the way watanzania ni watu wa kuponda bt keep focused all who are talented
@rebekamaisa44346 жыл бұрын
Prisca Said kwakwel ad nmeccmka hhhhhhhh
@albertlaurent18916 жыл бұрын
Kanogesha sana hii ngoma huyu mdada...big talent
@joycejohn77546 жыл бұрын
Walishrk tecno own stage na nandy
@georgethiongomathenge5366 Жыл бұрын
Tanzania kwa nyimbo mmebarikiwa .....sending love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@halidymarusu95106 жыл бұрын
Sichoki kumuangalia, hii kitu kaitendea haki, acheni aringe, mmesahau ni mwanamke na wimbo wenyewe unaruhusu sana kufanya alichofanya ni super, kwa kifupi huyu ni hatari mno. big up mdada
@teacherchundu40624 жыл бұрын
Zuchu una sauti nzuri yenye nguvu, unafaa sana kuimba muziki wa jazz au soul. Hongera sana.
@StarbornDexter2 жыл бұрын
I normally come here each year coz the moment i heard these vocals i cried 3 years ago,wondering why we can have such talents without platforms, little did i know God was listening, Zuchu 4 life💖💯🇰🇪
@msafiriramadhani33392 жыл бұрын
Nice comment
@mudricktz83734 жыл бұрын
Jaman nampenda sana zuchu anan fulaisha anavyo ipa gonga like kama unampenda zuchu
@ashasuddi50204 жыл бұрын
Napenda sana hii nyimbo alivyoimba ni zaidi ya Diamond,, uko vzr zuchu, lnshallah kila la kheri na Safari yako
@kyymbernards97534 жыл бұрын
Who is here after she's signed under WCB label?🔥🔥
@kongoaman29534 жыл бұрын
Tupo wengi
@domystylish93944 жыл бұрын
🔥
@lucaarthur87104 жыл бұрын
😂😂😂🙌🏾🙌🏾
@catherinewanjiru24024 жыл бұрын
Me
@mu-crzymahez92294 жыл бұрын
yeah
@carolynewanyama36152 жыл бұрын
Zuchu, awesome, i can listen again again..those who.lose you, they do at their expense. U are blessed.
@sistersade90396 жыл бұрын
nafikiri msanii wakike wapili kwenye WCB atakua ni Zuchu. well done Zuchu, such a beautiful performance, baada yakukusikiliza kweye ngoma hii nilikufollow nikajua kua you are a professional singer. na najua you are already with WCB and im assuming they r preparing you to come out soon.
@wizydeko14964 жыл бұрын
Brother ulitabiriiii
@sistersade90394 жыл бұрын
Wizy Deko - ndio vile nilivosikia sauti yake tu, nilikua Na hakika Diamond hatompoteza,.
@wizydeko14964 жыл бұрын
Aminii uko vizuri
@stavangernyambasi2497 Жыл бұрын
na kweli hadi leo
@wailesdeus37644 жыл бұрын
Wangapi tumekuja hapa kuangalia kama nikweli ni yeye ✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@hudheifasaid304 Жыл бұрын
Kutoka tiktok
@melkiadgangai9942 жыл бұрын
Dah!!! Nakosa niseme nini kwa hii sauti na jinsi alivyoimba humo ndani...sura yake ndiyo anaringia mmmmh! Salute
@kuruthummauridi77654 жыл бұрын
Jamani zuchu hongera sana jamani like nyingi kwa uongozi mzima wa wasafiii ,tafadhali
@I_am_Faisal6 жыл бұрын
Dada zuchu kafanya vizuri sana hongera sana i love it.. Yani sichoki kuisikiza. Kama vile ananiimbia mimi namdekeza ..... Tosha zuchu unaniua ua umetisha💯
@havedamlima96906 жыл бұрын
faisal fuad unajuwa Kama umeimba ww ongera sana
@I_am_Faisal6 жыл бұрын
Haved Amlima tufanye Collabo😂
@salamsospeter13206 жыл бұрын
😅😅😅
@mwajumakhamisy36396 жыл бұрын
Mtoto wa khadija kopa anaitwa zuhura
@ramadhanibosco73966 жыл бұрын
faisal fuad good
@shortsyoutube47326 жыл бұрын
All the way from kenya.just in love with her voice.❤ 👌👌
@maryamadam90864 жыл бұрын
Very good Zuchu. Like mother like daughter. Together with singing do best to get Good Education. You are still very.young. There is a lot of competition out there..Some brighter, some just lucky. Nandi is doing very well too. Many others who signed but not chosen
@mackykempstv75125 жыл бұрын
Daaah...kweli bongo Kuna madEmu wana vipAj ila hawAonekani! Maana sioooo kwa kipAji hikiiii
@jordanfaustinfaustin82395 жыл бұрын
Nziki safi sana. Mimi nakupenda sana, sintaki mpenzi mwengine, mimi nakupa moyo wangu, mimi sina gali. Música boa MBOSSO nkali
@sabahmuchacho75116 жыл бұрын
Well Done My Dear....Keep it Up....Mie Kama Msanii mkongwe wa Tanzania Nakupa Hongera..... Maneno ya wapangaji Hayamuhamishi mwenye Nyumba....BRAVO❤
@mombasanews30246 жыл бұрын
Sauti inaweza kumtoa nyoka pangoni, what an amazing voice Keep it up gal we are watching you from kenya.
