MAAJABU: NDEGE ILIYOPOTEA ANGANI/ABIRIA 227/KIKUNDI CHA MAUAJI /WAHUSIKA WATAJWA/INATISHA..| EP 04

  Рет қаралды 6,686

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Ni makala yenye kuelezea kisa kilichojaa utata, na bado ni kitendawili cha ulimwengu mzima, ni baada ya tukio baya la kupotea kwa ndege ya abiria ya MALAYSIA AIRLINE MH370, ikiwa safarini kutokea katika taifa la MALAYSIA ikielekea katika taifa la CHINA ikiwa na zaidi ya abiria 200.
Bado ni mtihani wako wapi watu hawa?, na maswali muhimu kama iko wapi ndege hii? na tukio hili ukweli wake ni upi?
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#makala #maelezo #maleysia

Пікірлер: 23
@dar24media
@dar24media 8 ай бұрын
Kwa kutazama makala hizi za #MAELEZO usikose kila siku ya jumapili saa tano kamili asubuhi
@hallin9561
@hallin9561 8 ай бұрын
We're waiting, wew mwamba ni mchambuzi mziri sana, vyema kaka
@hazygardmericho9571
@hazygardmericho9571 8 ай бұрын
very profecional mkuu
@ibrahimmakata2111
@ibrahimmakata2111 8 ай бұрын
Let's go 🤝
@jumas3939
@jumas3939 8 ай бұрын
Nakubali sana mwamba
@RazackHamisBakar
@RazackHamisBakar 8 ай бұрын
Broh congratulations
@gfvh7282
@gfvh7282 8 ай бұрын
Dupa mdupange keep going 💪 👏
@AbiyolaYolam-xg9fx
@AbiyolaYolam-xg9fx 8 ай бұрын
Wakwanza leo
@budodiun6269
@budodiun6269 8 ай бұрын
Big five dupa mdupange and kachero stanislaus lambat.. nawakubari sana msalimieni mzee mgoba😂
@Ara_gadgets
@Ara_gadgets 8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@Moviesclip6action
@Moviesclip6action 8 ай бұрын
juma pili mbaliiiiiu jamaniiiiii
@Johnmalekela
@Johnmalekela 7 ай бұрын
Nakukubali sana dogo dupa mdupange
@josephmwirigi7718
@josephmwirigi7718 8 ай бұрын
Kaka napeda tafiti zako
@azizimyavilwa8199
@azizimyavilwa8199 8 ай бұрын
Unajua sana kusimulia hauboi bro
@masteriousdastada
@masteriousdastada 4 ай бұрын
Unafanya poa sana❤❤❤❤😂
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 8 ай бұрын
Tupo pamoja
@fbfabien4709
@fbfabien4709 8 ай бұрын
Apasasa penyewe
@jotafungo4622
@jotafungo4622 5 ай бұрын
Twende kazi
@VIP-correct-score270
@VIP-correct-score270 8 ай бұрын
Nakufatilia sana ila jitahidi uongeze dakika
@officialharuni46
@officialharuni46 8 ай бұрын
❤❤❤uishi sana kaka
@ashrafukilete
@ashrafukilete 8 ай бұрын
Dupa 🔥
@michaelkyando9131
@michaelkyando9131 8 ай бұрын
stor nzuri kasoro moja tu maelezo kibao yasio na msingi
@UgaliMtamu
@UgaliMtamu 8 ай бұрын
Jaman huyu mchambuz na yy alikuwepo Malaysia au na yy anatumia data za compyut
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 821 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
MELI kubwa Duniani Hii hapa, Ni Mji Unaoelea, Inatembea milele bila kusimama,Utashangaa ubunifu wake
2:38
Kona ya Teknolojia - Habari na Maujanja
Рет қаралды 740 М.