@fatmazahrawalimohammed27986 жыл бұрын
Yap sauti kama malaika
@deusfita30724 жыл бұрын
Sawa
@nelsontanzania10984 жыл бұрын
What a Voice! What a Talent Welcome to WCB big Label in Africa 😊 #WCB4Life ✌️
@farhaahmed40702 жыл бұрын
Hii ndo sauti yke sasa....sauti kma ya mamake🥰🥰🥰🥰
@tabuomary10164 жыл бұрын
Deka mama deka. Safi Sana , narudiarudia mpaka charge iishe.
@suzanamwalongo72886 жыл бұрын
apunguze malingo iyo veepee mbona binadam hamna Jema kwa ushauli wangu aongeze malingo ila so kupunguza umeimba vzr hatali kwanza iyo nyimbo alivyo imba mboso nilikua siifwatilii yuo so mwaaaaaaaa
@eneolatukio84934 жыл бұрын
Perfect for collabo na Ray Vanny, tena iwe ya makhaba matamu sana💖💖❤💖
@soniahmuthoni43346 жыл бұрын
Listening from Kenya 🇰🇪 and you are definitely going places .Hadi nmelia aki 😭🥰
@abigailkendi73564 жыл бұрын
If I didn't know the original one I'd think it's hers, So talented zuchu Just wow
@clarapendo28666 жыл бұрын
🇰🇪 wakenya gonga like... me nadekezwa this is magic nakwambia I love her....
@julianawakesho68856 жыл бұрын
shez so blessed with sweet voice. haringi but she sings with passion...u're the best gal.
@gastongideon26464 жыл бұрын
Super talented female artist in Tz after Ruby..absolutely superb👐👐
@christinamagasi6254 жыл бұрын
gaston gideon 😋😋😋😋😋
@Scolabenben6 жыл бұрын
Mwanamke kujishebedua umeimba vizuri sana
@dianaluigi46206 жыл бұрын
Sanaaaaaaaa yaaniii nimemwelewaaaa
@sarangwira52855 жыл бұрын
Scolastica Benedict we acha t mamy mwanamke shebebu jishebedue hasa ukiwa na sauti
@jameskapilima47164 жыл бұрын
👍👍❤
@athumanindyema23024 жыл бұрын
Unaimba vzr napenda anavyoji shebedua
@yassinm695 жыл бұрын
Huyu dada kaonyesha uwezo wake ,anahitaji support kubwa tuko pamoja
@hmooCrescent4 жыл бұрын
Niliuona tu uwezo wake wa kuimba ni mkubwa hapa. Nani mwengine aliekuwa na maono kama yangu aweke like👍 hapa.
@sly62484 жыл бұрын
This is the best cover she's ever done, beautiful.
@isaachayes97834 жыл бұрын
Wow!! Where was I when this piece was released? The talent in this lady is beyond imagination, she truly deserve to be among wasafi artists, I see her future very bright, go gal
@nelo81004 жыл бұрын
She already is now!!! Diamond Platnumz signed her.
@abdillahmoumine84916 жыл бұрын
Très belle chanson et très belle interprétation par dada ! J'ai suit souvent cette chanson par le talentueux mbosso, mimi handza lehimbo linou machallah. Je viens aux îles des Comores vie farantsa (France)
@abdillahmoumine84916 жыл бұрын
Incroyable vois !!!
@rashnahbalibuno44642 жыл бұрын
Vraiment je l'aime trop
@lovenessmjaka97543 жыл бұрын
Ulivo itendea haki nyimbo Kama yako seriously I like u voice Yan una saut Kam yangu Ila wew unaujua kuitumia u are ze best olwayz 😘😘😘
@syliviabaruti46606 жыл бұрын
we mkaliiiiiiiiiiii zochu ujue nn kuna watu wanajua mojawapo wew keep it up love u💋💋💋💋💋💋💋💋
@bongotulivu71514 жыл бұрын
Sang with every possible maximised emotions! The very best of up coming musician Zuchu!
@rahimkiranga11876 жыл бұрын
Zuchu let me appreciate what you did n my prayers is to see you next level
@missysunshine99326 жыл бұрын
Sura yangu ndo naringia....nimeng'oa mizizi sio kukata shina......noma sana
@adhnanhassan75126 жыл бұрын
Sifa ya mwanamke ni maringo.....rly love this girl.....
@shakurfaith4 ай бұрын
Katokea mbali sana! 2024 hatujasahau kipaji
@chicharitoronaldo59504 жыл бұрын
Nandy tupa Kule...ZUCHU IS TAKING OVER🔥🔥🔥#WCB4LIFE
@iammusic34044 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@immaculatenjeri66036 жыл бұрын
What a cover! Damn this is the best Swahili cover ive heard so far... Amazing job dear
@noelmichael28556 жыл бұрын
Like Mother like daughter #Khadijakoppa 🙌🙌
@shionsaeed73384 жыл бұрын
No doubts She killin it Gaal Damn classic. Bitches let her shining now slay it slay.👏👏👏👌
@sultanaswaleh88924 жыл бұрын
🤣🤣🤣👏👏👏I love zuchu my daughter 😘😘😘
@kelvinkajoka9276 жыл бұрын
Mbosso Khan,,, naapriciate Sana kazI zako ,Ila bidada kwa hii kitu nitamuita zuchu Khan namsubir kwenye familia yetu WCB 4lyfe,,,,,,,,, 👆👍👍👍👌👌👌👌👌👌👌👌👌👩❤️👩
@zumlanangumbi84294 жыл бұрын
Mashalah! Nilosikiliza hii njimbo kabla ya wcb kukukalibisha kwao na aisei, siachi kusikiliza. Yani, ninakukubali zuchu. Mozambique
@nuratumary676 жыл бұрын
Sichoki kuitazama hii cover n motoooo
@quintermurono69365 жыл бұрын
I can't get enough of this cover... I have listened to it for like 3hours now😍😘🙈
@nickojunior__4 жыл бұрын
Miaka miwili imekwisha sikujua kwamba ZUCHU alikua hapa kumbe 😳😳😳
@zubedaselemani62204 жыл бұрын
Me pia nikua najua tu mtt wa hadija kopa🤣🤣🤣
@khadijardullah94456 жыл бұрын
Dada congratulation hapo sawa kabisa pia mimi naomba kudekezwa...
@selinalukwembe26185 жыл бұрын
Mbosso ninakukubali sn yani usiniagushe na kuombea sn kwa mungu akuvushe hapo ulipo akupeleke mbale sn
@jumamligaz3344 жыл бұрын
Naipenda sanaa kuitazama mala kwa mala dada ametisha sanaa🙏
@yusuflaly62893 жыл бұрын
Wadekezwa na nani tena zuchu......
@nessasment.17276 жыл бұрын
Extremely Beautiful, Her Voice Plus Maringo 👌😘 Congrats Zuchu❤️
@saidimbwilo26506 жыл бұрын
Daah nimeiangalia hii video zaidi ya Mara kumi bila kuchoka!! Dada unajua Sana kucheza na sauti yko, pia una sauti nzuri..nakuona mbaliii sanaa
@stavangernyambasi2497 Жыл бұрын
kweli ulimuona mbaliiii
@saidimbwilo2650 Жыл бұрын
Utabiri wangu ulikuwa wa kweli, ni MTU mkubwa sasa..Maarufu kila kona, Mungu azidi kumuinua zaidi na zaidi
@ياسمينالدرويش-خ8د4 жыл бұрын
Sauti yako inavyoitisha mtoto wa mama..waaah...2020all the way.. NADEKEZEKA..kwa Raha zangu.
@pauljesus76484 жыл бұрын
Eee na mie kwa kupagalanyika jamani khaa nimefika mpka huku ee.lakn hii yote ni kutaka kufaham vyema uwezo aliokuwa nao zuuu.Haya tuliokuja huku cku moja baada ya Zuchu kutambulishwa tujuanee
@hazprimalbodyweight36433 жыл бұрын
This voice realy powerful keep it up
@josephnjoroge56494 жыл бұрын
Excellent voice control,, kudos. Playing it again n again... Wow
@yuzaralmok49982 жыл бұрын
Mimi wa 🇲🇿.yani napenda sana huu Mziki😍🥰😘🥰😍😘
@vivianmurigi63894 жыл бұрын
Sauti nyota ya pendeza kweli !! Bila mengi umengaa mwenyewe💕❤️❤️❤️ hongera!! Mapenzi telee 🍾🎉🎊🎊🎊
@geraldmakori66273 жыл бұрын
Today ndio najua huyu alikuwa zuchu
@depressionwarriorsgottalen80443 жыл бұрын
This is not just a song 🙆🏽♂️ A certain feeling of eternity engulfs my mind
@Misango_bon4 жыл бұрын
Bonge la sauti daaaaah! mtoto matata huyu
@victormembei93813 жыл бұрын
254🇰🇪🇰🇪🇰🇪❣️❣️❣️❤️❣️♥️♥️ZUCHU NAPENDA WW NA SAUTI YA BUREE
@mourinenekesah40026 жыл бұрын
upo sawa zuchu endelea hivohivo kitoto sauti yakumutoa nyoka pangoni ilike it
@linahfinegirl4 жыл бұрын
OMG am here after she has been signed, she knows how to sing Jamani
@clad25434 жыл бұрын
Here after she was signed by wasafi👍🏼
@leahjofrey13574 жыл бұрын
exactly 😜
@michaelmagira44174 жыл бұрын
Oooh mashallah mtoto zuch good voice wera a you zuch com wasafi chemchem ya music mtaaam
@christerpazowema59284 жыл бұрын
Me
@emmanuellubadisha31706 жыл бұрын
nimeskiza zaidi ya Mara Tatu sichoki kuskiza Sauti yako jinsi unavyoimba big up umeitendea Haki hii nyimbo
@bellomusic45396 жыл бұрын
O
@georgemburu210 Жыл бұрын
I always watch this song, so great.Zuchu you are blessed with a swt smooth voice
@MDNUZRULISLAM-vd7ew Жыл бұрын
Woooow my friend amazing Street musician composer producer at least ❤❤❤❤❤❤❤❤
@kizzobinzelemed61984 жыл бұрын
Walikuja hapa baada ya zuchu kusainiwa wasaf gonga like tujuane
@lucianamontez27576 жыл бұрын
Best cover ever....ako sawa sana🙌🙌
@stavangernyambasi2497 Жыл бұрын
watu mlimuona Zuchu kabla hajatoka
@malihaismaily78014 жыл бұрын
She is really good. Have never seen any of the cover until sighed by Wasaaaaafiiiii. Bigup gal u deserve it
@quinleileah33224 жыл бұрын
karembo,sauti nzuri yan mashallah nadekezwaaa mm jmn
@josephtvshow74676 жыл бұрын
Hii nadekezwa cover ni kali sana thumbs up girl you kill it the beat I like it from Kenya.
@walidsultan74864 жыл бұрын
Welcome to WCB where bongo Flava belongs usituangushe
@lianaekai61084 жыл бұрын
I just can't get enough of this cover song😩😩😩
@salvatory29875 жыл бұрын
The joy and feelings to the voice brings tears, she is real good
@salimmananda15754 жыл бұрын
Big up Zuchu kumbuka dunia iko na utamu wake na uchungu pia karibu sana😘😘
@sekelamwangosi32894 жыл бұрын
Kitu nikikipenda huwa natokwa machoz😭😭👏👏🔥🔥🔥
@chichinongara86694 жыл бұрын
Tuliokuja kuangalia baada ya zuchu kusainiwa gonga like
@peteradonga76684 жыл бұрын
Am here after I learned that you've joined WCB..trying to find out what made Mr Nasib Abdul to sign you..welcome though.
@diomedesmtayoba39556 жыл бұрын
We dada pamoja na mashauzi kuwa mengi kipaji unacho
@abdlatifmwenyasi52326 жыл бұрын
Kama kava ingerusiwa kutoa award angesimama huyu balala ya mbosso minya like twende sawa
@manjumpoto1656 жыл бұрын
Zuu ni hatarrrryyyyy jishebedue mwaya imenibambaaaa 👌👌👌👌💯💯💯💯